TAIFA | FULL MOVIE

  Рет қаралды 15,888

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 6 ай бұрын
Halafu taifa hataki maziara kwenye part zake😂😂.kwakweli ako vizuri sana hadi siishiwi kutazama .chukua maua yako kaka taifa ❤❤❤❤❤ mungu akuzidishishie
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 6 ай бұрын
😢😢😢😢mama hajatakiwa kufa alitakiwa aendelee kuwa hai ili amtie Taifa moyo
@aishathaishath4056
@aishathaishath4056 6 ай бұрын
Imeisha vibaya sana hii yafaa iwe na part 2 ili tujue mwisho wa taifa utakua vipi, atafanikiwa au la, na pia kuna ile part ya babake mzazi taifa pia ilikuwa yafaa taifa aje awe na mafanikio mbeleni hadi babake arudi kuomba msamaha kwa taifa, kiufupi hapa mwafaa tu muiendeleze.
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 6 ай бұрын
Kabisaa mbwela kachemsha yatikiwa iwe na sehemu ya pili
@nurusaid4698
@nurusaid4698 6 ай бұрын
Umeona Kumbe Na Sikuzote Mtenda Mabaya Mwisho Uwa Ni Aibu Eti Imeisha 2 Kizembe😂😂😂😂
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 6 ай бұрын
@@nurusaid4698 haki tena yatakiwa iwe na sehemu yapili ndio kitaelewaka ila hii katuacha na deilema bwela tujijazie wenyewe
@حليمه-خ3ح
@حليمه-خ3ح 6 ай бұрын
Jamani ukweli tu mm napenda movie za Mbwela bro Big Up❤
@Jamal411115
@Jamal411115 6 ай бұрын
Nimewahi wa kwanza nipeni like zangu kwa king mbwela
@Nikione11tv
@Nikione11tv 6 ай бұрын
wa kwanza mim like zangu
@Zeldaommy
@Zeldaommy 6 ай бұрын
Hii movie 🎥 ni nzuri inasisimuwa ajabu😢😢🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@faridaali2820
@faridaali2820 Ай бұрын
Mashallah ❤❤ hii move inafunzo zuri sana hongereni❤🎉🎉
@KhadijaKabunda
@KhadijaKabunda 6 ай бұрын
Muendelezo Naomba uje nimeipenda
@bonnytv9263
@bonnytv9263 6 ай бұрын
Move in inaisha kienyej
@مريم-ق7ج9ن
@مريم-ق7ج9ن 6 ай бұрын
Wajua kaka🎉, nakupenda buree❤
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 6 ай бұрын
Hii movie imejua kuniliza juu ya taifa tunaomba part 2 ili tjue htma ya taifa jmn😢😢😢
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 6 ай бұрын
Bwela mbavu zangu 😂😂😂😂jamani chenzea mbio. Ww😂😂😂😂
@NoelaKk
@NoelaKk 6 ай бұрын
wa Kwanzaa minuets. awesome Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 6 ай бұрын
😢😢mnyonge hana haki
@FidelisNzuki-w5c
@FidelisNzuki-w5c 6 ай бұрын
Next mbwela
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 6 ай бұрын
Next part kaka bwela plz🥰
@DoreenJumanne
@DoreenJumanne 6 ай бұрын
Tunaomba part 2 movie nzuri haiwez kuisha hivyo please 🥺🥺🥺🥺🥺
@esperancechristina3980
@esperancechristina3980 6 ай бұрын
From Sweden mjikaze mlete party 2 please tunaomba
@EddySalum-q8e
@EddySalum-q8e 6 ай бұрын
Yap
@Jamal411115
@Jamal411115 6 ай бұрын
Mbwela umeshindikanwa ❤❤
@lazokmusictopic4855
@lazokmusictopic4855 6 ай бұрын
Mbwela respect bro, ila tunaomba part2 please
@kinananyuni9732
@kinananyuni9732 6 ай бұрын
Taifa yuwaliza pole kka ndivyo dunià😢😢
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 6 ай бұрын
Kweli haya mambo yako hadi sasa.eeh kwa kweli dunia ya sasa kama huna hele ww ni bure kabisa😂😂😂.tujifunze kupitia hii movie na pia tutumie akili na marifa kwakila jambo kabla ya kutenda.pongezi wausika kwa kazi yenu nzuri .hata mm nimejifunza❤
@salmambarak859
@salmambarak859 6 ай бұрын
congratulations 🎉🎉 ila tuletee part 2 yk
@مريم-ق7ج9ن
@مريم-ق7ج9ن 6 ай бұрын
Story nzur, lete muendelezo bro
@tiemahajimuindi8017
@tiemahajimuindi8017 6 ай бұрын
Good production, keep it up
@zainabamir8653
@zainabamir8653 6 ай бұрын
𝕋𝕦𝕟𝕒𝕥𝕒𝕜𝕒 𝕞𝕦𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕖𝕫𝕠 𝕡𝕝𝕫
@benjaminegurth6788
@benjaminegurth6788 6 ай бұрын
Dunia watu😭😭😭
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 6 ай бұрын
Bwela uko vizuri kwa kweli,ila sauti unazengua mtu wng
@Oredi_Mkucha
@Oredi_Mkucha 6 ай бұрын
Hiyi kitu ahikupaswa kuishia apa akika brother Mbwela maana Tahifa ange paswa kutobow tu hivyo Basi number 2 ni ya muimu sana
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 6 ай бұрын
We Mbwela malizia hyo ya msichana kipofu bna acha kutuangusha bna
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 6 ай бұрын
Mbona imeisha vibaya sasa vipi kuna part 2 au
@SaumuRuwa-t3h
@SaumuRuwa-t3h 6 ай бұрын
Mbn imeisha ivo,apana hapa mmedanganya haez Isha ivo tunataka kuona taifa mbeleni atakua vip
@faridaali2820
@faridaali2820 Ай бұрын
Mwendelezo jameni
@RooneyGestionnaire
@RooneyGestionnaire 2 күн бұрын
Mbwela unacho kifanya kwa sasa, please 🙏🙏 kimegusa sana😢😢😢😢
@aishathaishath4056
@aishathaishath4056 6 ай бұрын
Na kuhusu huyo msichana alie sema ametongozwa, pia yafaa tujue ilikuaje kuaje hadi afikie kusema hivyo, mumetuchanganya kwa kweli.
