BSS 2024 SE15 EP01 ARUSHA | FULL SHOW

  Рет қаралды 152,810

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Пікірлер: 296
@bovickpascal6554
@bovickpascal6554 14 күн бұрын
Sambusaaaaaa mkali ana vocal mnzuri
@askofu_muziki5992
@askofu_muziki5992 21 күн бұрын
Huyo jamaa wa sambusa mpeni chance ni mkali au s2 amsign
@enlightensmiles-p2z
@enlightensmiles-p2z 8 күн бұрын
Sana
@msellah1119
@msellah1119 18 сағат бұрын
Meena is getting better and better, loved the intro 💫
@fatmahrashidi1533
@fatmahrashidi1533 16 күн бұрын
Huyu dada jmn alianza kulia akashindwa 😭😭😭😭🙏mngemuita siku nyingine ajaribu maskin maana ATA hapa kuimba alikuwa analia bado
@Je_mappelle-bon_boy
@Je_mappelle-bon_boy 19 күн бұрын
Mzeee wasambusaaaaaaa😂😅😂
@omaradil527
@omaradil527 20 күн бұрын
Nimeliaaa Yule dada aliekuja na Baba akee Allah mjaliee ata asipo pita atoke mtuu mkubwa wakumshika mkono🤲
@AbTv-y1z
@AbTv-y1z 19 күн бұрын
11:18 huyu jamaa anajua kuimba but kaleta masiara na kipaji chake 🎉🎉😂😂😂
@furaharamazani8594
@furaharamazani8594 20 күн бұрын
Uh how I’ve missed this show you guys have made me laugh 😂
@victormkello9575
@victormkello9575 21 күн бұрын
😂😂😂 nimecheka huyo mwalimu wa sekondari, huko shule kuna kazi. Endeleeni kutudai ada tu, ila...
@ThekraJanga
@ThekraJanga 18 күн бұрын
Yanii
@CRENSENSIAHJACKSON
@CRENSENSIAHJACKSON 9 күн бұрын
Mwalim wa secondary😂😂ndoiv🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@jescarray8607
@jescarray8607 4 күн бұрын
😂😂😂 mwl amecatch
@Newsoundsworldwide
@Newsoundsworldwide 20 күн бұрын
Naenjoy sana kuangalia hii showw 💥💥
@ipyanaamos5105
@ipyanaamos5105 15 күн бұрын
S2kizzy "WE NDO BALTAZARI"!!!😂😂😂😂😂
@itzsnazzyjazzy472
@itzsnazzyjazzy472 21 күн бұрын
Finally we are here ❤
@babasandra638
@babasandra638 20 күн бұрын
Naomba mawasilliano ya bint wa tarakea
@archyofficial4924
@archyofficial4924 21 күн бұрын
You have no idea how long I've waited
@iryn-pb
@iryn-pb 21 күн бұрын
The same here😂
@peterpaul3726
@peterpaul3726 21 күн бұрын
The same😂
@MwesigaBetson
@MwesigaBetson 14 күн бұрын
Dah dada huyu alikuwa Yuko emotional sema angepewa nafasi nyingine.
@DorlinKalinga
@DorlinKalinga 14 күн бұрын
Huyu wa Tarakea sure wamemkosea 😢😢😢
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 20 күн бұрын
Naomba mawasiliano ya bint wa tarakea please 🙏🙏🙏🙏
@SabanaSipemba-v8j
@SabanaSipemba-v8j 16 күн бұрын
😂😂😂😂 dah
@glorydonath3526
@glorydonath3526 16 күн бұрын
Nataka pia
@bahatiwaeldoret9241
@bahatiwaeldoret9241 20 күн бұрын
Mimi ni mkenya na story ya shakila imeniguza❤❤❤❤❤apewe nafasi
@VORTEXAF
@VORTEXAF 20 күн бұрын
Bibi muokota Maplastik mpelekeni akaimbie watoto wa nasari
@DanvasMogaka-u2g
@DanvasMogaka-u2g 21 сағат бұрын
Na si mtembelee kenya sehemu za pwani mombasani kuna vipaji vingi sana
@GiftAbduly
@GiftAbduly 8 күн бұрын
Madam Rita ni mtu mwenye moyo wake daaah ubarikiwe
@barnabawilliams586
@barnabawilliams586 20 күн бұрын
Mmekosea huyo mrembo wa tarakea coz mmetowa kwenye mood ya kuimba
@danyboytz255
@danyboytz255 18 күн бұрын
Kabsa jmn adi nililia mungua amjalie kila hitaji ya moyo wake😢
@alichanzi8095
@alichanzi8095 15 күн бұрын
12:34 this guy atafika mbali🫡🔥
@SeigFoston
@SeigFoston 15 күн бұрын
Kama tuko bongo my n***a ❤
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 19 күн бұрын
😂😂😂😂Arusha kuna viumbe tofauti sana hahaha yaani eti nimemuona Mungu ni yatima hana wazazi
@KhadijaTandallah
@KhadijaTandallah 18 күн бұрын
😂😂😂😂
@SabanaSipemba-v8j
@SabanaSipemba-v8j 16 күн бұрын
😅😅😅😅 we jamaa
@williammapunda8182
@williammapunda8182 20 күн бұрын
Amna ki2 Bss sijui wanataka wasanii gan
@AyoubharoubjumaAyoubharoubjuma
@AyoubharoubjumaAyoubharoubjuma 2 күн бұрын
Hii so bongotenaster such ni Africa such🎉
@LisaDequte
@LisaDequte 21 күн бұрын
Zuchu shogaang niko nawewe mpaka kieleweke😂😂😂
@IreneWilliam-r3r
@IreneWilliam-r3r 19 күн бұрын
Unafki oyeee😂😂😂😂😂😂
@ereutelymhongole5095
@ereutelymhongole5095 20 күн бұрын
Nimemkubali wa sambusa
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 17 күн бұрын
Mungu tusamehe kweli wew una wazazi
@Fred-d4w3y
@Fred-d4w3y Күн бұрын
Afu huyo mtangazi Mungu anamwona😂😂😂😂😂😂😂
@RoselleAria-t3s
@RoselleAria-t3s 20 күн бұрын
"Arnold mwanangu mashairi yako hayashirikiani"😂😂😂😂
@IreneWilliam-r3r
@IreneWilliam-r3r 19 күн бұрын
😂😂😂😂mamy you honey you, coz for nyanshi😂😂🙌
@maximilliangaudence3351
@maximilliangaudence3351 16 күн бұрын
Mlimtoa kwenye reli mpeni chance
@lusekelo97
@lusekelo97 18 күн бұрын
Huyoo Victoria mngenipa namba ake tufanye kazi uku
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 21 күн бұрын
wee Amina Ali uko nyuma umeweka nin mbona shepu kma naliona🙁
@tricenathan
@tricenathan 13 күн бұрын
Huyu ndo mwalimu alinifundisha ndo maana sijui ngeli😂😂😂😂😂
@Merlina-do6oo
@Merlina-do6oo 13 күн бұрын
😂😂😂😂
@bnztechnologies2676
@bnztechnologies2676 21 күн бұрын
mngechuka dada mmoja jamaniiii sio poaaa
@MargahWillson
@MargahWillson 20 күн бұрын
Uyu emannuel mbosso akimsikia atamtia fimbooooo🤣🤣🤣
@Merlina-do6oo
@Merlina-do6oo 13 күн бұрын
😂😂😂😂kwakwelii
@HalimaFimbo-l3j
@HalimaFimbo-l3j 20 күн бұрын
Napenda sana salama
