JPM ‘alipomtwangia’ simu Jafo na kumtaka aanze safari ya kwenda Mkuranga

  Рет қаралды 2,487,519

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

“Ninataka kesho uje hapa…umenielewa…kesho ninataka uje Mkuranga, ufuatilie kero za kituo cha afya…ucheki hizo milioni 400 zimetumikaje…halafu umiambie wapi kwenye mapungufu…na wapi zimeliwa…” _ Rais Magufuli alipompigia simu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo na kumtaka aende Wilaya ya Mkuranga ili ashughulikie kero za huduma za afya wilayani humo.
#JPMMkuranga #JPMNaKeroZaWananchi #RaisMagufuli
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 551
@augustinewilliam8281
@augustinewilliam8281 3 жыл бұрын
Daaahh ila kweli kizuri hakidumu kama unakubalkana na mimi piga likes apo
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 2 жыл бұрын
Rais wetu ulieletwa kwetu na mungu Basi mungu uyo uyo akupumzidhishe mahala pema peponi amiin
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Tulikupenda Sana mzee wetu. Ila Mungu amekupenda zaidi!
@pipasccd
@pipasccd 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hWLGg51pfJ6Fptk
@hassanmagogo4295
@hassanmagogo4295 3 жыл бұрын
Hakuna namna twaweza Zaid ya kukuombea Tu magufuli na mungu atatenda miujiza yake mama anatekeleza yote uloyaacha
@nicholauskicheta8503
@nicholauskicheta8503 2 жыл бұрын
Kwel kabisa
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 4 ай бұрын
Allah akuweke sanaaa
@zaituniluboge8897
@zaituniluboge8897 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi mtetez wetu, akupe kauli thabiti, akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia na mwisho jannatufildaus iwe yake makazi
@rashidjuma269
@rashidjuma269 Жыл бұрын
zaituni luboge umepata wapi ufunuo wakumuombea dua endepeponi wakti si muislam
@emanueluledi5616
@emanueluledi5616 3 жыл бұрын
Daaih mungu akulaze mahala pema peponi amina ulitujali sana wanainchi sita kusahau maishani mwangu
@MutuaCK
@MutuaCK 2 жыл бұрын
The best Tanzanian president so far.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Rest in peace
@celinamgundoi8420
@celinamgundoi8420 3 жыл бұрын
Baba yetu JPM pumzika kwa Amani japo haupo nasi ila bado unaishi ndan ya mioyo ya watanzania tutakukumbuka kwa mengi, Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi Ameen
@panafricamedia4798
@panafricamedia4798 3 жыл бұрын
Best president ever Rip General of africa One love from south sudan
@sayilameck6930
@sayilameck6930 3 жыл бұрын
HAmna namna pumzika kwa amani mzeee wetu tulikupenda lkn Mungu amekupenda zaidi JPM
@georgechibai2716
@georgechibai2716 3 жыл бұрын
@paulol Mabu, wacha hivyo, nadhani hata wengi wao, kama si wote, wanatamani afe ila sisi tunamuombea maisha marefu kwasababu kazi anayoifanya si yake bali ya mwenyezi mungu.
@adrianmallyakibona.352
@adrianmallyakibona.352 3 жыл бұрын
Mh rais hapa ndipo tunasema Mungu kasikia kilio cha watz. A committed and charismatic leader of such kind. God bless u.
@danielbarasa3342
@danielbarasa3342 2 жыл бұрын
If only Kenya had such a responsive and caring president who goes down to the ground to listen to wananchi's problems and solve them instantly🙄🙄🙄🙄
@mohamedithabiti4476
@mohamedithabiti4476 2 жыл бұрын
I have nothing to say aisee.....mwenyezi mungu amuhifadhi panapostahili
@chadgalavan
@chadgalavan 3 жыл бұрын
Nimekukumbuka Rais wangu🙏🏽
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Asante Sanaa Baba magufuri Mw/MUNGU akujalie maisha marefu Zaid 🙏 🙏🙏 🙏
@mohammedabdalla6631
@mohammedabdalla6631 3 жыл бұрын
Vyema Havidumu!
@bboymelvo5494
@bboymelvo5494 3 жыл бұрын
Hakuna raisi kama magofuli africa mzima walai mungu amlindi sana jamani 🔥🔥🔥🔥 natoka Kenya
@saikomkumbwa4812
@saikomkumbwa4812 3 жыл бұрын
Mnafki wewe
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
@@saikomkumbwa4812 he we kwani Hilo bando ni lako au lake
@nzokayamwingi
@nzokayamwingi 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁 aki maghufuli ulikuwa wanipendeza Sana kwa ukarimu na unyenyekefu pamoja na uogozi mwema.mwishowe ikawa n kilio 😭😭😭😭😭 .. pale ulipo baba, hata utakuwa kiongozi wa maana Sana. Continue r.i.p
@alexmadafali4872
@alexmadafali4872 3 жыл бұрын
Mtu wa watu Ngosha wa Mbassa lala salama ndugu yangu John Walwa Magufuli😭😭😭🇹🇿🇹🇿
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@jackhans7708
@jackhans7708 3 жыл бұрын
Amico se scrivi in swahili tigarantisco tanti possono capirti veramente, magufuli ooooooyeeee Dio lo faccia riposare in pace mio re.
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
@@jackhans7708 Rafiki, nitafuata ushauri wako. Asante
@maxamedabdukadir7965
@maxamedabdukadir7965 2 жыл бұрын
I see this comment alot
@cmsa1r
@cmsa1r Жыл бұрын
You are so wrong in your assessment. This man brought poverty and destroyed a lot of small business owners. It’s easy for someone like you looking in from outside to applaud his efforts without evaluating the damage he has done to his people. He used his tax agencies to jail those who oppose him. He fired people and hired some on public settings without vertting…. He was wrong for Tanzania
@allansk1035
@allansk1035 3 жыл бұрын
Rest In Peace soldier still I can’t believe you are gone
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 3 жыл бұрын
Things will never be the same again
@gastonealinda7494
@gastonealinda7494 Жыл бұрын
Hahahaha
@hashimkale3215
@hashimkale3215 3 жыл бұрын
Kama hera imeliwa .....you make me cry marehema alikuwa shuja hatatokeapu.turamkumbuka kwa mazuri na mema yake
@alfampigiye2950
@alfampigiye2950 3 жыл бұрын
Kamanda hatokei Mara 2 ndg, kwa sisi wakristo kamanda wetu Yesu Ni mmja tu hakuna mwingine na kea sisi wa Islam kamanda Ni Muhammad Ni mmoja tu, kamanda hatokei Mara 2, hatatokea kamanda Kama magu teeeeenaaaa! Imeisha hiyooo
@frankonyi7473
@frankonyi7473 2 жыл бұрын
Wow amazing I just wish here in Kenya we can have leaders like him rest in peace baba
@africanbeadwork9434
@africanbeadwork9434 2 жыл бұрын
Mchagueni raila atakuwa kama magu wetu
@alextercisio
@alextercisio 2 жыл бұрын
@@africanbeadwork9434 raila ni shetani
@paulolmabu7161
@paulolmabu7161 3 жыл бұрын
Kuna wakati nadhani watumishi wa serikali huwa wanatamani mh. Magufuli asiwe anasafiri kwa njia ya barabara
@abubakarimlyandi8571
@abubakarimlyandi8571 3 жыл бұрын
😁😁😁
@momadeatibo6729
@momadeatibo6729 3 жыл бұрын
hata mimi nilikua naliona hili ni kweli kabisa
@suleimanmaneno5076
@suleimanmaneno5076 3 жыл бұрын
Hahaha kweli kabisa😃😃😃
@kanbos5565
@kanbos5565 3 жыл бұрын
L
@liliankapia451
@liliankapia451 3 жыл бұрын
Mkurugezi mkuranga ajielewi
@barackmahinda4961
@barackmahinda4961 3 жыл бұрын
Jpm jembe la tanzania akumbumbukwe daima
@benkibusia9736
@benkibusia9736 2 жыл бұрын
its so painful to lose a leaders like thise Rip papa
@Wakio231
@Wakio231 3 жыл бұрын
It's hard, dearly missed 😭💔🇰🇪
@kelvinsinkala3315
@kelvinsinkala3315 2 жыл бұрын
These are the leaders we want God
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 3 жыл бұрын
Tuwe waminifu mungu hadanganyiki, mungu ajuwa hadi mawazo yetu ya kila siku,
@kulemisairi5010
@kulemisairi5010 3 жыл бұрын
We need such leaders
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu
@jofreyerenest5078
@jofreyerenest5078 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 3 жыл бұрын
Huyu ni Rais wa Wanyonge kweli kweli. JAMANI huyu Rais Bora wa TANZANIA.
