Shida iliyopo Tz viongozi awapende kupewa ushauri wa maana, Sasa Ndugai alisema tuwe makini na madeni, Sasa Deni limepaa Tulilipe Sasa tuache kulalamika Tena,
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Ndio maana si wengine tulishakimbia siku nyingi sana sipo hapo 🤣🤣🏃🏃
@michaelligwa9448 Жыл бұрын
Tulia tupigwe mnada kwani mwigulu na makamba anajua Hilo sasahivi 91 tri
@venancemalima1181 Жыл бұрын
Job Yustino Ndugai.
@gracemima5234 Жыл бұрын
Kwa sasa kila mtu kazibwa mdomo. Watanzania wanateseka wabunge wetu kimya. Mama amekuwa mama haguswi. Akiguswa tu mafisadi wakina Kikwete wanatokea kuwapinga. Watu Kama Gwajima tunawajuwa wanaishi kwa uwongo wa kanisa kuwaibia watanzania. Tanzania kwa sasa inashida kubwa. Hatuna seikali bali vihoja