Nimehamia uislam sina miaka mingi ,ila huyu bwana kanifanya nifuatilie story vizur ya jinsi uchawi ulivyoingia ,huyu shehe anadanganya sana ,😢😢😢, ukisoma hata Quran al baqara 102 , inakataza kabisa ushirikina ,tena inasema UKIJIFUNZA UCHAWI TU NI UMEKUFURU, haijalishi unautumiaje uo uchawi ,kwa uzur au kwa ubaya , QURAN IMEWEKA WAZI KABISA UKIJIFUNZA UCHAWI NI UMEKUFURU , io anayoongeza yeye ya uutumie kwa uzur au kwa ubaya ni ya kwake , maaana kote kote ,utumie kwa uzur au kwa ubaya ,bado ni lazima utumie majini ,ambayo Mungu kakataza ,anataka atagemewe yeye tu na sio majini ,kwa io shehe anapotosha uislam Njia alizoruhusu Mungu kutatua changamoto zetu ni 1. Kusoma dua 2. Kusoma sura za Quran Lakin ukitumia uchawi ,UMEKUFURU
@AshirakaAlly22 сағат бұрын
Uchawi ni uchafu
@frankmugomba348419 сағат бұрын
Haaaaaa Tulia brother Dawa ikuingie ukishaaa kaaa vizuri Hakiri itakufanya kugamua lililojema kwako. Me nimeshukuru sana Sheeee kuwa wazi ili tufunguke Macho safi Shee tupe Ukweli Tujue Dini Yetu ilivyo Bora mhhhhh
@Useri-bn6ye19 сағат бұрын
Alhamdulillah ww ni muelewa
@Useri-bn6ye19 сағат бұрын
@@frankmugomba3484 Kasome acha uvivu
@chullymastertv57787 сағат бұрын
Huyu sheh hajui dini au anajua ila anafanya anachojua yeye tofauti na maamrisho ya allah?
@omaar56935 сағат бұрын
yani ustadh haoni kisisi❤
@Useri-bn6ye18 сағат бұрын
Watu km hawa wafungiwe kuongea mana wanachanganya watu wasio na elimu tu na kuwapotesha
@Fear_Allah3943 сағат бұрын
Allah hamfichi mnafik. Hio Quran unavyoisoma km unaendesha garı bovu.
@NoorynMody3 сағат бұрын
Uhuru ukizidi sna mwisho unakua fujo hyu co sheikh hyu mshilikina 😢
@Fear_Allah3943 сағат бұрын
Waisilam na ndio mana Allah akatuamrisha tusome. Kusoma ni fardhi/lazma. Ukisoma watu km hawa hawaezi kukupotosha. Allah atuepushe na shari za washirikina, amiin
@jumakikingo121011 сағат бұрын
shekhe kulunge mchawi ni mpya sana mbele ya allah
@AbuuAhmad-o1b3 сағат бұрын
Malaika hawamuasi Allaah mche Allaah ww
@Blessedboi80195 сағат бұрын
Muulize kuhusu chuma ulete
@HabibuUrasa3 сағат бұрын
Hakuna uchawi mzuri uchawi ni haramu ,mtume kasema ,tujiepushe na madhambi. 7 yenye kuangamiza ,uchawi ni miongoni mwa hayo
@HabibuUrasa3 сағат бұрын
Uchawi ni dhambi yenye kuangamiza na mchawi hukumu yake ni kuuwawa
@YohanaMsekefu20 сағат бұрын
Huo ndo uislam halisi mengine ni maigizo tu hakika uislam ni ukafiri asilimia 💯
@Useri-bn6ye19 сағат бұрын
Weee bdo hujaujua uislam
@Fear_Allah3943 сағат бұрын
Huo ni ushirikina uliowazi ambao hauna tofauti na ukafiri.
@Useri-bn6ye18 сағат бұрын
Hakuna thawabu ykufanya uchawi
@kelvin_Songea202319 сағат бұрын
Proud to be kujeni msikie wanao ijua dini wanazungumza huku sio kubisha tu na hamnja soma
@Useri-bn6ye19 сағат бұрын
Alokwambia kuahuyu kasoma nani Uislam kila ktu kinataka utoe ushahidi sio uongee tu km stories za bibi yako
@Useri-bn6ye18 сағат бұрын
Ayo madheb ya imamu shafi tupe dalili nani kasema km unaweza tumia njia ya uchawi na ukapata thawawbu
@HashimSuleiman-do3euКүн бұрын
Megine ndiyo Megine siyo, shetani naye ni mwalimu ana aye fundiSha uchawi.
@TheAlman22 сағат бұрын
Kwani hiimijitu ya hovyo kunawatu inawaamini kweli? Huyu sio shekhe huyu ni shetani kama mashetani wengine
@frankmugomba348419 сағат бұрын
Mhhhhh Bwana Huyu ni Sheeee tens Mkweli Kabisa sio Mnafiki real Sheeee.
@Useri-bn6ye19 сағат бұрын
@@frankmugomba3484we unaonekana una chuki na uislam sana
@Haarun-h4qКүн бұрын
Tumeelimika sana.
@RamadhaniShembilu-l1e21 сағат бұрын
Wewe nishee wamchongo,huna unacho jua kwenye dini, unapotosha watu mjinga wewe. Alla kuleta uchawi kama mtihani kweli lakini,mtume kakataza kabisa kunifundisha elimu ya uchawi, kur,Aniyenyewe hujui kusoma ebu acha ujanjaujanja kwenye dini.na usimsingizie imamu Shafi acha uongo. wewe kama watangaza dawazako tangazatu, LAKINI USINASIBISHE NA DINI ,MCHAWI MKUBWA WEWE.
@SaleheKikumba19 сағат бұрын
Duuuuuuh ina maana hauja elewa chochote kweli bx wewe ndo hujui😂 chochote
@Useri-bn6ye18 сағат бұрын
@@SaleheKikumba we unajua nini kuhusu dini
@SaleheKikumba16 сағат бұрын
@Useri-bn6ye sijui chochote
@AwamuAmry-jq9fq20 сағат бұрын
Acha uongo wewe
@RamadhaniShembilu-l1e21 сағат бұрын
Acha uongo wewe ,acha kupotosha watu uchawi niharamu na hakuna uchawi mzuri na m baya. Mbona nyie waganga mnapenda kuropokwa bila elimu nyie? Wewe na kina yusufu diwani ,na kina dokta sule niwalewale