Mchungaji hauko sawa kwa sababu Injili lazima iwafikie watu wote. Wewe mwenyewe mbona Umenyoa Denge Tungerudi kwenye Maandiko wewe mwenyewe Una Makosa Vilevile Wakubari Wakubari iyo sio kazi yetu ni kazi ya Mungu tu,.... Wachungaji wengi leo wanafanikiwa kukusanya waumini Kanisani tu na si Kuokoa Roho zao, wanapenda kuwa na waumini wengi kuliko kuwapeleka Watu kwa Yesu. Unasema tusufungiwe nira na watu wasioamini ni sawa Lkn Goodluck pale Hajafungiwa Nira, kama Angefungiwa nira Angeimba Bongo freva, asingeruhusiwa Kusema Bwana Yesu Asifiwe, Kumbukumbu yangu inaniambia kila Mwenye Pumzi Amsifu Bwana, sio kila mlokole, sio kila asiyekuwa na Dhambi, acheni Kuhukumu Walevi na wazinzi Wapeni Habari njema za Ufalme wa Mungu,... 🔥 Wapo wengi mbingu hawataiona kwa kujiona ni miungu watu,.... Songa mbele Goodluck Neema ya Bwana Yesu Kristo ikufunike katika wote hao hata Mmoja akipokea neema ya Mungu, Mungu atakupatia thawabu. 🔥 ETI TUSUFUNGIWE NIRA NA WASIO AMINI INA MAANA INJILI NI KWA WALOKOLE TU,... SIO SAWA NENDA GOODLUCK SONGA MBELE, NA WEWE MCHUNGAJI KABLA YA KUMUHUKUMU TAFUTA NAFASI UFANYE INJILI MBELE ZA WENYE DHAMBI HATA 500 TU AU ANDAA TAMASHA KAMA ILO ITA WAIMBAJI WA GOSPEL TANZANIA NZIMA FANYA GOSPEL NI AIBU KABISA TUNAZIDIWA NA WATU WA MATAIFA NA WATUMISHI TUPO TU HONGERA SANA Goodluck Gozbert. Yesu Kristo ni Bwana
@keziahnyanjui16125 жыл бұрын
Yo've said it right brother... Bless your heart..
@emmanueljohn75 жыл бұрын
@@keziahnyanjui1612 amen
@khadijahangida54215 жыл бұрын
Uko sawa
@sharifumagomba905 жыл бұрын
Aliokowa wangapi naviuno alivyokua anakata? ??pastor ukosawa kabisa
@christina_john774 жыл бұрын
emmanuel john umeona hawa wanajifajificha maovu yao mno
@siwaleshadrick413 ай бұрын
Amina, ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Na hii ndio injili ya kweli, watachukia lkn, ujumbe umefika na ww umenawa.
@melody_mike_mavoice2 жыл бұрын
Thank God you your so perfect ....
@Gindi-v7g5 күн бұрын
God bless you mtumishi,uliongea ukweli kabisa,Leo hii tungalijua tunajuta😢lakini Mungu yupo.
@mosesmwafwenga41335 жыл бұрын
Goodluck yupo sahihi kabisa wala sio mdundishaji kama unavosema nyinyi ndo mnakwamisha waimbaji wetu wetu goodluck songa mbele bwana
@mathewdyzymaleyafrica91283 жыл бұрын
sasa kwenye fiesta sindio kuna wanaokwenda kinyume akienda kuimba mambo ya mungu kule sindio kwenyewe
@rabecamapunda638919 сағат бұрын
Pata ubatizo sahihi, ubatizo ULIOTUMIKA KWENYE BIBLIA uko hapa. Matendo 2:37:38. Matendo 8:14-17. Matendo 10:47-48. Matendo 19:1-7 Hakuna mtu kwenye Biblia aliyewahi kubatizwa kwa jina la Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Neno linasema TUBUNI MKABATIZWE KILA MMOJA KWA JINA LAKE YESU KRISTO, MPATE ONDOLEO LA DHAMBI ZENU, NANYI MTAPOKEA KIPAWA CHA ROHO MTAKATIFU. Kama umebatizwa kwa jina la Baba Mwana na Roho Mtakatifu, rudia ubatizo wa kweli , kuna wenzako warudia kubatizwa Matendo 19:1-7
@jonaswingodmushi26085 жыл бұрын
Brother umemaliza yani. Be blessed indeed. Wenye kukuelewa watakuelewa tu ndg yangu.
@dotopeter15095 жыл бұрын
ⓚⓐⓜⓐ ⓤⓝⓐⓜⓚⓤⓑⓐⓡⓘ ⓜⓔⓢⓗⓐⓒⓚ ⓛⓘⓚⓔ ⓗⓐⓟⓐ
@RhodaKibona-w9j3 ай бұрын
Yesu anarudi, majibu yatapatikana!!!!
@keziahnyanjui16125 жыл бұрын
GoodLuck said something the other day that is really mind blowing... "However the calling of God is working in his life only him n God knows"... jamani our job is to love n God does the judging...
@christina_john774 жыл бұрын
Keziah Nyanjui Ndio kweli hawa wachungaji nao wanazingua tu
@mathewdyzymaleyafrica91283 жыл бұрын
toka hapa
@gibsonkagoma34915 жыл бұрын
Baba nimekuelewa sana umejibu vema
@ainekishagodwin18773 ай бұрын
Jamani sio kila anayeimba nyimbo za din kwamba katoka Kwa Mungu mkipenda kufatilia watu mbingu mtaikosa sababu wengine ni mawakala wa shetan
@adelinaaudax25725 жыл бұрын
Ubarikiwe bishop
@motowainjili-15 жыл бұрын
salute sana mtumishi meshack
@monicatankini59585 жыл бұрын
Sawa,msemaji wa mbinguni,ila g hajakosea chochote coz bibilia inasema nendenjiapanda mkahubiri neno aaminie na kuokoka atabatizwa ,xso we mwenyewe unahukumu we nani ,kwendaaaaaa g piga kazi tena wafate ukouko utalipwa na mungu na sio wanadamu ,hata ukizunguka hadi mbinguni kikubwa imani upo.
@monicatankini59585 жыл бұрын
@Greyson Mdee ulitaka,akawaubilie waliopo kanisani ambao teali wanamjua yesu ,we mjinga mwenzangu.
@gideonbutalaye29215 жыл бұрын
nafikili alivyo eleza Mchungaji inaeleweha kama unabish nawewe katubu
Kwani injili inapelekwa kwa watu wa namna gani maana nashindwa kuelewa
@zuhurashaaban48155 жыл бұрын
Msikilize mungu kaka g nakupenda ila angalia ucjitenge namungu
@basilisamsaka84693 ай бұрын
Mi siungi mkono kwa kuwa madhabahu zilizo andaa hio fiesta ,huyu mwimbaji akatubu,nakumbuka alienda kwa nambii wauongo. akaumanishwa kuptia zawadi
@mckingmojojo3635 жыл бұрын
Umenena kweli Mchungaji Meshack Salum
@mtishibgwicha80845 жыл бұрын
barikiwa mchungaji
@davidedward72815 жыл бұрын
Isaya aliambiwa apeleke ujumbe akiwa uchi ,it depend but injili iende mbele ustaalabu baadae
@clarencemitega62705 жыл бұрын
Nyakati za mwisho,tuwe macho wana wa MUNGU!
@dotopeter15095 жыл бұрын
Nakubari
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Haha hiyo ebo namkumbuka bibi yetu alikuwa anaipendaga uwo usemi
@andreamchome95415 жыл бұрын
Kwanini hukuona vema kumuita mkiwa wawili tu ukamuelekeza.
@melody_mike_mavoice2 жыл бұрын
All i could read from this guy he is so judging ...but why are most of ministers this way
@queenmwasanguti23704 жыл бұрын
Wote watubu. Neno hawana NENO KIBIAHARA. TUMUOMBE MUNGU, WA MUNGU TUNAWAJUA NA WA IBIRISI
@boasmbwaga51145 жыл бұрын
kiukwel amezingua
@mwimbajinamwalimujaphetgeo17185 жыл бұрын
Tatizo nyie waimbaji mliotangulia hamja ungana na kuanzisha matamasha makubwa ya kidini. Hivyo wachungaji, mitume, maaskofu, na Wainjirist anzisheni matamasha km hayo, ili watu wasiende huko duniani.
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ni kwel mwimbaj na mwalimu japhet ilitakiwa na wao wawe na Fiesta Yao japo kaongea maneno ya maana, nimemuelewa sana
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Hila kwenda kuchezea, clabu hailusiwi kwa mwimbaj Wa dini japo wanasema yesu alishuka uko
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Na ndo mana mwenyew ameogopa tena kuwaandikia nyimbo wana bongo fleva alisema watu walikuwa wanaongea sana. Nimeshangaa kusikia moyo mashine ya Ben Pol kumbe aliandika yeye na nyimbo ya Baraka da prise anajuwa kutunga
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Hila good nyimbo zake tunazipenda sana watu wanaguswa nazo sana. Kama rose muhando Enzi izo nyimbo zake Paka, Waislam walikuwa wanazipenda baba anampenda jenifa anasema nyimbo zake NZUR zimetulia rose za fujo nikamwambia mbona naye anazo ambazo zimetulia ngoja siku nitamuwekea mwenyew atazipenda yani baba ulisema jenifa anakuja kanisan yupo lazi aende akamuone
@Martindavid-g5x3 ай бұрын
Wanamaskio ila hawasikii ukwel ukisemwa unachukiwa
We uwezo wako wa kifikra mdogo xana ungekua na akili timamu ucingeongea hayo
@andreamchome95415 жыл бұрын
U swear?
@alexleganga88505 жыл бұрын
kwa kweli gud ni muhuni tu hayupo ki mungu kabisaaa
@wilbertseme54555 жыл бұрын
Pastor umeongea ukweli mtupu huyu asijitetee anatafuta umaarufu huko na na njaa hizi baba MCH ndio zinawapeleka na kuanza kujiulinda KWA maandiko ambayo hata hayaingii hapo
@lilianjosephat91515 жыл бұрын
ujumbe.ni.mzuri.una.nguvu .mungu
@sylvanemmanuely83335 жыл бұрын
@@wilbertseme5455 Nyie hamjui lolote kwan, Yesu aliwabagua watu nyie mna chuki zenu tuu..!!
@johniwangombe30095 жыл бұрын
Muchungaji unawivusana wewe mbonshujsongeles wengine nyamazabasi imbanyimbozako achakufatilia zawengine
@meshakikigumbi44595 жыл бұрын
ASANTE SANA WAJINA MUNGU HAKUTUNE.
@yudadaniel48675 жыл бұрын
acha ujinga ww
@gideonbutalaye29215 жыл бұрын
Yeyote anaebisha na huu ujumbe nayeye pia atubu maaana unatetea uovu,