JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@jokhaali5893Сағат бұрын
Huyo mama aliyepotewa na watoto nimempatia dua nzuri sana anitafute
@Aminah-r4s30 минут бұрын
Pole sana mama, Allah akurejeshee wtt wako wakiwa salama InshaAllah 😢😢🤲🤲🤲🤲
@Noorein-ws8wk7 сағат бұрын
Maa Shaa Allah wazee wana subra Allah awasimamie. Allahumma aamiin yaa Rabb Al a'alamiin.
@leahmollel658917 сағат бұрын
Kitu kinauma sana jamani😭😭😭Eee Mungu uwasaidie watoto hawa wapatikane🙏Warejeshe kwa utukufu wako😭🙏🙏🙏
@ElizabethWamcha15 сағат бұрын
Yni mimi apa utumbo unanicheza😢ata kuongea nisingeweza
@ynecawashem10 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Mungu atawarejesha
@AlHamra-k4u6 сағат бұрын
@@ElizabethWamchahuyo Dada akipanga kuiba watoto hakuja kuwa mfanya kazi. Na huyo shangazi yake ndiyo mipango walipanga.
@hadijauledi69952 сағат бұрын
Kwanza kabisa pole sana mdogo wangu daaah yaani hawa wadada wa kazi muwe nao makini sana mwenyezi mungu akufanyie wepesi watoto wa patikane 😭😭😭😭😭
@saidramadhan7118 сағат бұрын
Pole sasa dada kwa kupotelewa na watoto tumuombe mwenyezi mungu atusaidie wapatikane wakiwa salama
@RahemaJumany15 сағат бұрын
Dah wallah mtihani mkabidhini Mungu wallah watapatikan tu inshaAllah Allah asaidie
@mamakayla66976 сағат бұрын
Damu ya YESU iwanenee meneno ya ulinzi,MUNGU awaagizie malaika wa kuwalinda hawa watoto warejee leo nyumbani salama.Zaburi 91:10-12.Aminaa
@thevibrantafricaСағат бұрын
Jamani naomba tuwe tunachukua picha za wasichana wa kazi, vitambulisho na documents nyingine. Pia vyema kujua Nyumbani kwao. Pole sana familia.
@maymunahomar501626 минут бұрын
Wazo zuri sana.👍
@faridahussein863214 сағат бұрын
Wadada wenu wa kazi jambo la kwanza ni picha wapigeni picha
@عيسىالشمالي-ح3م8 сағат бұрын
Pole. Dada Subira YAKO ni kubwa Allah akurejeshee Wakiwa Hai InsHAllah
@GdFf-ik2eo8 сағат бұрын
Mtihani Mshtakie mwenyezi mungu
@Aminah-i9p15 сағат бұрын
Mungu awatunze warudi salama,kwa uwezo wa Allah
@azzasultan8351Сағат бұрын
Subhanallah inshaaAllah wataonekana watoto wakiwa salama
@MagrethMwajombe10 сағат бұрын
Mungu saidia Hawa watoto wapatikane wakiwa salama. Mh kwasasa tutaogopa wadada wa kazi😊
@DoriceEdward-l6s19 минут бұрын
NDO VIZURI MTUOGOPE ILI MUHUDUMIE WATOTO ZENU NA WAME ZENU WENYEWEEEEEE
@sophiakassim67848 минут бұрын
@@DoriceEdward-l6sacheni wanga ovyooooo fanyeni kazi kwa uadilifu na mumuogope Mungu muoneee
@Noorein-ws8wk7 сағат бұрын
Hio number ya simu yake ipeleke polisi watajua ilipo hata kama kaizima Na watajua hio number nani mmiliki watampata kwa nguvu za Allah
@Rehemaally-v4s6 сағат бұрын
InshaAllah habty ALLAH akurejesheee watt wako salama hasbhilallah wannemaliwakil
@ChausikuAli18 сағат бұрын
Pole dada mola yupo nawe utapata watoto wako inshaallah kumtegemea mwenyezimungu tuu
@josephineokama220014 сағат бұрын
hizo namba police watazitrack wataatikana tu
@AlHamra-k4u6 сағат бұрын
@@josephineokama2200kweli kabisa police wacchunguze namba zake na namba za huyo shangazi watajua alipo
@valenakomba768616 сағат бұрын
Pole mamaa!. Mungu atawarudisha tu . Tunawafunika watoto wako kwa Damu ya Yesu.
@LinaLema-c1m5 сағат бұрын
Kwa jina la yesu kristo watapatikana wakiwa salama muhamini nabii isaya bin mariam atawatunza salama
@anithawidambe754318 сағат бұрын
WEWE DADA WA KAZI MWONEE HURUMA HUYO MAMA MWENZIO KUMBUKA HAYO UNAYOYAFANYA UTAFANYIWA HAYOHAYO WEWE NA FAMILIA YAKO. WARUDISHE HAO WATOTO.
@dotnatajoseph262029 минут бұрын
Jamani watoto wanauma jamaniiiiii 😭😭😭😭 we mwenyz mungu walinde Hawa Maraika inshallah warudi salama
@hasankasam557616 сағат бұрын
Lahaula wala quwwata illa billah inshallah utawapata watoto wakiwa salama allah atwahifadhi inshallah..
@HanifaOman-oo4pl18 сағат бұрын
Subuhanallah. Yaraby wape.subra wazazi wao na ndugu zao nasipia wa tz wenzie tunaumia sana. Allah awarudishe wakiwa hai. Amyn🤲😭
@FatumaJumanne-p4d18 сағат бұрын
2anzie hapo ulmtoa wap na kwa nan il muanzie huko😢😢😢
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج5 сағат бұрын
😢😢😢dada umekosea pa kubwa,,,pole jaman huo mlolongo tuu WA kumpata mfanyakaz n mgumu.
@rubythebosslady81135 сағат бұрын
Yani alafu kama alishagombana na huyo dada aliyemtumia hela asingempokea huyo mpya..yani mhhh
@rubythebosslady81135 сағат бұрын
Kupata dada wa kazi siku hizi ni kazi sana,yani mhh
@hanifa91534 сағат бұрын
💔😢😢😢
@AnethMushi-c3e8 сағат бұрын
Ukute msichana mwenyew nae mulimuiba kwa mtu
@HalimaKaniki-s1d2 сағат бұрын
Au manyanyaso
@SamwelikazimbayaKitahenga15 сағат бұрын
Hapa ndo Kuna tofauti ya mwenye hofu ya Mungu na asiye na hofu ya Mungu!Dada na mama yake wanaongea kawaida kama hakuna kitu kilichotokea!ingekuwa mwengine hapo machozi yangejaa ndoo hata kuongea asingeweza!!
@rosehaule57053 сағат бұрын
Kweli
@maymunahomar501624 минут бұрын
Kweli. Mungu azidi kuwapa subra.
@Amazingbee11117 сағат бұрын
Ila ma polisi nao wabadilishe tabia ya kuwaambia watu wasubiri mpaka masaa 24, huku mtu ukipiga simu polisi hata dakika haipiti mapolisi kila kona.
@NapatNapat-x6i17 сағат бұрын
Pole Sana. Mungu ajaliye arudi salama
@nasrasway71438 сағат бұрын
Pole sana jamani. Kenya watoto wanapotea wanaenda kuuza organ 🫁 mungu akusaidie jamani isikupate pole kwa hili janga is so painful
@AshurakhamisRamadhani4 сағат бұрын
Daaa Allah atakufanyia wepesi Dua muhimu
@rahma618917 сағат бұрын
Mimi nalaumu huyo mama sikuhizi unachukuatu msichana humjui
@HappyJohn-h8q8 сағат бұрын
Kabisaaaaaa
@HappyJohn-h8q8 сағат бұрын
Yaaniiiii inakuwaje hivyo humjui mtuuuu
@MWANSITI5 сағат бұрын
Ishaallaa, inshaallah dada Allah akuzidishi subra Allah atawarudisha salama😢
@AtifaIslam-t6g18 сағат бұрын
Ya Allah twakuomba watoto hawa warudi wakiwa salama yarab
@arafakiloli7496 сағат бұрын
Subhanallah poleni sana ALLAH awape subra katika kipindi hiki kigumu....Yarrab walinde watoto hao huko walipo wapatikane wakiwa salama.
@SafiaOmar17 сағат бұрын
Kwa uwezo wa Allah utawapata wanao tu. Poleni sana Allah awafanyie wepesi kila penye zito
@NaomiSalewa46 минут бұрын
mpaka leo hajapatikana? jmn Mungu asaidie jmn
@adelinabaitu32918 сағат бұрын
Tijifunze kitu wasochana wakazi saanyingine awanana unuhinu mama yupo bado kijana msi hana wa nini
@Haji-yr9db17 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢 eeee mungu wangu jaman mtoto anauma nyie omba yasikukute pole sana dadaang
@RitbayRitbay17 сағат бұрын
Ah mm sjui nilikua hali gn hpo
@neemamghamba4 сағат бұрын
Fuatilia ndada wako wa kazi aliyeondoka apo nyumbani wa zamani
@cristinajeremiah245014 сағат бұрын
Sio wa kulaumiwa bali kumpa pole na kumshauri kwa upendo na kumpa pole kmtia moyo kwamba atawapata
@aminaally76222 сағат бұрын
Nna mimba miezi 7 lkn kila nkijaribu roho ya kutafuta dada wa kazi nasita wacha tu nipambane😢😢😢
@JahidaRashid17 сағат бұрын
Pore Sana Dada mungu awAjalie wapatikane 😢
@abdoulrazakshuaib4 сағат бұрын
Allahumma aamiiyn Allah azidi kukupa moyo wa subra watarudi salama hakika Allah ni mwingi wa huruma.
@Jane-l5z5 минут бұрын
Namba zao zote peleka polisi hata kama wamezima simu lazima tuwapate.
@Hamis-ew4qw8 сағат бұрын
Inallah maswabirina Allah ndio mjuzi wa kila jambo, mwenyez mungu awalinde inshaallah na awarudishe salama, tujifunze kitu hapo tusimuamin kila mtu Duncan imeisha jaman
@esnathshop77804 сағат бұрын
Pole sana MUNGU atafanya
@RamadhaniKitala-gx6wc22 минут бұрын
Yaan bora sasa hivi kuwa utaratibu uwende kwao mpk serikali za mitaa na ukija nae kwako madame umpeleke pia serikali za mitaa akiwa na vitambulidho vyake
@omanoman204419 сағат бұрын
Mungu wangu watt wanaenda kuuzwa wallah
@Migapogospel67818 сағат бұрын
😂😂😂
@ynecawashem9 сағат бұрын
Muombe Mungu arawahifadhi hamna linalomshinda Allah
@fatmaalnabhani360919 сағат бұрын
Mtihani makubwa huu😮😮
@shamsaadam69655 сағат бұрын
Allah awahifadh awanusuru mahali walipo hassbiyallah waneemal wakeel
@aishandayishimiye512717 сағат бұрын
Yani ukisikia uzembe ndio huu, mtajifunza😢
@zulfahaji9117 сағат бұрын
Sio uzembe jamani ndo ishatokea
@samwa949615 сағат бұрын
Mama yake alikuwepo, usiropoke tuu yatakukuta
@MagrethMwajombe10 сағат бұрын
Uzembe gani wakati palikua na bibi yao hayajakukuta ww
@Rehemaally-v4s6 сағат бұрын
Asa mtu asiende kuswali au vp ujue hyu dada kama mwiz ameshasoma vzr kuwa muda fulan hakutakuwa na mtu wa kukufata ukitoka nje tu kher inshaallah
@sabihaabdallah79742 сағат бұрын
Usiombe tuu ya kukute mshukuru sana Mungu ila hawa wadada wa siku hiz ni Mungu tuu anatulinda lkn hata uwajue wanapokaa na wazazi wake pia bado wanakufanyia majanga yaan hata uwapende vp nawajua sana hawa😢 kikubwa Allah ampe subra na amrudishie wanae walama
@ZainaRashid-t3m59 минут бұрын
Haa jamani hii dunia
@ZekaniS16 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉Allah atawalinda inshaAllah watoto watarud salama
@GdFf-ik2eo8 сағат бұрын
Pole Sana mwanangu Tumwuombe mungu wtt wapatikane salama hii dunia sasa hi I watu wamekutwa wakatili usimwuamini kwa kila MTU
@MarimuDotto16 сағат бұрын
Pole sana ila tuombe mungu wapatikane wakiwa hai mwenyezi mungu awalinde huko waliko 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mwambaimara195018 сағат бұрын
Huyo binti nahisi ni mchawi au mshirikina!!!
@Zainab_salat18 сағат бұрын
Itakuwa
@HappyJohn-h8q8 сағат бұрын
Yaaniiiii uwiiiiiiii
@MariaMc6993 сағат бұрын
Mbona ni kama ulimwokota?? Yan ujui alipotoka umebeba tu... Izo ni dalili mbaya ila ulifungwa.. pole
@SurprisedEquestrianHelme-ox9ux17 минут бұрын
Polen sana 😢
@SemeniJohn-kj7wh16 сағат бұрын
Ulikaribisha mtoa Figo za watoto.
@Maggie8245 сағат бұрын
Jamani mungu wangu😢😢😢warejeshe watoto
@nancyrukayagana-iu2tv5 сағат бұрын
Duh! Watoto tutawaleaje jaman mbona Mabinti wa kazi wamekuwa gumzo
@demicratia407116 сағат бұрын
Hivi hawa WATU THEY DON'T LEARN A LESSON UNAUNGANISHWA KIENYEJI KIENYEJI TUUUU
@HappyJohn-h8q8 сағат бұрын
Nashangaa sana sanaaaaa sanaaaaa sanaaaaa
@zaharamustafa-t1l3 сағат бұрын
Jamani watoto
@AlHamra-k4u6 сағат бұрын
Pole Sana . Picha ya huyo mfanyakazi km ipo post. Huyo wakusomewa Albadili
@lawaridintandu292829 минут бұрын
fatilia siku yake kwenye mtandao wa simu husika, utajua alikuwa anawasiliana na nani
@DorisShangwe3 сағат бұрын
huu ni mchezo ulipangwa mda mrefu sana, either wanaenda kuuza watoto kwa familia za kitajiri. muhimu salimisha namba za hao watu kwa watalamu wa IT hata wakizima simu bado itasoma walipo pia sambazeni majina ya hao wadada na namba zao
@ZelaSaidi-q7d3 сағат бұрын
Jamani msiwe mnachukua wafanya kazi pasipo kujua familia yake jamamani da Dunia sio kwa sasa lakini mungu atafanya wepesi watapatikana mungu yupo
@ashuumuhammad826916 сағат бұрын
Allah s.w atawahifadhi watoto kwa uwezo wake warudi salama kwa wazee wao
@HaleemaSur18 сағат бұрын
Pole mtihani
@Mwanasitisalim-u5u17 сағат бұрын
Pole dadaangu mungu yupo
@EvankaMwajila18 сағат бұрын
Pole sana
@HanifaOman-oo4pl18 сағат бұрын
Pengine kulikua na gali linawasubili kufikatu na kuingia na kuondoka we mwizi wawatoto hawexi tembea nao kwenye daradara anajua atakamatwa apo kunadili walicgeza tu. Sm zao ndiyo zunakilakitu. ,😭😭 tumuombe Allah kwani yy ndiyo mjuzi wakilajambo jitahidi mama kuamka usiku kumlilia Allah watarudi salama bihidhinillah🤲
@yasminally10155 сағат бұрын
Asallam maalequ Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah Ishaallaha Ishaallaha Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha Allahuakibal Allahuakibal
@TatuTatu-f1v6 сағат бұрын
Imani ya mtu tu ingekuwa omani mgeona wabaya
@SadaHasimu18 сағат бұрын
Poleni sana jamani Allah awalinde uko walipo inshaallah
@CatherineKantambi16 сағат бұрын
Hii haijakaa sawa unakaaje na binti hata huijui familia yake yaan unaunganishwa unganishwa tu huu ni uzembe
@UpendoMtweve-g1f10 сағат бұрын
Poleni jamanii
@ZiadaAmisse17 сағат бұрын
Insha allah allah awafanyie wepesi allahumma amino
@HanifaShabani-dr3dq4 сағат бұрын
Ulimchukulia wapi Ndugu zake
@theclamarealle605215 сағат бұрын
Usikute naye kapotea kwasababu ni mgeni poleni sana Mungu awalinde watoto wawe salama wasidhuruke kwa chochote
Mtie moyo mwenzio siyo muda wa kulaumu,wewe unajua ugumu wa kumpata bint? Tufundishe utaratibu wa kupata bint tujifunze na wengine mae.
@brittanypulei7894 сағат бұрын
Uwii Mungu wangu nisingeweza kuongea
@SophiaKamgunda18 сағат бұрын
Mungu wangu tuwajue vp wahalifu wa aina hii nawatoto wako vp mpaka sasa
@zuwenaalamin898518 сағат бұрын
Mungu wangueeee😢😢😢aisee pole Sanaa mungu ajaalie wapatikane salama yarab
@faridaally-jp1gx17 сағат бұрын
M mungu atakurudishia wanao biidhini llaah mtegemee yeye tu
@TatuMkeso15 сағат бұрын
Duh inalilah wa inailah rajuun
@ndetiefredielmushi99787 сағат бұрын
Jamani wana usalama fuatilieni aliyekuwa anawasiliana nae hata kama amezima simu mkiwakamata waliokuwa wanawasiliana nae watasema tu alipo huyo mjinga.
@مريمااتاا8 сағат бұрын
Subuhnallah
@MeryJonh16 сағат бұрын
Asa anaenda nao wapi jamani. Hii Dunia ina Mambo Mengi sana mmmh
@babazungu318017 сағат бұрын
Huyu kawapenda sana watoto kaona bora awaibe tu
@FatmasaidhamesaHamesa16 сағат бұрын
Eeeeh mungu atoepushe nahili jamani uweke watoto maala pema