CHIKU WA KOMBOLELA NA MALKIA MWEUSI WAKUTANA LIVE HUWEZI AMINI KILICHOTOKEA

  Рет қаралды 56,602

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Malkia mweusi unajua kuvaa uhusika sana, congratulations, mmependeza
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Nilitamani sana hawa watu😀😀😀jamani 😍😍😍
@nadanasser1020
@nadanasser1020 2 жыл бұрын
Woow Allah awafanyie wepesi muzidi kupendana daima dawama
@omarathman2229
@omarathman2229 2 жыл бұрын
Mash Allah chiku Umependeza kweliii❤❤❤❤
@rukiaomar3369
@rukiaomar3369 2 жыл бұрын
MASHALLAH MALIKIA MWEUSI NA CHIKU NAWAKUBALI MALKIA MWEUSI HONGERA KWA MOYO WA UBINADAM
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mashallah mungu azidi kuwapa umoja maishani mweni
@marthajohn9120
@marthajohn9120 2 жыл бұрын
Nawapenda sana chiku na malikia mweusi mashaallah
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 жыл бұрын
chiku kama gea habibu wamefanana
@angelinahassani3097
@angelinahassani3097 2 жыл бұрын
Kwel malikia mweusi unaweza dada nawapenda Sana 💞 malkia mweusi na dada chiku
@ashunebebi9518
@ashunebebi9518 2 жыл бұрын
Masha Allah, Allah awape mahaba daima
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Mimi nakupenda sana dada madina sauti yako
@lightnessseifu5983
@lightnessseifu5983 2 жыл бұрын
Malikia mweusi jaman utaniua Mimi ww🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@fatumaalisaid9816
@fatumaalisaid9816 2 жыл бұрын
Niliwasubiri kwa mda mrefu ili nijue hatma yenu ikoje,,,,masha Allah
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 2 жыл бұрын
Mashalla utafikili sio wale huwa wananyarianaa
@فاطمهمحمد-ن5ظ
@فاطمهمحمد-ن5ظ 2 жыл бұрын
Na kweli malikia mweusi noma yuko vizur kila kipande ukimpa namuona kwenye mwanamuziki
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuongoze 🥰🌹🌹
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Nyote nawapenda sana maana
@mtumwaali9438
@mtumwaali9438 2 жыл бұрын
Hongereni sana chiku na malkia mweni yani apo mumepebdeza kinoma
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Wowooo nawapenda sanaa dd zangu mungu awabariki❤️❤️❤️🙏🙏🤝
@mwanaishamkindi7763
@mwanaishamkindi7763 2 жыл бұрын
Kabisa Malkia mweus unajua kuuvaa Uhalisia nakumbuka kipind Cha igizo la ITVulikia unauvaaa uhusikaaa htr
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Chiku mpole ❤️❤️❤️
@nadanasser1020
@nadanasser1020 2 жыл бұрын
Mashaa allah nawapendaa saana woow
@lulually7807
@lulually7807 2 жыл бұрын
Wamependeza Sana jmn kombolela hoyeee
@elizabethjohn7413
@elizabethjohn7413 2 жыл бұрын
Kiukweli hadi huwa nakuchukia. Ila nawapendaa😘😘😘😘
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 жыл бұрын
Sawasawa
@halimaomar8087
@halimaomar8087 2 жыл бұрын
Mungu awape maisha mazur daima nawapenda pia
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Mashaallah MOLA Awajalie Salama Inshaallah
@florachogo243
@florachogo243 2 жыл бұрын
Nawapenda
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
MashaAllah nawapenda
@augastayohana3841
@augastayohana3841 2 жыл бұрын
Nawapenda sana
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Usijali utapata dada habiba ila punguza wivu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Mashalaah 😍😍😍😍😍mbarikiwe
@akimanamariam4451
@akimanamariam4451 2 жыл бұрын
Manshaallah nawapenda sana🥰🥰🥰
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
Mashallah mumependeza
@mamyukuru9081
@mamyukuru9081 2 жыл бұрын
🤣🤣 MashaAllah nawapenda ❤️❤️❤️
@husnajafari8945
@husnajafari8945 2 жыл бұрын
Cholage nakukubar 😂💪🔥chuki kipenzi wa biikikala🥰👌
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani mungu atakuwafu ishaaalah
@mtumwaali9438
@mtumwaali9438 2 жыл бұрын
Ila kwenye kombo lela malkia wovu wamsokota kwa chiku
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Habiba cholage...sema wana sema mtu poa sana kihualisia
