Wawooo wimbo mtamu sana wengi wanabadirisha maneno wewe umeutunga mzur aswa hakika ni jinazi!! Yanga oyeeèeee
@nasoromohamed9085 Жыл бұрын
Kuna namn fulani wa kongo na yanga ni damu moja ❤❤
@madamfarajakigula8423 Жыл бұрын
Umeona eheee
@noelbarnabas3115 Жыл бұрын
Hii ndiyo yanga haijawahi kufeli, Big up Bella
@ambelemwaifunga9218 Жыл бұрын
Bonge la wimbioo
@BrighitonLemah Жыл бұрын
🎉
@philipomponeja2457 Жыл бұрын
Anaitwa Cristian bella king of the best melody🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ancyblix Жыл бұрын
Aisee sipatii picha vibe la Congo na Skudu🔥🔥
@kerithi_tv Жыл бұрын
Congo vibe + Skudu amapiano = Unstoppable young Africans 🔥🔥 Utake ustake uje kwa hii comment after the coming season
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
CONGRATULATIONS MY BROTHER. Good song. 💚💚💛💚💛💚💚💛💛💚💛💛
@AnneKazadiChokwe Жыл бұрын
Big up. Kazi nzuri kabisa
@YeseMapinduzi Жыл бұрын
Nimeipenda Sana hii ngoma ikipwa mkapa j.mosi ni kvumbi na jasho hakika
@mariasixmund7964 Жыл бұрын
Weuh Mungu atupe nini tena wananchi 💛💚💛💚💛💚💛
@kehetanyantory8688 Жыл бұрын
Umeingia vzur kwenye game kulingana na ulivokuwa umepoa naamin hii ngoja itakuludisha mjini Big Up💪💪
@reginasawe3356 Жыл бұрын
Hajawah kupoa hyu
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Kakudanganya nani anapoa huyu nani km mama akiiweka hapo ht ww hukai chini
@MwiguluSeni Жыл бұрын
Kk@@reginasawe3356
@TheReporter-A47 Жыл бұрын
Hii ngoma inaenda kuwa namba moja trending ❤❤❤❤
@msimbazihenry Жыл бұрын
Naukubwa ulionao ulikoswa mashairi ya kutunga mpaka ukapuyanga hovyo Sana ww mwamba imba taarabu tu
@ReginaYangu Жыл бұрын
Yanga kiboko yao na Bella kiboko yako big up sana bro
@sm_anthony1781 Жыл бұрын
Imeteka Nchi kwa sasa, ni Kivumbi na Jasho 🔥🔥🔥
@bobjulieoneheartband Жыл бұрын
Hongera Kaka hii imekaa sawaaa LINGOMA LA WANANCHI LA KUJIDAI🤣🤣🤣🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@fargakoigip6029 Жыл бұрын
tuupelekeni huu wimbo 1M views wanaYANGA vepeeeee.....!
@tanzanite9944 Жыл бұрын
Wadada wamependeza kweli na jezi mpya
@errydeo88657 ай бұрын
KAWAIDA YA BATOTO BA YANGA💛💚💛💚
@HisanHaji Жыл бұрын
Belaaaaaaaa hujawahi kuniyangushaaaa ila hapo ungepiga na king kiba lingezidi balaaa Safi sana
@pascarmwendesimon2358 Жыл бұрын
Good job kelitu....sauti tamu Sana ❤❤❤❤❤❤❤
@MasabudaJames10 ай бұрын
Kidogo nife mbozi alipokuja christian Bella kwenye mwege, I love you so much
@MhamedThakbu Жыл бұрын
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hii ngoma hatari hakika wanayanga umetukoxha
@Mrkigoma Жыл бұрын
Hili goma umetisha sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@LUCYBONIPHACE-w6s Жыл бұрын
Wimbo upo bomba sana na nimeukubali sana
@Mary-fs4mc Жыл бұрын
Umeua mwamba,kazi nzuri
@judithmgulunde515 Жыл бұрын
Haujawahi niangusha mwamba bella 🥰🥰🥰
@noelkipera6581 Жыл бұрын
On fireeee 💚💚💚💚💚 congole bella
@tumsifunyange3822 Жыл бұрын
Pamoja sana yanga yetu. Bella obama
@namuujulian8492 Жыл бұрын
Yanga koboko Yao bella koboko Yao💚💛
@mmbaya4004 Жыл бұрын
From 🇨🇩✌️ imefika slm ii
@alhamicsimon23 Жыл бұрын
YANGA kiboko yao kweli,pamoja na kupoteza ngao
@edithajohn9600 Жыл бұрын
Atariiiiiiiiiiiiiiii, wimbo wa motooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥o,ulikuwa wapi cku zote,kaka kutoa moto kama huuu💚💚💚
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Wasanii wote mbona yanga jmn duh💚💚💚
@rukayyamasoud6564 Жыл бұрын
Hiii imeendaaa
@benardboaz6347 Жыл бұрын
Wanamziki wote wakumbwa Bongo wapo Yanga makofi jamani kwa like zenu.
@lvanyDaniel_pw7kk Жыл бұрын
Mtakubali mwaka huu subiri msimu uanze mbona MTA poteana😂😂😂😂💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@stevenemwakasimba-pt8er Жыл бұрын
Du hilo dude kama utani vile mtalamu Bella kapita nayo!! Hongera
@Zubaiba8 ай бұрын
Big up kwa yanga🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
@operecollice Жыл бұрын
Yanga all the way up... much love from Kenya
@hassanmohdally5217 Жыл бұрын
Yaaan umemgezaa fere golla mwanzo mwishoo daah badilikeni njoo simba weww Bella umekwendaa hapo njaa tu
@patridabernard9148 Жыл бұрын
Kiukweli hii imeenda brother big up
@pierretembele8129 Жыл бұрын
King 👑 of the best melodies
@richardmaxwell3991 Жыл бұрын
Ehbanaaaa dah noma mzee..
@magrethyeremia2279 Жыл бұрын
Person wew kuona wimbo mbya Wala hatuumii,wew TU peke Yako,sisi tuna watu wengi kuliko wew fwata yako
@RaphaelMlaga10 ай бұрын
Bella umetisha big up kabisa
@mrtallentsgp2623 Жыл бұрын
Kaz nzur video Kali big up fundi bela
@AbiTech96 Жыл бұрын
Yangaaa a finalement pris tout nos bana mbokaaaaaa 🇨🇩🇨🇩 😂Bella merci pour le générique, je sait que cette saison Mayele va vibrer avec ce rhythm quand il aura marqué son but.
@Rodgers_01 Жыл бұрын
Mayele est parti le club déjà.😢
@YusuphRamadhani-t2s Жыл бұрын
Haoooo ndiye waliyebakiaaaaa baran afrikaaa wengine chaliii
@mgeleka2378 Жыл бұрын
Cking of the best melodies 🏆
@babajordan8776 Жыл бұрын
Hii nayo imeenda 😍😍😍
@AkiliKaskileacunga-id4bj Жыл бұрын
Hongera sana mwana yanga
@ayubukassim7995 Жыл бұрын
Bonge Moja la Jimbooooo 💚💚💚💛💛💛💛
@shadrakagalus1185 Жыл бұрын
Dah very best song,,, keep it up Bella
@IlyaasaSalehe-ou6cf Жыл бұрын
Very nice Christian
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Bella upo vizuri 💛💚💛💚🔥
@ImanueliMwakajinga-ry8ig Жыл бұрын
Hii imeenda 💚💚🔥🔥🔥
@hawaadija222 Жыл бұрын
Very nice 💚💛💚 kaka
@leoninga-y8i7 ай бұрын
Ninamini Yanga mbele nyuma mwiko tuko vizuri
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Bella kazi mzuri kaka
@ZainabuAlly-cc4ef Жыл бұрын
Yanga nimoto wa kuoteambali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥l love you yanga
@davissweetbert Жыл бұрын
Mlisema kiingilio elfu kumi mbona ndogo japo sina😁😁😁🙌
@elizerbethmichael2435 Жыл бұрын
Safiii sanaaaa 💚💚💚💛
@ladye7464 Жыл бұрын
Koboko yao mtu wangu wanguvu ❤❤
@mshumba_tz Жыл бұрын
Mambo niaje #bella Mimi ni #mshumba kutoka katavi-mpanda
@kudramzee5769 Жыл бұрын
Hii imeeeeenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OllerDesononline6333 Жыл бұрын
Sio leeeeo tokazamaniii mnyama hana mpinzani. Hatushikikiki hatukamatikikikii , watoto wa Dar, watoto wamsimbazi.
Nyie makolo let us gather and celebrate the peace from wananchi
@milungaapeshijerome Жыл бұрын
If they don't play this song at my funeral, I ain't dying🎉
@Officialreyca Жыл бұрын
Damn
@yudeajude Жыл бұрын
,😂😂😂😂❤❤ I love this comment
@suzyclement3899 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JudithMsonsa Жыл бұрын
😅😅😅
@chisongastephen72997 ай бұрын
Ni bonge la nyimbo
@PromesseVoyage-by3nt10 ай бұрын
Kaka unaweza sana
@personpeter2221 Жыл бұрын
Mbayaaaa sana kuwahi kuona umekosa cha kuimba???
@scollamwanisisi2739 Жыл бұрын
Yanga ndomana hawapelek wachezaj wakavinjali Hela zote mnamalizia kununua wasaniii ,, Jamn huruma kweli ,, mnanunua Kila kitu bahasha tu nyingi poor yanga
@CharlesVicent-bi5yt Жыл бұрын
Patawaka motoooo hatukai mbali na azam tv
@yohanaandrew-dj7lc5 ай бұрын
Hii nyimbo kubwa sanaaa
@YonaLaizer-m3b Жыл бұрын
ni kivumbi kweli 🎉
@kingbornb3174 Жыл бұрын
from kenya number 3 to comment 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@husnalema2069 Жыл бұрын
Nice one 🎉
@mariamemadoshi5540 Жыл бұрын
Nakukubali sana mwamba imeenda hiyooooooo
@Dancheba_tz Жыл бұрын
King of the best melody hatar
@faridyshaame4705 Жыл бұрын
Ngoma kali bella💪✌
@vanessarminaji8379 Жыл бұрын
Iko bwee❤
@havenfungo574 Жыл бұрын
Hii imeendaa😊💪
@Kingswed-x6t Жыл бұрын
Mwanachiiiiiiiiii goga link 😃😃😃😃
@jomajoligospel Жыл бұрын
Mapema yote hii mmeanza kukata viuno 🤣🤣🤣🤣 Ligo ikianza atutaki lawama 🤷🏽♀️
@EzekielKitambo Жыл бұрын
Umetisha mzee
@khadejarajab8007 Жыл бұрын
Nimeona tu inabidi niache nilichokuwa naangalia nishangilie yanga kwanza😂😂😂😂😂
@jivankulikwa24 Жыл бұрын
Yangaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@saidimnyani3330 Жыл бұрын
Big team, big musician
@CalvertJoseph Жыл бұрын
Bellauko, vizuriasante
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Kwel Yanga Ya Wananchi Kwel Kila Msanii Lazim Ahamiya Jangwani
@mrtallentsgp2623 Жыл бұрын
Kali sana belaa
@isamony585 ай бұрын
Piga kelele kwa yangaaaaaaa💚💛💚💛🧡🧡💚💛🧡🩵💙💚💛🧡🩵💙💚💛🧡💙💚🧡💯💯💯💯💃💃💃💃💃💃💃💪💪💪💪💪
@BIGBOSS-hl3bu2 ай бұрын
Unadhalilisha neno unabii😢😢😢😢
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Yanga tumefunga 5: Simba hahaha 5/11/2023 like nyingi kwa yanga tafathali
@KibwanaJuma-x3f7 ай бұрын
Noma bonge LA Amapianoo1
@khamisjuma3841 Жыл бұрын
Niseme tu ukweli kua huyu msanii Yuko juu na yanga wamejua nani wamuite huyo anaweza kufunika msanii yoyote hapa Tz. Ngoma ni Kali amejua Nini aongee sio wale wabana pua