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Haijawahi haitatokea Mungu ampe kila jema mbele ya haki
@hillaryjoseph100
@hillaryjoseph100 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba magu
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Ctaacha kulia kila nikikukumbuka dad😭😭😭
@godfreykaimbe1780
@godfreykaimbe1780 3 жыл бұрын
Daaaaa roho yangu inaumia mpaka leo...machozi hunitoka kila nikitizama video clips za rais wangu John Pombe Magufuli...RIP my president
@mathiasabel2345
@mathiasabel2345 3 жыл бұрын
Rest In Peace the son of Africa Ulikua shupavu sana
@kijakgboyjemus1772
@kijakgboyjemus1772 Жыл бұрын
Vipi
@junioragaah6038
@junioragaah6038 3 жыл бұрын
Rais wangu wa muda wote RIP
@consolathambuya2563
@consolathambuya2563 3 жыл бұрын
Bado hatuamin haupo baba yetu😭😭😭, Raha ya milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umuangazie apumzke kwako kwa amani amina😭😭🙏🙏
@mariumkirungi3699
@mariumkirungi3699 3 жыл бұрын
Kwakweli
@innocentnduwayo5674
@innocentnduwayo5674 3 жыл бұрын
La ils ne ils ne se passe dans une ambiance dans
@innocentnduwayo5674
@innocentnduwayo5674 3 жыл бұрын
Bonjou
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
Yaa Allah hatuamini jamani baba umetuacha wapweke 💔💔💔💔
@JosephBasiga-l9j
@JosephBasiga-l9j 8 күн бұрын
Tutakukumbuka daima mungu akulaze mahali pema peponi amina
@tz7976
@tz7976 3 жыл бұрын
Jpm naimani umefika salama baba wewe ni mbinguni moja kwa moja pumzika salama baba yetu❤❤❤
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
😭😭😭
@mrbiology4146
@mrbiology4146 3 жыл бұрын
Mbinguni? Kafiri hatoonja ladha ya pepo
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
@@mrbiology4146 we mwenyewe una uhakika ukifa utaenda peponi muzi we
@mrbiology4146
@mrbiology4146 3 жыл бұрын
@@hadijamagufuli2661 hilo jina LA saumu ni lako au unefoji cheti? Au ndo nyie waislamu feki msiejua hata kuoga janaba.nenda kasome qurani sura 98 aya 6 . Allah anasema hakika wale waliokufuru katika waliopewa kitabu yaani mayahudi na wakristo na wale washirikina wote hao ni motoni na wataishi humo milele. Sasa wewe pingana na Allah. Muislam feki wewe. Kafiri hata afanye jema kiasi gani Malipo yake nihapahapa. Akifa hana chake zaidi ya kuishi motoni tu.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
@@mrbiology4146 hata hivyo vitabu vinsema mstili mwenzio aibu zake ili nawe mwenyezi mungu akustili mb sina
@maendaamos2690
@maendaamos2690 2 жыл бұрын
Rip daddy, God when I will be a leader make my leaders to be in people's heart is my prayer ,people have been moving in a Cage.
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
Utakumbukwa zaid ya zaidi Pumzika kwa aman jaman
@efurazichales3423
@efurazichales3423 3 жыл бұрын
Mamb
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 3 жыл бұрын
@@efurazichales3423 Pouwa hbr za uzima
@dembeleisak2878
@dembeleisak2878 3 жыл бұрын
R.I.P Legend hero Mr President.
@emmanuelmshanga5142
@emmanuelmshanga5142 3 жыл бұрын
You will always stick in our mind
@albertshikuku4788
@albertshikuku4788 3 жыл бұрын
The best african president i have ever seen and a Gaddafi
@sumaroma2041
@sumaroma2041 3 жыл бұрын
duh tunampa shida sana rais
@mariamkiharo6345
@mariamkiharo6345 3 жыл бұрын
Kituo cha afya kinajengwa hospitali Mkurugenzi oyee🤣🤣🤣🤣
@selemanmayala9374
@selemanmayala9374 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@lelozaina8711
@lelozaina8711 3 жыл бұрын
Shujaaa wetu kwa heri tulikupenda sana wote na tutaendelea kukupenda
@barikimwakajumba2627
@barikimwakajumba2627 3 жыл бұрын
Nawaamisha watanzania hatutakuja pata rais mkarimu mpenda maendeleo kama Magufuli. Hakika ni zawadi kutoka kwa Mungu. Magufuli Mungu akubaliki na akupe umri mrefu
@eddymwaka175
@eddymwaka175 3 жыл бұрын
Jafo atawabana mpaka watasema sababu anafanya kaz vizuri sana
@dehills905
@dehills905 2 жыл бұрын
The world needs leaders like him but it's hard to find
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Mbele twende nyuma turudi kama huyu hayupo na hata tokea hata kama mumseme vibaya magu umeliza we baba kila ninapokaa sura yako hunijia yani kama ndugu yangu kumbe ni rais to da sikuwahi Kuumizwa na kifo cha mtu mkubwa kama huyu baba da😭😭😭
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Kweli kabisa JPM kaliza Wengi Hadi Huku South Africa
@faithlukosi71
@faithlukosi71 3 жыл бұрын
Mungu msaidie uyu baba awe na maisha marefu na asije chaguliwa rais mwingine ,ilo ni ombi langu kwa mungu ,barikiwa na mungu magufuli
@nyumbanafricana9447
@nyumbanafricana9447 3 жыл бұрын
Dah!💔💔😭
@abdalladawali8969
@abdalladawali8969 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@nicehonesty912
@nicehonesty912 2 ай бұрын
😭😭😭😭 amesha lala dah
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Nakukubuka daima wallah kizuri hakidumu
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Lala salama baba 😭😭😭💔🇰🇪
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 жыл бұрын
Hamna Rais kama Magufuli tumepoteza mtu muhimu sana kwa Taifa
@georgekobero9767
@georgekobero9767 2 жыл бұрын
A real president who is aware what people really need. Rest in peace
@anafiabasi4301
@anafiabasi4301 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mkurugenzi anaulizwa kituo cha afya kinajengwa wap? Ye anajibu kinajengwa hospitalini🤣🤣🤣🤣 iv kwel kituo cha afya kinaweza kujengwa hospitalini. Duuh au ndio woga wa kuongea na Rais
@magdalenanjau6452
@magdalenanjau6452 3 жыл бұрын
Kachanganyikiwa jmn😀😀😀
@jeremiahmakoye6340
@jeremiahmakoye6340 3 жыл бұрын
Hataree sana jamaa anashindwa kujieleza sasa sijui kwa nini alikaimu ofisi ya DED!!!!????!
@marcelchofi9372
@marcelchofi9372 3 жыл бұрын
Papa j'ai des larmes aux yeux réponse en Paix
@k.d.m83
@k.d.m83 2 жыл бұрын
We all do😭💔 we miss this great man
@sailasjuma1819
@sailasjuma1819 2 жыл бұрын
Baba marehemu wa wana inji, pole sana, wanainji wa tanzania.
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 3 жыл бұрын
TUTAMPATA NANI MWINGINE KAMA JPM JAMAN BASI ANGALAU ANAEENDANA NAE HATA KWA ASILIMIA 75% tu ili tutimize ndoto zetu
@samwelshengulo3232
@samwelshengulo3232 3 жыл бұрын
Mkojan Mkojan L
@samwelshengulo3232
@samwelshengulo3232 3 жыл бұрын
Jnoj
@BestLife486
@BestLife486 3 жыл бұрын
Duniani sio kwetu hakika tunapita pumzika kwa amani kipenzi cha wanyonge.. tutakukumbuka daima 😭
@violetnafula2286
@violetnafula2286 3 жыл бұрын
Rayvanny music
@bakarijohnson8307
@bakarijohnson8307 3 жыл бұрын
Amina
@raphaelluyela5666
@raphaelluyela5666 3 жыл бұрын
Dah,pumzika kwa amani mwamba wa Africa chuma cha Tanzania magufuri hakika hotuba zako zinaishi milele masikioni mwetu watanzania Mora akupe pumziko LA milele amina
@delpietv288
@delpietv288 2 жыл бұрын
Rip Mr Presidente, will never forget you
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 жыл бұрын
Mi Siwezi kutoa kero mbele ya raisi Naogopa😂😂
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 3 жыл бұрын
Hahahaha unaogopa wasikutafute wakuda wakakunyoosha viungo vya mwili eeh?😂😂😂
@lukemk826
@lukemk826 3 жыл бұрын
Hapa kazi tu 😆😆🤣🤣
@nickrayjackson9753
@nickrayjackson9753 3 жыл бұрын
Pumzika baba mwanga wa milele akuangazie
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Raha ya milele umpe akae na watakatifu na wema waliotangulia mbele ya haki
@zenoziya7657
@zenoziya7657 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima na milele,hakika ulikuwa mzalendo halisi, pumzika kwa amani
@ngisianbn
@ngisianbn 3 жыл бұрын
MUNGU BABA Mpe huyu Kiongozi uliompenda rahaa zote kule mbinguni.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kama ela ime liwa hiiii😅😅😅
@smsalama6540
@smsalama6540 3 жыл бұрын
Nimesikia apo apo kama ela imeliwa🤣🤣🤣🤣
@kanukanute1514
@kanukanute1514 3 жыл бұрын
Rais Allah akulinde n aendlee kukupa afya njema n p1 n uongz wako
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 3 жыл бұрын
Tulimpenda ila molla amempenda zaidi 😭😭😭
@amidoubiaye8663
@amidoubiaye8663 2 жыл бұрын
Même si je ne comprends pas la langue je vais l'écouter
@aishaothmani5259
@aishaothmani5259 3 жыл бұрын
Dah! R.I.P JPM😭😭😭
@daudmaganga5719
@daudmaganga5719 3 жыл бұрын
Kama ela imeliwa khiii😂😭😭😭😭😭
@hamidomar7474
@hamidomar7474 3 жыл бұрын
Hongera San babu
@josephmanyama435
@josephmanyama435 3 жыл бұрын
kama hela imeliwa ihhhiiiiiiiiiiii hahahahaha
@suleimanmaneno5076
@suleimanmaneno5076 3 жыл бұрын
😀😃😀😀 dah me nimecheka sana hapa 🤣🤣🤣 anachinjwa mtu wima wima
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 3 жыл бұрын
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama hera imeliwa hiiiiiiiiiiiiiiiii lazima kieleweke na kamada kesho saa nne yuko hapo itabidi wajenge usiku lol
@sailasjuma1819
@sailasjuma1819 2 жыл бұрын
Poleni!! Poleni!! Sana watanzania, hataka mimi ni mkenya, lakini niliumia hiyo wakata, mh pombe magufuli rais alipo......😭😭😭😭😭😭
@cassyaugust4585
@cassyaugust4585 3 жыл бұрын
naitwa Hamis shaban mwalami rashid kondo oyoyo Dah
@tysonboy4752
@tysonboy4752 3 жыл бұрын
Umetisha mwamba
@selemanmayala9374
@selemanmayala9374 3 жыл бұрын
Mpe huyo mic kauli hii Rais wangu naimiss Sana 😭😭😭
@neemamwenda3451
@neemamwenda3451 3 жыл бұрын
