Watu wengi wanakua na matatizo katika nafsi zao bila ya wao kujitambua, kama kutofanikiwa mambo yako ya kimaisha katika riziki zako
Пікірлер: 120
@najibunasibu3020Ай бұрын
Jazaakallah allah akulipe kila jema inshaallah
@ummuhjuma75959 ай бұрын
Huyu sheikh toka nianze kumfatiã mashallah 🥰 amenibadilisha sana Alhhamdulillah 🤲.... Allah amzidishie umri na ilmu
@FatmaShabani-mn5zn7 ай бұрын
Na mie ngoja nianze kufatilia🤲🤲
@ShamimkassuKassuАй бұрын
AMEEN YA RABB ALAMEEN
@ShamimkassuKassuАй бұрын
AMEEN YA RABB ALAMEEN
@abdulahimwasaria705727 күн бұрын
Allahumma aamiin
@husnamasoud49899 ай бұрын
shukran sheikh ushuhuda tumepata, Allah akuridhie na akulipe kheri Daima
@PatriceHAKIZIMANA-uc9gx4 ай бұрын
Na mimi nimebadilika saana kupitia huyu sheikh Allah amuhifadhi.
@mrsahmadhajraah15509 ай бұрын
SUBHANALLAH 😭HASSAD MBAYA SANA HASANTE SHEKHE KW KUTUPA ELIMU ,
@WaSa-j7lКүн бұрын
Allah akupe umr mref na afya njema sheikh uzidi kutufumbuwa macho
@user-ms5yf2bh4h5 күн бұрын
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Namimi Niko Kigali nakupenda kwa ajili ya Allah
@user-fv3ob5ww6w7 ай бұрын
Allah akulinde nilivyonufaika na wewe sipati kukwambia..kwa idhini ya Allah akufanye uendelee kuwa muda mwingi duniani
@WadahKalumna-gs2kd7 ай бұрын
Ameeen
@hafswashali75834 ай бұрын
Shekhe niombee mungu mm na familia yangu insha Allah
@user-gn9kj8kb8j5 ай бұрын
Allah akuzdshie kheri na barka ww na waislamu wengine wenye moyo wa kutuvutia na kutusaidia sisi tusojua tujuwe alhamdulillah
@abidunamasheshe76938 ай бұрын
Shukran sana Sheikh wangu, una roho tajiri sana. Allah Subhana Wataala akuzidishie baraka
@abdulahimwasaria705727 күн бұрын
Allahumma aamiin
@BimkubwaJuma-ew5dg21 күн бұрын
Mungu akulipe zaidd
@wilfredalumasa7 ай бұрын
Inshallah mengi anayo sema ni kweli kabisa
@user-hm6hy6rr1h6 ай бұрын
Shukran sheh kwa ulivo vitaj mm vyot nip nav mung akubarik kwa kutuokoa sheh mung atakulip ujir wak
@abdulahimwasaria705727 күн бұрын
Allahumma aamiin
@user-vb8nk5qn2p4 ай бұрын
Sheikh Osman Micheal, May Allah SWA bless you abundantly na story yako mwisho ime niliza Alihamdulillah
@عبدالرحمن-ض9مАй бұрын
الله يحييك انشاالله Walio mbali na familia tumejiskia faraja tunaona kwamba tutafanukiwa kupitia darsa lako tutarudi nyumbani kwa kishindo wanawake tulioko saudia tuna IMANI tutarudi Burundi salama Mungu AKUPE maisha marefu
@user-ez4qj2vv2c9 ай бұрын
Allah akbar❤❤❤❤❤asanteeee mwalim mngu azidi kukubariki
@piliramadan87513 күн бұрын
Alhamdulillah
@fatmakhamis50449 ай бұрын
Allah atakulipa ujira wako inshaallah
@ashurajumaa7278 ай бұрын
😢😢😢😢 Shukraan sheikh .... Allah akupe kila hitaji la moyo wako
@WadahKalumna-gs2kd7 ай бұрын
Ameeen
@abdulahimwasaria705727 күн бұрын
Allahumma aamiin
@user-ne7xi3bk3p9 ай бұрын
Masha Allah 🎉🎉 jazaakallahu khaira
@user-jq8mf8tr7g8 ай бұрын
Me nimekufuatilia juzi tu Alhamdullah Allah ananijibu pasipo na ufahamu Allah atakulipa
@saidahmadsaidalimohammadal22785 ай бұрын
Mashaallah
@saidahmadsaidalimohammadal22785 ай бұрын
Kisha unaomba wakati gani
@saidahmadsaidalimohammadal22785 ай бұрын
Au wakati wowote
@saidahmadsaidalimohammadal22785 ай бұрын
Plz nijibu manake nimejatibu
@saidahmadsaidalimohammadal22785 ай бұрын
Sina Cha kukulipa kwa majibu Yako ila mungu atakulipa sawa
@zulfatzulfat-cp3hj9 ай бұрын
Subuhanallah hakika yote ulosema yapo
@KhadijaSalum-pu8qyАй бұрын
Mashaallah shekhe dua zako makubuli Allah akulipe heri inshallah
@piliramadan87513 күн бұрын
Mashaallah mashaallah
@ZenaAlly-v6kАй бұрын
Masha Allah, Allah akulipe umenibadilisha sana
@user-ie7es5vd1d3 ай бұрын
Sheikh nipo kwenye mtihani mkubwa na familia yangu mwaka wa nne sasa. Leo usiku ndio nimeanza kutekeleza mafundisho yako. Inshallah uniombee nifaulu.