@sirimtetu14
@sirimtetu14 2 жыл бұрын
Mashaalh mungu awalinde muwe ivyoivyo mpendane
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Nawapendraaaaaaa
@seifjuma7318
@seifjuma7318 2 жыл бұрын
Alhamdulillah Alhamdulillah
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 2 жыл бұрын
Malikia mweusi na Chiku 🥰🥰🥰🥰
@mwakaathumani4793
@mwakaathumani4793 2 жыл бұрын
Mashsallah muko vzr nyote
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 2 жыл бұрын
Nawapenda sana kombolela
@florachogo243
@florachogo243 2 жыл бұрын
Oyooyooo mko vizuri
@annalameck189
@annalameck189 2 жыл бұрын
Mh kumbe ni matafiki
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 жыл бұрын
Malkia mweusi kweli anavaa husika anavyojishebeduaga Mimi mbavu sina
@abdulmruke2246
@abdulmruke2246 2 жыл бұрын
Halafu usiombe awe anaimba anavyojitikisa sasa😁😁😁
@angelberthakatundu9475
@angelberthakatundu9475 2 жыл бұрын
Yaani ana mbwembwe😂
@magrethmathias236
@magrethmathias236 2 жыл бұрын
Jamani mi nawapenda nyinyi basi tu
@queenandchill91
@queenandchill91 2 жыл бұрын
Nawapenda❤❤❤❤
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 жыл бұрын
Nawapenda 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@janethjoseph150
@janethjoseph150 2 жыл бұрын
Nawapenda nyote
@pendohillrey9324
@pendohillrey9324 2 жыл бұрын
N kweli kuhusu Pepsi na tumbo n nzur mm nilikua sijui niliumwa na tumbo uku nje ya nchi nyanya wa kiarabu akinitibu na Pepsi
@mwanalelee6
@mwanalelee6 2 жыл бұрын
Kakutibuje???
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Maua tego ni kweli achalewi kujasirika ni uwalisia wake ata mtaani ni mtu anajisikia ata dada yake zaina tego awaelewani
@bernardzuhura4187
@bernardzuhura4187 2 жыл бұрын
🤣🤣🤭
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 жыл бұрын
Ajiangalie magonjwa mengi
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
HONGERENI SANA
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 2 жыл бұрын
Hahahaha malkia mweusi unaweza sana mwee ila kuchukia kazi jaman
@dorselasto3892
@dorselasto3892 2 жыл бұрын
Kwakwel cholage nakupenda ila kuna MTU kwetu tumempa jina lako kwasababu mnaenda mambo yenu
@alitunu3086
@alitunu3086 2 жыл бұрын
Wow😘😘😘
@faudhiaamerii6692
@faudhiaamerii6692 2 жыл бұрын
Jomn
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 Leo mmenipunguzia chuki kwaa malkia mweus kidogo ila a mwache chiku bwana aimbe aaeche mambo ya hiriz kubanana koo
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Sipendi mm mtu aniite huyu dada siumuite jina lake ghaaa
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 жыл бұрын
Umeitwa wewe kwan
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 жыл бұрын
@@franklinassey6600 🤣🤣🤣🤣
@salomeandrew4148
@salomeandrew4148 2 жыл бұрын
@@franklinassey6600 😆😆😆
@kautharhumudsalum6114
@kautharhumudsalum6114 2 жыл бұрын
❤❤❤❤
@veronicakipingu682
@veronicakipingu682 2 жыл бұрын
Wamevaa uhusika Hadi wanaboa 🤣🤣
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Masikini
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 2 жыл бұрын
Wamejicheka kwanza hahaha 🤣🤣🤣🤣
@salama1113
@salama1113 2 жыл бұрын
Hata kwenye karma
@angelraphael4500
@angelraphael4500 2 жыл бұрын
Kwahyo hii kombolela wote ni waislamu??
@khadizatan6835
@khadizatan6835 2 жыл бұрын
Tukae na mashavu sio waislamu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Akida sy muislam hamadi bibie wapo wengi tuu
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz 2 жыл бұрын
Kwani vibaya
@naimasuleiman1073
@naimasuleiman1073 2 жыл бұрын
Sio Waislamu wote
KOMBOLELA S01 EP05 of 02
10:49
MAJA LINK TV
Рет қаралды 77 М.
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 85 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 28 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН