No video

Clatous Chama aeleza malengo yake Yanga, azungumzia Siku ya Mwananchi

  Рет қаралды 32,070

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

"...malengo yetu ni kuwafurahisha" - Kiungo wa Yanga, Clatous Chama anaeleza hamu aliyonayo katika kutimiza malengo yake binafsi na ya klabu anayoitumikia kwa sasa huku akiwaita mashabiki kwenye kilele cha #SikuYaMwananchi

Пікірлер: 17
@user-bl6rd4pq4k
@user-bl6rd4pq4k Ай бұрын
Thanks cloutuse chama kwa ahadi unazotuahidi sisi wananchi💛💛💛💚💚💚💛💛💛
@user-jq7is1hp7w
@user-jq7is1hp7w Ай бұрын
Jamn muach makasiriko jmn😂😂😂😂😂😂 sawa tuna wazeee Sasa shida nini bhna chama tunae na tunatamba naeee kwa kiufup tnanampendaaa😊😊💚💛💚💛💪
@TariqMbwambo
@TariqMbwambo Ай бұрын
Wazee kavu sana wakati hata hela ya kununua jersey hawana wataweza kuendesha club
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
Yanı hata kwenye kijiji ambao wanawuwa maendeleo ya kijiji ni wazee wewe fatilia vizr wazee wengi ni kikwazo kwenye vijijini vyao😅
@JonasWilson-u6t
@JonasWilson-u6t Ай бұрын
Shida iko pale pale
@BobuMarsata
@BobuMarsata Ай бұрын
Wazee wengin hovyo kwel et timu yao apa ilipo fika tu wakipewa lazima iludi nyuma mwiko
@user-vw5gy9mv6r
@user-vw5gy9mv6r Ай бұрын
wazee washafnya yao uku
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Tunawategemea wapambanaji wetu
@GeorgePeter-s9c
@GeorgePeter-s9c Ай бұрын
Wazee wa ach mate et
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Ай бұрын
DAIMA MBELE NYUMA .WIKO WAZEE WATULIE KWANZA
@norisikikoti2017
@norisikikoti2017 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/qZubYquYrbJrkNksi=sxhthtGPAB15zegV Tumika leo
@themasimbi2
@themasimbi2 Ай бұрын
Msaliti
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Ай бұрын
Yaan nikiangalia hawa wazee Hawana nuru kabisa hawajachangamka Kama vijana watu na mazingira Yao ya mazoezi mabaya ebu ngoja nitoke huku Napoteza tu mbs zangu
@JenniferMjie
@JenniferMjie Ай бұрын
😅😅😅😅 8/8 ndio utajua kama wananuru au hawana
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t Ай бұрын
​@@JenniferMjiekwakweli muache ajisemeshe nuru ataiona siku hyo
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c Ай бұрын
Hivi hao wazee mnaoongelea ni hawa wachezaji au ni wale walioishtaki yanga!? Chama bado nikijana tu ng' ombe haizeeki maini.
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 27/08/2024
27:53
Azam TV
Рет қаралды 3,1 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 31 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Magoli | Gor Mahia 5-1 EL Merrekh | CAF CL 25/08/2024
7:50
Kucheza timu moja na Aziz KI na Pacome ni faida kwangu
6:07
Clatous Chota Chama
Рет қаралды 30 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 31 МЛН