FULL INTERVIEW: HISTORIA YA MAKACHU FORODHANI | TUNAPATA PESA NYINGI SANA KWA KURUKA KWENYE MAJI

  Рет қаралды 11,683

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@khamismdunga6517
@khamismdunga6517 26 күн бұрын
Unajiamin sana bro pia unajua kujielezea hongera sana 👍
@Maryan-i8d
@Maryan-i8d 25 күн бұрын
Maashallah u guys know how to respond, talk,in a respective and humble way
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 21 күн бұрын
Oya divern smart mwana uyo..😮 Oya me oyo omy makachu namwita Al Awal. Hii imenda😊
@Rajimadope-255
@Rajimadope-255 25 күн бұрын
Huyu jamaa mwenye kikofia very humble yupo straight na anajua kujieleza
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 24 күн бұрын
Na mimi niende ivo ivo na nyie yaani NJE YA MAADILI
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 23 күн бұрын
Huyo "Al'awwal" kaipenda iyooo😅😅😅
@Khizer-00p
@Khizer-00p 11 күн бұрын
Kasoma san uyo mzee ana degree😂
@Project1986p
@Project1986p 21 күн бұрын
Big up clouds..mme jiongeza video zipo 100 clear.👌🏾
@EGM-TZ
@EGM-TZ 26 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys pesa lazima itafutwe kwa njia yoyote🎉🎉🎉🎉 let's Go
@wilberforcewilpower3254
@wilberforcewilpower3254 26 күн бұрын
Watu wa visiwani wajue umuhimu wa bara, na wabara wajue umuhimu wa visiwani... unaona jinsi gani kipaj kinakufikisha kwenye media...big up kwa vijana hawa. Nawaombea wawe wa na maeneo kote Fordhani na Beach za bara km Coco beach. Muungano uendeleee
@AbdulkarimRamadhani-nn3gf
@AbdulkarimRamadhani-nn3gf 25 күн бұрын
Hakuna umuhimu wowote kila mmoja abakie kwao..
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 25 күн бұрын
Hatutak Tena Mambo Hayo Kla Mtu Awe na Kwakwe.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 23 күн бұрын
😂😂😂😂​@@AbdulkarimRamadhani-nn3gf
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 23 күн бұрын
Hatutaki uwo muungano sio lazima
@sinyooo6583
@sinyooo6583 19 күн бұрын
Kwani nani amewalazimisha​@@saeedmassoud256
@omarkapula588
@omarkapula588 23 күн бұрын
Ni zamani sana hata sisi tulikuwa tunapiga makachu miaka mingi sana
@BenjaminAman-c7w
@BenjaminAman-c7w 26 күн бұрын
Makachu❤
@fahadAlloufy
@fahadAlloufy 22 күн бұрын
wangekuwa wawili sawa ila wote wangekuwa na akili nyingi kama huyu Rasta ingekuwa poa sana
@bshhdxgdhjjdhd7627
@bshhdxgdhjjdhd7627 26 күн бұрын
Big up
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 23 күн бұрын
Makachu sio kitu easy, watu wanachukulia kitu poa watu wanakufa kibao kwa kujigonga na mawe na kuparalaiz
@husenahusena2660
@husenahusena2660 25 күн бұрын
Omi umeua 😮
@BizzyBizzyman
@BizzyBizzyman 22 күн бұрын
Me nauliza tu ni media Gani kubwa ambayo ipo zanbr mpk Hawa waiache waend huko
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 23 күн бұрын
Waseme Mzimgani ao wote mi wageni wakuja sio watoto wa town. Watu washakufa mzingani pale Wamtafute Salmin ndoo anaijuwa History ya pale😂😂😂
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 19 күн бұрын
Kwani mtoto wa mjini lazima atoke mji mkongwe? Msijifanye watoto wa mjini wakati nyinyi wenyewe ni wageni na si nyinyi wageni basi baba zenu ni wageni.
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 21 күн бұрын
Oya tujitoweni magetoni badae itakua kweli tuna mambo meng ya kiasili tuyatumie ili kujimarisha kiuchumi.
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 20 күн бұрын
Wabara bado kiswahili hawakijui wazanzibari tunaendelea kuwa walimu wao
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 20 күн бұрын
Hakuna mwanadamu anaejua kila kitu kila mtu anajifunza kitu kwa mwenzie ili usijekujiona mbora sana kukubali mapungufu unayoyaona kwa mwenzio wewe pia una yako,
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 19 күн бұрын
@hadijamandanje6189 hakuna anaekataa hilo ila watanganyika mnajifanya mnajuwa kila kitu hata kuzulumu wazanzibari
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 19 күн бұрын
Wazazibar muna zarau Hadi nawahurumia mkija huku bara mnajiona wabora kushinda wabara lakini mnasema ni waislamu wazuri haya ndo sifa ya uislam hiyo, Achani hizo
@TALLUBOY
@TALLUBOY 25 күн бұрын
najua vijana wangu hi itakuwa mara ya kwanza kuja bongo Dar es salaam
@suleimanh1826
@suleimanh1826 24 күн бұрын
Kama umekusudia kuwaelezea hawa vijana kuwa eti ni washamba sana kwavile hawajawahi kufika Dar basi umekosea sana. Wazanzibari ni watu wastaarabu sana na wanajua tamaduni mbalimbali za ulimwengu mzima kutokana na nature ya Zanzibar ya kupokea wageni wengi wakati wote wa mwaka. Hata ukiwasikiliza vizuri utaona ustaarabu wa vijana hawa.
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 24 күн бұрын
Nyie sindio mukija Zenji munaona kama dubai
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 22 күн бұрын
Hee!
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 25 күн бұрын
Eti jamal sio star wenu binadamu bwana😂😂
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 23 күн бұрын
Hakuna mbongo Ata mmoja anaeweza kuruka makachu, wazanzibar ndio wanawafundisha wabongo kuruka makachu pale coco beach, yani muandishi anauliza Kam vile hajui kama wabongo hawajui kuruka makachu
@duliydula
@duliydula 25 күн бұрын
Ivi jamani kwanini media za Zanzibar Zinashindwa kufanya Kama wanavyofanya media za dar kwanin
@RamadhaniMuhomba
@RamadhaniMuhomba 23 күн бұрын
Huyo jamaa rasta yupo vizuri kwanini huyo dada anafosi ajuwe mapato ya mtu binafsi
@fahadfahmy
@fahadfahmy 24 күн бұрын
Neno mbizi nikuzamia chini
@alitomorrow166
@alitomorrow166 25 күн бұрын
OMI ANAITWA ZOMBIE SIO OMY MAKACHU😂😂
@jituakilimali15
@jituakilimali15 21 күн бұрын
Hao wote bangi tu wasikilize hayo maelezo yao
@AlWahid-z5h
@AlWahid-z5h 25 күн бұрын
Afuu wanang kila nikija pale nawaon mahodar kinoma maji yanaumiz kinom ukianguka vibay
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 24 күн бұрын
Ja
@KHALFAN-m4o
@KHALFAN-m4o 21 күн бұрын
ACHENI UONGO
@AminaIssa-c5l
@AminaIssa-c5l 21 күн бұрын
Maji yanakua na vichembe vya mchanga
@KHALFAN-m4o
@KHALFAN-m4o 21 күн бұрын
MINYWELE MICHAFU HUJUI KUONGEA UNAPOSEMA HAMUJAWAHI KUFA SEHEM ILE UNAMANA HAMUFI HAPO AU ONGEA KAMA MKUBWA BASI WW BE MATAURED
@bakarmohammedhassan2088
@bakarmohammedhassan2088 25 күн бұрын
asili ya neno kachu ni kachumbe
@FahadAli-ni5eu
@FahadAli-ni5eu 25 күн бұрын
Mmmmh Jamal bhana ndio alosabisha saiv 4ro kuwa ivo
@ChekaKisomi
@ChekaKisomi 25 күн бұрын
EPISODE 2 :UTACHEKA UFE😂 MADAME SASHA APATIKANA/TIN WHITE NA DULLVANI MIGONGANO VYUO WILAYA YA ILALA. 💥💥kzbin.info/www/bejne/p6OYc4RjqLOog8Usi=q_rg9RNgElS7Kzpg
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 20 күн бұрын
"Al-Awwal watch your language "wewe mbongo?mbona unachanganya R na L kama unaigiza sio igizo zuri kama mbongo hulaumiki tabu Kubadilika
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 25 күн бұрын
Divan acha upumbavu ww, mzanzibari gani usojuwa kuelezea vizuri maana ya Zanzibar? Hakuna Zanzibar na Pemba kuna Pemba na Unguja ambayo kwa pamoja ndo Zanzibar
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 22 күн бұрын
Huijui Historia ww , Unguja ina majina mawili unaweza kuita Zanzibar au Unguja , ila Pemba ni Pemba , usije kusema Zanzibar ni mkusanyiko na Pemba
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 22 күн бұрын
@hamzasuleiman9605 kajambe uko, yaan hiyo ni definition ya kichoko kabisa na kibaguzi nyinyi waunguja muliyo nayo zidi ya Pemba, kwanza jiulize nini maana ya Mzanzibari? Je Mzanzibari ni Muunguja tu au ni Mpemba na Muunguja?
@mansouromary9246
@mansouromary9246 20 күн бұрын
​@@hamzasuleiman9605 endelea kutupa elimu
@almuhorig1077
@almuhorig1077 23 күн бұрын
Hawa wamama watangazaji wapuuzi mbona wao hawaweki mishaharq yao hadharani watu wakajua ...Heshimuni vijana na kazi zao
@zikirination6769
@zikirination6769 25 күн бұрын
Baadae mnatukana Tanganyika mkishiba acheni ushamba wazee haya maisha mzunguko Sisi tungekuwa wabinafsi msingepata interview
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 25 күн бұрын
Hatuna haja jiji nd mnajpendekeza.
@jakuvuai1428
@jakuvuai1428 25 күн бұрын
Na huyo kikofia ni WA huko pia, ila nna wasiwas na rasta
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 24 күн бұрын
Kwan nan apo anamuhitaji mwenzke zanzibr peke yke jina
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 23 күн бұрын
Makachu ya foro ni maarufu, Toka Enzi na Enzi, kabla hata iyo TikTok na kuliko hiyo interview yenu ya TV yenu ya clouds, makachu yapo kitambo sana, hata Nyinyi acheni kutukana wazanzibar
@AminaOthman-b4f
@AminaOthman-b4f 12 күн бұрын
Ni kweli kabisa
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
MCHOKONOZI ABANANISHWA STUDIO ASIMAMIA MISIMAMO YAKE PALEPALE.
1:22:28
Platform Media
Рет қаралды 80 М.
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09