HII BALAA!!!!...Mbunge aruka sarakasi bungeni ''Mimi ni mtaalamu wa sarakasi''

  Рет қаралды 178,922

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiwa amebinuka sarakasi ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma leo.
Flatei alichukuwa uamuzi huo ikiwa ni njia ya kuonyesha hisia zake kwa kero ya kutokuwa na barabara ya lami katika jimbo lake.

Пікірлер: 65
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial 2 жыл бұрын
Uko vizuri Mbunge tena mkakamavu kama magufuli kupiga pushapu..
@user-qz9dq3ro7c
@user-qz9dq3ro7c 5 ай бұрын
Hongera mungu akubarki Joseph m.
@PachaPanga
@PachaPanga Ай бұрын
Fratei unatupigania sana mungu akupe miaka mingi
@abubakaridarus732
@abubakaridarus732 2 жыл бұрын
Hawa jamaa wana injoye maisha mshahara,magari,nyumba marupurupu ya pesa nakadhalika wache wafenye mas hara katika bunge tukufu.
@filiminaremis8152
@filiminaremis8152 2 жыл бұрын
My hero ever waambie bhn
@user-qg7el6gc5j
@user-qg7el6gc5j 3 ай бұрын
wabunge wote wangekuwa vichaa bungeni tungefika mbali wananchi
@kitindisultani7200
@kitindisultani7200 2 жыл бұрын
Big up kiongozi alietumwa na watu🤜🏾
@imusultan9918
@imusultan9918 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaaaahhhhhh
@jumabaruani1448
@jumabaruani1448 2 жыл бұрын
Haahahaha hii nchi unahama unaenda wapi unaacha burudani kama hzi Mtu anakipaji cha salakasi chaajabu anapewa ubunge..🤣🤣
@grashfordmwilondo9089
@grashfordmwilondo9089 Жыл бұрын
Sasa mbunge awe siliaz wakat maishayake uhakika mall paL nakula vzl anagal nzuri awazenn kwahalihii wanyonge maskin machinga wanafunzi tutashindwa kunikumbuka baba yeti magufuli mmm ka ipoo
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 жыл бұрын
duh hy barabara yavumbi kuelekea mbulu lostete hospitali akun mpk karat mjin wat wanavamiw nawanyam akun lami xhd san jamn
@user-sr1gs2qj9g
@user-sr1gs2qj9g 8 ай бұрын
Uko vizuri mbunge
@fabianfilangali2022
@fabianfilangali2022 2 жыл бұрын
Aisee kiongozi inauma kama chama chako kinakusalit ahadi zake ni ngum siasa ya tz siwezi shiriki waachie ccm maana mimi chadema pure
@grashfordmwilondo9089
@grashfordmwilondo9089 Жыл бұрын
Hahahahahahaha umekasilika bbaba piga salakasi kwani mbona hela zetu za kodi mnadai kwauwaminifu mnazhidagani lakin wizala ya balbala na huyo xpika wen wabunge Kwan laIma awe yy mteuwen mwingin mbn tupo
@user-ze4vz9vr9f
@user-ze4vz9vr9f 4 ай бұрын
Good bless you Mach
@user-dr2yi2wz3z
@user-dr2yi2wz3z Жыл бұрын
Wewe2🎉🎉
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Eh mungu
@ShomariShukuru-kh2uz
@ShomariShukuru-kh2uz 8 ай бұрын
Haaa haaa kiukweli ina uma
@RachelHarun
@RachelHarun 10 ай бұрын
Aaaaa😂😂iiiatari.
@dilludillu2747
@dilludillu2747 5 ай бұрын
Burudani kidogo
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Hahahahaha Hii Hatareeeee
@bethuelbajuta3654
@bethuelbajuta3654 Жыл бұрын
Hongera sana
@NabuwaChuna
@NabuwaChuna 2 ай бұрын
😂😂😂😂bungen kuna wabunge wapo chachuchachu😂
@grashfordmwilondo9089
@grashfordmwilondo9089 Жыл бұрын
Ila mbunge tunaomba vipajivyenu
@SebasbeySebas
@SebasbeySebas 4 ай бұрын
Hahahahaha
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 5 ай бұрын
Hoi
@emmanicko1535
@emmanicko1535 2 жыл бұрын
🌿
@MsevenJohn
@MsevenJohn 4 ай бұрын
Balaaa 😂
@user-oe6yc2sp8t
@user-oe6yc2sp8t 3 ай бұрын
Wabunge wote wakiwa ivi lazma kilakona yamkoa lazima balabala zijengeke
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Ukovizur mbunge. Kwanza ungewagawia chai
@ramadhanimzara9925
@ramadhanimzara9925 8 ай бұрын
Sio huko mburu tu, hata Barbara ya bupu kise Ni mtihani kwakweli, yaani mlevi akikojoa tu barabarani Basi haipitiki, muitazame hii!
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 жыл бұрын
🌳🌲🌿✅
@marwabugoro3650
@marwabugoro3650 Жыл бұрын
Azam vs yanga
@dechardavid2555
@dechardavid2555 2 жыл бұрын
wakiingia hapo wanatakiwa wazime simu..
@ibrahimdavid4584
@ibrahimdavid4584 2 жыл бұрын
Upo vzri
@king_maik6375
@king_maik6375 5 ай бұрын
😂
@samirkipacha6722
@samirkipacha6722 2 жыл бұрын
Balaaa tupu mama umeona
@abdulkalimbenz7011
@abdulkalimbenz7011 2 жыл бұрын
Hao ndo viongozi
@Senn-qd5vi
@Senn-qd5vi 9 ай бұрын
Aaaassss noma
@YohanaEzekiel-sw3xq
@YohanaEzekiel-sw3xq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@edwardkamuga5739
@edwardkamuga5739 Жыл бұрын
ukosawa mbunge kwakupigania Maendeleo yawananchi
@onaelmpeku6769
@onaelmpeku6769 Жыл бұрын
Nb kama lami Hydom-to-mkalama-sibiti-Ccm-na waziri-wa-ujenzi-hakuna-kura-hata-mmoja-2024/25 Thanks-fratey-massay-na-wabunge-mkalama/na-meatu"""
@user-lm1sq2ui4s
@user-lm1sq2ui4s 4 ай бұрын
Nyoka 😀🙄🙄🙄mm.mmme
@user-zh7xf6yn7r
@user-zh7xf6yn7r 8 ай бұрын
Ukosawa baba
@NyamchabaNyarata-ry1kr
@NyamchabaNyarata-ry1kr 5 ай бұрын
Matukio ya molotonga
@ShabaniMchela
@ShabaniMchela 9 ай бұрын
Naam
@marcusfundi4177
@marcusfundi4177 2 жыл бұрын
Uko vizr mp
@sylvestersanawa40
@sylvestersanawa40 2 жыл бұрын
Fitness level ya mheshimiwa ipo juu sana
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 6 ай бұрын
Hii bara
@josephatthadeo3745
@josephatthadeo3745 2 жыл бұрын
mda wenu yarukeni tu
@shaggytarange2794
@shaggytarange2794 2 жыл бұрын
😹
@user-st5xo5gs6i
@user-st5xo5gs6i 8 ай бұрын
انت ليس عندك مشكل
@fahadyndugu8877
@fahadyndugu8877 2 жыл бұрын
Mpuuzi
@TimothyKjot
@TimothyKjot 2 ай бұрын
Ko
@SamsonPatrick-qh3sk
@SamsonPatrick-qh3sk 4 ай бұрын
Bogo feva
@grashfordmwilondo9089
@grashfordmwilondo9089 Жыл бұрын
We pigs babaaaaaaaaaa hahahahahahah hakuna muheshiwa wewe pigaaa ukifukuzwa bungeni njoo nikupe mtaji wa duka la vipodozii pg baxiiii
@emmanuelbayi4640
@emmanuelbayi4640 2 жыл бұрын
Masay jiunge chadema utapiga sarakasi utachoka toka nje Kama wale wa chadem, alaf usinge hoja mkono
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 2 жыл бұрын
Hapa ndiyo namlaumu mheshimiwa tu kwa kutletea watu wa hovyo kama hawa bungeni, halafu amepelekwa na wananchi kweli?
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 жыл бұрын
We chizi,,wewe,,kwani bungeni unaenda kutetea tumbo lako? Au watuwaliokuchagua vilio vyao?
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 2 жыл бұрын
Watu wa HOVYO kiajw
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 жыл бұрын
laiti ungepit maeneo ya mbulu mpk uko sehem kunalam nimwixh wageti langorongor mpumbavu ww ujui xhd ilioko uko
@kitoimiliki547
@kitoimiliki547 2 жыл бұрын
Ana haki
@jumasaid6073
@jumasaid6073 Жыл бұрын
Anaongea kwa uchungu, anatetea wananchi, yuko sahihi sana!!
@JumaMakema-jw7rz
@JumaMakema-jw7rz 8 ай бұрын
Xxxx
@edwardkamuga5739
@edwardkamuga5739 Жыл бұрын
ukosawa mbunge kwakupigania Maendeleo yawananchi
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 302 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН