No video

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD

  Рет қаралды 260,071

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
Mbunge jumanne kishimba ametoa ushauri katika sekta ya afya na ajira wakati akichangia taarifa za kamati za kudumu za bunge jijini dodoma
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co....
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 219
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 3 жыл бұрын
*_aisee nimemkubali huyu mbunge! Kama unaungana nami hebu like kwa wingi hapa!_*
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 3 жыл бұрын
Asante sana Baba kwa hoja nzuri Bungeni. Nakupenda kwa kuongea ukweli.👏🏾👏🏾👏🏾
@bahatilaurence3335
@bahatilaurence3335 3 жыл бұрын
Mungu akubarik we mzee Wang huw unaongeaa fact Sana!!! Ss hao wengine wa kupongeza juhud!!!!
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Kama umemuona mh.Mwigulu Nchemba gonga like hapa😀😀😀ila mbunge umeongea point sana sana sana...na kama umesikia neno mganga wa kienyeji piga kicheko hapa😀😀😀😂😂😂😂
@makambawaziri8588
@makambawaziri8588 4 жыл бұрын
Kwa wakati aliosoma muheshimiwa akukua na ufahulu tulicho kua tunaambiwa mnachaguliwa kutokana na nafasi zilizopo sasa ua naumia sana watu wanao wabeza sana watu wa darasa la saba
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Kweli jamani watoto wanasoma halafu watotobwanabaki mitaani
@paullugatha1608
@paullugatha1608 2 жыл бұрын
Loo
@paullugatha1608
@paullugatha1608 2 жыл бұрын
.
@nebartmwakibinga9262
@nebartmwakibinga9262 3 жыл бұрын
Wewe mzee Yesu akubariki sana unaongea vizuri sana ni muhimu sana
@bantuflavourtz5680
@bantuflavourtz5680 4 жыл бұрын
Huyu mheshimiwa ndio nimemuelewa sana alicho kiongea ni kitu ambacho kinatugusa vijana wa leo wa Tanzania mungu amzidi shie afya na mawazo mazuri zaidi
@janethlupilli1117
@janethlupilli1117 3 жыл бұрын
Mbuge wangu kishimba kura yangu haikuenda bure hata kama cina ajira leo umewaka historia, kwa hoja kuntu na hata ukifa leo mawazo yako tutayaisho Amen
@andreakulisha5144
@andreakulisha5144 4 жыл бұрын
Great thinkers are very few because they base on reality
@eatlawe
@eatlawe 3 жыл бұрын
This gentleman is very intelligent!
@devothadeogratias8520
@devothadeogratias8520 4 жыл бұрын
A big point, aisee akili ni nywere aisee A za kwenye vyeti hazina maana
@peterhano8706
@peterhano8706 4 жыл бұрын
Hongera sn mheshimiwa Jumanne Kishimba Pamoja mkuu uko sahihi kamanda chapa kazi ulipo nipo
@leonardgalila3032
@leonardgalila3032 4 жыл бұрын
The best MP in my history
@lwitikoasa6899
@lwitikoasa6899 3 жыл бұрын
kama umeona wabunge wawili wanapiga story piga like
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Uyu mbunge ni jembe safi awa ndo wabunge tunao waitaji sio mbungu unatuletea salam za familia safi Sana baba
@josephkuta7244
@josephkuta7244 4 жыл бұрын
Waaaaa this is the best mp in tz uku knya n nymbe bcz kxi yaoo n ksukuma watu shleni n ukwelii
@amirichambua3134
@amirichambua3134 4 жыл бұрын
Hoja za msingi namkubali J. Kishimba
@issanmedia4654
@issanmedia4654 3 жыл бұрын
An awam hii wabunge wenye elimu ndogo ndio wanachangia mawazo bora kuliko wote bungeni, kumbe visevesa is true
@happyneskanyenye3760
@happyneskanyenye3760 4 жыл бұрын
Huyu ndo Mh anayejua kujenga hoja za maana kulingana na mahitaji ya Jamii .......
@vincentvitalius9346
@vincentvitalius9346 4 жыл бұрын
Kama wabunge wangesikilizana kama walivyosikilizana kwa huyu, kama wangechangia kama alivyochangia huyu Mbunge lingekuwa na maana kubwa! Mungu akubariki nastahili na unastahili mimi kukuita muheshimiwa! Shikamoo
@pasquallungwa3517
@pasquallungwa3517 4 жыл бұрын
My MP
@jabilingandule6621
@jabilingandule6621 4 жыл бұрын
Huyu ni mtu mwenye upeo wa mbali na huwa ananifanya niamini uzee dawa na angesikilizwa mambo yangekuwa powa sana
@fredrickbuya9293
@fredrickbuya9293 4 жыл бұрын
Mbunge anasema ila hoja inakuja 80%. Employment rate ya watu wote waliomaliza mwaka husika ni ngumu kutokana na rasilimani zetu na ufinyu wa sekta za ajira zenyewe nchini. Hoja ni kuhimiza watu kusoma na kupata elimu ili kujikomboa kifikra na kufungua fursa ktk vipaji na ugunduzi binafsi. Those people should be credited and be acknowledged by the government ila chuo hakiwezi fanikisha ajira ever since even wanafunzi wenyewe hawasomi mambo yao Bali wanachagua kozi kulingana na alama zao za necta na sio mipango ya nyuma ktk kujifahamu wanataka kufanya nini na kwanini
@josephjulio6112
@josephjulio6112 3 жыл бұрын
Vizuri Sana veta inachelesha Sana Mimi nimejifanza ufundi kwa vitendo hao wanatoka veta tunaaza kuwafundisha upya sio vizuri fundisheni kwa vitendo Ada zinapoteA
@anordefta2853
@anordefta2853 4 жыл бұрын
Safi sana; Haijalishi ni chuo cha serikali ama private wahakikishe ajira zipo; vijana wanateseka mtaani na ndiyo maana maadili yanashuka na ni chanzo uhalifu. Unakuta kijana kasoma IT anahitimu akikosa ajira anatumbukia kwenye wizi wa mtandao. Serikali tusapoti vijana wanoanahitimu vyuo maana bila hivyo wazazi wanakata tamaa kusomesha watoto huku wakihitimu wanaishia mtaani; yaani hakuna faida tena ya kusomesha maana vijana wengi wanaendelea kuwa tegemezi kwa wazazi wao hata baada ya kuhitimu masomo, baadala ya kulipa fadhira za kusomeshwa wanakuwa mzigo tena. It's so painful angalia future ya vijana ambao ndo taifa la leo na kesho. Fikiria ninyi mlio kwenye system serikalini kama mngehitimu masomo mkakosa ajira kama mngekuwa mlivyo leo. Hongera mzee kwa mchango wako wenye points za kiPhD, kwenye Elimu na Afya pana ukakasi kweli.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 3 жыл бұрын
Umeongea point mbunge hongeraaaaa
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Huyu jamaa ni bright sana, kiwanda chake Zimbabwe kina wasomi wengi sana, naomba mpeni PhD ya heshima.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Uko sahihi sana maana sifa ya chuo tz ni majengo tu, na hata ajira ni cheti badara ya utaalamu, nilikutana na mtu masters Degree lkn report yake ni sawa na f6 lkn anavyeti vizuri toka chuo kikuu komoja.
@robathzingu1650
@robathzingu1650 3 жыл бұрын
Ana mawazo mazuri lakini ni ngumu sana kuya - implement bila kusababisha chaos ktk jamii. Ukitaka kuyatekeleza mawazo ya mbunge Kishimba, ni sharti yapitie kwenye chekecheo la wataalamu wa mipango kupima cons & dis. Ni kweli kusoma sana haina maana ya kuwa unaweza. Lakini lazima tukiri kuwa elimu ni muhimu sana ili kukusaidia kufanya mambo ktk ubora zaidi...
@sulaithmayanja8052
@sulaithmayanja8052 Жыл бұрын
Ahsante baba
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 2 жыл бұрын
uyu mzee ni very free minded safi sana,
@zubedahussain2133
@zubedahussain2133 2 жыл бұрын
Mashallah mungu akulinde
@janealoyce3866
@janealoyce3866 4 жыл бұрын
Nakuaminia my boss j4 kishimba mwenyezi Mungu azidi kukutumia unanifurahisha sana
@brithonmjema2833
@brithonmjema2833 3 жыл бұрын
Mkumbushe na wazir mkuu lile swala la urasimishaj mafund limekwamia wap mbona tuliandika majina na namba za simu lakin limekaa kimya?
@busnaoman9981
@busnaoman9981 2 жыл бұрын
Anaongea point San lkn hazitekelezwi wengi wao wanaon km anachekesha t dah 😢 mtu kaenda pk chuo kikuu lkn akimaliz anazurura mitaan myak 3 akisubir kuajiriwa ten saazingin pk atafut kweny Google ss faid yake nin Bora aishie la 7 t aangalie biashar zingin t
@eduardojose6229
@eduardojose6229 2 жыл бұрын
Nakuja tena,kuhusu ajira afrika tatizo tuna wabebesha madafutari mengi watoto wetu,mfano mtoto wadarasa 6 au 7 tunakuwa na masomo mengi alfu hayana tija,mimi niliona mtu asome 4 au 5 ajue kusoma na kuandika na miaka 5 asomee kire mwanafuzi anataka au anapenda kama ufundi,kuwa dakitari,fundi magali na mengineyo apo ndipo afrika tutapata wataharamu wa aina mbili mbili.
@patricks.phabian6755
@patricks.phabian6755 3 жыл бұрын
Big brain
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Sasa watu waogope kufungua vyuo kwakuwa hana vigezo vya kuwapatia hajira?!!!! Wacha watu waelemike.
@abubakarminya2329
@abubakarminya2329 3 жыл бұрын
Oko sawa kabisa
@shaggytarange2794
@shaggytarange2794 4 жыл бұрын
Mzee yuko vizuri aysee
@Lo-33
@Lo-33 3 жыл бұрын
Best presentation
@salehhemed9388
@salehhemed9388 4 жыл бұрын
Jamaa wanachezza game kule nyuma 😁😁
@aizackchale5698
@aizackchale5698 3 жыл бұрын
Nazani wamechaguliwa wakacheze gemu bungeni wamesaau walicho tumwa
@mbarakadossa953
@mbarakadossa953 Жыл бұрын
hahaaa... yani nimecheka
@rutakihama3523
@rutakihama3523 4 жыл бұрын
Daaaaah point ya msingi sanaaa
@wilbroadmalima4386
@wilbroadmalima4386 4 жыл бұрын
Mheshimiwa naibu spika Mara 89 umetixha xana like zenu hku
@isackmwaluko113
@isackmwaluko113 4 жыл бұрын
Safiiiiiii kwenye vipimooo..
@mwanahamishassan8017
@mwanahamishassan8017 2 жыл бұрын
Kweli baba
@gerardamos5689
@gerardamos5689 4 жыл бұрын
Hongera sana mh kishimba
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Uyu mbunge nimemkubali ni kichwa sana🤣😆
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 4 жыл бұрын
Iko ni kichwa👏
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 жыл бұрын
Sidhani ka kua la saba kuna mnyima mtu nafasi ya kujenga hoja jamani ni hvi leo hapa USA watu wamegundua izo vyeti hazina maajabu leo magwiji wa ugunduzi ni waloacha masomo frm kina bill gates na kina zuckeberg
@emmanuelngewa8894
@emmanuelngewa8894 2 жыл бұрын
mzee wangu huyo kishimba ..kahama no;1...naikumbuka sana shule yake ya kishimba secondary school iliyopo mtaa wa ng'wamva kahama, mzee wa siku nyingi sana huyu kwenye harakati za maisha, yeye anaishi maisha mawzo yake, haishi mawazo ya kupandikizwa
@janethlupilli1117
@janethlupilli1117 3 жыл бұрын
Kila mpunge wa kila wilaya zote watoe idadi ya wasomi wake pia zipo sector nying huko wilayn kwao watupachike jamn
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 4 жыл бұрын
Ni sawa kabisa
@jimmundakega9480
@jimmundakega9480 3 жыл бұрын
Safi sana!!
@mussasadick770
@mussasadick770 Жыл бұрын
Wakimaliza kujifunza kupaka rangi wafundishwe biashara Ili waweze kujiendesha kwenye maisha ya Kila siku
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 4 жыл бұрын
Kalemani oyeeeeee!.
@lukullikiwamba6494
@lukullikiwamba6494 3 жыл бұрын
ukweli kabisa ...
@charlesgasper2243
@charlesgasper2243 3 жыл бұрын
Uongozi ni hekima nabusara na wala wala si PhD ingekuwa hivyo Huyo mheshimiwa hata hata akipewa ngazi za juu. anaweza!
@abelishirima8189
@abelishirima8189 4 жыл бұрын
Uko sawa mzee
@farajishabani9896
@farajishabani9896 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mzee
@andrewwilliam6066
@andrewwilliam6066 Жыл бұрын
Hongera sana kishimba
@meshacktimoth1370
@meshacktimoth1370 4 жыл бұрын
Huu ni ukweli . Tunapaswa tuelekeze nguvu kwenye ubunifu na umahiri unaoleta tija .
@namkundaemmanuel3408
@namkundaemmanuel3408 3 жыл бұрын
Kweli nahis kale kausemi ka kusoma sana ni kuwa mjinga ona hzo cheche aiseee stn 7 hyo
@peterkayuwi8911
@peterkayuwi8911 4 жыл бұрын
Mbunge mwenye mawazo mapana na yenye tija
@naamateopailingeer4750
@naamateopailingeer4750 3 жыл бұрын
Nc mbunge from khm.hongera
@rajabungatanda3749
@rajabungatanda3749 4 жыл бұрын
Yani mh.upo vizuri Unaongea mambo yanayoigusa jamii kila siku
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 жыл бұрын
Uko safi Safi
@emmanuelbui662
@emmanuelbui662 4 жыл бұрын
Very bright
@jumarashidi9117
@jumarashidi9117 3 жыл бұрын
Nawapongeza sana wabunge wetu ni wawakilishi wazuri wa wananchi
@vincentpascal5996
@vincentpascal5996 3 жыл бұрын
Nice
@luulurashid990
@luulurashid990 3 жыл бұрын
Yaani kwanini watu wengine wanapewa vyeo vikubwa lakini hawana adamu ya kuitii sheria na thamani ya bunge. Ns kumweshimu mbunge mwenzie anaongea. Wao wako kule nyuma wakiombana namba sijui, sijui madili huku wakipiga simu. Absolute disgusting.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Raisi tumpe kura 2020 ila upinzani ubaki kwani ni msaada kwa Raisi kugundua mengi laa sivyo asikubali wakabaki CCM tu akitaka kufanya vyama maana wengi humu ni wasaka tonge na si wakweli kwani Mheshimiwa Raisi si hata wewe mwenyewe unajua?
@charlescoin536
@charlescoin536 3 жыл бұрын
Kwa hali hio hata should za sekondari zifutwe kwan kiingereza sio ligha yetu c ndio unachievable kimaanisha
@majimotomalole9812
@majimotomalole9812 3 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya elimu dunia na elimu ya makaratasi
@martinakyoo148
@martinakyoo148 3 жыл бұрын
Ni darasa la saba kwa maneno tu
@justinmuhammed9865
@justinmuhammed9865 4 жыл бұрын
Naibu speaker nyingi sana
@shaibunyenzi8712
@shaibunyenzi8712 4 жыл бұрын
Huyu ndie mbunge pekee anayewasilisha bungeni mawazo halisi ya sisi laymen wa huku mitaani👌👌
@herymalundo1716
@herymalundo1716 4 жыл бұрын
Huyu mbunge hajawahi kuniangusha!
@gracejuma388
@gracejuma388 3 жыл бұрын
Big up
@hamisikyando8351
@hamisikyando8351 3 жыл бұрын
.Safi mubunge
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 2 жыл бұрын
Huyu bwna anaonekana kwny Maisha aliyapambania mwny sio Kama wabu nge wengine wamesoma akili hawana
@geofreykilasi7354
@geofreykilasi7354 3 жыл бұрын
Baba j4 kishimba shkamo, unifungua sanaaaaaaaaaah najifunza kwako
@asheryngaiti5549
@asheryngaiti5549 4 жыл бұрын
Maneno yaliyotamkwa mara nyingi ni mheshimiwa naibu spika
@gambamtanza6101
@gambamtanza6101 3 жыл бұрын
MH NAIBU SPIKA Hahahahahah
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 3 жыл бұрын
Nmekuelewa baba angu ila vijana tunateseka mtaan tu , tunasoma kutafta vyeti tu vyet vyenyew avisaidiii.
@kazyobabagomwa2928
@kazyobabagomwa2928 4 жыл бұрын
point mh
@dazk7861
@dazk7861 3 жыл бұрын
Ahahahah huyu jamaa ni zaidi ya professor,,kweli kuna tofauti kati ya elimu na akili
@elimwazembe3631
@elimwazembe3631 4 жыл бұрын
Ivi wabunge wote wa ccm wangekua wanajua wajibu wao kama huyu karemani kunamtu angrwalaum .yani wabunge wa ccm kaziyao humo nikushangilia asa angalia mbunge anaejitambua alichoongea bgp karemani
@johnmatete3726
@johnmatete3726 4 жыл бұрын
Sio kareman ni jumanne kishimba
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Genius
@johnsonpaul2883
@johnsonpaul2883 3 жыл бұрын
Huyu jamaa hatari sijui mbunge wa wapi anatoa vya uvunguni kabisaaa
@samsonibrahimmwita5771
@samsonibrahimmwita5771 3 жыл бұрын
Mzee huyu amekulia Kijijini anajua amesomea kijijini anajua maisha halisi, hawa wazee mawazo yao serikali ikiyafanyia kazi Tanzania itanufaika na kubadirika
@amanindatu3286
@amanindatu3286 3 жыл бұрын
Safi mweshmiwa
@sugarsugar1706
@sugarsugar1706 3 жыл бұрын
Bank statement pia wanatoza pesa nawo wangetoa garama hizo
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 Жыл бұрын
Uko sahihi mueshimiwa
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 9 ай бұрын
Huyu baba anacheleweshwa na nini kupewa UDAKTARI/ UPROFESA?
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
Anayeona kipindi hiki cha bunge wabunge akili zao zote ziko majimboni,gonga like😆
@samwelijalalya9608
@samwelijalalya9608 4 жыл бұрын
Correct
@anisiaonorati2688
@anisiaonorati2688 4 жыл бұрын
Yes
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 4 жыл бұрын
Huyu mbunge anaakili nyingi sana kuliko bunge lote. Hawa ndio wanafaa hata kugombea urais
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Afadhali umeongea juu ya malipo ya Maiti maana alipoonge Sugu akipingwa as usually na kuchekwa.Labda wewe umesema watasikia
@jumakhoja4063
@jumakhoja4063 3 жыл бұрын
Mzee anajua sana
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 4 жыл бұрын
Ana PhD sio la 7. Ni Profesa kabisa
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Acha uongo no darasa saba kwa tunayemfahamu,
Msikie MBUNGE wa  DARASA la SABA ANAVYOTEMA MADINI BUNGENI
11:50
Global TV Online
Рет қаралды 67 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 42 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 11 МЛН
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Msukama - Ni Bora Kuishia la Saba Kuliko Kuwa na Vyeti Halafu Huna Akili
4:32
Global TV Online
Рет қаралды 1,5 МЛН
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 383 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
KITIMTIM BUNGENI! Wapinzani Waitwa Mbwa, SUGU Aliamsha
12:09
Global TV Online
Рет қаралды 129 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН