"MAJENERALI WAWILI WAMEAMUA KUIVURUGA NCHI YAO" - KIKWETE AFUNGUKA DEMOKRASIA ya AFRIKA

  Рет қаралды 175,675

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

"MAJENERALI WAWILI WAMEAMUA KUIVURUGA NCHI YAO" - KIKWETE AFUNGUKA DEMOKRASIA ya AFRIKA
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 274
@wellnesstransportation1490
@wellnesstransportation1490 Жыл бұрын
Mungu wetu wafungue macho wanajeshi wetu waipindue ccm
@nelsonjastin2601
@nelsonjastin2601 Жыл бұрын
Kweli Maana ccm imekuwa janga
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Unaonaje ukihama Tanzania ukaenda kuishi Niger? Ama hata Sudan ili upate raha zaidi
@duvaboy
@duvaboy Жыл бұрын
cha ajabu hapa duniani watu wahovu na wauaji ndio huishi miaka mingi
@duvaboy
@duvaboy Жыл бұрын
😂😂😂 inakeraaa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Akili yako haina akili
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Rushwa imewajaa Mmeuza nchi yetu KWA DPW ACHA UHUNI KAA NYUMBANI HUNA LOLOTE
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Acha usenge wako
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
@Mumewangu WEZI WA TAIFA LETU TANGANYIKA HATUTAKAA KIMYA LOLIONDO NA MKATABA WA DPW UTAWATOKEA PUANI MMEKULA NCHI NA FAMILIA ZENU NA UGANDAMIZAJI WA WATU WETU ANGALIA NIJEA WANANCHI WANAVYO TANDA KUONDOA HAWA WEZI MADARAKANI LAZIMA TUFAIDIKE NA MALI ASILI ZETU SIO ZA WACHACHE . TUTALINDA NCHI YETU KWA WIVU MKUBWA SASA ONGEA HOJA USIWE KAMA VIONGOZI WETU WANAOTUKANA INAONYESHA UNA UMASKINI WA KUFIKIRI
@richkinji2583
@richkinji2583 Жыл бұрын
Haya mapinduzi ya kijeshi na Tanzania tunayataka kwa 7bu ya udhalimu wenu hao magenelali siyo wajinga.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Si munalo jeshi lenu la wokovu!fanyeni hayo Mapinduzi!
@RamadhanimaulidMokola
@RamadhanimaulidMokola Жыл бұрын
Kwa hiyo wananchi ndio wajinga?
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 9 ай бұрын
​@@AliSalim-yu4moumemjibu vyema sana wanahamu ya kuuwa waislamu na kuwatia ktk viroba kenge hao😅
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
REST IN PEACE Jpm Shujaa wetu Ungekuwepo tusingekuwa Na hili DUDE LA DPW
@Myplusbee
@Myplusbee Жыл бұрын
Na usivyo na akili unasahau kwamba hao hao ambao leo hii wanakuambia NO TO DP WORLD ndo hao hao ndio wangempinga JPM endapo asingeitaka DP WORLD na angeambiwa anafukuza Wawekezaji! Hapo hata ukiulizwa ikiwa umesoma hayo makubaliano yenyewe kati ya TZ na Dubai usikute hujui hata yanafananaje lakini kwavile unasikia watu wanasema hivi, nawe unatembea mle mle badala ya kutafuta ukweli mwenyewe! NAKUKUMBUSHA TU: Ambao leo unaamini WANAKUPA MADINI kuhusu DP WORLD ndio hao hao ambao WALIMPINGA JPM kuhusu Makinikia! Kama ndivyo, wanasimamia nini hasa?!
@hassanhamis1123
@hassanhamis1123 Жыл бұрын
On GB hm noon on 0 polf I'll lkkkke km
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 Жыл бұрын
Msome , ‘’Kwa Nini Waislamu Walalamika,’’ kuhusu mkataba wa Maelewano ya Serikali ya Tanzania na Umoja wa Mabaraza ya Makanisa (Christian Council of Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Episcopal Conference (TEC). , ‘’Serikali ya Tanzania ilikubali kuwarejeshea Wakristo shule za sekondari na hospitali zilizotaifishwa mwaka wa 1970 na pia kuahidi kutozitaifisha tena shule na hospitali hizo au zile zitakazojengwa na makanisa kutoka kwa wahisani wa nje, na hasa serikali ya Ujerumani, kwa ajili ya kuendeleza hujuma za kijamii zinazotolewa na Makanisa. Chini ya muafaka huo Serikali ilipaswa kutenga nafasi maalumu katika vyuo vyake vya ualimu kwa ajili ya waalimu na makanisa kwenda kusomea ualimu kwa lengo la kuimarisha ubora wa shule za Kikristo.’’ Mbona huo mkataba hamuuupigii kelele na ni moja ya mikataba ya uonevu??
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kwani hata wanaojenga SGR si waturuki? Ambao ni walewale tu
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 huyo jamaa chizi tu ndugu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Huyu mbwa simpendi tangu isemekane kwamba yey ndio alimuuwa mjomba.
@badiiddi
@badiiddi Жыл бұрын
Usimwite mwanadamu mwenzio mbwa kumbuka kwa lolote ulitendalo liwe dogo au kubwa M/Mungu utalipwa!!!
@rasmaliyosi6252
@rasmaliyosi6252 Жыл бұрын
Magufuli alisema kuna wastaafu wengine wanawashwa washwa
@ghottaman2570
@ghottaman2570 Жыл бұрын
Ila tumechoka kwa kweri sema ipo siku hao jamaa naho wakichoka basi akuna budi tutakua nyuma yao watu nyooshe nchi hiwe na adabu watu waache kujimbikizia mali tu kama keki yetu wote siyo nyinyi na watoto zenu acheni ulafi wekeni mezani tule wote tufurahie mema ya nchi tuliyo jaliwa na Muumba .
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 8 ай бұрын
Ya sudani yatakuja tu ajira wanapeana wao kwa wao muogopeni mungu
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Mungu Yuko ukweli utajulikani
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Watanzania hata huko mnakoskia inchi zao zina vurugu maana yake ni kwamba watu wamechoka unyonywaji na viongozi wao.Viongozi wetu wamekuwa wakitumia neno lindeni amani ili tuendelee kuibiwa na kufanywa maskini
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Mwizi mkubwa!!!
@MachaggeChacha-c8w
@MachaggeChacha-c8w Жыл бұрын
@@Myplusbee Kama hujui anachoiba Kikwete na mwanae Ridhiwani basi wewe ni kizibo na mpumbavu.Fungua macho na matope yaliyojaa kichwani mwako ndio utagundua wanaiba nini nchini. bwege type.
@Myplusbee
@Myplusbee Жыл бұрын
@@MachaggeChacha-c8w ​ Sasa matusi ya nini Dadangu?! Swali langu jepesi sana; ameiba nini?! Badala ya kujibu unaanza matusi?! Au hujui kwa sababu na wewe unasikia tu mitandaoni?! Halafu unajisikiaje mtoto wa kike unamwaga matusi mitandaoni? Au umeletewa Mke Mwenza, na kwahiyo hasira zako unazileta mitandaoni?! Sasa sikiliza dadangu. Namna bora ya kutatua migogoro ya ndoa ni kukaa na mumeo ili myaongee badala ya hasira zako kumalizia kwa watu usiowajua! Na kama ndo staili yako ya kutafuta mabwana mitandaoni, basi umekosea njia kwa sababu huwa siokoti mizoga ya mitandaoni!!
@emariusrush3285
@emariusrush3285 Жыл бұрын
​@@Myplusbeewewe ni tahira hakuna utawala ulikuwa na ufisadi mkubwa kama jk,(escrow, meremeta Richmond ewura, kusafilisha twiga kusafilisha makinikia nchi ilikuwa wizi Kila Kona)
@Myplusbee
@Myplusbee Жыл бұрын
@@emariusrush3285 Jifunze kuongea kwa staha dadangu, hata kama hukufundwa baada ya kuvunja ungo, jitahidi ku-pretend hivyo hivyo vinginevyo utaishia kutafuta attention ya wanaume mitandaoni kila siku but nobody anaweza kuwa tayari kuwa na mwanamke mwenye tabia za kishenzi kama zako!
@mairamtiti4517
@mairamtiti4517 Жыл бұрын
Bandari ya Mungu haaaaàa
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 Жыл бұрын
Hawa jamaa ndo wanaokula hii nchi😢😢😢watu wanyonge wanateseka sana.... R.I.P JPM
@MussaZjuma
@MussaZjuma Жыл бұрын
mkutano wamatapeli waaftika
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
Mfufue
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
@@MussaZjuma chuki
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Mungu ndio Kila kitu Amelaaniwa Kila amtegemeaye Mwanadamu JPM kafariki Lakini Mungu wetu sio Magufuli
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 10 ай бұрын
Huna lolote wewe jipendekeze kwa Rais tu mabaya yako yasionekane muna Demokrasi gani Tanzania ya kuuwa watu Fisadi dhuluma na wizi wa kura kiongozi gani aliyepata kura katika nchini hii mwaka 2020
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Kwa nini kama waijua haki usisimame kuokoa nchi kikwete kikwete kikwete mungu atakwazibu usipo badilika
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Kwa lipi
@peternyambui7492
@peternyambui7492 Жыл бұрын
Hawezi kuikoa..kwa sababu..nae ni mshiriki ktk kuutetea..mkataba huu mbovu..
@MachaggeChacha-c8w
@MachaggeChacha-c8w Жыл бұрын
@@Mumewangu Kwa wizi
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
@@peternyambui7492 chiki mbaya
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 9 ай бұрын
​@@MachaggeChacha-c8walikuibia nn wewe huna lolote halafu unamwita mtu mwizi..!
@IvoFransis
@IvoFransis Жыл бұрын
Sipendagi kabisa kuangalia clips za kikwete. Umasikini tulio nao yeye ni mchangiaji mkubwa
@khamismohd7344
@khamismohd7344 Жыл бұрын
Wakati wa magufuli viongozi wengine tulikuwa tushawasahau au kila siku wanaumwa hawaendi hata kwenye mikutano yake Kwa sababu mioyo yao inajijuwa haipo katika njia aliyotaka magufuli, kila nafsi itaonja umauti waja tusipoteze wakati
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
Magu binadamu kma sawa kufa inasema angekuwepo isingekuwa, utakuwa hauna akili
@khamismohd7344
@khamismohd7344 Жыл бұрын
@@KassimSalumu-fk6yk sijakuelewa
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 Жыл бұрын
Kikwete mungu anakuona kwa jicho la kipekee badirika na utubu na uwaombe watanzania msamaha kwa mabaya yote uliyo naunayoitendea Tanzania
@joetchatv1453
@joetchatv1453 Жыл бұрын
Ww sio mzima raisi pendwa hyoo
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Жыл бұрын
@@joetchatv1453 Tena sio mzima kabisaah huyo, mpumbavu sana
@alhamiibrahim1289
@alhamiibrahim1289 Жыл бұрын
Kuna wenzio ndo rais wao mpendwa
@emariusrush3285
@emariusrush3285 Жыл бұрын
​​@@joetchatv1453 Raisi pendwa kwakweli ila endapo hutokumbuka escrow, meremeta Richmond,ewura,kusafilisha twiga, kusafilisha makinikia,na madawa ya kulevya
@kassimmustapha456
@kassimmustapha456 Жыл бұрын
@@joetchatv1453 wewe kweli kuma
@mraclatel4866
@mraclatel4866 Жыл бұрын
Walipomondoa bashiru laana hizo mzee
@MachaggeChacha-c8w
@MachaggeChacha-c8w Жыл бұрын
How is this crap benefiting TZ. Kikwete do not divert the real issue affecting TZ by spewing this nonsense.
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Жыл бұрын
Watanzania nani ameturoga hy amani iko wapi tumekuwa makondoo wa kafara tunapigwa tunacheka tumekuwa ngoma? Tubadilike enough is enough tuseme basiii kichapo kimetosha uongo wa hawa jamaa umezidi WASWAHILI WALISEMA AMANI HAIPATIKANI ILA KWA NJIA YA UPANGA Tujikomboe na hawa wachache wanaokula keki ya taifa letu
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi Жыл бұрын
Mwanzo mwisho cjaelewa chochote cjui n akili yangu matope. Naona jk anacheka cheka tu
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 Жыл бұрын
Uzuri wewenyewe umeshasema tope sisi tisemaje
@BunjuBase
@BunjuBase Жыл бұрын
Tulieni myolewe bado magenerali wa Tz wafanye kaz ya kutukomboa kutoka minyororo ya ccm
@iqmediatz
@iqmediatz Жыл бұрын
Mzee unanuka laana popote uonekanapo Mungu akusamehe kama utatubu,
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Жыл бұрын
Chuki na hasadi itakuua
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Utakufa kwa chuki
@emariusrush3285
@emariusrush3285 Жыл бұрын
huyu ndio akileta ufisadi wote Tanzania
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 Жыл бұрын
Mkapa na Nyerere ndiyo wasafi?
@emariusrush3285
@emariusrush3285 Жыл бұрын
@@iddyjohn1032 Nyerere na mwinyi wapi uliona wanaongelewa vibaya??,enzi za Nyerere na mwinyi hatukuwa na uwekezaji wowote toka nje,mapungufu kidogo yaliyokuepo enzi za Nyerere na mwinyi yalikuwa madogo madogo ,tatizo lilianzia Kwa mkapa, lakini Raisi anaeongoza Kwa uozo kikwete (EPA, escrow, meremeta, Richmond, ewura, kusafilisha mchanga wa zahabu ulaya, kuiba twiga,kuingiza madawa ya kulevya, watoto wa familia za kifisadi walikuwa Wana pewa kubwa kubwa (hata kama Hana ELIMU kubwa Bank kuu, bandarini,tra, migodini) ulikuwa mtoto enzi za kikwete????
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 Жыл бұрын
Chanzo Cha hayo yote ni dhulma ambayo hata nyny ndio mnayo wafanyia watz kudhulumu haki za watu na kufuja lasili Mali za taifa kuzi geuza Mali yenu huku wanch walio wengi wakifa kwa kukosa huduma muhimu za kiselikali na kijamii na hapa kwetu Kuna siku watu wata choka msipo geuka na kuacha dhulma na kuwafanya watz kama wajinga wasio kuwa na haki kwa taifa lao ila nyny ndio wenye haki hii haikubaliki kabisa
@bahatikyomo4067
@bahatikyomo4067 Жыл бұрын
Mzee hakuna unachofanya kuuza bandari
@berenaldoNgungo
@berenaldoNgungo Жыл бұрын
Hata sie tunahitji mama apinduliwe tu
@mshombozimbanda3418
@mshombozimbanda3418 Жыл бұрын
Wanacaguliwa kidemkrsia wanakula kudikitaita.Yakwetu mbamilikisha watoto wenu.
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 Жыл бұрын
Mnayozungumza yanatusaidia Tanzania?? Blaablaa tu, tueleze bandari yetu itabaki vp,
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Hakuna chakucheka hapo🆗
@JosephatNyamageu
@JosephatNyamageu Жыл бұрын
Uko wapi huo utawala wa sheria, naona utawala wa uvunjwaji wa sheria😢
@RynoFiree
@RynoFiree Жыл бұрын
Mi hata sielewi😮
@yaredyndaga6483
@yaredyndaga6483 Жыл бұрын
Lait angeona comments za watu humu mmmmh !!!
@mshombozimbanda3418
@mshombozimbanda3418 Жыл бұрын
Lugha nzuri matendo hovyo.😢
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
Kivipi
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 Жыл бұрын
WEWE MZEE WANGU KICHOBAKI SASA TUBU SASA UWENDA M,MUNGU AKUSAMEE MAKOSA YANGU SASA WEWE WATETEE WANANCHI NA M,MUNGU UWENDA AKAKUSAMEE MZEE WANGU PINGANIA SANA WATANZANIA KWA SASA UMRI USHAKWENDA NA UNDONGO UNAKWITA WAKATI WOWOTE..TUBU MZEE WANGU KIKWETE...
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Sasa atubu vp Allah ndo mwenye kujua baina yake sasa unakazania tubutubu.shida gani anayo we ungependelea yeye atubu
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Hivi Baba Wewe ujui kiswahili ?.
@saidiamiri7898
@saidiamiri7898 Жыл бұрын
Huyu mshua KAMA BADO raisi hivii dah!
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Жыл бұрын
🤣🏃
@saidiamiri7898
@saidiamiri7898 Жыл бұрын
@@veronicatweve8908 🥺
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Limoti iko Msoga.
@DaudiMwizarubi-go4xz
@DaudiMwizarubi-go4xz Жыл бұрын
hiyo yote nikujihami huna lolote
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
YAAN INCHI INA WAPUUZI WENGI SANA UNAKUATA WATU %90 WANAWAZA UJINGA TU...
@alhamiibrahim1289
@alhamiibrahim1289 Жыл бұрын
Tafuta wenzio wanazisaka ndomana unamuona mwamba anaenjoi maisha amepambana
@mamamdogo409
@mamamdogo409 Жыл бұрын
Wacha hizo Mzee tumekuchoka chanzo ni ww
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 Жыл бұрын
Muongo wewe.huyu.ndie.baba wa.taifahili.kama hujui mungu.ampe.maisha.marefu.ndie.aliefanya.kazi.kubwa.kuliko.rais.yeyotte.yule kamahujui.uliza
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Жыл бұрын
Itafika kipindi tutaangukia huko maana nyie nakula nchi raia tunateseka nani ataendelea kuvumilia hayo
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 Жыл бұрын
Nyie mnafikili apa Duniani kila mwenye mwili ni binadamu
@frankoguta9792
@frankoguta9792 Жыл бұрын
Sijawaiga kumwelewa kikwete toka amekuwa Rais yani ni mswahili sijapata kuona na pia nazani sio mtanzania huyu yani ajawai kuwa na uzalendo kabisa.
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 Жыл бұрын
Waliokula nchi yetu hawa kina kikwete
@pauloegbert515
@pauloegbert515 Жыл бұрын
Mambo mazuri haya
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Marais wa tanzania wote ni masikini hawana chochote hata rekodi ya dunia haiwatambui ila marais matajiri afrika wapo kama museveni,kenyatta,kagame,ruto,marais wa nigeria ndio matajiri zaidi kupitia rushwa kwa mfano tu huyu rais wa sasa tinubu anamiliki dola bilioni 5 anamzidi mo dewji mara 3 kwani mo anamiliki dola bilioni moja na nusu
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
@@saidbakar-qo6ri what is your point? Wezi hao . Mwizi ni mwizi haijalishi ameiiba sana au kidogo stop nonsense
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
KATIKA MARAIS MASIKINI DUNIANI TANZANIA NDIO INAONGOZA KWA KUWA NA MARAIS MASIKINI
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
@saidbakar-qo6ri NDIO MAANA WEZI SANA NA UFISADI AU? WAMEWEKA MBELE KUTUMIKA NA NCHI ZINGINE KUANGAMIZA RAIFA LETU NYERERE ALISEMA KUWA WATU KAMA HAWA WANA 'TABIA ZA KIMALAYA MALAYA"
@Hamiboy-kq4em
@Hamiboy-kq4em Жыл бұрын
Yan uyu jamaaa ata wanao msikiliza pia hawampend ila mungu nimwema c mnaona anazid kurd utoton yana mwisho
@Hamiboy-kq4em
@Hamiboy-kq4em Жыл бұрын
Ana jichekesha tu watu wako busy
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Mafisadi wa nchi yetu Hamna aibu Tutawakumbuka kwa wizi wa rasilimali za Umma MKATABA WA DPW UFUTWE ACHENI UHUNI
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Жыл бұрын
Chuki na hasadi itakuua
@alhamiibrahim1289
@alhamiibrahim1289 Жыл бұрын
Fanya kaz upate pesa ww, Acha kulalamika sana
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
​@@alhamiibrahim1289hizo kazi ziko wapi? kuma we 😂😂
@stanslausmanyunchwi
@stanslausmanyunchwi Жыл бұрын
​@@ibrahimomari2458ko wew hauna chuki
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@alhamiibrahim1289 wewe unafanya kazi gani??!! Au uchawa😆😆
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Kikwete hayuko sawa kabisaaa, kuna kitu kinamsumbua kwenye nafsi yake japo sikijui,Ila ipo siku kitajulikana tu
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 Жыл бұрын
Wewe umeingia kwenye nafsi yake?waswahili wanasema moto wa mtu kichaka ikiwa na maana huwezi just kilichomo moyoni mwa mtu zaidi ya Mungu,wewe ni nani Acha unafiki na wivu wa kijinga
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Жыл бұрын
Wa mbili havai moja
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Na wewe umelewa madaraka wizi ,uporaji nabado utoshek na una amin akuna wakukupinga kwa lolote, kwa uhuni unaotufAnyia na kujifanya wewe mjanja na cc watanzania wajinga wako unaelekea kutuinguza huko!!
@josephpetro2968
@josephpetro2968 Жыл бұрын
Tendeni haki
@mbarakaubuguyu7448
@mbarakaubuguyu7448 Жыл бұрын
nilijuwa tunapanga mipango ya kujenga Barabara na kujenga mashule
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Shida ni nyingi. Barabara zetu za highways ni finyu mno. Ajali ni nyingi. Andaeni hata marshal plan barabara ziwe za njia nne mpaka sita.
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Leo mbona ucheki tofauti na ulivyo elezea escrow na EPA na hili litapita tuendee kucheka Tu
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Mapambano ya escrow alianzisha kikwete mwenyewe aliwageuka rafiki zake kina lowassa ndio maana alihakikisha lowassa hawi rais kama una kumbukumbu kikwete ndie alianzisha kampeni ya ccm kujivua gamba na akaahidi kuwa ccm itawaletea rais mtakaempenda jembe na magufuli aliwahi kusema bila kikwete yeye asingekuwa rais
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Aliyomtendea hatakaa asahau.
@RashidRamadhan-dt9hx
@RashidRamadhan-dt9hx Жыл бұрын
Nawewe ulibariki kufuta uchanguzi wazanzibar hukulisema hilo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Kikwete pumzika umestaafu
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 Жыл бұрын
JPM ,,alisema kuna viongozi wengine wamesitafu lakini bado wanawashwa alikuwa anamaana kubwa sana,,,,,nchi hii tusipoondoa woga mpaka tunapolala itatolewa mikatamba ya hovyooo,,,,tuwakatae kwa vitendo,,,,
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 Жыл бұрын
Wanasiasa wengi siyo wa kweli wamejaa ufisadi na dhulma.
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 7 ай бұрын
Mnafiki mkubwa huyu siyo wa kumsikiliza.Jeshi na demokrasia wapi na wapi. Yeye ametuvuruga sana kwenye demokrasia
@mdl6463
@mdl6463 Жыл бұрын
Kwanza mzee unge pozi tu achana na mitandao tunajua sifa zako mema ulofanya tulia tu 👊👊👊
@alhamiibrahim1289
@alhamiibrahim1289 Жыл бұрын
Wivu na chuki zitakuua
@alhamiibrahim1289
@alhamiibrahim1289 Жыл бұрын
ss huyu mzee hatuwez kumsahau kabisa, tumejenga,tumenunua magari, tumekula bata, ajira zilikua nyingi mpaka wafanyakazi hewa , pesa ilikuepo mtaani , ata siekua na kazi pesa alipata. yani kikwete ktk kipind kwel ilkua maisha kwa kila mtanzania.
@emariusrush3285
@emariusrush3285 Жыл бұрын
​@@alhamiibrahim1289nenda kajikushe ufisadi wote uliotokea enzi zake
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 8 ай бұрын
😂😂😂RWEYEMAMU MUSHAIJA😅😅😅MUSHAIJA heigeige KABISAKABISA.
@MollelAman
@MollelAman Жыл бұрын
Tunakukumbuka magufuli
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc Жыл бұрын
Majenerali wanavuluganchi zingine naTanzania inavulugwa nanani..kamasi wazeewachovuwaliojaa kwenyechama hatauwezo wakufikiriuliishapungua wakati vijanawasominawazalendo maelfuwakisagasoremitaanitu hukunchi inaanaangamia.
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 9 ай бұрын
Huyu jaamaa wakati wa JPM alikuwa hata hakohoi sas uweke wanawake ili uwaongoze na wakunyenyekee uwatumue utajavyo siyo kweli kwenye African wanawake kuwa VIONGOZI bado sana tupo nyuma sana
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 7 ай бұрын
Kikwete ulikuwa na nafasi ya urekebisha hiyo dhulma viongozi wanayowafanyia wanyonge ila ukakataa bila sababu. Ulivuruga kwa makusudi kabisa mchakato wa katiba mpya na bora kwa watanzania. Nadhani ulifanya hivyo kwa maslahi binasfi. Leo upo nje ya madaraka na unazungumza matatizo ambayo ulishiriki kuyasuka, hii ni kejeri na dharau sana kwa wa Tanzania. Hayo mnayo yafanya ipo siku watu watamwaga damu, hamta kwepa dhima hii kwa Mungu. Hutaishi milele, kumbuka utaulizwa kwa kila jambo ulilolifanya. Nafasi unayo ya kurekebisha kabla hali yaijakuwa mbaya zaidi. Huu ni ushauri wangu kwako
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Жыл бұрын
Ata wewe na samia mifumo yenu yautawala Wanavumilia tu nchi nyengine mngeshapinduliwa mfano ni bandari
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
HIVI KWELI BANDARI INAENDA😢😢😢
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Mnapita bila kupin'gwa kwa nchi waelewa lazima kinuke
@RamadhanimaulidMokola
@RamadhanimaulidMokola Жыл бұрын
Usiombe kinuke utaukumbuka ugali na maharagwe,
@ramadhankhamiss2943
@ramadhankhamiss2943 Жыл бұрын
Wote vibaraka
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Ndiyo maana methali ya kiswahili inasema ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia kichwa chako maji.Tusizibe masikio kusikia kuwa watu wetu wanataka nini. Kiburi cha viongozi ndicho huamsha hasira za wananchi.MwenyeziMungu tuepushe na balaa hili.Viongozi wetu watusikilize nasi tuwasikilize.
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
Isije umbuka wewe
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 7 ай бұрын
Kikwete unajua vizuri uchaguzi huo unaodai ni wa democrasia , kiukweli hauakisi aumuzi wa wananchi. Hii hali ndio ilivyo Tanzania. Mnalazimisha watu wasio na uwezo kuwa viongozi kwa maslahi yenu binafsi.
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Жыл бұрын
Kwekwete bhana hushibi tuu ndugu, mlikula nchi na bado mnakula tuu hata kama nimatumbo mmezidi jaman , angekwepo magufuli tusingekwepo na hilo linaloitwa dpw
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 8 ай бұрын
Majenerari wawili kuvuruga sudani ni matokeo kuwazarau Wa amgambo na wengine wakawa wanalipwa wengine asante hapa Tanzania tujifunze sudani
@noelkomba5270
@noelkomba5270 Жыл бұрын
Huyu jamaa ujue ananikumbusha raisi George Herbert bush yaani bush baba wa marekani akicheka kisirisiri wakati wa msiba John f Kennedy
@mamamdogo409
@mamamdogo409 Жыл бұрын
Nakuona Mzee kumbe hukushiba uongozi ,haya sasa Fanya yote utuuze na sisi magu alikuwa anaona mbali , ila Mzee nakuomba hicho kicheko ukatubu ni dhambi acha kucheka na dharau muachie mama ashindwe mwenyewe ulistaafu
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t Жыл бұрын
Wanaondolewa kwakuwa wanawaibia wananchi wao kwakujlimbikizia.mali zawananchi wao.
@KenthNdingo
@KenthNdingo Жыл бұрын
Mapinduzi ktk dimokrasia inamadhara mkuu wananchi wote inakuwa shida kubwa . Ikitokea nchi hakaliki.
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 8 ай бұрын
Tanzania viongozi waliostafu hutayarisha watoto wao kuchukua madaraka ufarume Wa kupeana kundi furani ni hatari sana kwa siku sjjazo
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 9 ай бұрын
Wewe babu kalee wajukuu zako umekaa miaka 10 kwenye madaraka mbona hukusema lolote labda kupanda mbegu ya Ufisadi wizi dhuluma mauwaji tu
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Жыл бұрын
CCM kuingia madarakani kwa nguvu za kijeshi na wizi wa kura...👌🤝
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 Жыл бұрын
Hana hata Aibu
@Mr.rizz334
@Mr.rizz334 Жыл бұрын
Achà ujinga viongozi wafrica wezi mmojawapo wewe
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Жыл бұрын
Mmekula nn mbona mnatuuza kizalendo!?
@HansMoses-ml7oh
@HansMoses-ml7oh Жыл бұрын
Watu wakichoka na ufisadi ndiyo matokeo kwaiyo ata Tz wakichoka
@anthonykishiwa5334
@anthonykishiwa5334 Жыл бұрын
Mkataba was DPW ufutwe hatuutaki
@SaadatIdowa
@SaadatIdowa 8 ай бұрын
Kikwete Kwan hujang'atuta madarakani? M ona umekuwa kama kupe?
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 Жыл бұрын
Vijana watapataje nafasi ikiwa uteuzi na kazi Wazee kama kina wasira ndo wanapewa kazi!
@MukamiMichaelsanga
@MukamiMichaelsanga Жыл бұрын
Pia wewe rais mstaafu kikwete utakuja sababisha vita mbaya sana hapa tanzania, unawazungumzia mataifa ya mbali na kwako kunafuka moshi, moto ni wakati wowote, na sababu kubwa mikataba ya kijinga, viongozi wetu wakiahidiwa asilimia kumi, udenda unawatoka kama fisi alieona mzoga
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 8 ай бұрын
Mie nadhan hayo mapinduz yanastahili kwa sababu tunawachagua kweli kidemokrasila ila inakua ni kama mnatafuta mlango wa kuingia tu lakin kwa nin wananch wamewachagua hilo tena hanjali ikisha kua tayari kiongoz
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Hayo yote yanasabishwa nauongozi wetu maana hawataki kutenda haki kwenyetaifa nahawaheshimu shelia nakauli yawananchi ndomaana jeshi linachukua inchi
@BonifaceNdoyela-fo2zl
@BonifaceNdoyela-fo2zl Жыл бұрын
Mungu ingekuwa uamuzi wangu wastaafu waliobaki ningewauwa hawafai hatakidogo mtu anaongea kwa dharau kucheka kwa dharau wamepata nafasi za kuongea. Nchi hii imeisha mwenyezi mungu tuangalie kwa jicho la huruma alisema magufuli yametimia
@wazolangu6987
@wazolangu6987 Жыл бұрын
Ni nyinyi ndio mnatusababisha kutaka kuwatoa kwanguvu kwasababu mnaiba kura na hamueshimu maamuzi ya wananchi.
@AdonKamota-s1u
@AdonKamota-s1u 9 ай бұрын
Tatizo viongozi wa Africa wengi wao ni vibaraka wakika madara kani wana AngaliA maslay yao taifa lina yumba mabebelu wana fanya wana votaka wana nchii maisha magum kiongozi kama uyo jeshii lina mpinduA kwa duniA ya sasa Afai Ana leta matatizo katika taifa tunako ElekeA kila kitu kita kuwa wazi viongozi wote wanao. We kwa na mabebelu wata pinduriwa mmoja mmoja
@Gracemima
@Gracemima Жыл бұрын
Huyu anadanganya watanzania. Hata sijuwi kwa nini munamusikiliza.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 8 ай бұрын
Uyu mzee akisoma hizi comment ataelewa kitu juu yake
@NyakiMollel
@NyakiMollel 7 ай бұрын
We ndio umeiangamiza taifa letu na bado ujatosheka inauma we tujaze siasaa ila dhambi hii haitakaa ikuache
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Wewe baba wewe
@CharlesMajahasy
@CharlesMajahasy Жыл бұрын
Kajamaa haka kahovyo Sana, na anaeihalibu na ametuingiza kwenye shida ktk hii inchi ni haka kajamaa, malipo ni hapahapa.
@makulanangale7186
@makulanangale7186 8 ай бұрын
Hao majenerali wanajitambua Sio waezi kama nyinyi
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Tunataka mkataba wa DPW ufutwe sisi wanainchi hatautaki
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 8 ай бұрын
Mikutano miiingi maisha hayabadiliki dhiki tupu
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 Жыл бұрын
Marekan amejaribu kusaidiaa , USA anasadiaa ??
@sadickbudoda4361
@sadickbudoda4361 Жыл бұрын
Kwetu kuna rushwa hakuna democrasia pia kuna wezi na mawakala wa wizi na bandar itawasafisha mwaka huu mtaumbuka sana
@sadickkunambi7675
@sadickkunambi7675 8 ай бұрын
Sasa hao marekani sindio mashoga ya dunia
@mbarakaubuguyu7448
@mbarakaubuguyu7448 Жыл бұрын
tuko siriasi yaani hatucheki ovyo
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,5 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 16 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
Israel Lebanon ground invasion believed imminent as tanks mass at border
27:17
MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
33:43
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН