CHRISTINA SHUSHO AJIJUTIA KUOLEWA AKIWA NA MIAKA 19. ASIMULIA MAGUMU NA MAZITO ALIYOPITIA
Пікірлер: 504
@jekelasimoni89502 ай бұрын
Iko njia ionekanayo njema machon pa watu but ni njia za mauti!!! Mungu tusaidie
@lydiawasai9439Ай бұрын
Her very own words
@carrennyangwara5541Ай бұрын
Christina Shusho..you're a blessing..keep praising God...the eagle doesn't do it's fights on the ground,but high above,where the enemy won't be able to continue fighting,but will definitely give up and the eagle soars higher..the Lord bless your ministry.
@SylvesterAmbokile-ur2vd2 ай бұрын
Pengine angeolewa baada ya miaka 19 aliyoitaka asingefikia hali ya sasa kwa kuwa aliiniliwa na kupata mafanikio akiwa na John Shusho
@vunabandijosney80172 ай бұрын
shusho umeshiba...mutu akishashiba anajiona leo jana yake anaisahau ... so unaona hustahili watu waliyokutengeneza kuwa wewe jinsi ulivyo leo...ebu kumbuka ulipotoka wapi !! tujifunze kushukuru
@rhodakerubo2850Ай бұрын
Shida hapa Christina amezungumza kizungu. Angesimulia kwa kiswahili, watanzania wangemuelewa, wasingemhukumu. Mume alishamkataa na kumrudisha kijijini kwa wazazi wake mwaka 2010. Christina akarudi Dar akaanza maisha mapya ya kumtumikia Mungu asilimia mia moja, BILA NDOA SABABU MUME AMEMKATAA! Miaka yote hiyo tangu 2010 amekaa kimya hamjui maisha yake kiundani. Leo kaamua kutoa ushuhuda jinsi Mungu amemtendea mnamuhukumu! Mungu anajua maisha yake tangu waachane, na anemuinua hiyo miaka yote. Muache mama wa watu aishi maisha yake. Christina songa mbele achana na kilele za chura!!! MUNGU MBELE!!!
@user-tt7cu2et1xАй бұрын
Ndo uwa mnasaidiana kula sadaka za hapo church yenu n yye we ndo unamjua kiundan kaaa kwa tulia kula nyama nyamza ..omba macho ya rohon ujue kaz znazoendleaa ktka ulimwengu huu.utajuwa vizur kwa nn amebadilika ashaurik aambiw .kitu ujui tulia unafkir watu wte wanaongea mbovu kma zako
@MercyKangethe-fz7zoАй бұрын
This was a most informative message. Christina has brought in a clearer angle of where she is coming from and where she is headed to. She is a woman of God with a clear vision and nothing will stop her. I admire her eloquence and great sense of duty. May God bless you Christina, and may he give you all the comfort and favour you may require to carry on with the Lord's mission. Lots of ❤️ from 🇰🇪.
@mikasamwel613Ай бұрын
Jaman msipende kuhukumu mtu bila kujua maisha yake kwa undani zaidi kiatu alichokivaa anakijua mwenyewe amjuaye vyema ni Mungu tu na si wanadamu.
@basilisamsaka8469Ай бұрын
Wewe ni mtu mwema
@user-fe6gj1hg9rАй бұрын
Si kaongea vyote( mateso yote) sasa hatujui ninyi na kaongea yote!!
@Tg.7_72 ай бұрын
Ila ni ngumu sana kwake yeye Christina na kwa mumewe pia, kama from the very first place hapakuwahi kua na love it’s very hard….!! Let’s leave this matter to God!!🙏
@zaujatilongo69272 ай бұрын
Well said
@jesuinababili22802 ай бұрын
Frankly said
@ezekielisack63102 ай бұрын
Exactly...
@AngelFoodProductsTz2 ай бұрын
Ua ver wise
@richardchimba38002 ай бұрын
Unaongopea😂wengine
@neemamasudi79882 ай бұрын
Ni kweli wewe ni mtu wa kijijini pale Congo sehemu inayo hitwa Yungu ndo nyumbani kwenu. Sasa wewe Christina mbona ume hahibisha wana wake wote na wana ume wote. Pole sana Christina shetani yuko na wewe.
@imankasagara94922 ай бұрын
Unapotoka katika wingu la Mungu usikubali kuendelea katika Hali hiyo geuka Rudi hata kama kwa gharama ya aibu,aibu kwa watu si kitu Bali kurudi katika wingu la utukufu
@imankasagara94922 ай бұрын
Usitumie madhabahu kujitakasa je Leo ndio umegungua hilo au ndo unatangaza kuwa kujaolewa
@imankasagara94922 ай бұрын
Wito wa Mungu tunautazama mwisho wa safari si mwanzo
@basilisamsaka8469Ай бұрын
Kwani wangapi wanaachana na waume zao au wake zao na bado wameokoka
@davidnyika4296Ай бұрын
Mungu auponye moyo wako
@neemachalamila5902 ай бұрын
Ila ulikuwa wa kishua!!!! Hadi ice 🧊 cream ulitengeneza maana yake mlikuwa na fridge, halafu hii kjiongeza ndio usaidizi wenyewe kama mke according to bible, sio mateso , na swala la kupenda sio jukumu la mwanamke ni jukumu la mume,
@sovajulius3870 Жыл бұрын
Christina Unajua na Kinge kipo on point Bravooooo
@fredyaled2 ай бұрын
Huyu mda cmrefu..utamskia anamgombania Diamond na naye utadkia ana Mtoto wa diamond. Naongea leo ..lakin 2simsingizie Mungu hapa
Usihukumu usije nawewe ukahumiwa.Yeye atabeba msalaba wake mwenyewe.
@lucykayombo9987Ай бұрын
Hongera dada Christna, ushuhuda mkubwa sana unatia moyo, nakufurahia nakupenda...wewe ni mtumishi Roho mtakatifu aongoze hatua zako
@rithadonatus81102 ай бұрын
Ila ni kwanini unaongea yote hayo jamani mambo ya familia.. kama uliamua kuacha ungeacha personal
@eliassoingei20462 ай бұрын
Ushuhuda ni pale unaposhinda jaribu na siyo kushindwa, hapo kwenye ndoa hajashinda, Mungu amsaidie kwa kweli, najua bado ana nafasi ya kuanza upya, tena Mungu anampenda sana maana ni waimbaji wengi wamevunja ndoa lkn yy ameshambuliwa sana lengo la Mungu ni kumkumbusha chanzo
@anajohn8132Ай бұрын
Ndoa yake sidhani kama alianza na Mungu ndio maana imekuwa hivyo. Kuna ndoa nyingi tu si za Mungu japo zimefungwa kanisani. Hizo ndoa huvunjika na wala wanandoa hawahukumiki sababu Mungu hakuwepo.
@kabulamalima51792 ай бұрын
Huyo shusho ndo mumeo na baraka zako zilikuwa mikononi mwako. Mungu akusamehe
@pastorbakarigeraldwilondja6702Ай бұрын
MUNGU AKUHURUMIE SANA MAANA WEWE NI MWANAMKE USIOSHUKURU KBS
@consolataconsolata1250Ай бұрын
Huyu dada kukaa kimya kumemfanya aonekane yeye ndio mbaya. Sasa kama mume alimfukuza toka 2010 Leo yeye ndio anaonekana ana kosa? Kama hujui upande wa pili wa story bora kukaa kimya. Wanaume wana tabia ya kufanya vitu halafu wanajifanya wao ndio wameomewa. Mungu ndio anajua ukweli nyie mnaomtukana hamjui ukweli wote. Wanaume wengine hawawezagi kuvumilia mafanikio ya wake zao. Wengine wanaonea wivu wake zao wakifanya vizuri. Mungu anaejua ukweli atamlipa kila mtu sawa sawa na haki yake. Kwanza huyu dada ana hekima sana kama alikaa kimya toka 2010 hakuna mtu alijua kafukuzwa nyumbani kwake..SO SAD
@brorichardmusingithe7th11Ай бұрын
wewe unaujua ukweli wote? wananchi wanaongea yale anayoyafanya hususani ndoa,Hata wewe hururhusiwi kukimbia ndoa na kujisifiakuwa uliacha ndoa ili umtumikie Mungu, Maswali mengi yako hiviii? Je yeye alilyetamka kuwa haukna wa kutenganisha na mvumilie hadi kufa ataruhusu uachane na mme ana uhubiri injili?
