CLAM; NIMETEMBEA NA ZUCHU, ALIKUWA MPENZI WANGU,COMEDY INANILIPA

  Рет қаралды 370,255

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 388
@dativaminja2278
@dativaminja2278 Жыл бұрын
MUNGU wangu kumbe katoto Ila napenda komedi zako nacheka sana,,, nikuombe tu kwenye maisha halisi usiwe muhuni vile kutembea na kila mwanamke usije ukapata ukimwi
@samirahmawby3331
@samirahmawby3331 Жыл бұрын
am proud of you Clam,,,hujawahi kutongozwa Mimi Leo nakutongoza hadharani🥰🥰nakupenda mkakaaaa njoo ule Raha mtaa huu
@user-kv7cs9qm8r
@user-kv7cs9qm8r 8 ай бұрын
Penda pepo yko haya ni ya dunia
@habbibtymonah6912
@habbibtymonah6912 Жыл бұрын
Hapo kwa wema yani ninavyompenda huyo dada wema acha tuu ❤❤❤
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira Жыл бұрын
Clam nakubali sana kazi nzuri hongera sana kana 🙏. 🇰🇪 🇰🇪
@user-id1me9ve1o
@user-id1me9ve1o Жыл бұрын
Kijana muelevu sana Mungu akupiganie kazi nzuri ❤️❤️
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
sana❤❤❤❤🤝🤝🤝🙏🏿🙏🏿
@aishalovesidibeaisha9156
@aishalovesidibeaisha9156 Жыл бұрын
Islam nakupenda sana ukiwa kwa comedy zako zinanifuraishaka sana🥰🇦🇪🇧🇮🇧🇮
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
👍✌️
@safari5774
@safari5774 Жыл бұрын
Naongea na uyu naongea wewe 😂😂😂😂😂
@DamarisMchali
@DamarisMchali Жыл бұрын
Eee mdogo wangu bola jenifa
@elizabethikai1565
@elizabethikai1565 Жыл бұрын
🥰🥰 nakupenda buree clam am watching from Kenya 🇰🇪 much love ❤
@jacobsayialel3259
@jacobsayialel3259 Жыл бұрын
Naenda nyumbani kula chapati na maharagwe
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Hongera sana nakutakia kazi njema na mafanikio mema kwenye kazi zako mimi ni shabiki Kati ya mashabiki wengine tunakuombea dua songa mbele usirudi nyuma
@amourworldbeats
@amourworldbeats Жыл бұрын
Namkubal sana Clam Vevo,Anapenda Chapati Na Maharage
@bahatisaid7931
@bahatisaid7931 Жыл бұрын
One love clam from Kenya🇰🇪🇰🇪
@user-cx1ne6gf5d
@user-cx1ne6gf5d 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤ daaah nimekupenda bureee uko vizuriii 2:09 2:24
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Miye nakutongoza nakupenda saana ridhiwani💕💕💕💞💅
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 Жыл бұрын
Daaah! Wewe dogo unanifurahishaga sana!...Excellent! Keep it up
@puritykalasinga371
@puritykalasinga371 Жыл бұрын
Excellent Clam keep it🥰🥰🥰🥰 l love watching your video much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@samsonmutuku1803
@samsonmutuku1803 Жыл бұрын
I do love your comedy shows keep it up from Kenya
@sharoncherotich352
@sharoncherotich352 Жыл бұрын
Clam anapenda chapati na maharage unamwuliza ka Ako na mpenzi 💔😂😂😂😂😂
@user-ww8dn5mt5d
@user-ww8dn5mt5d 9 ай бұрын
Nataka kwenda nyumbani 😂😂
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HAHA nimecheka sana atii nawatongoza akntukana. Haha kwanini jamani munamtukana nae ni binaadam km wengine
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Masha Allah nakupenda kijana wangu ridhwan nakuekea mschana wangu inshaallah
@janniffermary736
@janniffermary736 Жыл бұрын
Kumbe ni katoto, ndio maana anapenda chapati na maragwe😂😂😂
@suschiambuche
@suschiambuche 10 ай бұрын
Clam I love you 😂😂😂😂
@JBK240
@JBK240 10 ай бұрын
Hii comment inachekesha ukiisoma kwa kiingereza😂
@lizspiffy9055
@lizspiffy9055 Жыл бұрын
Nakupenda sana clam 😍😍from Kenya
@mwaminashosi5781
@mwaminashosi5781 Жыл бұрын
Clam hapendi waschana yeye anapenda chapati na maharage 😁😂😁😂
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Жыл бұрын
Haahahahah
@shaabanmasoud4827
@shaabanmasoud4827 Жыл бұрын
Hahahah Naenda Nyumbani
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 Жыл бұрын
😂😂😂
@rizikieboha6950
@rizikieboha6950 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ndiyo anapendaga
@kingshiv75
@kingshiv75 Жыл бұрын
Bro let's keep moving, napenda kazi yako pia pia Mimi fun wako
@DarveedyFedrick-ub5je
@DarveedyFedrick-ub5je Жыл бұрын
Big up man. Uo ndo uanaume we nimuwazi sana broh. Wala so kama unatafuta Kik we funguka mwamb!!!
@user-le5rs3jj6r
@user-le5rs3jj6r 6 ай бұрын
🎉umesema una mpenzii mi nadai Uwe mpenzii wangu😂😂😂 anyway napenda komedi zako Sana zanipa furaa wakati Niko na wowote
@EstherMakau-ug9ps
@EstherMakau-ug9ps Жыл бұрын
You makes my day indeed loves you sana❤❤❤
@AbdurrahmaniDjumah-be2ew
@AbdurrahmaniDjumah-be2ew Жыл бұрын
Clam nimechoka kusubiriya bing boss Toka utoe ya8 zifwatazo sijuwe vipi
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk 11 ай бұрын
Mlandiz unanikumbusha mbali sana nilikuwepo maeneo ya ruvu jkt hapo 😂😂
@fatuachembea8019
@fatuachembea8019 Жыл бұрын
Clam the comedian nakupenda sana show zako am from kenya wewe wapenda chapati na maalage mm nipishi mama chapati na maalage kutoka kenya
@sharlharl5890
@sharlharl5890 Жыл бұрын
Waaah kweli Zuchu kiboko ya mjini😂kashapendwa na nashnash wake inatosha
@mwanajumanduni3375
@mwanajumanduni3375 Жыл бұрын
Nampenda uyu kjana nikimuona nahisi nimeona mtoto wangu Yan ana fanana sana na mtoto wangu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Жыл бұрын
Ukute baba mtoto wako alichepuka akamzaa huyu kijana.
@ummuramadhan1842
@ummuramadhan1842 Жыл бұрын
Nduni mbona kambae hili jina niliwai liskia,,,,sio upande wa ng'ombeni
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 Жыл бұрын
Clam at ur age unataman kuwa na mumama sepetu😂😂😂
@macahjullynyte9213
@macahjullynyte9213 Жыл бұрын
Clam anajiamini kabisaa😂😂
@shabani_Osee_Ngena
@shabani_Osee_Ngena Жыл бұрын
Nakukubali san mdogo wangu 💪😂😂😂
@zaynabsaleh6679
@zaynabsaleh6679 11 ай бұрын
Jaman hapana me nimeshindwa kuvumilia nampenda sana clamvevo ❤
@jackyjacob2105
@jackyjacob2105 Жыл бұрын
kumbe ww ni katoto hvo ila me nakupenda Jaman 🥰🥰😋🙌
@aminambwana5294
@aminambwana5294 Жыл бұрын
Kumbe clam katoto hata maongezi yake yanadhihirisha maskini, Mungu akufungulie kheri na mafanikio zaidi bro na wakwako hajazaliwa mungu atakupa kiulaini
@dontaffalbellah3680
@dontaffalbellah3680 Жыл бұрын
Wallhi tena
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 Жыл бұрын
😂😅🤣🤣😂😂wadogo wanapenda wanawake wakubwa kuliko umri wao
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Swadakta 😛🥰wenyewe wasema Hawana presha
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Uyuu zuchu mara Mr pimbi tena clam naye 🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963 Жыл бұрын
Pimbi n mtu naye kujpaisfa tu 😂😂 ndo maana akanyimwa kimo😂😂
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Wee mtangazaji wacha kumharibu huyu kijana... msitake kuharibu vijana wa Bongo kwa ujumla kishakwambia hajawahi usitake kumharibiya Zuhura jina lake ha haaa lakini huyu kijana kakupate. We MDADA Kachukuwe certificate ya kuwafanyia watu INTERVIEW. Umefeli....tena
@HalimaChirspin-qo7ch
@HalimaChirspin-qo7ch Жыл бұрын
Kaz nzur kaka napend michezo yako unafany vzr san
@Caffe-gx1hr
@Caffe-gx1hr Жыл бұрын
Clam ametulia Sana👍🙏🙌
@josephinewambua862
@josephinewambua862 Жыл бұрын
Napenda movie zao sana mungu akubariki Sana waenda mbali zaidi y hapo walipo
@user-ej2rm4bj7w
@user-ej2rm4bj7w Жыл бұрын
uko vizuri chaliii angu nmependa kazi yako ety me mwenyewe waga nataman Sana niwe kama ww ila sapoti Sina ety
@MrJMtvcomedian
@MrJMtvcomedian Жыл бұрын
Mimi apa nawapenda sana mungu awape uwezo tunafurahia sana
@johanesygozbert-pk3bh
@johanesygozbert-pk3bh 25 күн бұрын
Poa dogo njamja
@zazalareine257
@zazalareine257 Жыл бұрын
Kumbe upo singlo clam mi nakupend bure unanivutiyag 🤣
@djpassovertz..tunaishimaramoja
@djpassovertz..tunaishimaramoja Жыл бұрын
Mi napenda chapati na maarage😂😂😂😂😂😂Zuchu kumbe alikua demu wetu manina tutabaki kua maarufu tuu hata wakitutangulia..sema nawakuli nyie majamaaa from +254
@user-zb4su1kt4w
@user-zb4su1kt4w 10 ай бұрын
Hahahahaha clam unachekexha kweli
@mslaysauti
@mslaysauti Жыл бұрын
I have never had a crush but I really love your partner, tell him the truth, he doesn't know, yes, I don't know, but just let it go, I like him first, his soft voice makes me happy
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 Жыл бұрын
Mtoto mudogo wa 21 bado anatamani wa mama zake?eti wema? We Clam pita uku
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
🤣🤣 by dulla
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
😂😂APITE HUKO
@shadakpotos482
@shadakpotos482 Жыл бұрын
Clam force à toi bro 👊✨❤
@Mtm_fam
@Mtm_fam Жыл бұрын
Wakwanza ku like nipeni like zangu
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
RIZIWANI 💋❤( CLAM)💯unawaeza hauna mpizan😅😅😅🥰
@user-nj6kj6xn8g
@user-nj6kj6xn8g 11 ай бұрын
Mashallah mungu akujalie na moyo huwohuwo clam
@abiga1152
@abiga1152 Жыл бұрын
Clam napendasana comedy zako naliki napendasana mahagy natokapale Congo🇨🇩🇨🇩
@Equence123
@Equence123 Жыл бұрын
Clam kama mungu kakupa uwezo basi wasaidie ambao hawajiwezi😊
@williamernest8712
@williamernest8712 Жыл бұрын
Uyu mwamb anajua
@NeyKyando
@NeyKyando Жыл бұрын
💗💗💗comedy zako tuu
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Жыл бұрын
Kumbe zuchu malaya kapandwa mdogo sana maana ww klam unamiaka 22 sasa huo muda muliodet mh mtihani
@santamkutano159
@santamkutano159 Жыл бұрын
Njoo huku kenya tunakupenda pumbavu zako wapi mbwa gogo
@gm6526
@gm6526 Жыл бұрын
Aah mi clam natamani siku moja kuja kushuti na wewe siku moja
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Ila ikramu isipende sana kuwa na mahusiano ya wanawake wakubwa na hawa wasanii achana nao
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Usiseme katembea n wengi unaushaid gn waambie wakuonyeshe msg ndo useme zuchu anawengi
@annysamwel9669
@annysamwel9669 Жыл бұрын
Nakukubali sana ila usisahau kunipenda namie kama unavyompenda mrembo wema jaman
@Mushalotelevisionkiswahili
@Mushalotelevisionkiswahili Жыл бұрын
Clam nde comédien nalingaka Na Afrique de l'est mobimba🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@haidarykufakunoga5973
@haidarykufakunoga5973 Жыл бұрын
Clam acha uhuni wewe " hiyo akaze, akaze tu ili mradi aendelee kushikilia ujiti" ni mchomekeo kimtindo🤣🤣🤣🤣🤣
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand Жыл бұрын
Kicheche njoo u comment kwa mbwa huyuu
@innocentbarazire4558
@innocentbarazire4558 Жыл бұрын
Sasa ukimuita mwenzako mbwa wewe utatakuwa we 🇸🇪👉
@dayadaniel4968
@dayadaniel4968 Жыл бұрын
Haka katoto kanachekesha eti kanampenda wema baada ya chibaba ndio kenyewe😃😃😃
@VaannyPheny
@VaannyPheny 12 сағат бұрын
Clam big up
@ziporaa8570
@ziporaa8570 Жыл бұрын
Clam mimi niko single na naitaji mtu ambaye atanitunza na kunipa mapenzi ya kweli
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Ikramu una comedy nzuri sana unatufurahisha sana ukiwa kwenye kazi zako Yaani wewe hata ukiwa kwenye media unaleta ukomedi haha
@dreamonline1997
@dreamonline1997 Жыл бұрын
Anaitwa RIDHIWANI SIO IKRAM
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
@@dreamonline1997 ALAA basi sawa
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Жыл бұрын
We Katto Tuliya Bwana Achana Na Awo Watakuuwa
@MuyumbaKayite
@MuyumbaKayite Ай бұрын
clam Vevo unacho ongea nikweli🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mimi ni congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@joanndinda3438
@joanndinda3438 Жыл бұрын
Clam nakupenda njoo unioe🤣🤣
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Wemaaaaaa pitia uku kwa ilcamu unapendwaaaaaa 🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️
@balakakilagwa6826
@balakakilagwa6826 Жыл бұрын
Kumbe ndio ulikuwa hivyo
@LilianSabrina-mu2gd
@LilianSabrina-mu2gd 10 ай бұрын
Uko vizuri sana😊
@LawcoTv
@LawcoTv Жыл бұрын
Watching from Kenya
@Rathe362
@Rathe362 Жыл бұрын
Nahenda nyumbani ✌️😅
@naswiheart5687
@naswiheart5687 Жыл бұрын
Mimi huwa napenda sauti yako tu.
@giirigiiri
@giirigiiri Жыл бұрын
This one is good I like to comment
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 Жыл бұрын
Dada mtangazaji unafanana sana na mwanangu aisee hadi nakuona nashtuka!
@matthiasde2700
@matthiasde2700 Жыл бұрын
Iyeeeeeee wemaaaa😂😂
@Jodrey1
@Jodrey1 Жыл бұрын
Wewe Clam 😂😂😂 ume tongoza paka Jenifer??? Uta uponza 😂😂😂
@neemabefore918
@neemabefore918 Жыл бұрын
Mm nakutakia SASA sana wewe Mtoto
@robyrobert8946
@robyrobert8946 Жыл бұрын
Pole clam kutukang'wq kawaida Bhn
@jamessimba749
@jamessimba749 Жыл бұрын
Huyu dada abadilishe KOFIA sasa hatujui kama za ndaaaan anabadilisha
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Ahhhh kafeli....hata sijuwi nimuanze wapi 😂😂😂😂
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Anatak mumzoee hivo hivo ili msimusahau
@samirahmawby3331
@samirahmawby3331 Жыл бұрын
Clam mpenzi Jini uwiiii😀😀😀😀I really like you and your job
@georgebingi1536
@georgebingi1536 Жыл бұрын
Hahahaa
@habbibtymonah6912
@habbibtymonah6912 Жыл бұрын
Zuchu huyu mwenye kifua na sio tako 🤣🤣🤣🤣🤣
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Hhhhh ndii huyo huyo 😂😂
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Uyo uyo 🤣🤣🤣
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
😛😄😄Lahaulaaa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
Hata kifua chenyewe hana.
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
@@nasraabdallah850 fact kabisa tako ana kifua ana sura yenyewe ina sua sua
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
Ukweli utabaki palepale tu wema anapendwa sana mimi mwenyewe nampenda mpka basi ❤❤❤
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Kabisaaa ❤️👌
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
@@jaymwinyi6957 mungu alimpa nyota ya kupendwa
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
@@maryamanalisi197 na Bado yuazidi kupendwa
@mslaysauti
@mslaysauti Жыл бұрын
Clam wewe ndugu wewe penda tu chapati na Maharage 😂😂
@Jonas-qc9bz
@Jonas-qc9bz Жыл бұрын
Una jua uyo klam nichi kweli jamani nilijua Ana igiza kumbe kichaa, Sasa Kama ame mtomba suchu sisi Ina tuhusu nini, Yani uhuu Ni usenge
@mathiasmohamedkidevu2090
@mathiasmohamedkidevu2090 Жыл бұрын
Brother napenda sana kaziyako je naweza kujiunga
@FlexboyMulumba
@FlexboyMulumba Жыл бұрын
Na kukubali Sana bro na mung akulinde
@elizazaina875
@elizazaina875 Жыл бұрын
Claam mm naku penda Sana njoo kwangu uni owe
@jamessimba749
@jamessimba749 Жыл бұрын
HUYU DADA MASWALI HAJUI KUHOJI NDO MAANA SOME TIMES KANAJIBIWA VIBAYA
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Mhhhh watu wanasomeya namna ya kufanyia watu interview..lakini Bongo wanatuletea vichekesho saa nyingine 🤣🤣😂🤣
@zaynabsaleh6679
@zaynabsaleh6679 11 ай бұрын
Jaman clamvevo nampenda mimi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mahirsin1094
@mahirsin1094 Жыл бұрын
Umezaliw 2000 muongo mbwa wew
@SalumuWembo-fo5rr
@SalumuWembo-fo5rr 10 ай бұрын
Chapati ya zuchu na Clam Vevo mbona yote pamoja tuu🤣😂
@dennisvenant7357
@dennisvenant7357 Жыл бұрын
Naitaji jimama la mchongo Niko na nyege sana
@MerrySaidi-gu6so
@MerrySaidi-gu6so Жыл бұрын
Kumbe mdogo ivyo jaman 🥰🥰
@shadyarif653
@shadyarif653 Жыл бұрын
Aniffer anakufaa bro...na umetongoza wengi😂😂😂
@indiansonglomanticlove8493
@indiansonglomanticlove8493 Жыл бұрын
Duuu kumbe hili kweli ni gia name🤣🤣
@eunicelorite
@eunicelorite Жыл бұрын
Kwenda uko 2000 ni 21years ama 23 hujui Mimi ni wa 2000 na nko 23years muwongo
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
CLAM💋 😄😄😁😁🥰💯COMEDY
@asiyaasiya4188
@asiyaasiya4188 Жыл бұрын
Mimi Niko usijali
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 11 ай бұрын
Watanzania baadhi yao sijui nini kwan sivitu vya kawaida tu ktk makuzi? Minapenda kazi zake napenda anavyo jituma.tuzungumzieni habari za kazi mambo ya mahusiano hayatuhusu na hayana mana youote kwetu.
@joycenjuguna2002
@joycenjuguna2002 Жыл бұрын
Aki ww wachekesha kweli
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Muongo wewe unamsingizia zuchu wa watu pumbavu zako
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Жыл бұрын
Hio ni ukweli
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
@@paskalinapa6177 si kweli ataka umarufu tu
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Жыл бұрын
😂😂😂😂
FATAKI MVUNJA NDOA ZAWATU
15:52
Steve Mweusi
Рет қаралды 632 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
DADA WA KAZI ALIYE FUMANIWA NA BOSS WAKE AFUNGUKA MWANZO MWISHO
20:46
SIPO HURU_✓[OFFICIAL VIDEO]
0:59
JJ PENTERNUMZ
Рет қаралды 14 М.
Clam vevo Chapati na Maalage 🤣 #bigboss
7:25
Eshe Salum
Рет қаралды 58 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32