Ukisikia International artist huwa anamsapot international artist mwenzake big up 🦁 umedhihirisha ukubwa wako leo kwa wanaokuchukia
@SifaEmma3 ай бұрын
Lichaa Komasava kurogwa na Mzee Popo Harmonize... Nyota ya Diamond Platnumz ni zaidi ya uchawi 🙏💯🔥🇹🇿🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
@ramadhanihot19456 ай бұрын
Daimond platinum Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 Tanzania 🇹🇿
@JoseJoaquimDomingos-g2r6 ай бұрын
Agostinho😊 2:05
@ramadhanihot19456 ай бұрын
DAIMOND PLATINUM ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BurundiMedia6 ай бұрын
Diamond sasa ameingia kweli kweli kimataifa kiu yangu nilikuaga nikisubiri kumuona breezy ana post kazi yake sasa yametimia
@rehemamwasa96576 ай бұрын
Hii iwafikie wakenya mana wabishi kweli😂😂😂😂
@JoseJoaquimDomingos-g2r6 ай бұрын
Diamond❤ 1:45 1:48
@GENISKIDY46 ай бұрын
Still on the top 🔥🔥Simba😾
@ramadhanihot19456 ай бұрын
HAMONARZ yeye challenge zake anafanya Mr pimbi na mwijaku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yhasintakalenyula9706 ай бұрын
😂😂😂
@cleverboy24276 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Clarice566 ай бұрын
What's wrong with that then everyone have their rights time y'all be acting like stupid
@Tanafa-j9q6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwann mwaija vspimbi#wcb fans Leo n mwendo wakutamba2
@ernestchaulema2266 ай бұрын
Huyu msenge kashashindikana hatumtaki Tena Tz🔥🔥🔥🔥 WE ZOMBEEEEEEE
@jamilaathumani54816 ай бұрын
Daimond apo awachukue na hao madansa wa miso misondo awashilikishe kwenye iyo komansava rimix na Cris brown
@EdwinJohn-vo8uf6 ай бұрын
Diamond platnamz never disappoint my brother 🔥🔥🔥🔥🔥
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Daah kabisa i❤diamond jmn na huo wimbo kama na mm nilikuweko daah hakika atafuka hata aendako
@divahfanky93586 ай бұрын
Top 3 Mtu asiguse comment yangu😅😅 Comasavaa ❤️🔥❤️🔥 🔥
@salimalaquimane30776 ай бұрын
Huna stahil kka❤
@ThomasEmmanuel-lm3uh6 ай бұрын
Lamasimba Lamasimba Dangote🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign6 ай бұрын
Courage le 2eme dépuis le Congo 🇨🇩 précisément à Kinshasa nipe like zangu
@titoamani-e8b6 ай бұрын
uchawi wa Harmonize umeisha nguvu...Mzee Popo😂😂😂
@benjo_brighter6 ай бұрын
Huyu jamaa anacheza kama wimbo wake 😂❤
@AsimweBuberwa6 ай бұрын
😂😂😂namimi nilitaka kushangaa
@yusternyirenda72316 ай бұрын
Na amejua kucheza vizuri haswa
@ramayonline22816 ай бұрын
Anajua anacheza ngoma ya msanii mkubwa Duniani kutokea 🇹🇿
@fadhilimholo47226 ай бұрын
we zombieeeee ..I wana show love all de way from Newyork city❤
@blackemoji8416 ай бұрын
Mondi is an international artist🔥🙌
@diclopar46876 ай бұрын
Diamond 🎉🎉🎉noma
@petergodfrey86586 ай бұрын
Bro endelea kupeperusha bendera yetu ya Tz🎶🎶🎶🎶🎶
@WaziriRamadhan-ML6 ай бұрын
Nyie endeleeni tu kubisha juu ya ukubwa wa diamond na ye atazid kuwanyoosha tu😂😂😂
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Kabisa waache 2u hao😂🎉🎉
@ZainabuSingano6 ай бұрын
Mamb ❤❤❤
@georgejohny64226 ай бұрын
Ni fire sana 🔥🔥🔥🙏
@Jay_Humble-h8f6 ай бұрын
Mond maua yako.hayo 💐💐
@MapendoMselle6 ай бұрын
Ongera Sana simba daimondi
@DelickPesambili6 ай бұрын
here we goooooooo 🙏🏿🙏🏿
@SunPower-po1qf6 ай бұрын
Smart move diamond
@Isbjunior16 ай бұрын
Wakwaza konga like
@TajiriHalisi-ez1tf6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@innobenzol41196 ай бұрын
Simba platnumz🔥🔥
@unjuusalvatory53316 ай бұрын
Ngoma ni kali ila Sea Breezy ye hu vibe na Ngoma zote za Piano,
@RamadhanShaban-f3w6 ай бұрын
Na bado hawajasema comasava
@devisfrank66376 ай бұрын
🇹🇿➡️🌎🦁
@paizinhosaide-cv9pm6 ай бұрын
Komassava👑👑👑👑
@AndasonMartine-vz2bq6 ай бұрын
Simba ni mmoja tu hapa Bongo😂
@radiusmgambwa70626 ай бұрын
Diamond fans tujuane apa😂
@AnnahMontanah6 ай бұрын
🤣🤣🤣Missamisondo alitumia mwenz mmoja tu kujulikana dunian kote na ndo msanii wakwanza kupostiwa na uyo chris sa uyo#Lipondopondo katumia miaka 14 adi Chris akamjua kama kumbe Tanzania kuna msanii anaitwa lipondopondo🤣🤣 misondo🤙🙏👏👏
@ShukruMakoko6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@blackmadson6 ай бұрын
Panthe La Leo🦁🇹🇿 to 🇯🇲
@samwelryakwama19976 ай бұрын
Hili ni jitu kweli kweli
@Calebtz6 ай бұрын
❤❤
@AlenEzekiel6 ай бұрын
🦁🔥🇹🇿
@franktangeki93426 ай бұрын
nasikia diamond kawalipa wasanii toka marekani ili wapromoti nyimbo yake KOMASAVA kwa njia ya challenge show kama chris alivofanya
@geofreysadok48236 ай бұрын
Kwahiyo sensema ni wimbo wa kilingeni tu😮
@yassinhamic56836 ай бұрын
Nasikia eti ni nyimbo ya kuitia mizimu😂
@calvincypriano29566 ай бұрын
Jamaa limeshindikana kabisaaa
@franccoz946 ай бұрын
Diamond platinum
@jonathanmussa4746 ай бұрын
Huyo alishadance mpaka ngoma ya misomisondo
@paschalfausitine71086 ай бұрын
Kaka diamond 💎 Kila laheri, kutangaza Tanzania na kiswahili chetu japo Mimi sio shabiki wako
@fredkeya56376 ай бұрын
Nawaeshimu malegend wa bongo mb Dogg, z anto, marlaw na ji
@ShadyaNasir3 ай бұрын
Diamondatawaua
@walterngowi58356 ай бұрын
Vp Cass pool na Mwijaku wameisikia kweli hio 😎😎
@James-y3j2v6 ай бұрын
Ati Good news
@King_1866 ай бұрын
Jamaa alishasema na muziki anaujua kweli kweli ukisubiri ashuke utashuka wewe,,,Diamond ni mnomaa
@drcharlestz6 ай бұрын
Walioimba Malunde wenyewe tutaskiza sisi tu na Wakenya 😅
@JonasMakala-dz6cz6 ай бұрын
Here in bongo there is no musician like this
@PaulTVS-j5t6 ай бұрын
Uyo ndo Simba bn
@HeriRamadan-qx2hk6 ай бұрын
Hakuna kama Daimond plutnum Africa.
@NgindoNdingo-nm4in6 ай бұрын
The lion
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII6 ай бұрын
KUMBE NA MM NIKITOATU Challenge RAZIMA COLABO peeeeruuu
@PaulSaimon6 ай бұрын
mi najiuliza vp na mondi katoa pesa ya kumlipa
@vrsrecordstudios..47416 ай бұрын
Sasa ndo munashangaa diamond platnumz ni Nani na christia brown ninani acheniii ujinga postenii vitu vya maaana
@lizoname6 ай бұрын
Huyo ndio diamond platnamz Hana mpinzani ndigu
@ramadhanhamisi74056 ай бұрын
Sawa
@daudthomas4156 ай бұрын
huyo domo analiwa2
@JninjaH2R6 ай бұрын
Diamond hatumdai kitu tena .ameshafanya Kila kitu
@ziggertv31856 ай бұрын
Hahahahahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂 kunawatu wanaona aibu
@devisfrank66376 ай бұрын
"Habar gan?" 🇹🇿🇹🇿
@yassinhamic56836 ай бұрын
Soon utasikia breeze amevibe na ngoma ya disconnect na sensema
@Tanafa-j9q6 ай бұрын
Acha ndoto za mchana#hiyo atavibe nayo pimb
@PhenixSwahiliGaming121126 ай бұрын
Sasa hivi imebaki tuzo Moja TU ambayo diamond anatakiwa kupewa Tuzo ya Grammy
@dalicodes5 ай бұрын
Jason Derulo dio colabo
@josepheriah59776 ай бұрын
Tsha
@Jacklinejohn76 ай бұрын
Subutu hio ninyimbo yake weee
@onlinecomedy84206 ай бұрын
Kumekucha
@adambakari92766 ай бұрын
Acheni kutudanganya bna na kuedt kwenu kuna cku hivyo hivyo mmepost pobga anacheza nyimbo ya mond baada ya siku 4 clip ile ile ikaonekana anacheza wimbo wa msanii mwengine
@nseyantemi6 ай бұрын
Uongoooo
@devisfrank66376 ай бұрын
🫡🫡🫡
@ibrahimmcharo97775 ай бұрын
Mondi mtu😅
@MamboSuper6 ай бұрын
twambiye amejaza arena
@DanielYohana-uu6nk6 ай бұрын
Uliwahi fika huko arena 😂😂😂
@goodwellmutambo76076 ай бұрын
Et Sensema jamani
@aishaomar18456 ай бұрын
Zuchu 😂😂😂😂😂😂Chris. Hates you 😂😂😂😂😂WE know it's ,🦁 and ??????¿