@thomaschagula3508Ай бұрын
Amina mtumishi. Wewe ndio umeongea la msingi sana. Mungu akubariki sana
@UsizoeedhambiАй бұрын
Huyu mwanamke mwongo sana. Tena adanganya akiwa madhabahuni. Alizaliwa 14 Novemba 1974 na kuolewa tar 14 Decemba 1996 akiwa na umri wa miaka 22. Na mwaka huu wa 2024 ana miaka 50. Mzee sasa. Ameolewa kwenye familia ya Kikuhani wamo wachungaji 3 na Baba yao alikuwa Askofu Mkubwa huko Kigoma.Mimi nilikuwa mshirika wake Kanisani kwake Dreamers Centre. Nasema kweli tupu na Mungu anihukumu kama nasema wongo. Niliondoka kwa sababu ya tabia zake za ovyo. Alitupa nje ya ofisi meza na vitabu na Biblia za mme wake Askofu nje ya ofisi bila sababu ya msingi Nikaondoka Kanisani hapo. Familia ya mme wake wala.hawako.9. wanaume walikuwa 4 na wa 3 walikuwa boarding. College na shule. Na alipoolewa alikuja na mdogo wake wa Kike.Vitu vingi anasema hapo uongo tu anachafua madhabahu. Huyu ni devil worshiper ni ajenti wa kuvuruga na kuvunja ndoa makanisani . Yesu alituachia injili ya mapatano. Wewe Mama mwenye Kanisa hilo umechafua madhabahu ya Bwana.Umeharibu ndoa za washirika wako !!! Subiri divorce nyingi baada ya miaka 5 nakuambia . Umebomoa badala ya kujenga. Hapo amefuatana na Manager wake ni mwislamu uchafu mtupu .Nuru na giza wapi.na wapi !!!!!
@luganomunuwavanu936929 күн бұрын
@@Usizoeedhambi ndungu umeandika kwa uchungu sana... Unaonekana unajua mengi kuhusu huyu mwanamke
@BahatiSunga-yk9qf2 ай бұрын
Aminaa Barikiwa
@user-xy9pk2rz8zАй бұрын
Hiki kizazi cha nyoka kwakweli kwani lazima utafute kujiosha ..mlikutana ..mmeachana endelea na maisha yako ..wanaume wasichafuliwe jamani kwa taarifa tuu hao ni wawakilishi wa Mungu ndani ya familia
@laurentraphael5470Ай бұрын
Chukizo la uharibifu limesimama mahali pasipopasa. Huna huduma yoyote, umeitwa kwenye umalaya sio huduma kwenda huko.
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Kwa kweli dada Christina umekuwa na ushuhuda wa ubinafsi wa kupitiliza!
@sautikuu2122 ай бұрын
Yaani utadhani mume wake hana mchango wowote, ubinafsi wa kiwango cha juu mno.
@Kakwasi2 ай бұрын
It's her life
@BanjoMrisho2 ай бұрын
Huyu Christina anaongea pumba kwaiyo kiingereza ndio kinapanda zaii ya kiswahili? Wewe Huna ukristo hata kidogo Acha kuwalisha pumba warundi uanwapotezea muda Huna ushuhuda
@ATHANASLUKEHA-ui7pq2 ай бұрын
Roho ya kuhatibu ndoa za watu unayotumika nayo,iangamie Kwa Kina la Yesu!Christina wewe ni mwongo mkubwa!
@user-tt7cu2et1xАй бұрын
Kabsaaa saah uy mathee anatumika na nguvu za giza ndp mana unaona wote.walioachana na mabwana zao wamefungua church ili waendlee kuaribu akil za wanawake wengne wasitii waume zao wakimbie kwa ndoa zao
@sautiisiyosema2 ай бұрын
Nimeumia sana kumuita mmeo jamaa Mungu na akulipe kulingana na matendo yako. Kumbuka bila huyo jamaa usingekua hivyo ulivyo leo
@treasurerussel3422Ай бұрын
Mungu Ndio kataka tina awe hivyo
@user-tt7cu2et1xАй бұрын
Aiseee wanawake wa Africa wakitajirika n umaarufu n kosaa kubwa sana wallah
@user-ee6sz5gy4r2 ай бұрын
Mmewe alimtoa KIGOMA kibirizi hata kiswahili alikuwa hajui vzr Leo anamuita Jamaa duhh hii ndoo dunia tenda wema uende zako, Mungu anakuona
@JoseHaule-tx7lu2 ай бұрын
Ila wanawake nomaaa sana
@angelinamwakilufi8881Ай бұрын
Hata wewe kunasehemu ulitolewa na Mtu, haimaanishi umwabudu huyo mtu hata kama anakukosea!
@jacksontarickkitambala2204Ай бұрын
Fundisheni watu ukweli siyo unafiki Kwani pale ulipo olewa na miaka 19 , MUNGU hakuwa nawe?
@jacksontarickkitambala2204Ай бұрын
@@angelinamwakilufi8881NDOA ni NDOA
@treasurerussel3422Ай бұрын
Alafuuu ni mkimbiziii 😂😂😂😂😂😂
@user-cr1sj8xw9xАй бұрын
Dunia imeisha yaani watu munapiga makofi kwamba ujumbe huu umetoka kwa Mungu atupe andiko linalo muruhusu kuachana na mume wake sio mawazo yake anapotoa maelezo asimutaje Mungu hayo Ni mawazo yake ,Mungu akikuita kumutumia sijawahi kusikia kwamba iache ndoa yako Mungu akusaidie nimefuatilia Sana maneno yako unataka kuleta elimu mpya kwenye ndoa Za watu kwa mawazo yako Mungu anachukia kuachana pia alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe hayo umeyapata wapi? Tuonyeshe andiko Hilo sio maneno mengi acha kuudanganya umma ,shusho tulia kwa Bwana majibu yapo
@happinesstesha7061 Жыл бұрын
Nasikitika kama uliachana na mume wako dah mimi nyimbo zako za mwanzo ndo nilizipenda but za sasa dah.
@maneno_kairuki2 ай бұрын
Hata mimi nyimbo za nyuma. Ni kawaida ya wanawake wakifanikiwa lazima awe na kiburi
@James-od8gf2 ай бұрын
Mke wangu angekiwa anaabudu kwako hapo ningempga stop haraka sana mana Mchungaji gani kamuacha mumewe?
@user-tt7cu2et1xАй бұрын
Ndo anaaribu wanawake wengne
@joycenaftal-cr2er Жыл бұрын
Ameeen
@sweetberthawilliam65872 ай бұрын
Mshukuru mme wKo alikuoa na kukupa watoto, asingekuwa yeye saa nyingine usingefika hapo kiburi cha pesa
@savedbygrace3230Ай бұрын
Beautifully intetpreted and blessings to Christina.
@zaujatilongo69272 ай бұрын
Mungu akifanyie lililokusudi lake tuuu! Sisi hatujui ila Mungu aonaye sirini anajua yote, Mungu asikuache hadi mwisho wa maisha yako
@user-qg1iy5ov3uАй бұрын
Hongera sana Christina Mungu huyu akulinde sana change usiyumbishwe na maneno maovu ya mitandaoni
@janewasilwa8813Ай бұрын
Thank you...of God lives I will.live. If God is able I will succeed
@jescamushi77372 ай бұрын
Kama mkenya sa hii hahhahahaaaaa ila anamaigizo huyu mama😂😂😂😂
@eliwazamakala3897Ай бұрын
Pole sana dada. Mungu aendelee kukutetea zaid dhidi ya maadui zako. Binadamu huwez waziba midomo. Only God knows.
@merrybahati9882 Жыл бұрын
Amen
@elizabethwambua8797Ай бұрын
Love you mommy.only woman who has such past can understand you.Gods love is with you all through.
@jamalmanishi72822 ай бұрын
Mungu nifundishe kunyamaza maana sielewi
@elizag.edmond76372 ай бұрын
😂😂😂😂
@heriethsamwel71902 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jeanmusamba84482 ай бұрын
hahahaha kina christina wengi huwa wako hivyo sijui kwa nini nimeona more than 4 christina wanaacha waume zao,labdaa maana ya christina na mwanamke kumuacha mumewe
@user-nb2jw4km6fАй бұрын
Hata mimi sielewi kwakweli sijui ni comfidence yakupitiliza au nini?
@lilianurio9781Ай бұрын
Me too
@TeresiaMundia-dz8ye2 ай бұрын
May God go ahead of you
@lydiawasai9439Ай бұрын
The pain was to take u to another level mti mwema hupurwa mawe lakini pesa zikakupa kiburi ukamsahau Mungu wako. Tubu Christina umrudie Mungu.
@fadhilichristine7734 Жыл бұрын
Much love to you sister Christine may God bless you ❣️
@ElphasNabule-uj1zi2 ай бұрын
christine ,kumbuka yakwamba Ndoa ilianzishwa na Mungu na kwa mpango wa Mungu , Talaka Haikuemo. Soma maandiko vizuri .Nithambi ilileta Mutengano Kati ya Mungu na muana damu ,Vilevile katika ndoa usipo elewa kusudi la Mungu ndaani ya maisha yako na Mungu Utatenda Mapenzi ya shetani .kumbuka Mungu anachukia Talaka haswa zaidi kwa Watumishi wake vilevile Kanisa linaanzia Nyumbani Likiekea kwa Mathabau .christin nina suali kwako utajitetea Aje mbele Ya kiti cha enzi Mbinguni? kwa wanadamu ni raisi Jee, Na kwa MUNGU?
@janesuma-is4wc25 күн бұрын
Wewe ndio usome mandiko vizuri mmekua watu wa kutafsiri bible vibaya na kwa hisia zenu Acha kuhukumu wewe
@mynambwambo20722 ай бұрын
I can relate hii story na ile ya laban na Jacob.. Jacob alienda kwa laban akiwa na baraka zake kila kilchoendelea ikiwemo mifugo mingi kuzaliwa pale ilikua sababu ya Jacob mwenyewe I can relate hii story na shush huyu mwanamke alikua tayari ameshabarikiwa na Mungu huyo mume wake ilikua ni njia tu Mungu allifanya ili kudhihirisha kilichokua ndani ya shush..
@FocusMahagara2 ай бұрын
Roho wa Mungu,atusaidie
@stellagwimo31152 ай бұрын
Powerful testimony, thanks Christina for sharing you life story with us. God bless.
@user-fr7jj1bo7y2 ай бұрын
mwanamke keshakuwa na pesa sasa anamuona mumewe aliyemtoa jalalani kuwa si kitu
Waah your testimony imenivunja moyo😢,,,tena umeni encourage in this journey of life
@leonardyona14622 ай бұрын
Acha kuwa encouraged kwa upumbavu..
@ireneansima4930Ай бұрын
Amen abuse man will come to blame her
@user-lm3gd8pw7z2 ай бұрын
Asha kusema Jina La Mungu na Wewe ni muwasi mukubwa Wewe. Gisi Congo tulikuwa na nakupenda ivi zero kabisa akuna u christu ndani yako Wewe dada
@ireneansima4930Ай бұрын
Weye mutakatifu ukuwe nahita
@janewasilwa8813Ай бұрын
God bless you Mama. Someone is encouraged Mama
@leakeyochieng9629 Жыл бұрын
Am more than blessed , more grace Christina
@nesielias94932 ай бұрын
Duniani huwezi kupata vyote, shukuru hata kwa mema uliyopata
@jabezjedidiah1429Ай бұрын
Yote uliyoyasema hujatoa hoja mwafaka kwa nini ikaikimbia ndoa. Kado na kumdhalilisha mmeo na familia yake. Hukuteswa, sio adultery... kazi ya nyumba kila mwanamke hufanya. Kwangu naona ni fame na pesa zilikukausha shingo. God is nor author of confusion but of love and unity in Christ Jesus hivyo usisingizie wito ndio ukakutoa kwako. Hujaweka mfano mwema kwa wakristo.
@epifaniakavishe92822 ай бұрын
Mmh Tinna ...
@nyapetegath409 Жыл бұрын
you are beautifull and fighter. God bless u
@josephineusui1114 Жыл бұрын
Congratulations Cristina for realizing your dream.i love you so much.
@RebeccaGeorge-qu9kc2 ай бұрын
Powerful testmony my sister christina shusho God bless you
@user-fe6gj1hg9rАй бұрын
Shout out you FEMINIST 😊😊😊
@salomeshadrack8245 Жыл бұрын
I love you dear. You're my role model...hope to meet you one day. May God protect you and preserve you for His own Glory
@rahabnjeri510Ай бұрын
Shusho mungu anakuona ulianza kwa roho na unamaliza na mwiili😢😢😢😢😢 you need God deliverance
@gracekaboigora189 Жыл бұрын
Ukiwa karemy au tz.???
@timemwamasage40582 ай бұрын
Mpuuzi sana .. ndoa za zamani wanaume na wanawake walikua na upendo...walikua wanaishi na ndugu zao ukiolewa ukakuta familia ina maisha yao uliyoyakuta usuwabadulishe wawe unavyotaka ww,labda kama unawasaidia kukua kiuchumi kuwapekeka shule na kazi au biashara lkn sio nature ya maisha yao...huyu anatafuta kujitetea lkn hakuna kitu...mpuuzi
@neemamasala7167Ай бұрын
Ulikuepo hyo zamanii😢
@angelinamwakilufi8881Ай бұрын
In first place ndoa haikuwa, na upendo, ila ni convenience ya wazazi eti asijeakaharibikia nyumban😢 wanaume kasiriken mtukaneni ila wanawqke wasiku hizi are not fools ukizingua tunasepaaa!
@peterbarakabugera974 Жыл бұрын
i fallow you very well,may God bless you when ever you will stay working for him!
@DosianaLulakuze-bv7fg2 ай бұрын
Nakuelewa acha wakupige vita ambaye hajapitia Hajui
@doulosjohngamba8985 Жыл бұрын
I will be your Prayer Partner always.
@anajohn8132Ай бұрын
Sasa naelewa kumbe mume ndiye alimuacha nakumrudisha Kwao kijijini kwa wazazi wake na watoto wakagawanwa. Sasa lawama ziko kwake kivipi tena
@elimidakashumba2422 Жыл бұрын
Congratration shusho, indeed you re our influencer.
@sovajulius3870 Жыл бұрын
Hail to Shusho our very own our talented and beautiful singer of all time She is talented beautiful hard worker and more she is amazing We love you Tina
@balancedviewpoint7418 Жыл бұрын
Waaah! I didn't know this awesome woman of God knows very fluent English and that she can be that bold and assertive in a cloud. Christina, sorry for what befall you I your earlier days of your marriage. When we keep advising you to stick to your marriage, kumbe there is disheartening story behind your life journey. It is well Christina. If you were in Kenya utaolewa na ukae maisha safi sana. Tunakupenda sana Kenya vile dunia yote inakutambua. I love you much you child of God. Keep it up.
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Acha kumwinua alishapotea
@marykyley836 Жыл бұрын
She is a professor in maths. God's grace is sufficient
@balancedviewpoint7418 Жыл бұрын
@@marykyley836 a professor in maths? From which university please?
@jeanbaraka10082 ай бұрын
BULUNGO kwanini tumuachilie dada hivi, amepotoka huyu, sifa ime mchanganya , Baba Mcheleca mukowapi dada BIBI ametuzalilisha tumuokeo...
@florencenzyuko2121Ай бұрын
Christina God is faithful & you're a seed of God
@annapeter8526 Жыл бұрын
poweful testmony maaam
@givenessdavid3743Ай бұрын
It's time to be on Top Tina.....
@felixbitange8115 Жыл бұрын
The English is top
@marlenekhakoni1404 Жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza kabisa,nimeiskia kwa ufupi ushuhuda wa ma Christina, nimekupenda zaidi
@Usizoeedhambi2 ай бұрын
Hana shukurani huyu.Muilizeni MBC Hot Media ( Mr Forgen ) awaambie jinsi mume wake alivyomsaidia . GOSPEL is the good news of reconciliation not damaging like this. Mumewe amemsomesha hata hako ka Kingereza ni kazi ya mume wake !!!!
@edsonnelson44642 ай бұрын
Ndiyo shukrani za wanawake, amesahau yote
@mgswahili39932 ай бұрын
What is your whatsapp number nataka kushare kitu na wewe. Imenigusa hii text yako.
@sautikuu2122 ай бұрын
@@edsonnelson4464 washenzi sana hawa viumbe
@AnneHarold2 ай бұрын
@@sautikuu212jamani sio wooteeee sema baadhi ya wanawake
@user-cu6tp2bh7b2 ай бұрын
Msomeshe kiingereza akitumie kukutukana😂😂
@user-cw3vu8mu3k2 ай бұрын
Mchungaji shusho alikutoa kijijin akakutengeneza akakupa nafasi ya kuonyesha kipaji lakin eti kwa sasa umemwacha mzee shushu nakumdhalilisha eti kwamba wewe nawe umeitwa tofauti na mme wako kiburi kibaya sana
@mohamediyusuph55272 ай бұрын
Nimemtumia post isome
@jamesponda19572 ай бұрын
A lost sheep,I will only listen to your music but I will advise people not to follow you because you are more than lost
@Uplifiting2 ай бұрын
What are you trying to tell us Christina!
