KUKATWA CHANZO CHA UGOMVI KIKWETE NA LOWASSA | HATUUJUI URAFIKI WA BABA NA LOWASSA RIDHIWANI KIKWETE

  Рет қаралды 2,269

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

13 күн бұрын

"Ukiangalia katika nyakati zote kuanzia mwaka 1995 jinsi ambavyo wao walivyoweza kuanza ku- dominate siasa za Tanzania wao wawili na wakaweza kufanikiwa kuchukua dola mwaka 2005 halafu wakatofautiana Edward Lowassa akiwa anataka kuchukua kiti mwaka 2015 na Jakaya Kikwete akiwa anapambana kumzuia asikichukue kiti.
"Mwaka 1995 walikosa, walikuwa timu moja na kama utakumbuka Hayati Edward Lowassa alikatwa kwenye kamati kuu kwahiyo hakuweza kuingia hata Tano Bora na hiyo pia ilisababisha maneno. Watu wanaweza kufikiri Hayati Edward Lowassa alisababisha maneno 2015 peke yake lakini hata mwaka 1995 kulikuwa na maneno.
"Yale maneno yalikuwa ni mengi zaidi kwa sababu mwalimu JK Nyerere aliandamwa sana. Hasa vyote vya habari walikuwa wakimuhoji. Kuna kipindi Mwalimu Nyerere akijibu swali la waandishi alisema anashangaa wanamuonea tu Edward kutaka kulizungumza hili jambo kwa sababu kamati kuu ilifanya kazi yake ikamkata na ikajieleza. Na kuendelea kumzungumzia Lowassa ilikuwa ni kumuonea!- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.
#PBCloudsFM
#Tumekuverify

Пікірлер: 5
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Күн бұрын
Hakuna hoja wala nafhalia inayosimaa...zote ni hovyo tu...
@iambelnus
@iambelnus 10 күн бұрын
Huyu kipanya amemkatsha mhojiwa haijakaa sawa😢
@mo-jj8im
@mo-jj8im 10 күн бұрын
Jk is typing 😅
@alphanlukombe3774
@alphanlukombe3774 7 күн бұрын
Lowassa alikuwa jembe zito fitina ndy zilimnyima kuchukua urais 2015
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Күн бұрын
Lowasa Hakuwa mwadilifu...alisimamia tanzania kusamehewa deni lakin akachukua hela akazipeleka kwenye makanisa...
NDOA YA KISIASA YA LOWASSA NA KIKWETE | Power Breakfast
6:52
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
The joker's house has been invaded by a pseudo-human#joker #shorts
00:39
Untitled Joker
Рет қаралды 14 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 26 МЛН
LIVE : Kurasa za Kikwete na Lowassa | Power Breakfast
2:49:30
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,2 М.
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 16 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 43 М.
CHEKESHA : MCHAWI WA UKOO | MAMA EMMA, MPOKI NA MASANJA
9:28
Segurança do Messi 😬 #shorts #futebol
0:34
VPHD
Рет қаралды 7 МЛН
Leglock in MMA 🤪 #shorts
0:17
Riccardo Ammendolia
Рет қаралды 1,4 МЛН