CHIEF GODLOVE ATOA SIRI NZITO MARTHA MWAIPAJA KUTOMSAIDIA MAMA YAKE MZAZI YUKO SAHIHI/LAANA ZA UKOO

  Рет қаралды 60,186

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 542
@deomwesa_JitumeTZOnline
@deomwesa_JitumeTZOnline Ай бұрын
Yesu alisema ndugu zangu ni wale wanaolishika na kuliishi neno la Mungu.
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Ай бұрын
Mimi ni KKKT Toka nazaliwa sijawahi kuona mtu asie kua mchawi yanalipuka mapepo hata siku Moja ukiona mtu analipuka mapepo akiwa anaombewa au akadondoka uyo ni mchawi %100 fatilia utajua
@mywatch4077
@mywatch4077 Ай бұрын
Luka 8 :19-21
@Titomtumishi
@Titomtumishi Ай бұрын
Asa matha ni Yesu na ww😅
@JustinSialeo
@JustinSialeo Ай бұрын
Umetisha broo nimekuelewa sana namitume pia walifanya kafara Yan sadaka
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Ай бұрын
Wewe pia una shida...mama ni mama
@priscakibona8296
@priscakibona8296 Ай бұрын
Exactly
@JonathBoniventure-p2o
@JonathBoniventure-p2o Ай бұрын
Hayupo saw
@MonaAli-zq4yn
@MonaAli-zq4yn Ай бұрын
We Mtu anaongelea kafara ati kafara inasaidia kupata Hela unahisi Ako na Akili timamu ati ana wafuasi nahisi ni illuminati huyu nae
@hopemwalemwale2100
@hopemwalemwale2100 Ай бұрын
nakbal sana chief God love umeongea true kabsa siku zote.ndugu lawama na martha mungu yupo nae kikubwa anasaidia watu osiojiweza
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 Ай бұрын
Godlive ubarikiwe umeongea vizuri 🎉🎉🎉
@fridageorge2809
@fridageorge2809 Ай бұрын
Abarikiwe na nini!? Kwa hiyo mifano yake yakuuza nafsi!!!? Unamsikiliza kwakutumia akili au kwa hisia!!?
@RestyLeopold
@RestyLeopold Ай бұрын
​@@fridageorge2809kwani ww hapo unamsikiliza kwa kutumia miguu au
@BenyassearButoyialfred
@BenyassearButoyialfred Ай бұрын
Kweli kabisa. Ameongea ukweli
@salumsaid5369
@salumsaid5369 Ай бұрын
Duh kauza utu?, nafsi? hii dunia tunapita jali utu wako na wa mwingine hiyo ndio maana halisi ya kuitwa binadam
@SaraMalando
@SaraMalando Ай бұрын
Nakuelewa xan chief
@PaulnaPeradus
@PaulnaPeradus Ай бұрын
Umeongea yamaana sana barikiwa namm nimepita apo kwandugu zangu awanisalimii kisa umevunja laana
@MariaMsangi-b9g
@MariaMsangi-b9g Ай бұрын
Hongera ❤ umeongea pwenti
@BethuelofficialTz
@BethuelofficialTz Ай бұрын
😂😂😂pwenti😂😂😂
@marysola5302
@marysola5302 Ай бұрын
❤❤❤ukitaka kuisha kuwa busy na ndugu
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 Ай бұрын
Naona Ma-fremasonary mnateteana
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c Ай бұрын
WASHENZI MNAFAHAMIANA NA MNATETEANA BADO KUWAUA TU WAZAZI WENU.
@MasterHD-s7t
@MasterHD-s7t Ай бұрын
Nmekuelewa shee 🎉🎉🎉
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 Ай бұрын
Mm huwa nakuelewa sana sana
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg Ай бұрын
Daaaa Nimekuelew San chf asiyokuelewa ni shda zake
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 Ай бұрын
Kitu kingine sio watu wote wanainuliwa na Mungu,, wengine wanainuliwa na Shetani
@gladishaule9261
@gladishaule9261 Ай бұрын
Kutoka 20:12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Una maana gn?
@NeemaJanga
@NeemaJanga Ай бұрын
Amen
@ajoseph31
@ajoseph31 Ай бұрын
Asa heshima ni kuwapa hela
@ajoseph31
@ajoseph31 Ай бұрын
I think ujui maana ya heshima
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Ndio tatizo la kutoelewa biblia
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj Ай бұрын
We kuma kweli sio ndugu mama mzazi tofauti na kaka
@SashaSalum-dl6ni
@SashaSalum-dl6ni Ай бұрын
we Dogo matusi y Nni jomba .chunga kinywa hcho unmtkna mtu ambae hkujui
@WaziriAmlike-x4w
@WaziriAmlike-x4w Ай бұрын
Uyu hanaata Mia ndugu wanajilasi
@TexnoNames
@TexnoNames Ай бұрын
Diuh mmh
@ajoseph31
@ajoseph31 Ай бұрын
Matusi yako tu inaonesha uyu jamaa yuko sahihi
@TexnoNames
@TexnoNames Ай бұрын
@ajoseph31 😀😀😀🔥
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Ай бұрын
Kaka godchief nakupenda unahamasisha watu kitafta mkwanjA pesaa
@leonardkasanga4435
@leonardkasanga4435 Ай бұрын
Waombee watu wa nyumbani kwako, waheshimu Baba na mama.
@zennahkisaghi9342
@zennahkisaghi9342 Ай бұрын
Aibu,mama ni mama
@JohnChaghalla
@JohnChaghalla Ай бұрын
Mzazi ni mzazi tu no matter what
@DeborahFuraha-r7b
@DeborahFuraha-r7b Ай бұрын
Hata kama ana makosa ni aibu Kwa Mtu anayesema anamjua Mungu halafu anafanya hivyo kumbuka ukitenda mabaya Kwa Wazazi wako maisha Yako yatakuwa mafupi elewa machozi ya Wazazi wako yatazaa matunda mafanikio uliyo nayo yana mwisho ni aibu sana mzazi wako anaishi kwenye nyumba ya matope wewe unaishi ghorofani apandacho Mtu ndicho atakachovuna hata kama Mama amekosea anapaswa kusamehewa elewa usiposamehe nawewe Mungu hasikii maombi yako
@Nurdin-t9n
@Nurdin-t9n Ай бұрын
Leo kwa mara ya kwanza chief godlove kaongea point ya msingi
@veronicathomas89
@veronicathomas89 Ай бұрын
kabisaa
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 Ай бұрын
Saan
@StellaPaul-et9df
@StellaPaul-et9df Ай бұрын
Kbs
@RhodaKibona-w9j
@RhodaKibona-w9j Ай бұрын
Tutajuaje? Mungu akusamehe sana,
@livingtemu483
@livingtemu483 Ай бұрын
Ndugu wengi wasenge sema siwez acha saidia mamangu aishi vizuri
@HalimaHamis-z6q
@HalimaHamis-z6q Ай бұрын
Ujui unalo ongea kaka yangu
@MonaAli-zq4yn
@MonaAli-zq4yn Ай бұрын
Huyu sifa TU Ndio zimemjaaa anatembelea kiki
@mywatch4077
@mywatch4077 Ай бұрын
The devil is a liar
@younglico7611
@younglico7611 Ай бұрын
Mungu akupe NEEMA ya kusoma mandiko vizur
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula Ай бұрын
Tofautisha mzazi(mama) na ndugu,Sijui unaelewa
@agneskabaka9908
@agneskabaka9908 Ай бұрын
Upande wa mama je?😊
@JoelKilonzoMuia
@JoelKilonzoMuia Ай бұрын
I love this singer, Martha hazidi kutukuza Mungu hata waongee
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Ай бұрын
Mimi ni KKKT Toka nazaliwa sijawahi kuona mtu asie kua mchawi yanalipuka mapepo hata siku Moja ukiona mtu analipuka mapepo akiwa anaombewa au akadondoka uyo ni mchawi %100 fatilia utajua
@GeorgeNyambuya-t7x
@GeorgeNyambuya-t7x Ай бұрын
Miongoni mwa watu waliofungwa na Mngu akufungue ujuwe kutambuwa maisha ya Mwanadamu hapa duniani
@SaidHaji-q6u
@SaidHaji-q6u Ай бұрын
Ira chifu sijawahi kuwa nahangari ira hii nimeipenda
@wishjrtz
@wishjrtz Ай бұрын
mama ni mama
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 Ай бұрын
Naungana na wew saaana ila sio kwa mama mzazi !! Aiseee
@ImaniMwakipesile-r9k
@ImaniMwakipesile-r9k Ай бұрын
Mzazi hakosei yaani mzazi ajambi mama ni mama
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Kusema kweli ndugu saa zingine wana zingua hawana upendo unapo fanikiwa wanaona wivu
@willymwasakyeni4393
@willymwasakyeni4393 Ай бұрын
Tofautisha ndugu na mama lakini
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Ni ndugu ila sio mama
@breymbasa3451
@breymbasa3451 Ай бұрын
Mama yako unaweza kusema ni ndugu
@vincej9275
@vincej9275 Ай бұрын
Mama sio ndugu
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
Mbona watu wanajitia ufahamu Yaaan watu wazungumzia mama sio ndugu
@gildasnyaki3812
@gildasnyaki3812 Ай бұрын
Kutoa sadaka ni fomula ya kufanyikiwa duniani na ni mfumo Mungu ameuweka. Ukitoa unapata . Issue ni unatoa kwa Imani gani. Ni tricks tu ndio maana wazungu wanatoa misaada na wanafanyikiwa.Kutoa ni formula kama ilivyo gravitational force.
@AvitiNjau-v7x
@AvitiNjau-v7x Ай бұрын
Kaka ujumbe wako umenifungua zaidi. Nimekubali umetema nondo
@lxstudiotz
@lxstudiotz Ай бұрын
Kuna utofauti kati Mama na ndugu! Usimlingashe mama mzazi na ndugu! Kwenye hii Dunia ndugu zako wako wengi sana! Hao wakikuudhi unaweza kuachananao! Lakini mamayako ( Mama chief G) ni mmoja tu Dunia nzima! MUHESHIMU MAMA
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm Ай бұрын
Shid Han uwelewa mzuri
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface Ай бұрын
Mama yako mzazi kweli!
@salarose5980
@salarose5980 Ай бұрын
kauli za wenye hela husikilizwa sana kwa mungu hamna kitu
@josephinjoseph8320
@josephinjoseph8320 Ай бұрын
Hivi kuna kosa kubwa ambalo mama yako mzazi anastahilli kuadhibiwa na mwanae? Tumuogope Mungu pepo zetu ziko miguun mwa mama zetu
@NazarKaduri
@NazarKaduri Ай бұрын
Ndo hapo huyu nae shetani, mama yako mzazi...kakoseaaa mwamba, akwedree zake
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Huyu nae vipi jmn hajitambui huyuu
@tedymshisha-dn5ez
@tedymshisha-dn5ez Ай бұрын
Hadi mama jamani? Nyie freemason mnapenda kusaidiana ujinga
@MonaAli-zq4yn
@MonaAli-zq4yn Ай бұрын
Huyu nae karopoka sana jaribu kuskiza pande zote mbili au tatu maisha ya watu usijipe umuhimu sanaa wale ni ndugu na mama yao kawalea kwa taabu yani mzazi mmoja anaweza kulea watoto ata ishirini ila watoto ishirini hawawezi lea wazazi wawili
@evancemsosa4379
@evancemsosa4379 Ай бұрын
Ni sawa ila sio Kwa mama Yako mzazi bana weee! shida zako usijili nganishe na wengine.
@julithajaphet5102
@julithajaphet5102 Ай бұрын
Mama hafananishwi na chochote Wala yeyote bro😢...nastikika sana aisee....Yan dah...mama hakosei mpaka hapo ulipo nikwasababu mama alkuweka akakulea mpaka ukawa na ubavu wa kuongea hvo
@ferrotechafricaltd
@ferrotechafricaltd Ай бұрын
Kwa hiyo bwana kaka imeuza utu wako😢😢😢
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 Ай бұрын
Kweli kabisa ni shida.
@IreneShadrack-p6c
@IreneShadrack-p6c Ай бұрын
Sio ndugu ni mama mzazi elewa mama mzazi
@IvanMocha
@IvanMocha Ай бұрын
Sio mama yake wameshare baba tu, alafu yeye mbona alitembea na shemeji yake!?em Tuache Martha aje aongee
@NuruMfaume
@NuruMfaume Ай бұрын
Kumbuka pia sio kila mama ni mwema na amesima kama mama!soma biblia ilishasema!
@Frosita
@Frosita Ай бұрын
Ulikuwepo?​@@IvanMocha
@IreneShadrack-p6c
@IreneShadrack-p6c Ай бұрын
@@NuruMfaume mama ni mama ata kama mgombane vip lakini ni mama yako kumbuka bila yeye usingekuepo
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Ай бұрын
​@@IvanMochawewe ulikuepo akilala na shem
@DjumaShabani-d2z
@DjumaShabani-d2z Ай бұрын
Walewale 😂😂😂😂
@wachafufamilyftpage5546
@wachafufamilyftpage5546 Ай бұрын
Kweli. Broo. Nakubali. Kwa. Hilo
@OswardMandikilo
@OswardMandikilo Ай бұрын
Ivi ww unaesema sio Kwa mama,shukru kama umepata mama mwema, lakni wapo baadhi ya mama au ndugu ni shida tasilimu broo.
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 Ай бұрын
Nakubali bro.
@GlauryHaule
@GlauryHaule Ай бұрын
Nasema tena bro nimekuelewa sana daaaaaaa penda mno wewe yaaani naanza kukupenda sana waooooh tupate wapi mtu kama huyu mwenye Roho wa mungu
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
Jiunge nae mbon free tu unakosasa lak moja kwel ya kujiunga
@Paskalina-o6c
@Paskalina-o6c Ай бұрын
Ponti nzuri sana
@muasyairene7626
@muasyairene7626 Ай бұрын
Wah. Point noted🙏
@clemenceparokola
@clemenceparokola Ай бұрын
Sawa umeongea vizuri sana
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Ай бұрын
Yani kuvunja laana ni mgumu😢Mungu atusaidie 🙏
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 Ай бұрын
Kenge Wewe na matha ni chama kimoja cha kuzimu tunaelewa lazma umtete tupo na Beatrice mwaipaja
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 Ай бұрын
Mama yangu hatuko Sawa ila nikisikia chochote kumuhusu, najitoa sana, and I hope one day tutakuwa Sawa kwa kuvu za Mungu.
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Ай бұрын
Msaidieni hao
@sylvestermaungu3326
@sylvestermaungu3326 Ай бұрын
Mtafute Mungu ili uwe na Amani, Mama ni Muhimu
@stn4873
@stn4873 Ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE AISEEE, I CAN'T EVEN IMAGINE.
@bahati_tz
@bahati_tz Ай бұрын
Patana na mama yako
@vincej9275
@vincej9275 Ай бұрын
Jaribu kuweka mambo sawa na mama. I miss my mom. Rest in peace 🙏
@leonarddamian
@leonarddamian Ай бұрын
Kufanikiwa kwa mpumbavu kutamwangamiza
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Ай бұрын
Jama yupo sahihii, mwenye akili ata muelewa vzr sn...
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 Ай бұрын
Sana hata mm nimemuelewa vizuri mm mwenyewe yamenikuta hayo family zinazinguwa hata hawa mama zetu ndio kabisa wanazinguwa wakiwa na mambo ya hajabu
@PaulinaLunyonga
@PaulinaLunyonga Ай бұрын
​@@zaitunijuma8710exactly
@mairymairy7273
@mairymairy7273 Ай бұрын
Mm ndio changa moto ninayo pitia ndugu wako na shida mingi
@SxllxvioBLN
@SxllxvioBLN Ай бұрын
This man is straight…ruler babaaaaaa shieeeee mule mule.
@LaurenceAgustino-v9x
@LaurenceAgustino-v9x Ай бұрын
Acha uongo hata mama yako alie kukuza hadi umefika hapo tofautisha mama na rafiki unaonekana huna shukrani mama amekulea hadi hapo ushindwe kumsaidie umeongea pumba ongea lingune bora ukae kimya una roho mbaya.
@RoseFrank-g1q
@RoseFrank-g1q Ай бұрын
Mama tayaei umemjali kwa kimpa gari. Umeshamjali.
@AngelAfric
@AngelAfric Ай бұрын
We nae nyamaza tu 😏. Mama❓ hata aweje!
@amanyisyeoswald1613
@amanyisyeoswald1613 Ай бұрын
Wewe mwenyewe upo hivyo! Illuminate group! Ovyoo una muda mfupi wa kutrend
@UwinezaFrancine-nt4jw
@UwinezaFrancine-nt4jw Ай бұрын
Hakika ume ongea ukwelli ❤❤
@anselmoonolius
@anselmoonolius Ай бұрын
Huyu jamaa huaga fala sana, yan hua hafikirii ni kuropoka tu 🚮🚮🚮
@brysonmwakina
@brysonmwakina Ай бұрын
Kesho filisika ugonjeka uone kama hao rafiki wataonekana penda ndugu na familia
@bensonashery2360
@bensonashery2360 Ай бұрын
Ndio ushindwe kumsaidia mama yko mzazi
@SamsonMsafiri
@SamsonMsafiri Ай бұрын
Hili kweli pimbi. Unapinga vitubu vyamungu. Hujui wazazi nimungu wapili ama unajikuta wewe ndie mungu ety. Siku ikifa utajibu saivi. Waona kuongea rahisi 👍👍 .!😢
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 Ай бұрын
Dah jamaa anapotosha uyuu Yani unawezaje kutokumsaidia mamayako kwakosa lipi?Acha kupotosha watu jamaa
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh Ай бұрын
Mpaka mama kakangu,ata kama mzazi amekufanyia nini weeeeeeee👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉labda hizo pesa za mapepo ata kama tulizaliwa watulee, laa gani utateza mtaani na wazasi wanatezeka weka maiduguri kado lakini wazasi weeeeeeeee
@AmedeusMroso
@AmedeusMroso Ай бұрын
Unajuwa ela sio ya halali uwesi kuwasaidia wazazi wala ndungu yako kwanini mashariti ya ushirikina ila mwenye ela yalali awezi kumwacha ndungu kamwe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@NichodemusNsemwa
@NichodemusNsemwa Ай бұрын
Sasa mamaako ni ndugu😢
@vincej9275
@vincej9275 Ай бұрын
Sio sawa kutomsaidia mama yako mzazi aliekubeba tumboni mwake miezi tisa. Mimi kama baba wa watoto 4 nasema ni makosa. Forgive your mother if she wronged you.
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Mimi mama yangu nampenda sana atakama atakua na mapungufu.
@innocentnnko2292
@innocentnnko2292 Ай бұрын
Mnahoji mpuuzi wa namna hii mnategemea mpate maelezo ya maana, kuna kosa gan la kumfanya mama awe sio kitu kwako, kwa upande wng wazazi wng na ndugu tuliozaliwa pamoja hata kama kuna siku fulan walitaka kuniwekea sumu nife ila hawakufanikiwa siwez fikia huko kwa namna yoyote ile, so hakuna kosa la kukufanya eti uache kuwa msaada kwa wazazi, huyu jamaa ni kenge!
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Ай бұрын
HUYU NIMWANACHAMA MWENZAKE MARTHA SECRET SOCIETY HAWANA HURUMA HELA ZA LAANA HAZIFAI NDUGU ZANGU
@Nancy-z8h
@Nancy-z8h Ай бұрын
Nadhani chief kaongea vizuri tusipangiane maisha,mungu katupa masaa 24 wote ni wajibu wa kila mtu kupambania ndoto zake chakarika usichague kazi.
@mwasitibett1990
@mwasitibett1990 Ай бұрын
Kweli kabisa minachojuwa ata biblia amesema muhwshimu baba Na mama yako ili uishimiaka mingi Na heri duniani Sio msaidie mama yako Na baba yako Maisha kila MTU apambane Na Hali yake Uyo Martha angekuwa ahana kitu wasingeongea chochote sijui wazazi wakibongo wakoje wazungu hawapeani naata akimpa anamkopesha baba yake Na mamayake nalazima urudishe tuache mentality ZA kijinga
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Ай бұрын
Alafu ukute wakati huyo binti katembea na shemeji yake mama alimuunga mkono bado dada ana uchungu. Wmuache atarudi taratibu mambo ya ndg tunayajua
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i Ай бұрын
Fact
@AnthonyShirima-z6v
@AnthonyShirima-z6v Ай бұрын
Uko sahihi ndugu wakat mwengine wazazi hutumia vibaya nafasi zao kwa watoto wao ila naamini matha ametumia busara sana kunyamaza ​@@hellendaniel3809
@SalumKasala-lk1vv
@SalumKasala-lk1vv Ай бұрын
Kuna makahaba duniani kweli
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 Ай бұрын
Wachawi wamekutana utawapendaje ndugu zako wakati mnamipango ya kuwauwa😂😂😂😂😂
@JokhaAlrashidy-s7b
@JokhaAlrashidy-s7b Ай бұрын
Mama hakosei achana na ndugu wala huwezi kumlipa mzazi hata siku moja
@RoseBoke-p9n
@RoseBoke-p9n Ай бұрын
Beatrice alikua anashuhudia tu na wala hakuwa na malengo na makusudi mabaya Cha msingi hapa ni maombi kuombea familia hii na ukombozi
@SalumuKomba
@SalumuKomba Ай бұрын
Ndugu zetu wakristo hivi mzazi mnamchukuliaje...
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Nahisi hawajui nini maana ya mzazi
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Ай бұрын
Kuna riziki nyingine hazitoki kwa Mungu zinatoka kwa ibilisi. Neno la Mungu linasema "Asiyewajali wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiyeamini".
@MrNoah-gr7rq
@MrNoah-gr7rq Ай бұрын
True100
@OmegaGriffin-v4b
@OmegaGriffin-v4b Ай бұрын
Kikubwa nikumwomba Mungu akafungue Kila milango iliyofungwa KWA laaana ya aina yoyote ili,iwe kwenye ukooo,au sehemu yoyote Ile Wapendwa hatuwezi jua ni kitu Gani kimejificha KWA huyu dada yetu Martha Tena namuomba dada Martha atulie hivyohivyo kikubwa endelea kumuomba Mungu wako KWA haya yaliyojitokeza mitandaoni,
@MohamedSaidMojr
@MohamedSaidMojr Ай бұрын
Wewe naanza kuhisi kivhwani kuna matatizo,eti wazazi ndio wanatakiwa watulee ila sisi kuwalea wazazi tunafanya msaada hivi mpka umefika umri huo si wazazi walikulea kwanini na wao wanapokuwa watu wazima nguvu zimeisha huwalei eti kuwalea ni kufanya msaada tu kwao hivi unajuwa haki ya mtoto kwa wazazi wake??
@Sakwa01
@Sakwa01 Ай бұрын
Hiv huyu jamaa lakin zimo kweli au 😂😂😂 kichwa ki kubwa
@AllyKija
@AllyKija Ай бұрын
Wewe chief unaweza kumlipa mzazi wako ghalama alizokughalamia je unaweza ukawalipa matunzo waliyokupa ACHA ujinga
@Tedychriss-z1w
@Tedychriss-z1w Ай бұрын
nakubaliana na wee kabsa
@EmmaroseJoseph
@EmmaroseJoseph Ай бұрын
Muwe makini na huyu mtu eti anaweza kufungua kanisa nyakati za mwisho mtu mwenye kuamini mizimu😂😂😂😂😂😂
@TunsumeMwaijumba
@TunsumeMwaijumba Ай бұрын
Pamoja sana mwanangu godlav
@MauriceAbushinani
@MauriceAbushinani Ай бұрын
Mama siyo ndugu yako kama kaka yako ao dada Yako... Eshimu mama
@Shukrann-q2l
@Shukrann-q2l Ай бұрын
acha bangi mama nimama
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Ай бұрын
Pesa za majini izo watu wanapewa masharinti usisaidye wazazi huo ni ushetwani...hakuna Kam mma jmn Kam unapata pesa tuwatunze uyu mbwaa hajitambui
@FrankFredson-x6k
@FrankFredson-x6k Ай бұрын
Yalio ndani ya familia ya martha sisi atujui , beatrice ka feli
@mwasitibett1990
@mwasitibett1990 Ай бұрын
Big time Yani kwanza ule Sio ushuuda Yale nimalalamiko militegemea kuonaushuuda amemjuwa Mungu amuombee hatukukuwa na haja yakusikia matatizo Tena mbona ndiokama amempa shetani ushindi wakushangilia amewaweza Sasa maana uke niudhaifu
@abyolafadhili5734
@abyolafadhili5734 Ай бұрын
Hata kiwe na nini kwenye familia ila kama nikweli hatoi msaada kwa mama yake,Martha kwenye hili amefeli maana kwa mzazi wake kutokutoa mimba yake nakukubali kuilea inatosha kuwa nijambo kubwa sana
@AnnySamwel
@AnnySamwel Ай бұрын
Shida sio ndugu mama mzazi ndo iwe msaada shetwan ww
@MarthaKibassa
@MarthaKibassa Ай бұрын
Lazima umtete Martha kwasababu baba yenu ni mmoja!!
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 58 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
DUNIA (Ep 45)
22:51
ASMA FILMS
Рет қаралды 263 М.
BSS 2024 SE15 EP01 ARUSHA | FULL SHOW
1:01:15
BongoStarSearch
Рет қаралды 170 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.