@hamzazuber69059 ай бұрын
Shehke alhamdulillah ukija kiwalani utoe darasa kama hii hasa msikiti wa mama chuchu
@KadirMamito20 күн бұрын
Alhamdhulillah sheikh
@AsnahElectro8 ай бұрын
MashAllah shucraan Sheikh kwa Ilmu hii
@FayeezAlbahassaney6 ай бұрын
Sistr wng
@BimkubwaJuma-ew5dg21 күн бұрын
Ameen yarabii
@MwanaishaShattry9 ай бұрын
Asante Sana Sheikh huna rohobaya ulichonacho kizuri unawapa wenzio.
@saumumbaraka49128 ай бұрын
Allah kulipe ujira mkubwa san siku ya kiama inshaallah na akupekila hitajio la moyo wako
@cishahayoali11369 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Shiekh, Ahsante, Allah akupe khaira Ameen
@user-tq9vt9qc3y7 ай бұрын
Aslm alkm vipi hali mimi pia ni mfuatiliaji mkubwa wa mada za SHEKHE kwa msaada wako tu shekhe anapatikana wapi au kama unweza Kuni saidia namba zake utakuwa umeokoa jahazi asante
@user-tq9vt9qc3y7 ай бұрын
Aslm alkm vipi hali naomba msaada nimekwama shekhe nampataje au namba yake ya simu
@mussampeyama679529 күн бұрын
Shehe Othumani na mm nina hasadi niko masasi naomba unikomboe maelezo ya kuondoa hasadi nimeyasikia ila kuvikariri vipengele vyote itakuwa shida naomba msaada wako
Asante sheikh wetu akupe umri mrefu Allah subhana wataala unayo tupa ni sure reality of life kweli tunaishi na majini mwilini riski zetu zimekuwa ngumu tumepigwa hasad Hadi twajiuliza maswali mengi . Asante sana atujalie Dua zetu Allah atusamehe
@user-ul7rn6bf9p8 ай бұрын
Shukran shekh tutalifanyia kazi mana hali yangu ni ngumu
@user-xt4ev4vp7q8 ай бұрын
Shukurani shekhe Allah akuzidishie inshaallah
@MimahYaseen2 ай бұрын
Allihamdulliah shekh kw kutugea mafunzo mema
@AminahMtwa6 ай бұрын
Mungu akuhifadhi shekh nami ngoja nifanye inshaallah
@user-st9zu1vq1q9 ай бұрын
Jazakallah khery shekh allah atakulipa
@user-os4qi3se8s8 ай бұрын
Shukrani sana kwahiyo tiba tutayifanyiyakazi ishaallah
Subhanna alla mambo ya watoto hayaendi kabisa shekh
@user-hq8nj7zf96 ай бұрын
Shukrani sana kwa elim nzur sana kama iyo
@RashidiDjuma7 ай бұрын
Asante saana
@user-id6fk9hr9q7 ай бұрын
Mafundisho yako mazuri sana sana
@ArafaSuleiman-db9pw4 ай бұрын
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
@MwanaidikudraАй бұрын
Dah mm ndio nimeharibiwa na vyote viwili mpaka nataka kuchanganyikiwa,ngoja niamke ninawe hayo maji
@MariamShabani-eb3ohАй бұрын
Allah aķuhifadhi
@user-qr1zr8fp4d7 ай бұрын
Asalam ALEYKUM ndug Zang waislam Na swali inaruhusiwa kuoga usiku
@user-zj8ul2tp4t2 ай бұрын
Shukrani shekhe
@user-md2wf8dn9x3 ай бұрын
Ass alam Alykum Shekhe Umenibadilisha Kiimani Ninaomba Uje Korogwe Hairul Isilamia Masjid Kambi Ya Maziwa Kilole Utoe Dawa Inshalaa
@abubakarshariff8588 ай бұрын
JazaakkALLAHU khairaaan yaaa sheikhh
@fatmarajab478 ай бұрын
Shukran sheikh Allah akuzidishia
@Shinashidakambi7 ай бұрын
Shekhe mm nikohivyo tu mambo yangu hayaendi kabisa
@dorothylyimo5378Ай бұрын
Je wakristu wanawezaje kujia hiyo hasadi shekhe
@AsnatyMshamu18 күн бұрын
Sasa wakuandaa hayo maji ndo shida uku nyumbani ingkuwa tunaandaa wenyew ingekuwa vzury sana
@user-rt5vq5vc3k8 ай бұрын
Shukran Allha akulipe kher
@user-bd7ud3ps4u8 ай бұрын
