Hakuna kituu kinakeraa Kama KUONESHAA KUWAA sisi woote tuunaa akilii za KUSHIKIWA NISHIDAA
@shabanikitogo6613 Жыл бұрын
Jamaaa huyu nomba sana magari ya Ester luxury coach yanaongezeka tu
@EmmanuelKepha7 ай бұрын
Mmmhhhhh hii nchi ni ngumu sana😮😮😮
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Kumbe Hii Nchi Inadaiwa..? Mbona Ni Aibu Maana Tukiangalia Maisha Ya Hao Viongoz Wetu Ni Tofaut Kabsa Na Kiwango Cha Deni, kwa Mwendo Huu Ipo Siku Tutakuja Kuuzwa
@musason1680 Жыл бұрын
Jaman anasema ilikua T.60 mwezi wa 6 wakatia non cash bond T 2.1 sa hapo katikaki hata limekuaje n maneno maneno t mpaka kufika T.90 Hawa viongozi mbona hata maelezo yao hayajitosherezi
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Napenda niweke hisia zangu hadharani kwamba, wengine wote wakiongea huwa nawaelewa kidogo ila huyu sijawahi kumuelewa.. Labda mimi kichwa changu ni kigumu kuelewa..
@thomastarimo Жыл бұрын
Kwakweli sijawahi kumuelawa huyu jama..ata siku mmoja
@thomastarimo Жыл бұрын
Yani huyu jama ni mtu mchafu sana ndiyo maana mzee alimfukuza kama jangili Yani afai kabisa siyo binadamu kabisa huyu sijuhi ni kwa nini karudishwa Ila mungu ata mfuza yeye maana mungu ajawahi kushindwa kitu
@majimotomalole1809 Жыл бұрын
Kwani sekta binafsi wametumwa kwenda kukopa kwa maelekezo ya serikali. Au ndo unaingiza na mikopo ya kampuni lako kwa lengo la kulipiwa na serikali.Mwigulu watanzania hawakuelewa hata kidogo
@khalekichambo1131 Жыл бұрын
Na mimi nimeshangaa
@mannabu9333 Жыл бұрын
uyu jamaa ata ukiwmangilia tu unajua kabisa hamna kitu kichwani ata sijui hii serkali ?
@lemeboyofficial Жыл бұрын
Mimi wa kwanza like zangu 🔥🔥
@georgewambura7695 Жыл бұрын
Sasa, baresa ,mo, gsm na nchi wanahusika vip, hao nao hata hawamuulizi how comes
@youngkidor3296 Жыл бұрын
😂😂wanatupiga kavu kavu wapumbavu mtu anavyo vunja heshima yake mwenyewe ni vizuri kumdharau anajidhalilisha tyu walio mtuma wamefeli wezi hai hao 🇹🇿😭😭😭
@HeriDunia-i7m3 ай бұрын
kwaiyo masikin wachini anamlipia deni tajir yan matajili wanakopa wakitegrmea sisi wapiga kula ndo tuwalipie mikopo yao wesengelema
@georgewambura7695 Жыл бұрын
Mi hata sielewi hapo
@hajilusandi8520 Жыл бұрын
Hivi tofauti hapo kati ya serekali na taifa jaribuni kunielewesha kidogo maana taifa hili kuna kipande hakina serekali nacho kimekopa
@thomastarimo Жыл бұрын
Yani huyu bwana simwlewagi kabisa Mimi sijuhi ni kwa nini alirudiswa MTU alifukuzwa alafu anarudisbwa
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Wenzangu mmeelewa? Anayedaiwa ni anayelipa ...
@valencegustav1378 Жыл бұрын
Non cash bond trillion 2 😂😂 then trillion 63 mkinisikiliza kwa makini jumla ni trillion 73 ya serikali sijaelewa kabisa
@ajmagowaajetha Жыл бұрын
@@valencegustav1378 hakuna la kuelewa hapo … swali mimi nakopa pesa billion moja marekani pia inakuwa deni la taifa? Yaani Waziri bora usijekuja kwenye mahujiano
@musason1680 Жыл бұрын
Huyu jamaa me sijawahi kumwelewa Kwan deni likisha kuwepo nalo linapanda kulingana na Dollar au n kitu kilishakuwepo kinajulikana kimkataba n shi ngap ko kadr dollar itakavyopanda deni linabadirika
@aristarikimrina3830 Жыл бұрын
unafurahia kuongezeka kwa deni ivi mnaakili
@gregory6165 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@youngkidor3296 Жыл бұрын
Muhongo huyo muhongo ivi anatufanya watanzania ni mafala izo shule walizo enda zinawapoteza VIONGOZI wetu 😂😂Mzee kuwa unaongea FACT 🇹🇿❤️
@thomastarimo Жыл бұрын
Alafu kwenye ukweli wale wanaongea kua kuna wachochezi awaongei ata kidogo sasa kuhusu hili deni LA taifa
@tidomilinga37502 ай бұрын
Hilo swala limekaa kitaalam zaidi
@tidomilinga37502 ай бұрын
Mtu wa kawaida uwezi kuolewa
@HeriDunia-i7m3 ай бұрын
michongo mingi mjini baba angu adi leo awajampa hela yake ya kustaafu akienda wanamwambia kalatasi zote anazo wao wanataka kalatasi ya mwajili naalifanya Kaz bandali jina lipo kilakitu ila apo ndo wanamlushalusha secta za kipigaji tu