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 14 күн бұрын
Eti, endelea kufanya kazi startimes😂😂😂😂😂😂😂 haujafanya poa😂. Zuchu nae yoooo!😂
@cosrevynewchord2022
@cosrevynewchord2022 20 күн бұрын
😂😂😂 ila Arusha haise nyie ni nyokooo,mnajuaga kunifurahisha haiseee
@DavidChristopherVeronica
@DavidChristopherVeronica 13 күн бұрын
Peana dada WA tarakea hajui but mpeni dili masela
@gideon_machira
@gideon_machira 21 күн бұрын
huyo wa Tarakea hamkumfanyia poa kabisa si haki,,mnamwambia aje aimbe akiwa emotional hivyo,,what did you expect??she deserves a second chance
@LisaDequte
@LisaDequte 21 күн бұрын
Kweli kabisa hata mimi nimewaza hilo walisha mtoa kwenye lengo 😢
@LisaDequte
@LisaDequte 21 күн бұрын
Kweli kabisa hata mimi nimewaza hilo walisha mtoa kwenye lengo 😢
@gideon_machira
@gideon_machira 21 күн бұрын
@@Yana_queen1 kuna tofauti ya kuhojiwa na kusema
@NailaMickey
@NailaMickey 21 күн бұрын
Kuna wakina harmo si walianzia huko wakaambiwa hawajui kuomba leo wako wapo kwahiyo apambane kwa njia nyingine kama bss haijamtoa atotoka kwengine inshallah ​@@Yana_queen1
@marthaigogo18
@marthaigogo18 20 күн бұрын
Big time kaaumia sana
@rinybebe1495
@rinybebe1495 18 күн бұрын
Bint wa tarakea kam hujapata pakulala naomba nikusaidie jmn mweny mawasilian yak😢
@lilianlucas3893
@lilianlucas3893 21 күн бұрын
dad's daughter make me cry the way he support her child
@angelKaaya-o6m
@angelKaaya-o6m 20 күн бұрын
Yani kama unataka kuchekesha njoo staasach vinginevyo usitegemee kutoboa kwa salama🤣🤣🤣
@Paplick9
@Paplick9 19 күн бұрын
Sio staasach ni star search
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 16 күн бұрын
Aliyetoka FB kuja kuangalia Cc clip ya dada Shakira inaumaa sanaaa Weka like yako hapaaa
@NiyokwizeraLairat
@NiyokwizeraLairat 20 күн бұрын
Huo Dada wa tarakea ameniliza kiukwel😭😭
@casablancastudioarusha775
@casablancastudioarusha775 14 күн бұрын
Majaji mko vizuri sana couz mziki ni melody ukiwezea tu hapo basi umeweza ... #Bss15Nimoto.
@Yusufu940
@Yusufu940 3 күн бұрын
Mada Ritha swahili kumulizia dada do emotional ata kuimba alipoteza confidence
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 10 күн бұрын
Huyu jamaa wa sambusa ni muhitimu wa chuo kikuu cha makumira amesoma education hajapata ajira msaidieni japo apate shule ya kufundisha
@kipetamichael8894
@kipetamichael8894 21 күн бұрын
Aya ndo mambo sasa🎉🎉🎉
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 21 күн бұрын
Joman😂😂😂😂najua😂😂😂
@emmanuelbukuku1
@emmanuelbukuku1 11 күн бұрын
shoutout kwa wazazi wote wanao support watoto wao 💙
@deogratiuspaul3663
@deogratiuspaul3663 16 күн бұрын
Baltazariii😂😂😂😂katshaaa na kinguo cha kulalia
@lumo9999
@lumo9999 17 күн бұрын
Wa tarekea mmemoa aimbe wakati yuko emotional sio poaaaa kabisaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 21 күн бұрын
Huyu Binti mmemtia stress amekupa emotional ..then mnamwambia aimbe
@LisaDequte
@LisaDequte 21 күн бұрын
Mi mwenyewe sijapenda
@badmanno.1650
@badmanno.1650 21 күн бұрын
Hajui kuimba tuweke huruma kando.