@veronicapeter1063
@veronicapeter1063 6 ай бұрын
Tunaomba muendelezo ili kujua hatma ya TAIFA
@meresianaunami8337
@meresianaunami8337 6 ай бұрын
Heeee ndo mwisho hivyo🙄🤔 mmh
@tanzanianhappy60
@tanzanianhappy60 6 ай бұрын
Mbwela.hiyo.sauti.ya.kinanda kinaboa.sanaa
@Joseph-ngei
@Joseph-ngei 6 ай бұрын
Mimi sitaki like 😂
@MakutuShivo
@MakutuShivo 5 ай бұрын
Mov nzuri ila imeisha vibaya
@purityneema-gh6jc
@purityneema-gh6jc 6 ай бұрын
Inafaa kuendelea
@ummialey6391
@ummialey6391 6 ай бұрын
Chezo baya bwela umebugi
@MariamMariam-h8h
@MariamMariam-h8h 6 ай бұрын
Ngekua ni mm taifa nigesimama hapo Darasani nkampiga Mtu kichwa hapa hakanieshimu wote🤣
@nurusaid4698
@nurusaid4698 6 ай бұрын
Ssa Inaishaje Bila Kujuwa Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu
@WivineSekembwe
@WivineSekembwe 5 ай бұрын
Tunasubiri sehemu yapili
@mwajumasaid7306
@mwajumasaid7306 6 ай бұрын
mmezingua move ilitakiwa iwe na muendelezo hii sasa hapa tunajifunza nn?
@fortunegerishom1827
@fortunegerishom1827 4 ай бұрын
WAPI SEHEMU YA PILI
@KhamisAli-fj3rz
@KhamisAli-fj3rz 6 ай бұрын
mbwela tunakumba hii mov iwe na pat two il taif apat mfazil aendelee kusom half afanikiwe half wote walomfanyia ubay wamuonee wiv plz iyendeelee
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 6 ай бұрын
nafanyia kazi ushauri wako
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salvatakiseo3359
@salvatakiseo3359 6 ай бұрын
@mbwela muendelezo 😢
@Uwezokudura-rz8eg
@Uwezokudura-rz8eg 6 ай бұрын
Ndio nini ety mwisho mwisho kvp nyie mnaona ni mwisho Wakat Hajajurkana hatma yake Taifa ni nin Sema nini2 mmezungua fanye mpango mtuletee sehemu ya pili
@tonydaniel4348
@tonydaniel4348 Ай бұрын
Hii haina part 2
@RebekaBivumbo-cc1cg
@RebekaBivumbo-cc1cg 5 ай бұрын
mbona inaisha vibaya guys Direct umefanya nini
@zainabamir8653
@zainabamir8653 6 ай бұрын
𝕊𝕒𝕤𝕒 𝕚𝕥𝕒𝕚𝕤𝕙𝕒𝕛𝕖 𝕙𝕧𝕪𝕠 𝕛𝕒𝕞𝕒𝕟
@WallesMbwambo
@WallesMbwambo 4 ай бұрын
Imeisha kifara sana😢
MAMAYANGU KICHAA FULL MOVIE
2:41:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 2,1 МЛН
MTOTO KAUTAKA | FULL MOVIE 1
2:10:35
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 53 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
ALCOHOL | FULL MOVIE
2:39:31
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 14 М.
CHIKONDA | FULL MOVIE
1:11:47
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 26 М.
WAGENI WA KIJIJI | Full Movie, A |
1:53:54
CHIBU TV
Рет қаралды 54 М.
NYETI FULL MOVIE
1:01:16
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 44 М.
MARRIAGE LIFE❤ [FULL MOVIE]
1:50:59
KIPARA BRAND
Рет қаралды 29 М.
SIRI YA MAMA | FULL MOVIE
1:39:21
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 12 М.
DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.
1:10:32
CHIBU TV
Рет қаралды 68 М.
KILELENI | Full Movie
1:15:49
Adam Leo Studios
Рет қаралды 177 М.
MTUMWA (FULL MOVIE)
1:34:49
ELIZA MIDEKO
Рет қаралды 54 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН