Mungu wetu wa mbinguni awabariki sana kwa kazi nzuri Wana Agape
@EstherMayenga-p5uАй бұрын
Mnatubariki sana.barikiweni pia🙏🙏
@esterbwahema-rh9dg9 ай бұрын
Hongereni Sana kwa nyimbo nzuri
@PeterwaltsGmlowokaАй бұрын
I love this song Keep it up
@LeocardiaJimogaАй бұрын
Wanyoe nywele waliosuka, jåmåñî mnaosuka mnatupa shida kutoa maelezo Kwa wåtü,kiufupi mmekuwa kikwazo säñâ cha injili tunapata shida säñâ! Ni vile tu hamjui. Ni ujumbe mgumu, lakini naomba MUNGU na akawasaidie kuuelewa
@EvangelistMediatvАй бұрын
Amina kwa ujumbe mzuri
@wemaelymshanah9846 Жыл бұрын
U killed it nawapenda na nawapenda tenaaa mnanikosha💘❤Mungu awape Maono ya nyimbo nyngne nzuri zaid💓
@HansMellody5 ай бұрын
Mbalikiwe sana 🎉🎉
@stephenjames6649 Жыл бұрын
Very nice MUNGU awafikishee mbaliii
@MonyangiChristine4 ай бұрын
Mungu awabariki sana Wana Agape
@robertmisiani4015 Жыл бұрын
kutoka Nairobi Kenya . Makongeni SDA church Agape international choir swafi saaaaana. Mungu awabariki . Twawasubiria saaaaana makambi mwezi wa nane tarehe 12
@eliakimsando2919 Жыл бұрын
Mi nimewasikia makambi ya kisesa asee🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@GladysNyanduko-or7jy Жыл бұрын
Nice song
@joshuaayot1380 Жыл бұрын
Oh Hallelujah Mbarikiwe Sana Agape...ujumbe umefika na Bwana atuwezeshe kuuishi Ukristo halisi.
@MaryMponela-cq9li Жыл бұрын
Mungu azidi kuwatumia kwa viwango vya juu. Shambani mwake
@patrickmkusa9335 Жыл бұрын
Nawapenda sana jamn wimbo naupenda huu mungu awabariki mnaimba vizur sana
@happymwita6687 Жыл бұрын
"Moyo wako uko mbali na kristo...." Hii sehemu muimbaji(Sultan) umeitendea haki ubarikiwe sana
@demetriafidelis374 Жыл бұрын
Jaman mbarikiwe sana nawapenda pia mnanibariki sana
@esterbwahema-rh9dg Жыл бұрын
Mungu awabariki Sana kwa ujumbe makini
@AgapeIntSDAChoir11 ай бұрын
Barikiwa pia nawe na zidi kutufuatilia kupitia chanel yetu hii kwa Mambo mazuri yanayokuja
@Neemaamani-dj5dg6 ай бұрын
amen barikiweni
@deborad.r.g5042 Жыл бұрын
Napenda huu wmbo mbarkiwe sn..
@AgapeIntSDAChoir Жыл бұрын
Barikiwa Sana
@sophienyamhanga3484 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa kila nikiwaona namwona mamdogo wangu naamini lipo tumaini muende mvali sana
@AgapeIntSDAChoir11 ай бұрын
Barikiwa Sana nawe
@pillysteven2889 Жыл бұрын
Hongera Agape international hakika MUNGU kwanza
@frankdavid4245 Жыл бұрын
Mmenibariki, Mbarikiwe pia
@MaryMponela-cq9li Жыл бұрын
Ameen Mungu azidi kuwatumia kwa viwango vya juu
@EvaMassasi11 ай бұрын
Atukuzwe Mungu kwa ajili yenu wapendwa, Mungu azidi kuwainua🙏🏻❤️❤️
@AgapeIntSDAChoir11 ай бұрын
Barikiwa Sana nawe
@EvaMassasi11 ай бұрын
@@AgapeIntSDAChoir Amina. Ule wimbo wa Mlipuko wa Injili hakuna kupoa mlouimba Mugumu Central nnaupataje nimeutafta sanaa ila nimeukoswa
@AgapeIntSDAChoir10 ай бұрын
zidi kua karibu karibu nasi hivi karibun utakua hewan kupitia hii chanel pendwa
@annandiegi267 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana umebarikiwa
@SamwelIsack-t4n Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo kwani umejaa ujumbe
@barnabarsimion8295 Жыл бұрын
Mmetisha sana
@judithonsomu4472 Жыл бұрын
Beautiful song and very uplifting. God be praised eternally.
@AgapeIntSDAChoir Жыл бұрын
Thanks for listening
@bilshanimsalya8 ай бұрын
God bless us!,
@adamastonas Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@NicolausKegoye-zd1br Жыл бұрын
Mnatisha
@JohnMaroso5 ай бұрын
Amina
@maureenokemwa4625 Жыл бұрын
Nice one
@nyandanaftali8014 Жыл бұрын
kutoka Mbeya, Agape international choir mbarikiwe kwa uimbaji wenu mzuri
@reubenbichanga8433 Жыл бұрын
Aminaa
@cosmasjoseph8481 Жыл бұрын
Bwana awe nanyi mtumikieni Mungu pekee
@cleophaceharvest42725 ай бұрын
Wimbo makini
@JoyceBega5 ай бұрын
Bwana awe nanyi
@merrymelodysingers2035 Жыл бұрын
Waooo wimbo mtamu sana
@happynesamos4637 Жыл бұрын
Nabarikiwa,sana,ninaposkiliza,nyimbo,hiz,agape,International juliana from DSm
@AgapeIntSDAChoir Жыл бұрын
Barikiwa Sana na zidi kua pamoja na sisi kaa tayari kwa nyimbo nzuri zijazo