@nzurisanatv2285
@nzurisanatv2285 16 күн бұрын
@@badmanno.1650angekua normal tonge mjaj
@zenaibrahim2373
@zenaibrahim2373 15 күн бұрын
😂😂😂huyo wa ubweche embu asinitie mimi dhambini
@BahatiVurunya
@BahatiVurunya 8 күн бұрын
S2KIZZY Hakuna kitu hapo
@realmanmanb2380
@realmanmanb2380 21 күн бұрын
Guys next time don’t makes wait that long bana kama ss watu diaspora we can even pay to watch it if want
@dataamosi270
@dataamosi270 8 күн бұрын
who is hear in 2024?🙋‍♂️
@jakyjacqueline9198
@jakyjacqueline9198 21 күн бұрын
jah federe fireeeeee 💥💥💥
@carolinekenerd9557
@carolinekenerd9557 12 күн бұрын
Marahabba marahabba Habibi Ameuuuuaaaaa
@honolatusrwelamila3823
@honolatusrwelamila3823 18 күн бұрын
12:35 I like this guy he just need a little more confidence and opening up his voice 🎉
@alichanzi8095
@alichanzi8095 15 күн бұрын
Sure bro.
@nancyg8664
@nancyg8664 21 күн бұрын
ila mina jmn asa kwenye back stage nyuma kabisa ndo aje😂😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 19 күн бұрын
He not go anywhere 😂😂😂
@Sàlim_Møhd3
@Sàlim_Møhd3 4 күн бұрын
Mim nimepita tayr naend dar
@DanvasMogaka-u2g
@DanvasMogaka-u2g 20 сағат бұрын
Give the lady another chance plz
@Vkkashr_CREATER
@Vkkashr_CREATER 21 күн бұрын
Thx guys 🎉❤
@mirajigamaha8100
@mirajigamaha8100 18 күн бұрын
😂😂😂 wadudu wa chuga ni noma
@dadychaps7527
@dadychaps7527 21 күн бұрын
Kubwa sanaaaa🥂🥂🥂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯🫶💞💞💞
@IsayaDevotha
@IsayaDevotha 6 күн бұрын
Hahahaha zachu kachekesha sanaaa an
@mo-jj8im
@mo-jj8im 21 күн бұрын
Rita kama mtu yupo rehab hiyo sio vizuri kumuexpose kwenye shoo yako
@Paplick9
@Paplick9 19 күн бұрын
Arusha talent zimejaa san big up
@alichanzi8095
@alichanzi8095 15 күн бұрын
42:07 jamaa anajua 🔥
@carolinekenerd9557
@carolinekenerd9557 12 күн бұрын
Ameuaaaaaa
@SadaHemedi-f5r
@SadaHemedi-f5r 6 күн бұрын
Kwa hiyo hao wapenzi walikaa na kuambizana kama wanajuwa kuimba 😂😂😂😂😂😂
@nyerere1259
@nyerere1259 19 күн бұрын
WANAOFELI BSS WANATOBOAGA SANA.
@FilemonAkonay
@FilemonAkonay 21 күн бұрын
Always I like all
@harerimanajack
@harerimanajack 21 күн бұрын
Nice🎉
@KKfi-y2n
@KKfi-y2n 21 күн бұрын
Watuu kumekuchaa uku
@KidsSongsTV-s9w
@KidsSongsTV-s9w 20 күн бұрын
1:03:01 This guy, future professor Jay
@OnkobaOnchera
@OnkobaOnchera 17 күн бұрын
Mkenya hapa😂....hii ni comedy
@masaimojaone8028
@masaimojaone8028 10 күн бұрын
Nimeumia sana mchofanyia huyudada mmempa uchungu kisha ndo akaimba hajui kuimba mnatakaga nn nyie ss tuna wa support ili muwa support acheni hizo
@josephgebra
@josephgebra 6 күн бұрын
Eti melelani A2kizy kiswahili haukijui
@MelaniaGeorge-d4d
@MelaniaGeorge-d4d 11 күн бұрын
Producer wa kipind mwisho anazingua Washind awake saut
@floraandrew8625
@floraandrew8625 16 күн бұрын
S2kizzy ajaendana na vibe 😢 katika watu mlileta akacomb vizuri na majudge ni ommy dimpoz tu
@Mina.15
@Mina.15 15 күн бұрын
Kweli 💯👌🏾
@FELISTERGASPAR-z9q
@FELISTERGASPAR-z9q 21 күн бұрын
First to view
@alichanzi8095
@alichanzi8095 15 күн бұрын
52:02 jamaa Ana kitu🔥
@enlightensmiles-p2z
@enlightensmiles-p2z 7 күн бұрын
Anajua
@demask3423
@demask3423 19 күн бұрын
Maureen... (I will made it). Kweli?!
@IreneWilliam-r3r
@IreneWilliam-r3r 19 күн бұрын
😂😂😂
@Az__2012
@Az__2012 21 күн бұрын
Editor wenu sijui anavuta bangi,,, mwisho baada aweke tuskie sauti za majaji tujue nani kashinda,, kaweka kibeat cha kisenge.
@IreneWilliam-r3r
@IreneWilliam-r3r 19 күн бұрын
😂😂jmn
@ericagwacha3809
@ericagwacha3809 21 күн бұрын
Zombi hajui kujudge. Be real.
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 20 күн бұрын
Zombi mwenyewe kumbe huyo.
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 күн бұрын
Jameni huyu Kaka mwenye anatamani afike tu Da es Salaam hajawahi kufika nahitaji Namba yake ya simu jameni
@nzurisanatv2285
@nzurisanatv2285 16 күн бұрын
Uyu editor anabidi afukuzwe kazi kabisa
@MenTPL
@MenTPL 18 күн бұрын
36:02 Balthazar 😂😂😂
@GodwiseUgula
@GodwiseUgula 12 күн бұрын
Jaman anae juu dodoma ni lin naomba anijuze
@DanvasMogaka-u2g
@DanvasMogaka-u2g 21 сағат бұрын
Uyo dada mngempa nafasi siku ingine
@osmoboymusic254
@osmoboymusic254 21 күн бұрын
Na kenya tunaweza kuja .
@RojaMwinyi
@RojaMwinyi 17 күн бұрын
Tumewafata hukohuko
@RojaMwinyi
@RojaMwinyi 17 күн бұрын
Tumewafata hukohuko
@RojaMwinyi
@RojaMwinyi 17 күн бұрын
Tumewafata hukohuko
@osmoboymusic254
@osmoboymusic254 17 күн бұрын
Ok
@HubertVitalis-ou9sz
@HubertVitalis-ou9sz 9 күн бұрын
Mwanangu wa ubwabwa ametisha😂😂
@DonPyMdee
@DonPyMdee 20 күн бұрын
Emmanuel 😂😂😂ana shida
@zenaibrahim2373
@zenaibrahim2373 15 күн бұрын
Ila watanzania sisi tutafika mbiguni tumechoka😅😅😅😅😅
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA PROMO | BEYOND BORDERS, SI MCHEZOOOOO
1:09
BongoStarSearch
Рет қаралды 51 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 274 М.
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
BSS 2024 SE15 EP01 EXTRA ARUSHA | FULL SHOW
27:58
BongoStarSearch
Рет қаралды 15 М.
So Fast Like Shinning. | Prophet Shalom Silas| Bongo Star Search.  2024
1:15
Prophet Shalom Silas
Рет қаралды 19 М.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 01 ARUSHA
1:03:40
BongoStarSearch
Рет қаралды 235 М.
BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW
1:36:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 143 М.
Полыхание №2
18:58
Metal Family Xydownik
Рет қаралды 908 М.
«Бақыттың кілті» телехикаясы І 19-бөлім
52:55
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 492 М.
Мен анамды іздеймін, 28 жылдық құпия / Мені туған кім? / KOREMIZ
48:00
«KOREMIZ» ток-шоуы / Көреміз
Рет қаралды 346 М.