Рет қаралды 54
Hot News
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiimba na kucheza aliposhiriki ibada ya shukuranikatika ushirika wa Nshara dayosisi ya kaskazini ya kanisa la kiinjili la kilutherani Tanzania KKKT wilaya ya hai mkoani kilimanjaro.