@user-uo8xw9kr4b2 ай бұрын
Ila nawaume pia waangalie umri na wanao waoa man ww unazid kezeeka mwenzako bad anahitaj mambo ya ujana shida ndio inapoanzia.
@tatubaraka57522 ай бұрын
Iyongo
@maneno_kairuki2 ай бұрын
No where she appreciates the support from his husband. Wanawake Bwana😢
@clausemsemwa2972 ай бұрын
Women!
@YasintaMpanduji2 ай бұрын
Wakati anamsapoti ulikuwepo?, binadamu Bhana kazi mnayo
@odilomwemeziernest6462 ай бұрын
@@YasintaMpanduji yeye mwenyewe alishuhudia jinsi kipawa chake kilivoinuka,na kujulikana.
@YasintaMpanduji2 ай бұрын
@@odilomwemeziernest646 ni kweli, yeye ndyo shahidi, Kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawapewi support na wenza wao, wanaume Kwa wanawake
@sautikuu2122 ай бұрын
Mbinafsi sana, huu ushuhuda una mapungufu mengi na makubwa sana.
@user-qg1iy5ov3uАй бұрын
Vizuri sana Mungu ni mkubwa sana Christina songa mbele watu wasikutishe
@carolinekajuju45072 ай бұрын
My gal my story. if you made it I will make it
@gabriellyadam94152 ай бұрын
Shusho una sauti nzuri sana ya kumtumikia Mungu sema dah!
@EsterBenson-vj8vyАй бұрын
😅daaa haya mambo mazito ,pole dada Christina tuko pamoja imba Sana
MSIMUHUKUMU HUYU MAMA, BINADAMU SOMETIMES TUNAPITIA MAMBO AMBAYO WENGINE HAWAWEZI KUELEWA KIURAHISI.
@gracepatric4371 Жыл бұрын
Translator nikama monica wa masanja
@lydiawasai9439Ай бұрын
I love her sence of humour but the bible says we should submit ourselves to our husbands. Mungu tupe macho tuone sawa sawa. The enemy only cares of winning her soul. Mungu amrudishe kwa ndoa yake she has been a good servant of God.
@EDETRAUDHUNGUАй бұрын
mkarimali hongera Sana nimependa
@pamelaayieta60712 ай бұрын
She is a good actress,is she the first one to shine in east Africa.You are behaving like a juvenile.
@Kakwasi2 ай бұрын
I love her whatever
@christophermgimba5144 Жыл бұрын
"UKINIPIGA NGUMI NAMI NAKUPIGA NGUMI" SIKUTEGEMEA MANENO HAYA KWA MWANAMKE AMBAYE NI MCHUNGAJI PIA. DADA ZETU WAIMBAJI WANA CHANGAMOTO SANA KWENYE NDOA/MAHUSIANO YAO. SHUSHO INABIDI AWE ANACHAGUA MANENO YA KUONGEA HADHARANI, ANAVYOONGEA ANAHARIBU KULIKO KUJENGA.
@anastaziasamson593Ай бұрын
Umenitia moyo hapa at least " I think I can do it , I'm going to change my life"
@augustinemainde2 ай бұрын
Mshamba akiingia mjini watu wanajipigia tu
@sambutilacurtainbedroomsol7431Ай бұрын
Kumbe hii ni taarifa ya kuloewa akiwa na 19 yrs ilisemwa 2022 na 2024 imejirudia
@blessedgirl4442 ай бұрын
I can't imagine getting married at 19 wah ata hujui kitu wewe mwenyewe hujijui
@absalomkibanda2 ай бұрын
What a lesson?! Its bitter, sour and sweet. A victim, unsung hero. Life is a fight
@basilisamsaka8469Ай бұрын
Wote wanaomsema vibaya Christina mmamwonea wivu,na alivyo mzuri kwa sabb hakuna andiko linalomruhusu mtu kumtukana mwenzie,eti unasahau dhambi zako nyingi kuliko za shusho.
@MariamOfficial-ve1ytАй бұрын
We unatetea kitugan hap
@VeronicaKamau-np2siАй бұрын
😢😢😢😢😢😢wow!!such a testimony
@susannyamu2024Ай бұрын
Lots of ❤,🇰🇪
@sampulifred2 ай бұрын
Mazungumzo yako ni hatari sana kwa waliyo kwa ndoa wengi wataacha waume zao. Kiburi kishindwe.