Watanzania Kunielewa Ni Wachache Sana, Mimi Watofauti Richard Hananja

  Рет қаралды 135,475

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2021

Пікірлер: 128
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 жыл бұрын
Ni kweli huyu Mchungaji niliwahi kupanda naye daladala. Tulipofika maeneo ya Ubungo Riverside, mateja yalijaa dirashani na kumshangilia akawagawia elfu mojamoja huku akiwafurahia.
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kupitia maneno ya uyu pasta
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 2 жыл бұрын
Yesu ana kutumia vyema mtumishi,
@meddydoubledi1675
@meddydoubledi1675 2 жыл бұрын
Watu walio ona mengi, hunena Kwa Hekima Congratulations to you Mch..Hananja
@kilianngaga2109
@kilianngaga2109 3 жыл бұрын
Baba yangu Mchungaji Hananja, Mungu akutunze tu, Hakika umekuwa Baraka sana katika Maisha yetu.....
@mjunimpemuluke7440
@mjunimpemuluke7440 Жыл бұрын
Nakupenda San mchungaji hananja nakukubali San kwa maneno yako
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 3 жыл бұрын
Tangu nilivyoona ile clip nilivutiwa sana na mahubiri yake. Mungu azidi kumtunza. Kastaafu na bado kanisa linatamani kumuona madhabauni 👏👏👏👏👏
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 2 жыл бұрын
Mbegu ya Mungu haifi, haipotei.
@samwelelisha8044
@samwelelisha8044 3 жыл бұрын
Ananibariki sana, Mchungaji ana sifa zote za kuwa mwalimu...❤️
@garozeditingskill6764
@garozeditingskill6764 2 жыл бұрын
Mungu akutunze mchungaji upo vizuri.
@neatnesskaffana8852
@neatnesskaffana8852 3 жыл бұрын
Asante baba huwa nakukubali sana kwa moyo wako wa kujitoa hasa kwa waliokataliwa na jamii Kama mateja
@eliayunga7766
@eliayunga7766 3 жыл бұрын
Kila siku sitaacha kusema juu ya chomoza TV mnafanya kazi nzuri Mungu aendelee kuwatumia apendavyo katika huduma
@newalengela7777
@newalengela7777 3 жыл бұрын
Mchungaji yupo vizuri, kuna huduma kubwa sana mbele yako.. Mungu akubariki zaidi na zaidi.
@theophildamfuruki6859
@theophildamfuruki6859 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Hananja kwa mahubili yako hakika unanibariki sana
@adelajunior5266
@adelajunior5266 Жыл бұрын
Nakupenda Sana tena sana
@rabielkinabo9589
@rabielkinabo9589 3 жыл бұрын
Mimi binfsi nakubali Sana anajua jinnsi ya kuishi na jamii BigUp baba mchungaji
@upendombise5537
@upendombise5537 3 жыл бұрын
Nakukubali saàaaan pastor upo vzr saaana Mungu azidi kukutumia zaid na Zaid dady🙏🙏🙏
@sekelakatitu9419
@sekelakatitu9419 2 жыл бұрын
Asanteee mchungaji
@godfreyndyanabo6016
@godfreyndyanabo6016 3 жыл бұрын
Kwakweli kipndi kilikuwa kizuri sana Nimejifunza mengi sana
@jacksonjovan4238
@jacksonjovan4238 3 жыл бұрын
Mtumishi unafaa sana kwa kizazi hiki tulichonacho endelea kuwajenga vijana naamini mchango wako kwa kanisa ni mkubwa sana Barikiwa sana baba
@happymushi2219
@happymushi2219 3 жыл бұрын
Jimmy nimecheka sn--- huyu baba hatakiwi kustaafuu Ni hazina kujenga future ya vijana
@johnnnko5814
@johnnnko5814 3 жыл бұрын
Barkiwa Mchungaji. Tunakiwa kukuelewa Baba. Nimecheka mnoo
@lindamutasa5752
@lindamutasa5752 3 жыл бұрын
Nice interview muendelezo pls
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mpakwa mafuta wa bwana
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 2 жыл бұрын
Mch. Hananja UBARIKIWE sana kwa mafundisho yako ya neno la Mungu. Asiyekuelewa kweli kuna mtizamo na tafsiri yake ya mtizamo
@asajilemwamundela1220
@asajilemwamundela1220 3 жыл бұрын
Duu mzee fundi sana
@barnabazawadi5686
@barnabazawadi5686 3 жыл бұрын
Huyu mzee ana maneno wewe!! Nimempenda bure....part 2 tafadhali
@yolandaliyoya1839
@yolandaliyoya1839 3 жыл бұрын
😅😅🙏🙏👏👏 Amina ,,Mungu akubariki sana
@venancezumba202
@venancezumba202 2 жыл бұрын
Yuko vizuri pastor
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
NAMPENDA HUYU BABA GOD BLESS POSTAR
@dianafabian308
@dianafabian308 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji
@alphashila6957
@alphashila6957 3 жыл бұрын
My teacher, Pastor great of all you are a good friend..it is a gift to know,to see kile Mungu alichokupa..si ajabu wasiokuelewa.Mungu ni mwenye kutunza utukufu wake na hujifunua kwa yule ampendaye so hata kumuelewa Hananja na mpk Mungu akuchague..Barikiwa sanaaaa Mchungaj..Umestaafu kuta za dini lkn kazi yake YESU ndo kwaanza unaianza,hujastaafu..piga kazi!!!! 'THAMANI YA MTU HAIPUNGUZWI NA DHAMBI AU UDHAIFU WAKE'👏👏
@wilsonmkumbo7199
@wilsonmkumbo7199 2 жыл бұрын
Amina,mch upo sahihiiiiiii
@wilsonmkumbo7199
@wilsonmkumbo7199 2 жыл бұрын
Mbona mch umestafu mapema Sana? Umri unakuruhusu.
@seebs1156
@seebs1156 3 жыл бұрын
Jaman nimejifunza mengi barikiwa
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Nampenda huyu mch yupo vzr sna
@joelwambura6703
@joelwambura6703 3 жыл бұрын
Na happyness tutaitaje ndg mtumishi
@johnmasubo3699
@johnmasubo3699 2 жыл бұрын
Nakupata sana mchungaji napenda mafundixho yako
@goodluckmlay1803
@goodluckmlay1803 2 жыл бұрын
Nikakukubali Sana baba Mchungaji,,, janneover Mosha mwimbaji wa nyimbo za injili,, barikiwa BABA YANGU MPENDWA
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 3 жыл бұрын
Big up sana Mchungaji
@josiakatende7683
@josiakatende7683 3 жыл бұрын
Nakukubalii saaaana mtumishi!!
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 3 жыл бұрын
Asante Baba!!!
@delishbby8542
@delishbby8542 3 жыл бұрын
Nimemkubali sana mchungaji na masomo yake
@nganzanyamiamba5616
@nganzanyamiamba5616 2 жыл бұрын
Huyu ni mwalimu wa mambo na ni mtu flan simple
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Unaeleweka sana. Kwa waelevu tu
@gaspermadumla5800
@gaspermadumla5800 2 жыл бұрын
Mimi ni Mch. Naomba namba ya Richard Hananja please nataka nimwalike ktk seminar
@jDianGloryMinistry
@jDianGloryMinistry 3 жыл бұрын
Barachichi zimeanguka 😂🤣🥰🤣😂😂🤣
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 3 жыл бұрын
Nimecheka mno. Mchungaji unamaneno. Nimependa.
@vunu_dunia3190
@vunu_dunia3190 3 жыл бұрын
Naomba Mawasiliano ya huyu muhubiri!
@gracemacha9357
@gracemacha9357 3 жыл бұрын
🙏🙏🎤
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
Zaburi 69: 6 Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli. *TUKAE KATIKA HALI YA KUMNGOJA BWANA!! AIBU, FEDHEHA NA UOVU WOTE UONDOKANE NASI SASA!! TUMWONE MUNGU KWA USHINDI WA KISHINDO!! KWAKE YEYE NI HESHIMA, UTUKUFU, ENZI, NGUVU, UWEZA NA MAMLAKA, HALELUYA!!!*
@ejfilm2118
@ejfilm2118 3 жыл бұрын
Mchungaji wa wa kibangu Hananja nimepata pia fulsa ya kusoma na mwanao Oti Kisarawe seminary
@davidedwards2319
@davidedwards2319 3 жыл бұрын
😂😂🤣🤣 Nakukubali sana
@juliusndiyaine2569
@juliusndiyaine2569 3 жыл бұрын
Daaa mchungaji amenifunja mbavu kwa kweli.. Mchungaji tunakuelewa sana na misamiati
@rwebo4955
@rwebo4955 3 жыл бұрын
"Uzoefu ni elimu" - Salute
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Mi ni muslamu,ila huyu mzee bwana hua namsikiliza anafurahisha sanaa
@josephkavindi3666
@josephkavindi3666 3 жыл бұрын
Athumani kayaya power chuma R.I.P😭😭😭
@williammbasila2573
@williammbasila2573 3 жыл бұрын
Safii sana Mchungaji.