Saiz tutapata tabu sana mana wakumsemea haya maneno hatakuwepo tena
@t.evideosclips431
@t.evideosclips431 3 жыл бұрын
Kama ela imeliwa ihiiiiiii 😁😁😁😁😁😁
@suleimanmaneno5076
@suleimanmaneno5076 3 жыл бұрын
Anachinjwa mtu wima wima
@lameckongechi4548
@lameckongechi4548 3 жыл бұрын
Thanks president wa Tz asante kwa kazi nzuri
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 жыл бұрын
Pumzika mpenzi wetu j p m watanzania tutakukumbuka daima KWERI uliishi uharisia wako wa kutetea WANANCHI na kweri umekufa kwa ajili ya WANANCHI❤❤❤ pumzika BABA
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 3 жыл бұрын
Now nafatilia ziara za aliekuwa raic wngu jpm kuliko huyu wa kuanda kamati tu na michakato
@charlesjames5965
@charlesjames5965 3 жыл бұрын
Dah R.I.P MAGUFULI
@halifahamimu4059
@halifahamimu4059 3 жыл бұрын
Rip mzee 😭😭😭😭😭
@robertrerarevocatus3455
@robertrerarevocatus3455 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kichekesho kweli kituo cha afya kinajengwa hospital 😁😁😁😁😂😂😂
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 3 жыл бұрын
Na mi hapo sijaelewa
@josephmanyama435
@josephmanyama435 3 жыл бұрын
Anajichanganya kinoma ujue hahaha hata mbunge kamkataaaa aahhaha
@justinerespicius755
@justinerespicius755 3 жыл бұрын
Yani mm mwenyew nmecheka kinoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salummigezo3729
@salummigezo3729 3 жыл бұрын
Msichukulie poa kuongea mbele ya rais nyie ohoo😂😂
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Ajabu sana
@selenganyagawa1358
@selenganyagawa1358 3 жыл бұрын
R. I..P rais wetu, Kama waige mfano. Ila haiwezekani.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Nimecheka hiyo km hela imeliwa,nihatari baba kashasema
@maryamnaz4622
@maryamnaz4622 3 жыл бұрын
Shujaa uyu alikua pumzika kwa Amani.Alikua Mtu wa huruma. Safiri salama
@StevenMayala
@StevenMayala 4 ай бұрын
Rip mh rais wetu
@rhodavalentino9735
@rhodavalentino9735 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani shujaa wetu
@EzekielNyandwaro-nq5gt
@EzekielNyandwaro-nq5gt 2 ай бұрын
Tulikupenda sana especially kwa ushauru wako
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 3 жыл бұрын
JAMAN ANATAKIWA MTU MWENYE MAAMUZI MAGUM JPM UKO WAPI?
@mbelyterry1584
@mbelyterry1584 3 жыл бұрын
Aaaaaaa rais una nifanya nicheke
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 hata miye...
@elijaonyango8620
@elijaonyango8620 2 жыл бұрын
I miss this man
@ashrafpnlm1114
@ashrafpnlm1114 3 жыл бұрын
😍😍😘
@mturijackonia9138
@mturijackonia9138 2 жыл бұрын
Mungu akulinde milele baba etu
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 3 жыл бұрын
MBUNGE KAJITAHIDI KUSEMA UKWELI KAJUA HUYU MKUU HANA MASIHARA !
@saumumashallhamwinyi3294
@saumumashallhamwinyi3294 3 жыл бұрын
Nikiangalia video zeke nahisi bado ndio raisi wang daima nitakukumbuka
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 5 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 31 МЛН
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 647 М.
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
MCHINA KAKUTANA NA MOTO WA MAGUFULI SITE "NAKUONYA WEWE"
2:16
Millard Ayo
Рет қаралды 621 М.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
DONTA TV
Рет қаралды 4,6 МЛН