This is the best freestyle rap batlle on the internet.... hahahahahahahahaha love from +254
@abasmwika34326 жыл бұрын
Kado Nondo ndie best freestyle killer kwa hivi sasa bila kujali matokeo haya yametokaje.
@arafatmisano33835 жыл бұрын
Abas Mwika uyu mwamba hafai
@happylimo57665 ай бұрын
Unamjua toxic fuvu wewe
@desmonddavid14546 жыл бұрын
Judges mmeyumba kado kaonyesha uwzo, amefloo styles tofaut tofauti na kapunch lines pia, lakn Stan amefloo style moja tu. But kaz nzur ila next time muwe makn
@gnso_andrew24716 жыл бұрын
Desmond David wanaskiliza panch sio style
@desmonddavid14546 жыл бұрын
Punch wamelngn je? utatofautisha vp bila khsish style
@desmonddavid14546 жыл бұрын
Zkiussshwa punch lines pkeyake micasa itashndwa kuproduce maMC bora ila itaproduce bora maMC, lakn wakzngatia floo styles katk freestyle itakuwa poa Sana maana kufnya floo tfaut ktk freestyle sio jmb jpes n wchche wanaowza kfnya hyvo. Kwhy floo styles zizngatiwe pia
@sajeyadrian36756 жыл бұрын
Fresh sana wote wamefanya kaz nzur Sana BT let us listen to the judges
@josephselemani89716 жыл бұрын
unataka kumpokea yesu unaenda kumsubir ubungo!! tisha sana kado
@ireneallen30794 жыл бұрын
Mpy
@hancychriss7213 жыл бұрын
Hii ni 2021 huyu CADO anajua kinomaaa 🦁🦁🦁
@fredinno85306 жыл бұрын
Kama unamkubali stan gonga like ap
@kuruthumhamis93472 жыл бұрын
Stan ni wa home kabisa kibena njombe town lakin hata kado kintengo ni noma daaaaah wote wana tisha sema majaj wamezingua ilikua droo jaman angalien kwa makin na wasikilize hao wajomba vizuri
@waxtv42244 жыл бұрын
Cado kama amekaa hivi kwa huyo jamaa ila badooo cado nooooma💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@KaperdonaBeats4 жыл бұрын
Hahahaha hii ndio best free style battle yangu nzuri nilio ikubari awa jamaa maneno yana toka na vina kama wame andika
@moziidavchonchi33386 жыл бұрын
HAHAHA KADO BANAA "NAJUA KABISA KAMA WEWE NIKASANGA UNATOKA TANGA NYUMBA SHOGA NYUMBA MGANGA " HAHAHA NOMA SANAA UYU CHALII ASE
@ignasboy18536 жыл бұрын
Kado kitengo kauwaaaaa
@donprince97526 жыл бұрын
Utam wa hiphop bila ela tunaishi na misingi yetu
@rahimkipetelo23175 жыл бұрын
Round 1-3 Stan alitakiwa awe kashapigwa chin. Majaji walizingua. Lkn baada ya kuongezwa ya 4 stan kaua game Lkn Kado ndo the best in town ktk izi freestyle buttle haina ubishi
@kinarazemaster73216 жыл бұрын
sema Stan anacheza na maneno sana
@alfanboblice83995 жыл бұрын
Wote ni wakal but kado ni moto mwingine
@dkensmopainvevo36832 жыл бұрын
Stan ati bora kuzaa tumbili kuliko mitoto kama hii miwili🤣🤣🤣
@namonaxella82752 жыл бұрын
Nomaaaaaa nilijiuliza cado atakalishwa na nani
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
Cado vacal na style ni noma💥💥💥
@robertkazungu83032 жыл бұрын
From +254 cardo zee la midamu katisha hapa,majudge mumetuzengua
@hanceironfurnitureog62525 жыл бұрын
Cado boy ni mwamba,majaji mmezingua
@nziimsafi93876 жыл бұрын
Cado ni best.stani anafloo moja.sas sometime kila wakitaka kumbeba cado awe winner its hard anafel yeye mwenyew tena mwishon.
@twaibunyoni40206 жыл бұрын
Kado kitengo kimbizaaa punchii
@peterpixel94955 жыл бұрын
Stan is lose🙏
@waxtv42244 жыл бұрын
@@peterpixel9495 reppre
@jaquubjummah75383 жыл бұрын
Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣
@escobar21114 жыл бұрын
Stan lyms ametixha
@nicholascharles55474 жыл бұрын
Cado anaweza kuwa mkali sana ila afundishwe Hip Hop sio uhuni ni arts tu
@ibrahimkanuto35144 жыл бұрын
Stan rhymes ni balaaa kitengo mchanga kashindane na mteganda
@mvungigaming6 жыл бұрын
This was actually fun to watch....
@ibrahimmziray44075 жыл бұрын
Leo milima imekutana ila uyo kado kanikosha sana
@arafatmisano33835 жыл бұрын
Ibraheem Mzyray kado atar sana
@daimonbosco18905 жыл бұрын
stan anajua mzee🔥 akn kado apo alitishaa💪
@zikirination67695 жыл бұрын
Stan rymes uyo cado umemuweza😂😂😂😂
@juv3nylrp6595 жыл бұрын
This was a fuckin' battle.
@kingsuleiman72013 жыл бұрын
Shuwa moja moja hakuna aliye shinda hapo wote wanalingana uwezo
@young_baizer Жыл бұрын
Nakubli lkni nitakubali zaid endapo nitapata rap battle na kado mtoto mdogo
@OverdozClassic4 жыл бұрын
from Kenya... ako na haki kushinda
@kassimmakusanya95296 жыл бұрын
CRB TUFIKE IZI HATUA... TUTAFUTE HATA WAFADHILI TUFANYIE HIZI SHOW ZA KIBABE SEHEMU ZA UKWELI, NA WATU WAFAHAMISHWE KUHUSU HIZI COMPETITION... TUIPANDISHE HIP HOP YA BONGO JUU
@kassimmakusanya95296 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/r3zWqGeYaL2NbdU
@zainabhassan78684 жыл бұрын
Stan mistar yako ya kukariri cado una kipaji sanaa
sema mnambeba sana stan ila cado kitengo atabaki juuuuuuu
@juvenalymnyama2517 Жыл бұрын
Cado anajua sana
@milimomashini94326 жыл бұрын
Duuuuh stan piaaa shidaaaaaaa
@youthadvocacypartners87653 жыл бұрын
Kado noma ila leooo ulikutana na chuma 2021
@abiboseleman16493 жыл бұрын
Stan hapigi free style anaandika mistari cado anapiga real freesttle
@twaibunyoni40206 жыл бұрын
Hata uwe na nguvu vip mtoto wa kiume huwez vunja unGoo
@farijidee23865 жыл бұрын
stan rhymes ndio kiboko ya cado kitengo
@brightvatta2846 жыл бұрын
Naelewa sana p the emcee vile unatoa judgement, upo mwenyewe na unasikiliza sana... Stan Rhymes katisha sana hii, no doubt
@tygamnyamatz30575 жыл бұрын
Stan Mkal
@obedmussa50994 жыл бұрын
Napenda izo mechi ntakuja siku moja
@raphaelmidimi37794 жыл бұрын
Cado mkali manzee
@kontadahustler83466 жыл бұрын
MY NIQQA STAN VINA
@milimomashini94326 жыл бұрын
Ayeeeeee
@suwedwakil43922 жыл бұрын
Sema kama stan mtu wenu
@michaeljoseph77742 жыл бұрын
Wana mna Tisha sana, 🔥🔥🔥
@suedybau35926 жыл бұрын
kado anatisha tanzania nzima
@arafatmisano33835 жыл бұрын
suedy bau kwel
@abumuhammad96154 ай бұрын
Stan nimekuzidi upeo Humiliki penseli lakini mwizi wa vichongeo
@abumuhammad96154 ай бұрын
Nakugonga bure sikupi hata jero
@hummer4wheelz2834 жыл бұрын
Hahahaha daaah 11:15😂😂
@ShabaniGhullam-rq5pz10 ай бұрын
🔥🔥🔥✊🏾🤚
@matwisttanzania1606 Жыл бұрын
Njombe boy
@denzopar69612 жыл бұрын
Naomba msaada hyo beat ya round 2 n ya nani? Mwemye anayeijua anisaidie...iyo ya round 2
@zainabhassan78683 жыл бұрын
majaji mnazinguwa cado kaua mnampenda sana stan alaf p the mc unampenda sana stan
@mussajoseph77466 жыл бұрын
Stan mkubwa wa kazi kwao .
@yassinijuma47084 жыл бұрын
Kado kitengo katisha zaidi but wote sio wabovu
@twaibunyoni40206 жыл бұрын
NakubaL unJuuuu
@loveandfaithfulness44792 жыл бұрын
Proverbs 13:1-13 A wise son heeds his father’s instruction, But a scoffer does not listen to rebuke. A man shall eat well by the fruit of his mouth, But the soul of the unfaithful feeds on violence. He who guards his mouth preserves his life, But he who opens wide his lips shall have destruction. The soul of a lazy man desires, and has nothing; But the soul of the diligent shall be made rich. A righteous man hates lying, But a wicked man is loathsome and comes to shame. Righteousness guards him whose way is blameless, But wickedness overthrows the sinner. There is one who makes himself rich, yet has nothing; And one who makes himself poor, yet has great riches. The ransom of a man’s life is his riches, But the poor does not hear rebuke. The light of the righteous rejoices, But the lamp of the wicked will be put out. By pride comes nothing but strife, But with the well-advised is wisdom. Wealth gained by dishonesty will be diminished, But he who gathers by labor will increase. Hope deferred makes the heart sick, But when the desire comes, it is a tree of life. He who despises the word will be destroyed, But he who fears the commandment will be rewarded.
@yonamhabuka0013 жыл бұрын
Noma
@AllexMwambonaa Жыл бұрын
Kado chuma
@dannyyusto61976 жыл бұрын
KADO nondo
@pozzymaker24384 жыл бұрын
Naitwa mc pozzymaker kutoka uwanja wa ndege dar
@adamsimkonda45433 жыл бұрын
unataka kumpokea yesu afu unaenda ubungo
@mcmifukotz7267Ай бұрын
Kwanini isieudi tena hii
@erickfidelis80736 ай бұрын
round ya pili ilikuwa ya kado
@emmanuelngenza31896 жыл бұрын
round 2 stan 😀😀😀
@afyandogo6 жыл бұрын
hii ni best battle kwangu hadi sasa wote wameuaa
@nasirnassor449 Жыл бұрын
OG
@jumaamzee20414 жыл бұрын
Umetokea Tanga,Nyumba shoga nyumba mganga
@kingsuleiman72013 жыл бұрын
Kipindi hichi nakipenda hivi saivi kikowapi Wawa kilishi wakowapi
@mzushmzushicolour81835 жыл бұрын
Stan rhymes K@)l
@panablegololi88126 жыл бұрын
Stan anatisha kinoma
@simonlukiko28503 жыл бұрын
Muna mbeba stan rymes waduwanzi nyie ha ha ha sio poa hyo gem tu toeni point za kweli
@afyandogo6 жыл бұрын
stany balaaa
@dinyoabeli90284 жыл бұрын
Kado nondo kakutana na chuma chakavu
@WizzyMnyama6 ай бұрын
Mshindi Cado bana
@malickkyona45004 жыл бұрын
kado ni mbwaaa asee
@hamisnelsoni77476 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀bhna
@arafatmisano33835 жыл бұрын
Uyu jamaa kitengo ni moto
@rajabmniwa64854 жыл бұрын
#stan
@obedmussa50994 жыл бұрын
Stan noma
@daddieeddie50572 жыл бұрын
Cado balaaaa
@pozzymaker24384 жыл бұрын
Naombeni nafasi hio au mnapatikana wapi namba zangu ni 0787491786
@juv3nylrp6595 жыл бұрын
Lakini hizo gay rhymes bana hazifai.
@agustinorichard16375 жыл бұрын
Iko waz Stan bingwa
@innocentsilivester97836 жыл бұрын
brother mansu li ameua hapo kwa black mc 😂😂
@Extramiletv6 жыл бұрын
Ha ha ha ha!
@innocentsilivester97836 жыл бұрын
+CityRapBattles napenda sana kuona kitu kama hiki kikiendelea hip hop yetu inaendelea kuishi na kuenea safi sana na mnafanya kazi nzuri sana
@Extramiletv6 жыл бұрын
Bless!
@rodgersgingila93676 жыл бұрын
round ya mwisho stan kaua
@imachembele70435 жыл бұрын
hawa jamaa wana flow fresh luga ya matutis co poa
@pj2jay1584 жыл бұрын
Kwa asili hip hop ni mziki ulitoka mtaani na mara nyingi hutakiwa kuonyesha ukakamavu yaani uanaume na hiyo ndo hip hop kwaiyo kwenye hiphop ukaambiwa unamambo ya kike ni tusi kubwa kwani inamaanisha si mwanahip hop ambayo ndo sifa ya kiume
@sungjosephmaestro42644 жыл бұрын
Majaji makuma 2 kado nondo ni nyoko xan yan anajua so poa yan
@ibrahimkanuto35144 жыл бұрын
Anajua ila kakutana na fundi
@sungjosephmaestro42644 жыл бұрын
@@ibrahimkanuto3514 unafel joo stan rhymes amezoea kubebwa 2 uyo