Upendo Nkone umenibariki kwa maneno yako. Umekomaa na unamaanisha kumtaka Mungu na si umaarufu tu. Ushauri mzuri
@dorcaskarago287613 сағат бұрын
Shusho hakuna unachoongea wewe ni coach mbaya sana sister Nkone Mungu akubariki
@lucknessgerana303114 сағат бұрын
Wowowwwwooo Upendo umeongea vyema walipokupiga uliangalia ni wapi umekosea ukapatana na Mungu barikiwa sana mamaaaa
@TabbytheeJournalist14 сағат бұрын
Upendo Nkone❤❤your wisdom is on another level❤❤
@brigethsauzand392615 сағат бұрын
Mungu msaidie christina Shusho na Martha Mwaipaja wajue kweli yako
@angelemmanuel71437 сағат бұрын
Amina
@allthings13026 сағат бұрын
Mnajua kuhukumu sana
@SimoniThomasi3 сағат бұрын
@@allthings1302Sasa kahukumu wap nakati kawaombea MUNGU awakumbuke
@AshaJuma-s7l16 сағат бұрын
Asante Upendo Nkone, wewe ni mkristo wa kweli, neno ulilolitoa ni la hekima sana.
@happysanka7 сағат бұрын
Upendoo nkoneeee super herooooooooo🙌
@elizabethmwamakula47847 сағат бұрын
Upendo nkonee weweee Mungu akubariki
@InesRubakare15 сағат бұрын
Team upendo nkone💪
@mmassyferguson49598 сағат бұрын
Aliyeokoka ni upendo hapo ❤❤❤
@scholamodestus93867 сағат бұрын
Na ipo hivyo kiukweli
@NeemaMushi-wj1znМинут бұрын
Kwa kweli
@kmotivation11309 сағат бұрын
Shush na Nkone ni spirit mbili tofauti
@angelemmanuel71437 сағат бұрын
Kabisa
@wisemelodytz5895 сағат бұрын
Sawa kabisa lakini Mungu atasimama na ukweli wake
@annastaziakimaro30428 сағат бұрын
Upendo Nkone unajitambua una hekima ya juu sana
@Adje2444 сағат бұрын
Ni shoga yako na ndio unamfundisha mwezako usagj. Dear upendo we love u❤
@AbweVincent13 сағат бұрын
Asante sana mama upendo mkone
@gracekahunda7 сағат бұрын
Upendo umetisha, ubarikiwe
@SmilingBreakingWaves-ee6xo5 сағат бұрын
Upendo nkone unahekima mama umeongea mama✊
@paulineleah65115 сағат бұрын
Upendo nkone's wisdom is high
@alumetili366914 сағат бұрын
Upendo nkome ❤❤
@RubenMtuwaMungu-bz8ee14 сағат бұрын
Dawa ni moja tu toba na kugeuka. Faraja bila toba hazisaidii chochote.
@josephguerino741614 сағат бұрын
Mama Nkone smart sana, hicho kimama kingine kinaropokwa
@mvullamanase7 сағат бұрын
Upendo Neno lako Limemponya Shusho na litamponya Matha. Maaana Umerekebisha Jambo Mioyoni mwetu sisi Wakosaji hekima
@faustinedeogratias433714 сағат бұрын
Shusho kaongea UTUMBO kaongea kama mtu wa CCM na udharimu
@patriciacarlo72369 сағат бұрын
Upendo Nkone❤❤❤🙏
@salamsabdullah-st9pt7 сағат бұрын
Upendo ndo anajuwa mungu wengine apiga kelele
@naomysamuel67997 сағат бұрын
Upendo ❤❤❤❤❤❤
@aidankakulu39814 сағат бұрын
Jibwa koko unataka umfundishe mama yako kuzungumza!!! MAMA UPENDO NKONE UBARIKIWE SANAA. UMENENA VYEMAAAA.
@witneskihega897113 сағат бұрын
Duuh, Nkone ana hekima sana, and that is life. Life is about failing, doing mistakes , learning from your own mistakes and not suppressing or hiding your mistakes.
@officialK-looh15 сағат бұрын
Shusho na Nkone wameongea vitu viwili tofauti....nkone kaongea vyema zaidi
@wisemelodytz5895 сағат бұрын
Yes shusho alidhani ataungwa mkono kwenye upumbavu wake
@josephpeter8511Сағат бұрын
❤❤❤ Upendo Nkone Is friend of mine for this God blessed you my sister
@stevenmabungi32452 сағат бұрын
Upendo mama umeongea maneno machache yenye maana kubwa sana Mungu akubariki sana kwan hata mimi nimejifunza kitu kwako. Ahsante mama❤
@hubimogela91678 сағат бұрын
Upendo Nkone unajua sheria za Mungu wa kweli
@angelemmanuel71437 сағат бұрын
Shusho kapotea kama rafiki yake Martha ndio maana wana ungana katika ujinga
@juliuskitomari30576 сағат бұрын
Christina aliposema ongeza hakutegemea kama ungeongeza nondo za hivi,asante sana Upendo Nkone
@faustinedeogratias433714 сағат бұрын
Upendo, upendo upendo nakuita mara tatu, nmependa ulichozungumza Hekima yako ni yakiwango cha juu, achana na huyo mwenzio alichokiongea hatogautiani na anayozungumza JOAN
@jacksonpallangyo13698 сағат бұрын
Christina hana tofauti na mwanasiasa
@ErnestBoniface9 сағат бұрын
Watu kwa kujificha kwa jina yesu dah
@JulianaNyamhanga15 сағат бұрын
Upendo Nnkone❤❤❤
@calvintheone2996 сағат бұрын
Asante Mama upendo nkone ❤❤❤❤😂😂😂😂
@modestajamada34964 сағат бұрын
😅😅😅😅👏🔥
@emmanuelmasatu6 сағат бұрын
Asante Upendo Nkone Mwenyezi MUNGU akulinde umeongea kwa hekima sana.👏👏👏👏👏👏👏
@ZajiHarja5 сағат бұрын
I love sister Upendo Nkone, very mature
@jamilaathumani548115 сағат бұрын
Nimempenda Sana wewe shusho kwamana ukipata watu wanaokupambambania kwenye matatizo hakika uyo ndo ndugu ama rafiki wakwel...safi shusho hakika wewe unamapenzi yakweli Kwa mwenzio ..matha safi Sana shusho
@Ryannkae11 сағат бұрын
Acha wewe unamjuwa huyo dada vinzuri 😂😂😂 nikajanja saana ndugu zake wapo marecan huko na kwao wanamaisha manzuri tu awana jaa
Shush tang niskie story yak na mme wako sinaniman na wewe😅😅kbs Upendo nimekuelewa
@farajamwaigombe75663 сағат бұрын
sauti ya christina shusho imeshabadilika na kukosa utukufu wa Mungu Mungu akusaidie dada
@brigethsauzand392615 сағат бұрын
Ngone kakuumbua Shusho kakufimba hapo hapo ili ujifumbue na Martha wako mama ni mmoja tu
@shamimulazaro95188 сағат бұрын
Upendo nkone
@brigethsauzand392615 сағат бұрын
Nkone hongera sana mfundishe huyo mdogo wako mambo ya kushabikia mbele ya umma Shusho jifunze kwa dada yaki Nkone . Kuna mwanajeshi gani hajazaliwa na mwanamke?
@StrongbowArrow200415 сағат бұрын
Mi acha niombe Mungu anipe maneno yasiyo na ukakasi wa kinywa changu 🤐🤐🤐🤐🤨🤨daah Lakini kila mwanajeshi amezaliwa na mwanamke na anataka awe na heshima na mzazi wake, Upendo umempa somo muongoza gomora🫣😶🌫️
@brigethsauzand392615 сағат бұрын
Nkone umejitwalia utukufu ndiyo maana huzeekagi
@faustinedeogratias433714 сағат бұрын
Kesho zamu ya shusho kutrend
@WilbertMalula-vv7ml15 сағат бұрын
Mwambieni MARTHA aende kwa mama yake wakayamalize fuustop wewe Christina umeahaanguka kiroho rudi kwa mumeo acha kutufokea dhambi ni dhambi dawa yake ni kutubu fullstop
@ernestgumha318612 сағат бұрын
Upendo nkone umemjibu shusho kiakiri sana mungu akubariki eti aijarishi amekosea et tusimame nae kivipi atubu madhabahuni kama mama upendo nkone alivyosema alikosea
@farajamwaigombe75663 сағат бұрын
Mungu atusaidie sana si mwanzo wako Christina utakaokusimamia mbele za Mungu unamalizaje hilo ndilo la Muhimu sana, inawezekana ulizipiga sana mbio huko nyuma, hazitakusaidia kama utalegea mwishoni, Dada kubali kunyenyekea kwake Mungu kuna viashiria vingi sana vinaonesha shida ipo, na sisi hatuwezi kuvikataa tukasema upo sawa hapana, hizo ni ishara zinazoonesha uhalisia wako ambao kwetu umejificha, ni kama harufu ya chakula tusichokiona, ila kwa harufu tunaweza kukitambua tunakuombea dada yetu urudi katika ile njia ya kwanza, matamshi yako hayamfananii Yesu, ni kama mwanasiasa anaongea, ni kama mtu wa muziki wa dunia anazungumza inasikitisha sana kwa mtu uliyetuhubilia kwa nyimbo zilizo jaa utukufu wa Mungu
@JabanFranklin15 сағат бұрын
Asanti kumujali dada yangu
@bansalplm69413 сағат бұрын
The only this I can say to Martha is " Sitaki kujibu"! This song is our reflection, I'm Muslim but, I like to listen to her gospel music because touches me spiritually! In this critical moment she must listen to God! She has to respond or to say something according to the God's signal as she sang in her gospel song " Sitaki kujibu"! One love from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@georgebataze66255 сағат бұрын
Hongera sana Christina kama uligundua kosa lako pia basi Mungu akubariki. Kukosea wote tunakosea ila kubaki kwenye uharibifu ndio tatizo.
@joelyngomuo74412 сағат бұрын
Acheni siasa siasa kwenye nyumba ya Mungu dawa ya dhambi ni kutubu. dada upendo umezungumza kwa hekima kubwa sana Mungu azidi kukuinua zaidi
@JustinaMambo-jb4uj16 сағат бұрын
Amen mum love from Zambia only God knows truth tunamuwombeya nasisi uku Zambia Mather mwaipaja
@DeboraNgura9 сағат бұрын
😂😂😂christina jmn..ssa hapo umeongea nn..ndo wale wale.. hongera nkone
@scholamodestus93867 сағат бұрын
Tina analeta michambo akili zake kama mc pilipili
@Joysmuna10914 сағат бұрын
Mwambieni martha ukweri wacha kundanganya mzazi ni mungu wa pili...tell her the truth.
@annamativo10233 сағат бұрын
Nkone Mungu akueke umeongea vizuri
@glorymiko683015 сағат бұрын
Mpigieni mtumishi nkone makofi
@MsalabaniReko15 сағат бұрын
Kipimo cha mtu mwenye akili timamu na mcha mungu hupimwa kwa matamshi yake anayo yatoa mdomoni mwake akka kuna cha kujifunza kwa upendo nkone lkn kuna upotoshaji mkubwa kwa uyu shusho apo akili mbili tofaut nkone ameongea kama msomi mwenye kumjua mungu lkn uyu dada yetu mwingine ameongea kama mtu wa memkwa tena asiejua kusoma
@MsAggie514 сағат бұрын
Wanajuana Shusho na Martha mapepo tupu! Nkome ana akili na busara sana, watu hawawezi ongea bila sababu, tafakali na kama ukijua kuna shida rekebisha urudi kumtumikia Mungu wako
@MagrethMdundu11 сағат бұрын
Dada Nkone naomba uendelee kuwashauri,maneno yako ni ya busara sana,Bwana akubariki sana. Amina
@nembrislukumay23673 сағат бұрын
Upendo Ñnkone umenibariki na mañeno yako Mungu azidi kukuinua
@thelonewolf442916 сағат бұрын
Wote ni wauni laonimoja so they would rather support one another.
@victoriasweetbert11287 сағат бұрын
Kocha Christina anamtetea shoga yake asimtunze mama yake kweli ndo maana manyimbo Yao nimeyafuta kwa damu ya Yesu hayatusaidii Tena kiroho ni kidunia sana kutafuta umaarufu TU .
@AirinSumeno29 минут бұрын
Sifa na utukufu apewe Mungu Nkone Mungu akubarki
@EriyaRichard6 сағат бұрын
Watu wote ni wa MUNGU mmoja kukosea kupo ila tuna tuna tofautiana makosa❤
@beatricemwasunda502716 сағат бұрын
Upendo nkone umenena vyema
@wisemelodytz5895 сағат бұрын
Yaani nilikua tuu nasubiri aje hadharani najua yeye alikwepo kwenye hili toka mwanzo Mungu awasaidie sana hawa watu sababu wanaangaliwa na wengi alafu wanatia aibu 😢
@fashionKalmahouse13 сағат бұрын
Usijali Martha mungu atakupigania.
@wisdommesia194015 сағат бұрын
sky we respect sns sana tumekua watiifu sana unatuburudisha kutuelimisha nakutujuza pia (elimu) vip wewe mwezetu unawafraia Hawa ? Dajal unamuelewa I hope unamjua pengine sio sana bt mpe time nae anajua sana hutumia Kila sekunde kuhakiki njia zake najua hajafika hata robo tulipo kutufikia wote niuongo.kinachoendelea kwasasa ni uhakiki wazile njia zake tu na kamatujuavyo njia rahisi kufikia wengi ni jinsia ke.najua tutanusurika tu kwenye harakati yake plz ukipata nafasi kwenye makala 360 muweke wazi adhari zake mipango yake nia nakila kitu chake kiovu juu ya wanadam mwenyezimungu atakulipa vizuri zaidi .endelea kuelimisha uma kwanazuri na sio yeye ,ufahari ,pesa,Mali ,umaharufu namengineyo ya anasa yataponza watu wangu kesho mbele yake .
@Sidrasidra63615 сағат бұрын
Ni yule yule😢
@Visionofeagle968915 сағат бұрын
Ndo wa moja wote ni wale wale.
@michellekiilu62115 сағат бұрын
I love it ,n lazima tusimame na wezetu ,ata iwe Nini .
@levisdiamond4797Сағат бұрын
Hata iwe nini sio kusimama jitafakali wapi umekosea
@danieldaudi163110 сағат бұрын
Nkone safi mama
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx44 минут бұрын
Shusho ubarikiwe Sana
@safarivahocha80774 сағат бұрын
Maneno ya Christina Shusho ni ya kipagani, ila Upendo Mkone kaongea maneno ya Kimungu, hapo ndo utajua tofauti kati ya mtumishi wa Mungu na mtumishi wa Tumbo.
@Bilioneabichwa3317 сағат бұрын
Toka freemason kwa jina la Yesu kristo
@Bilioneabichwa3317 сағат бұрын
Freemason kazini kwa jina la Yesu tokaaaa, martha kamsaidie mamako aache kulia lia kama msukule
@JustinaBalige10 сағат бұрын
Nakupenda Pendo nkone
@ScolaRobert6 сағат бұрын
Amen mama upendo nkone
@ChristinaMlolere6 сағат бұрын
Shusho ❤❤❤❤❤
@catherinejohon12824 сағат бұрын
Upendo Mungu akutunze
@wisemelodytz5895 сағат бұрын
Safii Upendo ningemuona wa maana shusho kama angemsihi hadharani mdogo wake mwaipaja amrejelee mama sababu ana convincing power kubwa kwake lkn ameendelea kushikilia ujinga
@Adje2444 сағат бұрын
Team upendo❤
@levisdiamond4797Сағат бұрын
Nkone umenigusa kweli ❤❤❤❤😢😢😢 ukisikia watu wanaongea kaaaa ujitafakari ukiona umekosea oomba msamaha sio kwenda tuuu😂😂
@salamsabdullah-st9pt7 сағат бұрын
Upendo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
@thelonewolf442916 сағат бұрын
😀😀😀😀 online TVs nao ndio wanaochochea😅😅😅 eti k.chusho ampa onyo Martha… ako ka binti uko kwa marta ndio ka jini kalomteka martha ufaamu
@modestajamada34964 сағат бұрын
Upendo 😅😅😅😅❤ mmwaaa 🔥
@nkeshimanayuda11158 сағат бұрын
Sawa kocha😂😂😂
@Fadproduction115 сағат бұрын
Lakini ndugu zanguni tuwe tunaangalia mambo yaku post mahana dada yetu Martha anakosa sasa Kwanini wanataka kumtetea kwani alio yasema mama yake ni wongo au
@lulanjamd38862 сағат бұрын
Christian shusho na Martha hawana tofauti wote wameachika tena Kwa maoni Yangu kati ya Martha na Christina shusho ni Bora Martha mwaipaja
@Juyo5614 сағат бұрын
Upendo nkone❤
@infodigtechforcommunityemp410314 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@MaggyKahindi15 сағат бұрын
Pendo nikone wewe umenena vyema kama watu Mia niheri kuomba musamaha kama uejua mahali ulipo kosea
@Anza_tz15 сағат бұрын
Nkone ameongea kwa hekima kubwa mnooo ila huyu dada yetu mwingine yeye ametoa tuu mipasho Yani hapo zimesimama akili mbili tofauti kubwa na ndogo