Aliyesikia corona hawezi kukaa kwenye mwili wa kiristu agonge like....Ekaristi takatifu ni kinga toshaa🙏🏼🙏🏼 Ahsanteee Mungu kwa ajili ya Raisi wetuu❤
@ombenimwaihojo32734 жыл бұрын
Nashukuru sana Mh kwa imani uliyo onesha maana imani yako ndiyo imani ya watanzani mungu akulinde milele na milele AMEENII.
@pendocastory29724 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu akupaye ufaham kulitambua hilo,,nakupenda rais wangu na nakuombea Mungu aendelee kukupa hekima ya juu zaid,,,amina!
@oscarbravoug64304 жыл бұрын
From 🇺🇬 but HE jpm sijui mungu kakuumba aje 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Tofauti sana na viongozi wengine Aki asante sana 🙏🙏💪💪💪
@laurencialeonard39324 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufariji mungu atuepushe na janga hili kubwa
@richboytz1394 жыл бұрын
Tunashukuru rais wetu kwa kututia moyo.tuendelee kumwomba mungu atuepushe na hili janga la corona.ishindwe kwa jina la yesu krisro
@veronicawoisso53324 жыл бұрын
Hakika umeongea jambo la maana sana mheshimiwa Rais. Mungu pekee ndo aweza kutuponya
@patrickmadiwa38454 жыл бұрын
Wewe ni umetumwa na Roho wa Mungu .ubarikiwe mh RAIS
@amaniswa55234 жыл бұрын
Amina
@eliakimchaiikobellah3584 жыл бұрын
Kweli Tz Sasa itaigwa duniani na kupewa heshima kupitia Rais huyuu Kitenda cha kutomuuzi MUNGU kwa kufunga ibada. Lazima aitetee nchi hiiii Ni kadogo Sanaa haka ka Corona Daah nimeshangaa ujasiri huuu Mungu azidi kukulinda rais wetu
@drelizakilili4 жыл бұрын
Tunakupenda mnoo Rais, juhudi zako tunaziona the way unavyotupambania watanzani. Uishi milele
@UFALMEWAMUNGU4 жыл бұрын
Hakika Mungu amekufunulia Rais wetu,,damu na nyama havikukujulisha,,umetoa Neno la Mungu lililo la ukweli.
@abdallabundala1584 жыл бұрын
JPM ww ni rais wa kweli. you are one among the heroes in this world.
@veronicachikongoye65234 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo huko vizur baba
@alphonsinesingirankabo62744 жыл бұрын
Mungu akulinde mudunia yote Amen
@hopennko52424 жыл бұрын
Wewe ni Rais wa kuigwa na kila mtu, hakika Mungu akupe maisha marefu kama mapenzi yake yeye peke yake
@jumakapaya71694 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa nchi yangu Tanzania Mungu ni mwema ugonjwa hili litaungua kwa jina la Yesu.barikiwa sana Rais wetu.Mungu ibariki Tanzania
@josephmwabila27804 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu kwa kutusisitiza kuwa tumtegemee mungu maana yeye ndiye kila kitu katika sisi sote watanzania pia mungu akubariki sana na mungu akuongoze katika kutuongoza sisi watanzania
@angelinpretty39704 жыл бұрын
Full of wisdom, maneno haya yamenitia moyo sana Hakuna linalo mshinda mungu. Kenyan
@mwannerichard14194 жыл бұрын
Yaani raisi unajitambuwa sana kilakitu nikumtengemeya mungu tu natuzidisha ibada na kumtakamsamaha allah
@dicksonchibago98054 жыл бұрын
Mungu awe nawe na akuzidishe katika Imani. Yesu alishatushindia Tanzania itakuwa salama, Afrika itakuwa salama.
@fortunatuemgendi97314 жыл бұрын
We noma mh.asante sana kw kauli yako,,,,big upp mungu akubaliki sana.
@michaelben79154 жыл бұрын
Upo vizur raisi wangu mungu akubariki na akusimamie!!
@maryleonard35014 жыл бұрын
Amen! Mungu akubariki raisi wetu.
@chekatime22114 жыл бұрын
Amina
@asifiwemkumbwa33834 жыл бұрын
Ni baraka ya namna gani hii kuwa na kiongoz wa namna hiii Mungu akupe maisha marefuu utuongozeee vyema baba tunakupenda mno
@zahilibenard18714 жыл бұрын
Mungu alitupa raisi
@Nazareth81194 жыл бұрын
Mungu akubariki Mhe Rais wetu, kwa kuendelea kurusu ibada ziendelee
@vivianusrwezaura35554 жыл бұрын
Hakika, Mungu ndiyo muweza wa Yote. Asante sana Mheshimiwa Rais kwa kulisemea hilo
@floradori57604 жыл бұрын
Mungu yupo nahili litapita maana tuna yaweza mambo yote katika yeye atutiae nguvu tena
@floradori57604 жыл бұрын
Corona itapita kwa jina la yesu mungu wetu ni muweza
@henricomzumbwe20724 жыл бұрын
Namshukuru mungu kwakutupa rais Anae ijua dini Asantesana mheshimiwa Rais mungu Awenawe Amina
@neemakibwana36924 жыл бұрын
Amen! Hakika Rais wetu wewe ni chaguo la Mungu kwa nchi hii. Mungu aendelee kukulinda na kukutunza.
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
Unamsifu na katutilia ndugu zetu waislamu aliowaweka ndani miaka minane Mwenyezi Mungu hayupo pamoja na wewe.
@thadeimkula89874 жыл бұрын
Magufuli minakupenda sana
@josephsilali19554 жыл бұрын
Aminaaa..ubarikiwe sana rais wetu kwa moyo wa ushujaa wa kututia watanzania hakika Mungu atatenda wala corona haina nguvu mbele za Mungu
@eliasbabueliasbabu27374 жыл бұрын
Kweli Mungu ndie njia yapekee anaeweza kuwaokoa watu wake.Mungu tegemeo langu na letu wote wanaomwamini.
@josephmaboto7024 жыл бұрын
Ahsante Sana mhe Raisi Mungu ameshatupigania mengi Sana hata Hili yuko pamoja Nasi barikiwa Raisi
@tuskerlazaro59654 жыл бұрын
Ubarikiwe Kwa Hotuba fupi Mh Raisi Hakika Mungu ndie Tumaini letu katika kipindi hiki cha Ugonjwa huu, siogopi kamwe Kwa sababu Yesu Kristo yupo Ndani yangu na mim ndani yake.
@immaculataroeser84284 жыл бұрын
Mungu akuweke Rais Magufuli na maneno ya matumaini ya Mungu .Ubarikiwe sana.
@akikiskola36444 жыл бұрын
Ni rais wa kwanza kuamua hivo Mungu akubariki
@lightmashauri17254 жыл бұрын
Waooo safi sana Bana yetu yaniii wewe dahh ni zaidi ya Rais unaimani thabiti hii ndo Mungu anataka IMANI..asante bana 👏👏
@johnmwendwa72304 жыл бұрын
Tufunge na tuombe msiongope mungu yupo
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Magufuli unafaa kuwa kiongozi wa Taifa hili ktk nyakati zote.Hongera sana.
@lavianaalbert90384 жыл бұрын
Balikiwa sana sana mungu akupe haja ya moyowako baba 2nakuombea pia
@gloriasospeter29884 жыл бұрын
Asante sana mheshimiwa umejua kutufurahisha kweli tusitegemeee vitambaaa Bali kumtegemea mungu
@lovembwana47864 жыл бұрын
That's how it is Without the Almighty God we are nothing likes please
@mohamedAli-vf8hp4 жыл бұрын
Mm kma muislam mzaliwa wa kenya saa hii niko qatar huku ety nyumba za mungu zimefungwa natamani ungekua kiongozi wa nchi zote duniani tumuogope mungu tusiogope corona huu ndio wakati muhimu wakurudi kwa mungu 😭😭😭🙏🙏🙏🙏tuombeni ndugu zangu waislam na wacristo kwa ujumla mungu pekee ndie best solution na huu ugonjwa umeletwa na mashetani kma rais alivyoongea tukimuomba mungu watashindwa tu na ugonjwa wao
@josephizengo59124 жыл бұрын
oyooo umenena bro
@omarygesa28844 жыл бұрын
Mungu akulinde mzee🙏🙏🙏
@saulkapona81054 жыл бұрын
Nakuheshimu sana mzee Jpm umeukuna moyo wangu ubarikiwe sana
@godfreymagoso53344 жыл бұрын
Best President of the con't'nts.... Shikamoo shujaa wangu niliyepata kukushuhudia ktk kipindi changu cha pumzi!!!! Amani iwe juu yako
@josephnojulio2284 жыл бұрын
Ameeni unae Roho wa Mungu
@bonifasiemanueli27084 жыл бұрын
Amina,huu ni wakati wa kuomba hakuna jambo linalo tokea chini ya jua bila Mbingu kulitambua jambo LA msingi in kwamba ,uwepo mkazo na ushilikishwaji was viongozi was Madhehebu pamoja na watu wote watauwa kila mkoa na vijiji ,na itanganzwe mbiu ya siku iliyo chaguliwa ambapo watu wote wakae ktk kufunga na kuomba huyamukini Mungu akaona na kuiponya Inchi ktk kina LA motto wake Yesu:
@evakiwia67684 жыл бұрын
God bless you my President may our God keep protect you leave long in Jesus Name
@laizam73054 жыл бұрын
God bless you Rais
@kelvingrison70394 жыл бұрын
Ubarikiwe mheshimiwa
@joyceedward88194 жыл бұрын
Amina baba ubarikiwe sana
@alfamwakibete73964 жыл бұрын
Barikiwa sana umenigusa sana kwayesu yoteyana wezekana amen
@gabrielpott33254 жыл бұрын
Upo sawasawa mzee duh kiukweli ulais haukufai mzee inabdi uwe mchungaji mana umetoa upako mkbwa saana mzee jpm MUNGU akubarki sana mh.lais
@florangido2024 жыл бұрын
Ameen Rais wetu Ahsante kwa Faraja, MUNGU Akubariki
@elishamwita22764 жыл бұрын
Uko vizur baba MUNGU wambinguni akujarie imani zaidi
@mohamedikilonzo45174 жыл бұрын
Tumuogope mungu wala sio kumuogopa corona hana lolote mbele za mungu. Mungu ibariki Afrika ,mungu ibariki Tanzania Amin
@salahungastephen46464 жыл бұрын
Dah!!! Nimekuelewa sana Rais Magufuli.
@fogokigava10594 жыл бұрын
Hongera Rais JPM !Kauli zako siku zote zinatia moyo na kuamsha hamasa hasa ktk kipindi kigumu tunachopitia! Tumaini aliyetuumba atatuweka salama na yote yatapita!
@barakatraveler97094 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa maneno yako ya faraja,
@yonaelikoinange19564 жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Dr john pombe magufuli tumekuelewa vizuri sana
@nelsonnmwaipaja69804 жыл бұрын
asante xana Raisi wetu magufuli
@josephatodimary36334 жыл бұрын
Binafsi sikuwahi kuwa na hofu ya korona wala mdudu gani ninamtegemea Mungu wng mwenye nguvu na uweza
@maurice91984 жыл бұрын
Umenena vyema msaidie na babu rama wa kariakoo mh rais
@sylvestermhojaaron96594 жыл бұрын
Tusitishane, YESU yupo ataiponya tanzania na afrika mamoja na dunia nzima
@richardmakweba22924 жыл бұрын
Imani hii ndiyo inayoitajika katika kipindi hiki cha mwisho
@decocharles34633 жыл бұрын
Asante raisi wangu tutaendelea kuyaishi maono yako
@eliashope14844 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe,roho wa bwana azidi kukuongoza.
@florasteven22644 жыл бұрын
Amin
@lilianpaul17384 жыл бұрын
Mungu Baba ni Halisi
@habelkalume90114 жыл бұрын
Ipray for you Mr President of Tanzania,,,,,kweli Mungu ndiye aliyekupatia hekima hiyo sina budi kusema Mungu aibariki Tanzania majirani zetu apa kenya kufika kanisani imekuwa haramu sasa,,,,,lakini wanakosa kuelewa Mungu pekee ndiye mponyaji
@ramadhanihaji28954 жыл бұрын
Asante magufuli, Mungu akupe afya njema
@josephnchinga17964 жыл бұрын
Baba Mh Rais nakupenda mno kupitiliza natamani muda wote kukusikiliza
@annamushiaminaaa43674 жыл бұрын
Umeongea vizuri rais wetuu
@aishasaidchekeche92624 жыл бұрын
Unasema kweli mh Rais, Mimi ni mwislam nasikitika sana tunaacha kusali misikitini , hasa huku ulaya
@jamirujalilu48844 жыл бұрын
Uje bongo raha tupu
@zuwenahamoud77924 жыл бұрын
Maka kwenyewe imani hawana wamefunga misikit na hii ramadhan mung awasamee iman8 zao hazitoshi
@rqiyaabdallah8404 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia Ujafungia nyumba Zaibada wewe niraisi Shujaa sana Allah aku Pe afya njema
@salimmoha79624 жыл бұрын
Si amefunga madrasa
@alikomwalulili65514 жыл бұрын
@@salimmoha7962 Serikali haijafunga madrasa. Viongozi wetu wa dini kwa hekima zao wameamua kufunga
@odilianafelician47644 жыл бұрын
Amen corona umeshindwaa ktk jinaa la yesuuuu. Ondokaaaa umeshindwaaa
@christsflowe.r4 жыл бұрын
Amen
@marthalipa2024 жыл бұрын
Eeee mungu tuepushe na janga hill! Asante baba tunaomba pamoja nawe!
