Upendo Nkone ni Genious... aliamua kukaa kimya lakini akatafakari akaona azungumze kwa hekima kama mtu mzima.
@Rozleen-i9c2 күн бұрын
Kabisa uyu mama ni mama wa kiroho Yan kwa ushauri ni mama nzuri sana halaf hua hapindishi maneno anakuchana hapendi ujinga halaf Yuko serious hatar
@veronicamnico47732 күн бұрын
Huyu ndo mtumishi wa MUNGU 🎉🎉🎉 ubarikiwe sana upendo nkone
@AlfredZacharia-of3je2 күн бұрын
MUNGU ambariki upendo
@davidjuli6846Күн бұрын
Mama hekima ulio nayo inatisha sana, Nafurahiya uwepo wako na sio mala yakwanza nakuona Mungu akikutumia kupitia hekima yako.Nakupenda Mama yetu Upendo.
@Lillian-qt6gi2 күн бұрын
Christina Shusho umekosa aibu kabisa😕😕. Upendo Nkone ubarikiwe sana😍😍
@sharleenbidii3350Күн бұрын
My favourite gospel minister mama Upendo Nkone Kilifi Kenya wajua twakupenda
@HappinessMajengo2 күн бұрын
Mama upendo kaongea point love you
@vincej92752 күн бұрын
Christina Shusho ana shabikia ujinga wa Joan na Martha. Mama yako ni mama. Thank you Upendo Nkone for being wise.
@neemarabaniКүн бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa hekima hiyo mdogo wangu Upendo Nkone
@monicanatai1442 күн бұрын
Ubarikiwe upendo
@hyasintkisika8848Күн бұрын
Hata kwenye upuuzi tusimame nao tu,! Hii balaa, Ila upendo! 🙌🙌🙌🙌
@aminamollel35712 күн бұрын
Shusho umeaibika ulijua Upendo atashadadia ujinga wako, upendo ameokoka siyo kama wewe Shusho unamtetea Matha kwani alichokifanya ni sawa?Upendo kaokoka bana
@HappinessMajengo2 күн бұрын
Love you upendo
@thelionwomen49702 күн бұрын
You Christina you don't have haya ata kidongo si you live papa chusho bila kosa Ni Mungu gani uyo wakuseka live your husband njameni
@GawaherHКүн бұрын
Ameeeen❤❤❤❤
@neemarabaniКүн бұрын
Shetani baada ya kumuaibisha Matha Anatumia Jambo hilo Tena kutega wengine kwa maneno Hongera Nkone kwa kutegua Mtego huo wengine wamenasa kwenywe Mtego huo
@salomemsangi7290Күн бұрын
Njia ya kupanda ni kushuka Mungu anamwitaji mtu mnyenyekevu
@mariamnyange1992 күн бұрын
Hujaona anayopitia mama yake Martha unaona anayopitia Martha utafikiri hujaenda Leba ndiyo maana ndoa ilikushinda na mpaka leo unatumia jina la shusho.
@abelybaliko2 күн бұрын
Nkone mungu akubaliki kwakuwa namaneno ya busara
@AlfredZacharia-of3je2 күн бұрын
Christina shusho hana Mungu ndani yake kabisa kwa jinsi alivyoongea, 1 Yohana 4 : 20Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona. 1 Yohana 4 : 21 Na amri hii tumepewa na yeye, ya kwamba yeye ampendaye Mungu, ampende na ndugu yake.
@duncanmakori5439Күн бұрын
Swali ni je,wewe kumpiga vita mwaipaja hivi kweli wampenda mungu?? Mungu pekee ndo anajua kilichotokea kwa hio familia mwachie yeye
@levisdiamond4797Күн бұрын
Huyu nkone amenigusa saaaana. Ameongea point kabisa. Usikubali kukaushia unaposikia wakikusema pengine kuna kosa jitafakari sio kukaushia
@gmavoice18932 күн бұрын
Sema kakosea lakini anajua kuimba vizuri ila nkone mungu akubariki zaidi
@thechatpiepodcastКүн бұрын
Huyu Shusho asije Kenya tena.Ameshusha heshima tuliyompa.
@LodvolaLameck-jl5vsКүн бұрын
Kuzimu haitosheki
@BethuelofficialTz2 күн бұрын
Nguvu ya msamaha imemrudisha upendo nkone kwenye chati ,, nimeamini msamaha unainua hatua moja juuu
@jonasynyasika63912 күн бұрын
Aisee hii akili sijui ya aina gani.Shusho hana akili na hana Mungu. Alijua na Nkone ni Mjinga mwenzie.
@amanelias4672Күн бұрын
Hahahah et kwahiyo ww hauongezi nen
@ladislausshirima8636 сағат бұрын
Jiokoeni nafsi zenu,hakuna Ibada ya Yesu hapo!
@thelionwomen49702 күн бұрын
Uwacharati mubwa a big cheater katika waimbaji wa tanzania Christina 🇹🇿
@jeremiahmwambalaswa570Күн бұрын
Christiana shusho na martha mwaipaja kuwa maarufu sio degree ya kwamba mnamjua Mungu angalieni saana Mnamuabisha Yesu
@IsmailMajaniКүн бұрын
Lao Moja wamekimbia waume zao Sasa hatujui wakitaka zile huduma Huwa wanafanyaje wangali damu zao bado kabisa zinachemka....wasagaji tunaamini
@abelybaliko2 күн бұрын
Huyo nkone kaongea kiutuuzima bila kuwa na ushabiki waajabu. Et hata wakikosea watasimama nao.! Huyo shusho yeye kashayabananga2 mdamrefu. Nkone mungu akubaliki saana kwakuongea point tupu?
@dorcaskarago28762 күн бұрын
Upendo ameokoka kiukweli shusho ni mkristo fake
@ramaninaujenzitz93952 күн бұрын
Shusho ni mjinga toka kitambo sana, kuna kipindi aliwahi chekelea walipo mfananisha na Janet Jackson bila aibu akaona fahari, huyu dada ni mjinga mjinga sana... Leo kajichanganya kaumbuka
@PapaoHabamunguКүн бұрын
Zamani sikukuwaka nasikiya kuzifatitiliya nyimbo za upendo nkone lakini kupitiya hili na mfolo ni mwanamke mujasiri sana na ana akili nyingi sana
@mariamnyange1992 күн бұрын
Unajifanya kumtetea ukute hata wewe tabia zinafanana.