Рет қаралды 15,957
Mbunge wa Tandahimba Mhe. Katani Ahmadi Katani, ikiwa anachangia bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, amesema kutokana na suala la kimaadili kupungua/kutoweka mtaani hivyo wao ni wawakilishi wa wananchi ni Kioo cha Jamii lazima wapimwe kama ulivyo utaratibu wa Jeshini ukienda lazima upimwe.
Mhe. Katani, amendelea kukazia suala hilo na kumtaka Waziri mwenye dhamana na Afya kuwa jambo hilo halitakiwi kusubiriwa kama kuna wataalamu wapo waje wapime Wabunge.
Stori zaidi za Bungeni tumekuweka kwenye akaunti yetu ya KZbin “Clouds Media”.
#7bisha
#MoyoWaMawingu
#KutokaBungeni