@gospelthusiast
@gospelthusiast 3 жыл бұрын
Dah uyo pastor sichoki kumsikiliza hahaha😂😂😂😂😂
@andreasdismas
@andreasdismas 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kila mtu anamtazamo wake kwa kila anacho kiona au kusikia Mzee wangu Daaah kupenda bureeee
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 3 жыл бұрын
Mchungaji unauaaa nimecheka mno kuhusu mtizamooo
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 3 жыл бұрын
Hapo ndipo ilipo imani na subira ya watakatifu
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Maparachichi yameanguka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sanaa wallah
@jameskileo2825
@jameskileo2825 2 жыл бұрын
Ame
@hellenrichard187
@hellenrichard187 3 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki mchungaji huyu
@gracedonald8794
@gracedonald8794 3 жыл бұрын
Jamani leteni mwendelezo
@samwelelisha8044
@samwelelisha8044 3 жыл бұрын
Jamani hakuna clip nyingine za haya mahojiano... Imekuwa too short
@OmbeniJacksoni
@OmbeniJacksoni 11 ай бұрын
Hananj
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Watu kutokunielewa sio shida,wakati mwengine hara we mwenyewe hujielewi
@hamismabula5813
@hamismabula5813 3 жыл бұрын
Thamani ya mtu haishuki, nimeipenda hiyo!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Hana Tofauti na Mchungaji Marehemu Mitimingi kwa semina ,Mke anahitaji kusikilizwa wanaume hawajui hilo kwa kweli
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 жыл бұрын
Leteni part 2, alipoishia....tafsiri ya utoto utumwa, ujana maswali, uzee......
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 жыл бұрын
Baharia huyuuuu.... ila all is well and I like em
@noelswai4913
@noelswai4913 3 жыл бұрын
Huo wimbo mwisho wa video ni wa nani?
@sadockalfred1710
@sadockalfred1710 3 жыл бұрын
Aise dah hii ikali duuh
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Hahaha huyu pastor raha sana
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 жыл бұрын
Afadhali niwe paka sauz afrika kuliko kuwa mtu tanzania. Kauli ya enzi hizo.
@annaaminaamani6249
@annaaminaamani6249 2 жыл бұрын
Yuko poa sana
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Mtangazaji acha kiswahili kibovu Maisha ✅ mahisha ❌
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
VIPINDI VITATU VYA WANANDOA Maaba Mapenzi Kuleana/ kutunzana Pamoja nina magari napenda kupanda daladala au bajaji au pikipiki... Thamani ya mwanadamu haifananishwi na shilingi
@makaveliomari3582
@makaveliomari3582 3 жыл бұрын
Anko jimmy please naomba nikutanishe baba huyu wa imani
@shosemoshi9650
@shosemoshi9650 2 жыл бұрын
Mchungaj huyu aliniokoa Kwa mahubir yke Mungu endelea kumlind
@maimunafundi3544
@maimunafundi3544 2 жыл бұрын
Kweli Duniani ni mapambano
@hubertmroso1664
@hubertmroso1664 2 жыл бұрын
Kutokueleweka sio sifa ya kujivunia.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Malizia clip hio mwamba
@jacquelinemnanka6757
@jacquelinemnanka6757 3 жыл бұрын
Jimmy malizia bado tunatamani kumsikiliza
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 жыл бұрын
Mbona hamjamalizia maongezi yenu aisee?
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 жыл бұрын
Hahahahahaa nimecheka sana
@celline3148
@celline3148 3 жыл бұрын
Uncle Jimmy huyu Mchungaji inibidi umrete tena jamani.
@charlesminja1358
@charlesminja1358 2 жыл бұрын
CHARLES MINJA MIMI KWA MTAZAMO WANGU MCHUNGAJI ANAKIPAWA CHA PEKEE
@rumb5876
@rumb5876 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 cheka kanisani, usicheke kama Fiati
@gospelthusiast
@gospelthusiast 3 жыл бұрын
Ninacheka balaa😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Poa sana
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Marii
@Alex_Anania
@Alex_Anania 3 жыл бұрын
Huyo Ni msikule....dah hatariiiii sana
@pascalsamson4721
@pascalsamson4721 3 жыл бұрын
Duuuu
@geofreymodestmushema9371
@geofreymodestmushema9371 3 жыл бұрын
Mchungaji nimekuelewa hata kama kutokukuelewa hakukusumbui.Natamani kupata mahojiano yake yote
@longinuskomba9887
@longinuskomba9887 2 жыл бұрын
Wewe unahoji hakuna kitu yaani unahoji kama special sn case
@carolsere15
@carolsere15 3 жыл бұрын
Hivi "mahisha" ndio nn mtangazaji
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Umenikosha Mchungaji
@mecksonmgeyekwa6987
@mecksonmgeyekwa6987 3 жыл бұрын
Kaongea pointi sana thamani ya mtu haishushwi kwa dhambi
@uwesurajabu8051
@uwesurajabu8051 2 жыл бұрын
Yuko na akili za kutosha,ndio maisha yanavyotaka
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Rosee, mwite josii hahhahaa
MCH. HANANJI | "DIAMOND, SHOLO MWAMBA NI WATOTO WETU"
37:38
Victory tv
Рет қаралды 192 М.
MCHUNGAJI HANANJA; USIINGIE KWENYE MAHUSIANO NA MTU MUONGO ATAKUANGAMIZA
28:15
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 16 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 90 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 10 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН