EXCLUSIVE: ROMA ASIMULIA ALIVYOITWA NYUMBANI KWA RAIS MAGUFULI "NILIFATWA NA GARI 4"

  Рет қаралды 1,243,873

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 1 200
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 4 жыл бұрын
Millard Ayo Sauti amaizing ya mvuto sijutii bando langu kabsa job is good😋📌✌🏻
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 4 жыл бұрын
Roma ana ubongo mrefu sana Geniuz . "Mungu hashindwi"
@gracekanemile4607
@gracekanemile4607 4 жыл бұрын
Yeah kwa kumtegemea mungu brother umetujenga
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 жыл бұрын
Millard unajituma zaidi hadi unasafiri U.S kumhoji Roma, aiseee much blessings.
@jifunzekiitalianonajohnson9144
@jifunzekiitalianonajohnson9144 4 жыл бұрын
hongera kwa millard
@belak999
@belak999 4 жыл бұрын
Unaweza kuwa mkubwa lkn mjinga, hajamfuata, alienda kwa issue yake akaona amtafute
@brendashenis2977
@brendashenis2977 4 жыл бұрын
Hata me am so surprised... Good job🥰🥰🥰
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
@@belak999 KAKA BELLA JAMAA YEYE AJAJUA KWAHIYO KUMUELEKEZA INATAKIWA UMFAHAMISHE NASIO KUMJIBU IVYO NDIO INAPENDEZA TUPENDANE
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 3 жыл бұрын
@@belak999 😂
@nanjingasaidi1257
@nanjingasaidi1257 4 жыл бұрын
Nimependa hii interview gong@ like jaman cjapata hata 1
@rehemadani3600
@rehemadani3600 4 жыл бұрын
Mwanamuziki msomi mwanaharakati wa ukweli viva Roma viva
@SirdickOmondi
@SirdickOmondi 4 жыл бұрын
I like Roma interview yake NI ZA KI MTU MZIMA na pia Intelligent and Boldly.... Yaani Roma has a respectable Interview na pia Fun to Listen
@menaumemuacheabakimwaume2m395
@menaumemuacheabakimwaume2m395 4 жыл бұрын
Ww bak
@menaumemuacheabakimwaume2m395
@menaumemuacheabakimwaume2m395 4 жыл бұрын
Mwana harakat piga piga
@paulinakalayo8474
@paulinakalayo8474 4 жыл бұрын
Nice tunataka ya lissu 2020
@tallmunyama5250
@tallmunyama5250 3 жыл бұрын
Kama unamkubali Roma gonga like
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 4 жыл бұрын
Kama unamkubali Roma na kazi zake gonga like hapa pia kama unaikubali sauti ya Millard gonga like twende sawa👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@fabianfacho8841
@fabianfacho8841 4 жыл бұрын
Walioona wazungu wanapenda kutembea wawiliwawili twende like apa√√
@josephsirikwa200
@josephsirikwa200 4 жыл бұрын
Discussion wanazifanya break tym. Hakuna mda wa kukaa na kuongea
@jifunzekiitalianonajohnson9144
@jifunzekiitalianonajohnson9144 4 жыл бұрын
kweli kabisa ,hata italia
@nikolaslaurent620
@nikolaslaurent620 4 жыл бұрын
Ili iweje
@patrickpita5545
@patrickpita5545 4 жыл бұрын
babalaoooo roma mkatolike
@motomoto1236
@motomoto1236 4 жыл бұрын
Chindo Mani
@glorytweve7992
@glorytweve7992 4 жыл бұрын
Binadamu Bwana hawanaga jema,ukifanya watas3ma,ukikaa kimya watasena,ukisema bado watasema but kikubwa Bro Roma pambania unachokiamini,endelea kusema na Mungu pekee ndo kilakitu,Mungu hashindwi....VIVA ROMA VIVA...Hongera miradayo pongezi kubwa kwa Rais JPMagufuri ❤❤❤❤❤❤🙏
@enockjmtafya4957
@enockjmtafya4957 4 жыл бұрын
Kama unamkubali MILLARD AYO like hapa. jamaa anajua
@elishaadam4032
@elishaadam4032 4 жыл бұрын
OK inapendeza
@salimjuma9834
@salimjuma9834 4 жыл бұрын
Gud
@rashidramadhan4129
@rashidramadhan4129 4 жыл бұрын
Tuko wapi WANA HARAKATI ambao pia ni mashabiki zake ROMA tujuane hapa
@jerikopeter1440
@jerikopeter1440 4 жыл бұрын
topo pamoja roma
@ismaylmatle5634
@ismaylmatle5634 4 жыл бұрын
tupo pamoja zana
@noahsalonick2107
@noahsalonick2107 4 жыл бұрын
Tuko pamojaaaaaa
@shadrackmhume8856
@shadrackmhume8856 4 жыл бұрын
Nitumie nyimb mpya ya roma
@noeldickson7078
@noeldickson7078 3 жыл бұрын
2p0
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 4 жыл бұрын
Anayekubaliana na mimi kwamba #Roma mkari kimuziki agonge like kama zootee hapa down.
@ochutrendymwonekano2672
@ochutrendymwonekano2672 4 жыл бұрын
Dah kweli wamarekani wapo busy yani wanakunywa chai huku wanatembea 😅
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Hakuna mda wa kukaa
@salamamchingama3033
@salamamchingama3033 4 жыл бұрын
Hahahahaaaa
@bakariisack5537
@bakariisack5537 4 жыл бұрын
brown hussein yeah kaka huku no time to west au eti kwenda kusikiliza mikutano ya hadhala wenzetu mnalili!! Kama hufanyi kazi unatupwa njee kwa kukosa kodi ya nyumba
@angelmasala9568
@angelmasala9568 4 жыл бұрын
brown hussein sasa ww tembea tu unakula Hata mua ooh hili sjui lawapiiii
@ochutrendymwonekano2672
@ochutrendymwonekano2672 4 жыл бұрын
Angel Masala hahaha utaonekana mshamba et unalingisha
@osseaaroni2477
@osseaaroni2477 4 жыл бұрын
Millad ayo congratulations We ndo kijanaaaa unaye support mziki
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 жыл бұрын
The only best rapper alive from Tanzania who thinks out of the box, no cap.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Safi sana Roma usisikilize wachawi wanaouza mihogo ya kukaanga coco Beach hao ni wachovu wanaoshindia ofa za konyagi,Piga kazi mwanzo mgumu kitaeleweka hilo nyimbo zako mbili ulizozitowa kuweko kwako huko safi ti tutakuelewa Don't giva up✌✌✌.
@mwangosikennedy9643
@mwangosikennedy9643 3 жыл бұрын
Ayo ktk interview nilizo zielewa kwa wasanii ni ya bro Roma. jamaa anaelewa nn anazungumza , big up sana Roma kwa interview yako
@SirdickOmondi
@SirdickOmondi 4 жыл бұрын
I like Roma interview yake NI ZA KI MTU MZIMA na pia Intelligent and Boldly.... Yaani Roma has a respectable Interview na pia Fun to Listen
@godfreylekasango3789
@godfreylekasango3789 4 жыл бұрын
Bado sijaona toyo wala bajaji asee Millard Ayo 👌 good job!
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Kama hujaona toyo ama bajaji lakini wapo wasio na kazi, wapo wasio na pakukaa wanalala sehemu zisizo rasmi, wapo wanaoishi hata kwa mlo wa siku ni mtihani, wapo vibaka na wapo pia mateja, je ikitokea watu Tanzania wanazuiwa kuingia mjini na bajaji pia mtasema raisi hawajali watu wa hali ya chini, hata stand ya dodoma wapiga debe wamekatazwa lkn watu wanalalamika je lipi jema?
@rogerslaurence2603
@rogerslaurence2603 4 жыл бұрын
Roma pole sana tatizo watanzania waliowengi kipindi cha awamu zilizopita ulivyokua unafikisha ujumbe. Kwahiyo wanangalia historiya Asante kwa ufafanuzi mzuri nimekuelewa kaka
@haysanhassan2685
@haysanhassan2685 4 жыл бұрын
Millard Ayo Mmeru wa kwanza Superstar kuchana anga. From Mount Meru Akeri to Worldwide respect Kaka
@allymejatz4637
@allymejatz4637 4 жыл бұрын
Gonga like kama zote kuonesha upendo kwa wasanii wetu wa Tz
@jifunzekiitalianonajohnson9144
@jifunzekiitalianonajohnson9144 4 жыл бұрын
pamoja
@denismgimba3964
@denismgimba3964 4 жыл бұрын
Lucky dube alisema "If you stand for the truth always you will stand alone" So Roma ww simamia miiko yako usibadilishwe mawazo #Nakubali.
@kambibakari9910
@kambibakari9910 4 жыл бұрын
Ameen.
@masaijeuri2343
@masaijeuri2343 4 жыл бұрын
Kwel
@ellypou9181
@ellypou9181 4 жыл бұрын
Ndio
@innocentcp845
@innocentcp845 4 жыл бұрын
Ni kweli Roma endelea kuwa na misimamo yako uwe kama luck dube.
@victoriakasiani1529
@victoriakasiani1529 3 жыл бұрын
Ni God given naamini hawezi change
@kelvinbenard3504
@kelvinbenard3504 4 жыл бұрын
Adi mbele kun IST alieziona agonge like tuondoke😂😂😂😂
@josephnyamba7962
@josephnyamba7962 4 жыл бұрын
Nakukubali xna roma xema ivin na aivani pya na mkeo kakumc lud bwna
@ricklifefun7184
@ricklifefun7184 4 жыл бұрын
Hizo wao wamewek km baiskel za watoto. 😂😂😂
@frenzylyrics2390
@frenzylyrics2390 4 жыл бұрын
Izo sio za japani😁
@mbegesdigita5182
@mbegesdigita5182 4 жыл бұрын
Kweli unaitwa Roma unae mwelewa gonga like
@lilbobi2347
@lilbobi2347 4 жыл бұрын
Wazungu hawapendi kuingia camera but ingekuwa afriq noma, all along from Atlanta Georgia
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 жыл бұрын
Kama umesikia mh jpm akiuliza Roma yule wa chadema? gonga like.hongera kwa kupafom chato nyumbani kwa mh rais jpm
@mnomoonetz509
@mnomoonetz509 3 жыл бұрын
Kama umegundua marekani ni mwendo wa makoti gonga like
@fatmafeisal4328
@fatmafeisal4328 4 жыл бұрын
nimependa alivoweka sawa kaka roma ... mungu aendelee kukusimamia ... watoto tulozaliwa 80’s gonga like
@chezarygeorge2666
@chezarygeorge2666 4 жыл бұрын
anaitwa romaaaaaaaa
@neemamwakatika12
@neemamwakatika12 4 жыл бұрын
Bigup sana Young wangu Roma.
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk Ай бұрын
Hihi kaka Roma nimecherewa sana brother ku comment na kukubali sana naomba like tatu roma
@justinjustin7099
@justinjustin7099 Жыл бұрын
Am a malawian guy,, but I love the guy so much,, nakukukbari sana roma
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 4 жыл бұрын
Respect kwa millard ayo na roma 👏
@jesekamugishamumainibwana1997
@jesekamugishamumainibwana1997 Жыл бұрын
Ñakubali mkuu
@aniveaderickson4174
@aniveaderickson4174 4 жыл бұрын
The interview is more logical ....I love it.
@sospeterkedmonchitema
@sospeterkedmonchitema Жыл бұрын
Moja kati yavipaji vikubwa kuwahi kuwapo Tanzania 👍
@josephmayanki
@josephmayanki Жыл бұрын
Mungu akulinde kaka kila hatua dua
@neemajeofrey2184
@neemajeofrey2184 4 жыл бұрын
Nakupenda kaka unajitambua
@mayumageorge5293
@mayumageorge5293 4 жыл бұрын
Dah! Bonge la interview ila no drink hahahaha! Big up kwa Roma na Millard
@karimchindema9823
@karimchindema9823 3 жыл бұрын
Bei juu
@Kilibaondskwetunusa7771
@Kilibaondskwetunusa7771 4 жыл бұрын
Roma mimi ni fans wako wa kwanza tangu ni ngali African, ivi niko apa usa Vermont, nakuomba usirudi Tanzania na sijakuona plz
@vivianmbiro6866
@vivianmbiro6866 4 жыл бұрын
Roma wa Cadema Unajielewa mnoo, Big Up sana
@samsonphilmon6757
@samsonphilmon6757 4 жыл бұрын
Roma you are brilliant for real,,,,,,, am here UKONGA listening the tune of MKOMBOZI.
@evelynmon9423
@evelynmon9423 4 жыл бұрын
Daaah! Nimependa sana wazungu wanavyo respect wanapita kwa nidhamu kabisa safi sana mko nchi za watu lakini mmejimwaga tu hadi raha kweli ubaguzi umekwisha
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 3 жыл бұрын
Washenzi Tu ubaguzi bado wanao.mi staki hata kuwasikia na Mimi staki waniskiee,kila MTU awe kivyake.
@pepyeddy8017
@pepyeddy8017 4 жыл бұрын
Watu wanakujadili sana wote niukweli tu huwoo mungu yupo pamoja na ww broo chapa kazi wazidi kuumia
@nicolausnicolaus734
@nicolausnicolaus734 4 жыл бұрын
Roma nimwamba sana 100%
@ngosha_tzngosha_tz6938
@ngosha_tzngosha_tz6938 4 жыл бұрын
Kiukweli maelezo ya Roma ya naeleweka san nakama unaelewa kama me gonga lake hap
@seifsaleh8740
@seifsaleh8740 3 жыл бұрын
Nakubali roma
@yaseenjanja5420
@yaseenjanja5420 4 жыл бұрын
Roma watu wengi wankua mwili sio akili
@basumegembotwa4167
@basumegembotwa4167 3 жыл бұрын
Uko vizuri kisekorojia Mungu akulinde
@zubedasammy
@zubedasammy Жыл бұрын
Roma usivunjike moyo 🫀💔 sawa unafanya kazi nzuri mashaallah 🙏😇 keep it up 🥰
@raphaelhitler6411
@raphaelhitler6411 4 жыл бұрын
Roma kizuri nachokukubali unaishi maisha real,, hufeki life brother ipo siku utakuja kuwa mtu mkubwa sana haya ni maneno yangu,, leo naomba uhifadhi ujumbe huu na one day utakuja ikumbuka kauli yangu.. I'm Raphael Hitler,,,.
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 4 жыл бұрын
Ingekuwa bongo hapo asee...... Watu wangejaa ktk kamera 😂😂
@pennybaraka3689
@pennybaraka3689 4 жыл бұрын
Hahahaha
@jimmiejr9531
@jimmiejr9531 4 жыл бұрын
Alafu mnasema WENZETU WAZUNGU WAME.... (Wenzenu kwa lipo? 🤣)
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
Hahahahahahah
@tausirashid1196
@tausirashid1196 4 жыл бұрын
wangejaa atarii 🤣🤣🤣
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Acha umbumbumbu wako na kujidharau au wewe mkimbizi nini ni nani hapo anaemjua? Angalia vzr watu maarufu wapoingia madukani huko kwao wanafungiwa madukani mpaka wamalize shopping kwa sababu ya raia wanavyokumbana kwa ajili ya watu maarufu au uko mbali na tv nini? Tumia cm yako au pia unatumia cha tochi nini.
@jacquriciouslusekelo7823
@jacquriciouslusekelo7823 4 жыл бұрын
always much respect to uu all ayo the way you do as well as roma babaa nancy also ivy's & ivan's dady move foward bro always i apriciate you ..............# jacfor realllllllll......%
@annaphaustin6701
@annaphaustin6701 3 жыл бұрын
Big up Roma. Mungu akulinde na kuwa kuwa mzalendo kwa Taifa
@ricklifefun7184
@ricklifefun7184 4 жыл бұрын
Kama umetamani kuishi mbele kama na unaamin Mungu atabless gonga like tujuane 😄😄😄😄😄
@victoriakasiani1529
@victoriakasiani1529 3 жыл бұрын
Aisee wewee
@neemaemmanuel4942
@neemaemmanuel4942 4 жыл бұрын
Roma u are too smart and insightful,why usiingie kwenye politics.
@mnasaeules6857
@mnasaeules6857 4 жыл бұрын
Aspo ingia kwenye siasa usinge mjua huyu
@leythslam4801
@leythslam4801 4 жыл бұрын
Neema Emmanuel kweli kabisa
@jocety4426
@jocety4426 4 жыл бұрын
Millard big up San , Mzee baba👊👊
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Roma huwa anatalk fact sana na ni +prain sana.🌹
@Mpembuzi
@Mpembuzi 4 жыл бұрын
Kweli
@abrahamufelix1660
@abrahamufelix1660 4 жыл бұрын
Ila we munira unasura nzr sana dah jamaa anafaid san
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 4 жыл бұрын
Umetisha sana Mr count down have a blessed forever...unajua sana sana
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 4 жыл бұрын
Jaman Roma watu wana kusema vibaya hawajielewi mm nishabiki yako nakupenda mmno
@daudpillah3591
@daudpillah3591 4 жыл бұрын
Solut mkal nilikumisi sana mwanangu long life
@asifamwenga5310
@asifamwenga5310 4 жыл бұрын
Good oral interview! Keep it up
@Hiphobongo
@Hiphobongo 4 жыл бұрын
Kuna mzungu bonge kapita mzuri uyo
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 4 жыл бұрын
Ohhh safi Millard umefanya vema kutujulisha mambo haya. Big up Roma kwa maelezo mazuri.
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 Жыл бұрын
Safi sana, hii imekaa vizuri, tumeelewa ukweli kwani baadhi ya wanasiasa walitumia fursa kupitisha yao.
@kinglunda_best7616
@kinglunda_best7616 4 жыл бұрын
Kama unamkubali uyu mnyamwezi roma like👇
@emmanueljackson1863
@emmanueljackson1863 4 жыл бұрын
Brother Roma big up sana....kwa iman yako
@jaydon3361
@jaydon3361 4 жыл бұрын
Nimependa wazungu walivyo kwepa camera
@graytonndamgoba4805
@graytonndamgoba4805 4 жыл бұрын
Noo man .these guys are standing in the walk way.sikufichi wanakwepa lakini wana nashangaa sana.
@glorytimonyengo4148
@glorytimonyengo4148 4 жыл бұрын
Wange kua wabongo wange kua wame jaaa
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
@@glorytimonyengo4148 🤣🤣🤣
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 4 жыл бұрын
@@glorytimonyengo4148sure
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Usinianbie umejifunza kitu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maana wabongo kazi kujifunza kitu kwa wazungu tu. Ila kwa wabongo wenzao hamna chakujifunza
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 4 жыл бұрын
Ahsante sana Millardy Ayo! huwa napenda sana sana Interview zako, Ahsante sana pia kaka Roma unaijibu vyema na una hofu ya Mungu
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Viva Roma
@joycelugano2228
@joycelugano2228 4 жыл бұрын
Roma upo vizuri saaaaana Mungu akubarikie sana sana
@majaliwacharles9340
@majaliwacharles9340 4 жыл бұрын
Me nasoma coment 2 leki kwa wingi
@elishankhambi624
@elishankhambi624 4 жыл бұрын
Mzee baha
@aiqasamo2085
@aiqasamo2085 4 жыл бұрын
Kiukweli mim namkubali sana Roma 🔥🔥🔥🔥
@josephmukasa6754
@josephmukasa6754 4 жыл бұрын
Kaka zangu Miladi na Roma hongereni sana sana nawakubali sana- Karibu sana Tennessee 🇺🇸
@audaxprotas2273
@audaxprotas2273 3 жыл бұрын
Nakukubali Roma mungu akulinde100%
@jmvuna2792
@jmvuna2792 4 жыл бұрын
Big up Mirrad Ayo and Roma for excellent interview!
@giftstarmwanri2637
@giftstarmwanri2637 4 жыл бұрын
I like this...❤❤
@danmarinyanchagac6051
@danmarinyanchagac6051 2 жыл бұрын
tunakumic sanaaa brooo ROMA
@ajibumnyama1249
@ajibumnyama1249 3 жыл бұрын
Wanao mkubali Roma wa like
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 4 жыл бұрын
Wazungu hawapendi udaku
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 4 жыл бұрын
Kama umemwona mzungu ameshikilia demu weka like twende sawa
@doktamathew
@doktamathew 4 жыл бұрын
Demu maanake nini?
@moreenmichael7482
@moreenmichael7482 4 жыл бұрын
@@doktamathew pita hv Kama haujuw maana yk
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Uku lazima umshike mkono mpenzi wako Mara zote sehemu yeyote ni ishara ya upendo umeelewa
@shukurunzenzule5963
@shukurunzenzule5963 4 жыл бұрын
wimbo umekaa vema sana tunaupenda kweli
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 жыл бұрын
@Moreen Michael mbona jambo la kawaida huko? Wewe unashangaa? Bongo ndo ngumu ?
@jafaribori601
@jafaribori601 4 жыл бұрын
Roma nakupenda zaidi kwa uwazi na ukweli wako, nasikuzote muadilifu huonekana machoni na kile anacho kizungumza nakama sivyo ramda awe ni mtu maalum alepitie elimu ya ujasusi ambae anaweza kuficha uhalisia wake na kufaa uhalisia mwingine.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Daah! Roma una akili sana ndiomaana wenye akili za kuazima na kushikiwa wanashindwa kukuelewa na siku wanajikuta wanaropoka na kukuchukilia mlengo hasi. Hongera sana na Mwenyezi Mungu akulinde dhidi ya wale wote wenye nia mbaya na wewe.
@josperchriss8955
@josperchriss8955 4 жыл бұрын
Broo nyimbo zako znahitaj wat wenye akili kusikilza
@samsonndasa5066
@samsonndasa5066 4 жыл бұрын
Yuko poa sana vina zaidi
@ayubleo
@ayubleo 4 жыл бұрын
Kabisa broo
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
Kumbe unaelewa bro hawa watoto wa mwaka 2004 ndo hawaelewi hizi flow
@fatmafeisal4328
@fatmafeisal4328 4 жыл бұрын
Amiri Ramadhan ndio nilichosema watoto tulozaliwa 80’s ndio tunaweza elewa anachokiimba .. ila watoto wa sasa ni tabu tupu
@tumamapishi2184
@tumamapishi2184 4 жыл бұрын
Roma kibaraka wewe kwa wasaniii
@jalimashauli6974
@jalimashauli6974 4 жыл бұрын
Mimi ni muumini mzuri sana wa fasihi, Roma ujumbe wako kwenye wimbo uko wazi na unaeleweka sema maranyingi ruling party huwa hawapend kukosolewa wanapenda wasifiwe tu lkn kiukweli hip hop kwa asili yake haitaki ukasuku katika mashairi yake, na kitu kingine kila mtu anamtazamo wake kwahiyo chamsingi piga kazi kutokana hisia zinazoibuka kutokana na matendo yanayoendelea ktk jamii yetu na siyo kufurahisha kila MTU, (KEEP IT UP!!!!)
@janeerick918
@janeerick918 4 жыл бұрын
Much respect to you brother
@AnibreezyKurwa
@AnibreezyKurwa 3 жыл бұрын
Roma rudi bongo tusha kumiss sana brother nimess song zako
@robartifabiani6572
@robartifabiani6572 4 жыл бұрын
Simple life
@andrewkimwagaa9722
@andrewkimwagaa9722 4 жыл бұрын
Mbona sjaona mama ntilie wakipita na sufulia kichwani wakienda kuuza majungu
@wizyjunior5771
@wizyjunior5771 4 жыл бұрын
daaaa!!!! unachagua nyimbo za parfomance JPM na yeye Roma ni CHADEMA. ana masihara sana President😁😌☺️ Vivaroma by Wizy Junuor
@fatmafeisal4328
@fatmafeisal4328 4 жыл бұрын
Roma Kaka am ur fan naomba utoe nyimbo ingine tuna kiu tena
@hermanbonitus866
@hermanbonitus866 4 жыл бұрын
VIZUR naupenda mziki wake. wwll done millard Ayo
@joycekwilasa3675
@joycekwilasa3675 4 жыл бұрын
Kama unaona mirad anachati kwa kuibia gonga like yako tujuane
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Yqp😂😂😂
@martinsilwimba4282
@martinsilwimba4282 4 жыл бұрын
Roma umeenda kusoma na chadema wako nyuma yako kukusapoti, Lakini pia maoni yangu naomba Roma ugombee ubunge tanga plz unaweza kufanya jambo.
@renatusking3580
@renatusking3580 4 жыл бұрын
Roma we noma ila binafs naon kam rostam kuna kichwa kinakoseka ili squred ikamilik amna trecer 9 nabii jeremiah kafanye mpang
@saidielimu4444
@saidielimu4444 4 жыл бұрын
mambo vp
@tinahissore5005
@tinahissore5005 3 жыл бұрын
We unamwona Roma ni chadema wakati kaenda kikazi ya serikali
@saidmambo2721
@saidmambo2721 Жыл бұрын
I like u guys, , , nice interview sanaaa wazito
@godsosmukama5958
@godsosmukama5958 3 жыл бұрын
Nice interview nimeipenda.
@nikiflavour3884
@nikiflavour3884 4 жыл бұрын
Mina comment hiv ukija unaingia mjengoni,nimeota tu lakini.
@zagaronondo8130
@zagaronondo8130 4 жыл бұрын
pamoja dogo tumekumis itumbi makongolos chunya
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Millard Ayo yuko poa sana,I like how spending more time kufanya vitu vya maana👏👏👏
@mahamuduliwangwalivetv7185
@mahamuduliwangwalivetv7185 4 жыл бұрын
Duuuh. Ni nomaa Sanaa pia thanks much for news update.
@maigathomas2353
@maigathomas2353 4 жыл бұрын
Roma Roma Roma anaitwa Roma
@munguanaishitv
@munguanaishitv 4 жыл бұрын
Big up
@salimjuma9834
@salimjuma9834 4 жыл бұрын
Braz uko vizuri sana
@frenkiefrenize6891
@frenkiefrenize6891 4 жыл бұрын
Bro namkubali sana roma mkatoliki binafsi hakuna rapper km huyu
HISTORIA YA MILLARD AYO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE.
52:04
KINDII MEDIA
Рет қаралды 12 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
"SLOVENSKÁ MAFIA"  rozhovor Ján Petrovič
1:49:43
ABY SI VEDEL
Рет қаралды 167 М.
Zažil Légiu, ostré misie aj zemetrasenie Kontraktor Peter Kijaba
2:29:27
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Millard Ayo
Рет қаралды 779 М.
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
MkasiTV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН