Kama unapenda harakati z KTV zinazoendelea Pemba, comment neno Hakika hii ni Fahari yetu
@clovetv_pba6 жыл бұрын
Hakika hii ni fahari yetu
@rukiajuma83386 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani tu Kama unaipnda pmba comment love you pemba
@mwajabusamayuka44002 жыл бұрын
Love u pemba
@sheyluupinky60615 жыл бұрын
Naipenda pemba ni kwetu nina haki ya kuithamini na nimezaliwa huko🥰🥰
@MbaroukKhalifa8 ай бұрын
Alhamdulillah nashkr san kuwa mpemba na nashkr kufika eneo hili nikiwa form one nilifurahi san ❤❤❤ pemba nikwetu pemba niyetu tunaipenda sana ❤❤❤❤
@ysherahmad6526 жыл бұрын
Najisikia fakhari kuwa na asili ya kipemba...Pemba nkwetuuuu I love it
@Neighborsjiran6 жыл бұрын
Aisha Ahmed
@ysherahmad6526 жыл бұрын
@@Neighborsjiran naam
@ahmeidyoung24105 жыл бұрын
Ni muhimu sana kujua historia ya maeneo yetu
@ZuenaSharifu5 ай бұрын
Yani wapemba sisi tumebarikiwa Sana
@issamakameissa7446 Жыл бұрын
I love Pemba big up
@HassanAli-eq8ko2 жыл бұрын
Nice pemba islands
@aliyhamim16835 жыл бұрын
nikiwa italy nime miss pemba ilove pemba
@hatourmohamed12343 жыл бұрын
Assalmu alaykum warahmatullahi wabarakatuhu niependa hili ni jambo zuri kutujuza historia yetu.
@husseinbakari89036 жыл бұрын
Daaah miss sana home kitambo sana nimeondoka ila nyumbn nyumbn tu
@mohammedmbarouk77113 жыл бұрын
Nilizaliwa pemba nikakulia pemba nikasoma pemba na inshaallah namuomba Allah wakati wa kunichukua kwenda kwake anichukue wakati nikiwa pemba inshaallah,najisifu kua miongoni mwa watu waliopata kuitwa watu wa"PEMBA"
@fatmasaid58646 жыл бұрын
Ahsante ktv kwa kutukumbusha kwetu hio ngome kongwe ya pemba ndio nimesikia leo nilikua sijui na iko sehemu gani chake
@allyibrahim25073 жыл бұрын
karibu na spitali ya chake
@saydbarakismailiya15156 жыл бұрын
Jasiri haachi asili pembe ni kwetu
@damondhamonaizbadowangu45595 жыл бұрын
Pmba ni nyumbn
@maidasaid9476 жыл бұрын
Niliwahi kuitembelea miaka y Zaman tangu nasoma shule y msingi...nafurah kuiona pemba na naipenda sn pemba...nakuomba Mungu niwe mmoja Kati y watu wataojaaliwa kuibadilisha pemba kimaendeleo
@MAPETEE4 жыл бұрын
Bora Wende kuwepo wawo Kuliko Saiz tulivyo banwa na maisha
@yassirrashid78026 жыл бұрын
Love you PEMBA
@omarbyz86953 жыл бұрын
ILOVE YOU PEMBA
@firstname6006 жыл бұрын
Naipenda PEMBA
@sheebqpsheebqp83146 жыл бұрын
Hakik ni fahar yt
@fatmajumaa10696 жыл бұрын
I love you so much pba
@saidcheupe59933 жыл бұрын
Mambo
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Like kama umepaona miembeni
@BESTTV1LIVE6 жыл бұрын
Kaz nzuri ktv
@madievaratz16843 жыл бұрын
pemba khalisii na watu wake poa sana
@mohdsalum58363 жыл бұрын
mh mtihani wallah badala ya kulilia dini unaenda kulilia maendeleo maendeleo so kitu kesh akhera
@chingaboy1149 Жыл бұрын
Nyinyi wengine asa maendeleo nimuhimu baba
@fatmasaid58646 жыл бұрын
Inshaallah mwaka nikakokuja pemba lazima nikatembelee hio ngome kongwe
@ashamakame18124 жыл бұрын
Ilove pemba
@mejubaraza94156 жыл бұрын
Mwazo kuvuka ncwezi labda niende na ndege😛
@naslamgollowatuacheee98526 жыл бұрын
Nice
@maryammakungu88006 жыл бұрын
jamani mimo mzaliwa Wa unguja lakini napenda kutembea Pemba kwa marafiki zangu
@clovetv_pba6 жыл бұрын
Nice, welcome i will be your host
@suleimanmazrui69425 жыл бұрын
MZEE wetu uko vizuri sana kihistoria Mwenyezi ukupe umri mrefu na wenye Afya.
@omarabeid74904 жыл бұрын
Unguja ndo nn?
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Hakika hii ni Fahari yetu.
@SaidHamad-f3r7 ай бұрын
Waume wa kipemba wako tele si lazima uishi pemba
@salehkhamis30633 жыл бұрын
Dah yan huo wimbo unanikumbusha mbali
@faahusali46896 жыл бұрын
kwetu uko jmn
@fatmasaid58646 жыл бұрын
Mm na taka niiyone santuri jamani siijui
@mejubaraza94156 жыл бұрын
Natafuta mume walipemba lkn maisha kwetu kenya pemba ckuwezi
@shukranahsante23956 жыл бұрын
Mimi hapa
@mejubaraza94156 жыл бұрын
Hahaha jamani je kama mm jini au kilema
@nacert17546 жыл бұрын
ww alie kwambia jini anatumia social media ni nani, ila hata hivyo umentisha naondoa mobile No. yangu
@mejubaraza94156 жыл бұрын
Hahahaha
@shukranahsante23956 жыл бұрын
Kama wewe ini mimi Doctor wako
@maryammakungu88006 жыл бұрын
bora walivofukuzwa hao wareno
@idrisasalum80136 жыл бұрын
Mtabakia na mahistoria yenutu Ila maendeleo mtayasikiatu kwenye radio na vigoma vyenu vya kibati
@ridhiwaniridhiwan44976 жыл бұрын
Vzr wewe uliko kwny matajir ingja lakn kmbka bila ya wapmba haujawa
@عايشهسعيد-ض5ذ6 жыл бұрын
Apo unguja mji unanuka mwenyew nimepakimbia unguja niko ughaibuni nikirudi unguja hua naona kam nimeingia shimoni
@hamnakituumupumbatupumohd85055 жыл бұрын
nani alokuambia unguja imejengwa na wapemba
@hamnakituumupumbatupumohd85055 жыл бұрын
mmmh kojan micheweni kusafi
@talibmuhsin52212 жыл бұрын
Ww hujielewi mpumbav nn , iyo unguja yenu kma hakuijenga MPEMBA au wafany biashara wakubwa wapemba isingekua Ivo nyau ww
@husseinbakari89036 жыл бұрын
fika na kambini kichokochwe
@ahmedsaidi8504 жыл бұрын
Nyumban kichokochwe mkambaya Jr hapa
@MrKhatibu5 жыл бұрын
Ndio nikasema DNA za kireno zipo bado Pemba. Hebu angalia machotara wa Brazil na machotara wa Kipemba utaona hawana utofauti. Haiwezekani wareno wakae miaka zaidi ya mia tatu wawe hawajazaa na wenyeji. History ndio hivyo tupende tusipende ndio history
@albait52276 жыл бұрын
jaman pemba inanikatisha Tamaa ya kimaisha natama nirud nyumban lakin duuui
@maryammakungu88006 жыл бұрын
usikate tamaa mpendwa uko wapi kwani kaka
@yassirrashid78026 жыл бұрын
Unacomment nini ww....?
@yassirrashid78026 жыл бұрын
Comment zako za kibuuzi sana brother
@galayagalaya486 жыл бұрын
al bait mkataa kwao mtumwa usikate tamaa m
@MrKhatibu5 жыл бұрын
Mhh tangia kale wapemba wakipata upenye harudi kwao, huolea ugenini na baadae huwachukia waliowapokea na kuwapa makaazi
@sheebqpsheebqp83146 жыл бұрын
Fika na makangale ipo historia
@hamnakituumupumbatupumohd85055 жыл бұрын
mpaka Leo sipati picha kama bakhresa angekua mpemba kuna wapuuzi wangetusumbua waenda kwa mjombaees
@abdijuma24356 жыл бұрын
mbon hujaatuoneshaa fahari zeetu
@EshaHamd-ed9yv11 ай бұрын
Wapemba kweli tutabaki na Mahistoria yetu maana tunawachumia karafuu Maendeleo yanaletwa kwenu sisi Munatuona ni wajinga lakini kumbuka jinga ukilierevua utajua katika maisha yako
@moodkhamis38506 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani nitarudi tu
@hamnakituumupumbatupumohd85055 жыл бұрын
hamna kitu hapo kisiwa round about unazihesabu, Pemba nyumba mbele mjini ila kwa nyumba kijijini full migomba
@omarabeid74904 жыл бұрын
Na kwenu vipi hakuna migomba?
@khamishamad50442 жыл бұрын
Hamna sehemu isiyo na migomba acha uongo na ushamba tutajie ww unatoka mkoa gani kusiko na pori
@hidayaali86196 жыл бұрын
Nikienda pemba sitamani kurudi lakini da nimeolewa
@khamisally54366 жыл бұрын
nyumbani ni nyumbani , kwetu kisiwa cha marash ya karafuuu.