5. MALENGO MKAKATI YA KUFANIKISHA MIPANGO YAKO || MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: ARUSHA 2024

  Рет қаралды 43,265

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Semina Ya Neno La Mungu Arusha || Day 5 || Tarehe 114 January 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

Пікірлер: 53
@anniefrancis9923
@anniefrancis9923 Жыл бұрын
LORD JESUS,tunakushukuru kwa ajili ya maisha,utumishi na neema uliyoweka ndani ya Mwalimu Mwakasege na Mama Diana Mwakasege. Tunawaficha ndani ya damu YESU.Bwana Yesu neema yako izidi kwao,uwatunze waendelee kutumikia kusudi lako.AMEN
@MASUMBUKOMASHINI
@MASUMBUKOMASHINI 11 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, maana kazi yenu sio bure katika Bwana, nabarikiwa sana na utumishi wenu, Mungu awatumie kwa viwango vya utukufu wake mwaka huu kwa ajili ya ufalme, mm mwl.Yohana Mashini, kutoka dodoma-Tanzania
@LilianMollel-x9p
@LilianMollel-x9p Жыл бұрын
Namshukuru Mungu ndani ya hizi siku tano nimeshaanza kujibiwa maombi yangu,Mungu awatunze watumishi wake,ni niliumwa kichwa mpaka nilikata tamaa ila kwa sasa niko mzima narudi kazini.mmbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
@sefaniamwashiuya4247
@sefaniamwashiuya4247 Жыл бұрын
Mungu ni mwema na ataendelea kukusaidia na kichaa hakita ludi Tena kwa utukufu wa jina la yesu
@WilliamWitalya
@WilliamWitalya 7 ай бұрын
Mwalim Mungu akubariki sana
@happyngonde2923
@happyngonde2923 Жыл бұрын
Na mshukuru Mungu sanaaa kwa semina hii ilikuja kwa wakati maana nilikuwa njia panda lakini sasa nimepata utulivu ndani yangu na kutaka kumjua Mungu zaidi 😢🙌🙌
@Healthandbeauty-2023
@Healthandbeauty-2023 2 ай бұрын
Hii semina Yesu asante
@joshuanyange2737
@joshuanyange2737 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU tunabarikiwa sana kwa neema ya neno la MUNGU.
@joelmbwile6209
@joelmbwile6209 Жыл бұрын
Amen barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU aliye hai MUNGU akujarie maisha marefu
@TinielDallo
@TinielDallo Жыл бұрын
Mungu akupe wingi wa siku nyingi mtumishi wa mungu
@bibianameney8950
@bibianameney8950 Жыл бұрын
Hakika umenivusha mahali. Mungu asimame na utumishi wako.
@alicethobias932
@alicethobias932 Жыл бұрын
Mungu nikumbuke na mimi
@Rapthozadewise1107
@Rapthozadewise1107 Жыл бұрын
Semina imekua ya baraka sana Barikiwa mtumishi
@chrispineonyango793
@chrispineonyango793 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi wa Mungu, Christopher Mwakasege kwa lishe la kiroho.
@EliazeliAbely
@EliazeliAbely Жыл бұрын
Appointed by God,, kupitia UTUMISHI wenu nimemuona Bwana🙏🙏
@GeorgeNanyaro-g3o
@GeorgeNanyaro-g3o Жыл бұрын
Mungu nikila kitu maishani mwako 🙏🏼🙏🏼
@odethierpaschal99
@odethierpaschal99 Жыл бұрын
❤amen baba barikiwa sana
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kusema na mimi 😢😢😢😢 2024 Bwana nipe walo la biashara Nipe Neema ya kusoma neno Amen
@Ally_kilanga
@Ally_kilanga Жыл бұрын
Glory to God ❤
@evelynengoma5517
@evelynengoma5517 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mwalimu 🙏
@annrato9667
@annrato9667 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe watumishi tunajaribu kutuma pesa kwa tigo pesa na Mpesa taarifa inakuja mpokeaji amefikia kiwango cha mwisho cha salio wasiliana nae. Nisiku ya 5 mfululizo najaribu nakwama
@JophFidel
@JophFidel Жыл бұрын
Asant mungu nimebalikiwa san na ibada hii
@EmmanuelOjwang
@EmmanuelOjwang Жыл бұрын
Nimebarikiwa Mtumishi wa Mungu
@happinessmillanga982
@happinessmillanga982 Жыл бұрын
MUNGU ni mwema mmeniponya na vingi sana muishi miaka mingi
@AdelinaDaudi-u2r
@AdelinaDaudi-u2r Жыл бұрын
Amen 🙏 Glory to God 🙏
@christina40mwangosi97
@christina40mwangosi97 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Mwalimu
@GeorgeNanyaro-g3o
@GeorgeNanyaro-g3o Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@BarakaChangula-dw9nz
@BarakaChangula-dw9nz Жыл бұрын
Nzuri sana mtumishi
@naomiobeld-hq1eu
@naomiobeld-hq1eu Жыл бұрын
Ee MUNGU ibariki kazi ya mtumishii wako mwl.Mwakasege na madam Diana,Eee Mungu wafunike Kwa damu ya YESU na uweze kuwapa nguvuu za Rohoni na mwilini waendeleee kunifungua katika NENO lako ,uhimidiwe Bwana juu Mbinguni Na Duniani iwe amani kupitia watumishiii wako.
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo Жыл бұрын
Ameeen, Ameeen 🙏🙏🙏
@allanchris4771
@allanchris4771 Жыл бұрын
Amen🙏🏽
@elyhillary2000
@elyhillary2000 Жыл бұрын
Ameeeeeeeniii
@rehemamagawa3509
@rehemamagawa3509 Жыл бұрын
Ameeen and ameeeen baba
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Жыл бұрын
Amen amen amen mwalimu.
@NuruMwambene-ik7il
@NuruMwambene-ik7il Жыл бұрын
🙏🙏❤
@Peace.2018
@Peace.2018 Жыл бұрын
Amen
@esterjob2587
@esterjob2587 Жыл бұрын
Ameen
@GloriaKajela
@GloriaKajela Жыл бұрын
Nahitaji namba ya sadaka🙏
@christinamtanga9001
@christinamtanga9001 Жыл бұрын
😭🙌
@WilliamWitalya
@WilliamWitalya 7 ай бұрын
Mungu naomba akili
@denisbongore3098
@denisbongore3098 Жыл бұрын
Ameeen
@Ally_kilanga
@Ally_kilanga Жыл бұрын
Glory to God ❤
@SirielMmary
@SirielMmary Жыл бұрын
Ameeen
@AdelinaDaudi-u2r
@AdelinaDaudi-u2r Жыл бұрын
Amen 🙏 Glory to God 🙏
@agnessjohn7396
@agnessjohn7396 Жыл бұрын
Amen
@AdelinaDaudi-u2r
@AdelinaDaudi-u2r Жыл бұрын
Ameen
@julianazedeckmgaya346
@julianazedeckmgaya346 Жыл бұрын
Amennn
@benadethamlay3395
@benadethamlay3395 Жыл бұрын
Amen 🙏
@jescamakundi-xx2ve
@jescamakundi-xx2ve Жыл бұрын
Ameen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@josephinejacob5550
@josephinejacob5550 Жыл бұрын
Amen.
@BelenadethaKamuhabwa
@BelenadethaKamuhabwa Жыл бұрын
Amen
@johndenis8768
@johndenis8768 Жыл бұрын
Amen
''SEMA NA KESHO YAKO KWA KUPANDA SADAKA YA MBEGU  YAKO LEO''  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
4:56:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 47 М.
UMUHIMU WA KUPATA WATU SAHIHI WA KUKUSAIDIA UTIMIZE MALENGO YAKO   || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:26:30
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 103 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
NDOA NI SIRI KUBWA...  Na Mwl. Christopher Mwakasege
4:35
1 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
2:25:57
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 65 М.
4. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
3:04:20
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 31 М.
Nguvu ya Madhabahu-Rev Dr. Eliona Kimaro
1:41
MISSIO-DEI TV.
Рет қаралды 10 М.
2 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
2:00:25
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 46 М.
5 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:57:24
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 44 М.