CLIP: Tazama Jinsi Harmorapa Alivyotoka Nduki Baada Ya Kuona Bastola Nje Nje

  Рет қаралды 64,709

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@annaupendo4768
@annaupendo4768 7 жыл бұрын
Harmorapa anaelewa manati ya mzungu inafanya kazi gani apana chezea hio manati bwana mie hata sasa ningekua bado nakimbia 🕺🏿💃🏾
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 7 жыл бұрын
Much respect kwa Maulid mwenye kitenge chake
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 7 жыл бұрын
Maulid Kitenge atakuwa anakula sana kuku wa kienyeji na kwenda gym angalau.Maana alivyomtunishia musuli yule askari hovyo anastahili pongezi
@adolphmarimbo7731
@adolphmarimbo7731 7 жыл бұрын
jamaa mwenye koti jekundu nakupa big up ,mambo mengine yanahitaji busara kuna haja gani ya kutoa bastola hapo
@sniper93999
@sniper93999 Жыл бұрын
MAULID KITENGE 😅
@josephstephen2047
@josephstephen2047 7 жыл бұрын
Much respect kw Kitenge Maulid
@mudyzo7351
@mudyzo7351 7 жыл бұрын
dah ila wazee huyu dogo ana vituko sana kila sehemu yupo #hammorapa
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
mzee wa kiki leo kapatikana kimbelembele tu hizi kiki zitamuua huyu
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا 😂😂😂😂😂😂duh jamaa huyu
@Purity493
@Purity493 7 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا atareeeeeee ahahahahahaaaaaa
@terrykamau902
@terrykamau902 7 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا 😂😂😂😂
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
Terry Kamau unacheka T ni kweli mana hakosi mahali huyu
@rodakazungu9685
@rodakazungu9685 7 жыл бұрын
daaaaaa hiiiiiiiiiii nchi inakoelekea me sijui
@muhidinzangira9086
@muhidinzangira9086 7 жыл бұрын
Tii sheria bila shuruti
@chiefnorbertkangalu1403
@chiefnorbertkangalu1403 7 жыл бұрын
nakukubal sana kwa voko.. pia kuwah matukio...ushaur wa bure upendelee kupga pamba za kiofc zaid il unapoingia kwenye sehm kutafuta hbr iwe na uzto zaid na wakuthamn kama mwanahabr...asnt Global Tv
@adammwaihojo1671
@adammwaihojo1671 3 жыл бұрын
Kaka Mkubwa maulid wa kitenge big up.
@rosadamosha2201
@rosadamosha2201 7 жыл бұрын
mguu wa kuku live,Tanzania mpya iyo
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
hahahahah maamae mzee wa kiki break ya kwanza chooni
@Purity493
@Purity493 7 жыл бұрын
Hassanova junior ahahahahahaaaaaa
@sambae4829
@sambae4829 7 жыл бұрын
hahaha kiki zmemtokea matokea puani
@wardaw9939
@wardaw9939 7 жыл бұрын
Bwahaha hahahaha 😂🏃
@fatiafat3475
@fatiafat3475 7 жыл бұрын
harmorapa u cracked my libs with laughters
@lockedindk18
@lockedindk18 3 жыл бұрын
Ribs not libs stop ruining the English language
@marymisseo411
@marymisseo411 7 жыл бұрын
Amna amani tena n mwendo w mabavu tyu
@azahally9216
@azahally9216 7 жыл бұрын
hahaaaa trafiki kafamikiwa kumsimamisha huko chalinze
@marrykamera6893
@marrykamera6893 7 жыл бұрын
mungu atusaidie
@senatorjr3043
@senatorjr3043 7 жыл бұрын
kitenge yuko vizur kumbe
@AhmedAhmed-wt4jn
@AhmedAhmed-wt4jn 7 жыл бұрын
ila dahh Nchi inapoelekea .....
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 3 жыл бұрын
Maulidi kitenge kaziilisha wazi kama na yeye ni usalama wa taifa
@allykiba9727
@allykiba9727 3 жыл бұрын
Walipo kuwa pamoja na babu zembwela alikuwa akimchokonoa anaruka viunzi,watusaidie alie taka kuharibu mambo apelekwe segerea kwa matumizi mabaya ya silaha
@sitibora4942
@sitibora4942 7 жыл бұрын
jamani mbavu zangu mie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 жыл бұрын
😅😅😅😅😅astaghafirulah,duh hormorapa😅😅😅
@maymohammed9752
@maymohammed9752 7 жыл бұрын
nemecheka sana
@aicarernest984
@aicarernest984 7 жыл бұрын
hahahahahhahahahahha jamani ny kakimbiaaa poriiii
@rosadamosha2201
@rosadamosha2201 7 жыл бұрын
much respect to mau wa kitenge
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 7 жыл бұрын
mungu yangu
@hawamashallahmkubwa5416
@hawamashallahmkubwa5416 7 жыл бұрын
nani anayetaka kufa roho itamu
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
hahhaahah harmorapa ume patikana utakuja fyatuliwa risasi alafu huyu jamaa inamaana ametumwa kumtole pistuli nape
@MohamedOmar-fu8zu
@MohamedOmar-fu8zu 7 жыл бұрын
Mzee wa kiki leo kaingia mitini duhh ama kweli hakuna mtu apendae kufa!!!
@mwaburabairubairuyusuph4307
@mwaburabairubairuyusuph4307 7 жыл бұрын
noma sana harmorapa
@AhmedAhmed-wt4jn
@AhmedAhmed-wt4jn 7 жыл бұрын
kiki zinatabu kweli
@chiefnorbertkangalu1403
@chiefnorbertkangalu1403 7 жыл бұрын
jamaa amenchekesha sana ila ameongeza kki nynne na umemremba sana... akiiona hii clip lazma akutafute akupe kazawad kmya kmya
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 7 жыл бұрын
ivi kila sehem yupo?!
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Duh!
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
Hahaha kilanga chakutaka umaarufu kita muisha pembavuuuuuuu unafanya mchezo na kitu cha kufumua ubongo hahaha
@sangijjulius6852
@sangijjulius6852 7 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa Du, Harmorapa vp tena..
@mamymamy8971
@mamymamy8971 7 жыл бұрын
hahahaaaa sikimbelembele wewe mbona umetoka nduki?
@linagakii7151
@linagakii7151 7 жыл бұрын
hahaha nani uwataka kufa
@zuwenaharoun2713
@zuwenaharoun2713 7 жыл бұрын
😅😅kiki zitakuua
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 жыл бұрын
Hahahaha. 😁😁😁 mbona kakimbia? Na izo ndio kiki zenyewe
@jeniffermartin5719
@jeniffermartin5719 2 жыл бұрын
Wamiliki wa bastola the some time huwa hawana busara na matumizi ni hovyo mm sijaona maana ya kutoa bastola kwani aludhindwa kuvumilia haya sasa kaka yangu Nape karudi kazini kwake he hebu Muwajibishe ili na mwingine asifanye hivyo tena maana ni udhalilishaji mkubwa.
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Kiki ndio ni nini ?
@allykiba9727
@allykiba9727 3 жыл бұрын
Hivi mpaka leo huyu jamaa hajachukuliwa hatua kwa kutoa silaha hadharani? Tunaenda wapi wa Tanzania?
@ibrahimjohnstone8268
@ibrahimjohnstone8268 7 жыл бұрын
huyo aliyeonesha bastola ningekuwepo ningemshughulikia na bastora yake
@malickiathumani6320
@malickiathumani6320 7 жыл бұрын
sasa yy mwandish wa habari punguza sifa dogo
@aliynaheka2284
@aliynaheka2284 7 жыл бұрын
ujinga tu
@salmasaid7254
@salmasaid7254 7 жыл бұрын
mhh !!
@mageuzijumamakungwa4778
@mageuzijumamakungwa4778 7 жыл бұрын
DGO HIZI KIKI TO MUCH
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 7 жыл бұрын
hahahahahaha harmoreper
@teddypeter8374
@teddypeter8374 7 жыл бұрын
Hahahaa
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 5 жыл бұрын
Huyu bwana hajulikani ila yule wa juzi aliambuwa akaripoti mwenyewe kituoni japo igp hakumuona , utawala huu tutaona mengi ya ajabu na machache mazuri
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
hahaaaaaa hamorapa
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Tunashindwa hata kuelewa wewe ndio mwenye tukio au unaripoti tuu hivi mnasomea wapi au mnakurupuka tuuuu???unarushiwa clipp moja unafungua na blogg??
@maymohammed9752
@maymohammed9752 7 жыл бұрын
chezea kufa ww
@muhidinzangira9086
@muhidinzangira9086 7 жыл бұрын
Anatafuta kiki
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
U talk tooooooo much
@mariamkombo5325
@mariamkombo5325 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AhmedAhmed-wt4jn
@AhmedAhmed-wt4jn 7 жыл бұрын
hahhahahahaha
@furahah9437
@furahah9437 7 жыл бұрын
Tz imevaa sketi
@deedee-uv7iu
@deedee-uv7iu 7 жыл бұрын
nacheka kama mazuri😂😂😂😆😆 Tanzania imekuwa palestina
@rodakazungu9685
@rodakazungu9685 7 жыл бұрын
daaaaaa hiiiiiiiiiii nchi inakoelekea me sijui
@linagakii7151
@linagakii7151 7 жыл бұрын
hahaha nani uwataka kufa
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 74 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
Spartacus-Crixus vs Theokoles best fight scene
8:16
Clips Adda
Рет қаралды 4 МЛН
FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi "alietoa Bastola aje hapa'
23:39