@maryrichard85404 жыл бұрын
Kiukwel Tanzania tumepata rais anamjua mungu ahsante jpm mungu akulinde katika kaz yako
@josephinemallya89554 жыл бұрын
Baba mungu akubariki yote ni tanzanite uliyosema
@mikemuriithi29914 жыл бұрын
From Kenya I like your faith God bless you
@gatoromuchee23674 жыл бұрын
Congratulations 🎉👏👏❣️❣️ that is what we are lucking courageous not enough...
@athumaniomari28334 жыл бұрын
Kweri raisi wetu uyasemayo kwetu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nasi
@tatusanga60024 жыл бұрын
Amina Rais wetu, GOD Bless you
@kingwatabata42304 жыл бұрын
Daaah! JPM umeongea madini tupuu
@namsifumaduhumwita77424 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Mi nakupenda sana kwa kuwa wewe ni mcha Mungu.
@nashioaudioproduction4 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana Kiongozi wa Dola, yaani umewashinda hata viongozi wa Dini kwa kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu, Ka korona kweli ni kadogo sana.
@athumaniomari28334 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU mkuu
@lurrysam.25344 жыл бұрын
i love this man ni mtu watanzania wataishi kumkumbuka
@emmanuelrugambwa5884 жыл бұрын
Ndagukunda H.E!
@naayiosaalash91924 жыл бұрын
pokesi rais magufuli mungu akubariki
@pauloregina28784 жыл бұрын
Ubarikiwe rais wetu hakuna jasri kama ww
@liverpoolvsrangers22734 жыл бұрын
Pointiiii mh rais 🔥🔥🔥
@fatmaabdalla85434 жыл бұрын
M/Mungu anataka aombwe kila siku sio ukiwa na shida tu na hili gonjwa sio kuwa ni shetani hii bakora ni adhabu katuletea M/Mungu kwa sababu tunamkosea sanasanasana tunatakiwa tumuabudu yeye tu na tumtegemee tu BC tuzidini kuomba toba kwa wingi Allah atusamehe
@godfreymtenga794 жыл бұрын
You are truly a comforter in chief. Asante sana Mheshimiwa Raisi for a great speech
@e.j.starelia56724 жыл бұрын
May the heaven God bless you a lot... I love you my president my papaa + my DADY...I love so much and so much
@tumainimwakafuta34864 жыл бұрын
Tanzania bila corona inawezekana
@emrodekimambo14984 жыл бұрын
Amen mtumishi
@japhetkasenga86864 жыл бұрын
big up Mr.President Mungu atusimamie
@chrissjmunga84654 жыл бұрын
Balikiwa mh Rais we2 tunakupenda
@130benard4 жыл бұрын
Sii kwali Mungu anaweza ... Lakini Mungu ako pio Italy Mungu ako Iran Mungu ako. Saudi Arabia Pia kifo kwa wingi
@athumaniomari28334 жыл бұрын
Rairi wetu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nasi
@abusaeed90374 жыл бұрын
Athumani Omari ni mrongo ww labda iblisi
@johnmwendwa72304 жыл бұрын
Nakumbuka msemo Wako mtangulize mungu kwenye njia zako
@fredmramba40124 жыл бұрын
Je nyinyi watanzania mnafuata maelekezo ya wataalamu
@hansmhalila90194 жыл бұрын
Imani yako itakuponya.
@dotonkeyemba15234 жыл бұрын
Hakika umeongea maneno ya kutia nguvu yote kwa yote tumuweke Mungu kwanza yote tutashinda Mungu kwanza
@rqiyaabdallah8404 жыл бұрын
Nikweli mungu ndo Kilakitu
@charlesmariki38384 жыл бұрын
Mungu kwanza
@josephkimaro37254 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kiongozi wetu🙏
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
Tutolee ndugu zetu waislamu uliowaweka ndani miaka minane
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Nilichoelewa Ni kwamba Mh Rais Amewataka Watu Waache Kutishana Ila hakutukataza Kufuata Maelekezo yanayotolewa na Wataalamu