Shukrani
@hosnabintmariam32879 ай бұрын
Aamiyn kwa sote
@queensiahclassicpoint14856 ай бұрын
Subhanallah nahis had kutetemeka... Tupe no za simu au app Yako you download tuwe tunakufatilia huko
@fatumamichenje7546 ай бұрын
Jadhakalau khaira nitaifanya hiyo
@noornasir43787 ай бұрын
Assalaam aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh Othman. Mungu akuzidishie elmu na umri ulojaa afya njema na amani. Naomba namba yako ya simu ili niwasiliane nawe. Nna matatizo nataka nikuelezee unisaidie. Ntashukuru sana
@JonathanKebaso-yk8le6 ай бұрын
Amena
@KhadijaMhenangu7 ай бұрын
Amina
@user-pz8qk7ke4h8 ай бұрын
Amiin amiin inshallah
@zuberhamza78523 ай бұрын
Shukraan sana
@NelsonBarasa-ex2vc8 ай бұрын
Mashallah
@yusufuheri65249 ай бұрын
Mashaalah
@jamilamohammed27718 ай бұрын
Jazakallah kheir
@RazzackNdayambaje2 ай бұрын
Shukran sana
@SitheyCuteradhia8 ай бұрын
Ni mimi huyo😢dalili kama zote ninazo
@falidiamiiamii-jz5pf6 ай бұрын
Subhanallah pol san
@bidahushaamini81568 ай бұрын
Asw naomba namba yashehe
@user-bd7ud3ps4u8 ай бұрын
Asante sheghe
@abuuqamar587 ай бұрын
Shukran sana sheikh
@MwanaidikudraАй бұрын
8:50 8:58 9:00 9:00
@athumannkulikiye16564 ай бұрын
Asalam aleykum naomba kuuliza iyo dawa ya maji unaweza jifanyia mwenyewe bila kufanyiwa na mtu?
@ommarysaid73912 ай бұрын
Unatakiwa Ufanye Mwenyewe ndo Maana Akaelekeza jinsi ya kufanya
@user-gn9kj8kb8j5 ай бұрын
Assalam alaykum shekh mm umenipta huu mtihani wa hasad nnifanye vp ili iondoke
@hamzaforogo3 ай бұрын
Hizi dalili hatoki mtu hasa wanawake
@user-kj1fj8qr1y8 ай бұрын
Hiyo hadithi inapatikana kitabu gani na ameipokea nani?
@hadijamohammed.49757 ай бұрын
22:00
@user-id6fk9hr9q7 ай бұрын
Sasa mm mkristo nitajuaje dual na sijui kuswali wala kuomba nifanye nini
@ImanSaid-ox3po7 ай бұрын
Itabidi usilimu {uifate haq}
@nasirmohamed15898 ай бұрын
Eti sehem ya kuuaga umaskini ni misikitini kwahiyo allah alituambia twende msikitini tukatajirike we kweli tapeli
@mwanaidisagala24264 ай бұрын
Kama hauna bafu
@omanmct1359 ай бұрын
Subhanallllah
@nasirmohamed15898 ай бұрын
Wafundishe watu dua za kuomba rizki pana na iliyo halali,rizkun halalan wasia twayiba wacha kuwadanganya eti watakuwa matajiri na magari.msikitini ni sehem ya kumuabudu allah kuomba toba na pepo siyo sehem ya kuaga umaskini muongo tu wewe
@mussamtupa7 ай бұрын
Unajua unachosema? Nini maana ya rizk pana?
@bahatimbande22074 ай бұрын
Yaan wewe kila Darsa la huyu sheikh lazima useme negative 🤣
@nasirmohamed15894 ай бұрын
@@bahatimbande2207 darsa la kishenzi lazma liitwe ushenzi swali jingine
@nasirmohamed15894 ай бұрын
@@bahatimbande2207 shehe kwako miye kwangu shehena mshirikina tu huyo
@MwanaidikudraАй бұрын
@@nasirmohamed1589utaumwa bure kwa hasad
@user-gn9kj8kb8j5 ай бұрын
Allah akuzdshie kheri na barka ww na waislamu wengine wenye moyo wa kutuvutia na kutusaidia sisi tusojua tujuwe alhamdulillah
@RashidiDjuma7 ай бұрын
Asante saana
@user-ie7es5vd1d3 ай бұрын
Sheikh nipo kwenye mtihani mkubwa na familia yangu mwaka wa nne sasa. Leo usiku ndio nimeanza kutekeleza mafundisho yako. Inshallah uniombee nifaulu.