No video

Nash MC - Naandika

  Рет қаралды 207,122

ebox

ebox

Күн бұрын

Nash MC
Naandika
Prod by:Jeysan/Needlez
Kali Nation
Dir:eddie
creativemindstz
eddie entertainment
2014

Пікірлер: 152
@media-rs6lo
@media-rs6lo 8 жыл бұрын
naandik kuhusu utukufu wa mungu wangu anayeniongoza kwenye haya maisha yangu
@kaloymlambi8038
@kaloymlambi8038 8 жыл бұрын
yea ah noumer
@olalaokumu
@olalaokumu 9 жыл бұрын
Its a shame that the video has only 18k views. am kenyan and i can't get enough of this music. keep up nash mc.
@christeknics
@christeknics 6 жыл бұрын
Rusesa Wa Bagina oi
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 5 жыл бұрын
Naipenda sana ata mimi....nash anarap kama Mwana FA.
@jrsaid4270
@jrsaid4270 Жыл бұрын
"Siandiki kuhusu mambo ya Ushoga,sijui mapenzi ya jinsia moja ,ukitia sain we Rais ni muoga" 2022
@mangimaplan6941
@mangimaplan6941 7 жыл бұрын
Nash big up broo....wanaokupinga ndo wanaosemag nyimbo yako ya tabia umeimba matusi.......
@skillz2553
@skillz2553 10 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma, Huu ndo mziki ambao tunauitaji, Message zinafloo kama H2O Big up Nash Mc, This is truly definition of Hip Hop, I love this
@lastjap9279
@lastjap9279 6 жыл бұрын
Music kama huu unaponya nafsi na roho kwa wanaojua lkn
@amryabdallasaid2077
@amryabdallasaid2077 5 жыл бұрын
Naandkka khs kesi ya babu sea hamkufanya fea. Big up sana broo. We ndo kioo cha jamii.
@mukakathejoker6504
@mukakathejoker6504 7 ай бұрын
Nasikiliza hili goma kwa hisani ya hip hop
@jideibiko2723
@jideibiko2723 7 жыл бұрын
NASH MC The King!!! Heshima tu toka Kenia!!! ASOHUSIKA NA HIP TOP ATOKE!!!!
@johnthiga2509
@johnthiga2509 5 жыл бұрын
Sina budi kuadika kuhusu wasanii walijifanya hip hop na leo wamebadilka
@nassoryahya4588
@nassoryahya4588 Жыл бұрын
Nikisikiliza nyimbo hii moyowangu una ukosha
@nory4saad
@nory4saad 10 жыл бұрын
Bonge Moja La Video Palestina Mjeshi....Safi sanaa!! Naandika......endelea kuandika Arife!! #Scooby
@collegedropout5525
@collegedropout5525 4 жыл бұрын
ONE OF THE CLASSIC FROM HIP HOP
@jonathankatembo9546
@jonathankatembo9546 4 жыл бұрын
Safi sana brother Nash ngoma hii inaleta hisia sana, inamsukumo wa kuleta badaliko kwa jamii kiujumla na mtu binafsi.
@stammeringprogrammer7535
@stammeringprogrammer7535 Жыл бұрын
From "Hurt me soul" track's beat from Lupe Fiasco, Nash you killed it
@sammydeesamuel
@sammydeesamuel 11 ай бұрын
Hii sasa ndo hiphop ya bongo. Kali sana🔥🔥🔥
@Respondent_Online
@Respondent_Online 6 жыл бұрын
Mwanangu Nash mungu anaona unachojaribu kutuambia watanzania na wasanii wengine wa kibongo hasa wabana pua na waimbaji wa mipasho
@danielkope4663
@danielkope4663 4 жыл бұрын
Mi nafikiri anatuambia moja kwa moja sio anajaribu
@fredrickwisiko3709
@fredrickwisiko3709 4 жыл бұрын
Zi zaidi ya utunzi,,,huwa inaponya akili na mawazo salute Zuzu
@ndimuafrica
@ndimuafrica 3 жыл бұрын
Just remembered this song. Used to listen to it all the time on Hip Hop Tuesday with Mzazi Willy Tuva.#GoodTimes
@dariusmsagha
@dariusmsagha 6 ай бұрын
True. As from 2014 this song was always played on Hip Hop Tuesday. It was about the same time that Kaa La Moto and Nash MC came to Citizen radio and did a very dope freestyle.
@Daniel-rs9nv
@Daniel-rs9nv 11 ай бұрын
Who else is here 2023.? Lupe fiasco " Hurt me soul " song. Na umeifanyia justice mkuu. Peace Mkuu
@silentmaxbln7227
@silentmaxbln7227 9 жыл бұрын
Kaka nimekubali kipake wanazingua kweli........ na subiri kesi ya babu seha sasa
@haidaryjoe5546
@haidaryjoe5546 Жыл бұрын
nani yupo hapa kwa ajili ya Bandari..'kuhusu wawekezaji niachiwe'
@amanyisyebodeni1342
@amanyisyebodeni1342 9 жыл бұрын
Kama unajua unajua tu haina aja ya promo Nash ni noma
@hustleradui5283
@hustleradui5283 5 жыл бұрын
ni nyimbo bora ya hip hop miaka yote
@gideonaire_ke
@gideonaire_ke 6 жыл бұрын
Bado ni mziki mkubwa sana. Staying real to date
@richardmsongolo7121
@richardmsongolo7121 9 жыл бұрын
''...UKITIA SAINI WE RAIS NI MUOGA..''SANA NASH TUELIMISHE WANAO.
@davidphidelis2553
@davidphidelis2553 4 жыл бұрын
nakukubali sana nash mc kwa mistari
@allykazoa8324
@allykazoa8324 4 жыл бұрын
Nakubari Sana Brooo.Hii Ndo Hip hop,
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Respect mc makini @Nash Mc, japo wasema kweli hawapendwi ila #Hiphop forever
@romanikazimoto8478
@romanikazimoto8478 5 жыл бұрын
Ma mc wa siku hiz hataki Elimu..🙌💪🔥 unajua sana
@gracembungu8336
@gracembungu8336 Жыл бұрын
Still here🤝
@athanasndiganya8100
@athanasndiganya8100 3 жыл бұрын
Bado nakusikiliza kaka 2020 maneno kuntu huu ndomzk sasa
@mwangikuria1280
@mwangikuria1280 8 жыл бұрын
Aaaaah, clap clap clap.... brathy uko fine
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 5 жыл бұрын
Hapo neema wa mitego ina mhusu hiyo massage sent and delivered
@juliusmwamed7584
@juliusmwamed7584 3 жыл бұрын
Ok
@SingleMalters_Whisky
@SingleMalters_Whisky 5 жыл бұрын
Conscious Music. I really wish people would be listening to this kind of music. Keep it up Nash MC.
@SingleMalters_Whisky
@SingleMalters_Whisky 5 жыл бұрын
How do I et your Album or mixtape. i want to buy it
@Maria-wc1yv
@Maria-wc1yv 2 жыл бұрын
ninapenda wimbo huu. Ninajifunza kiswahili :)
@alexmwambona2658
@alexmwambona2658 2 жыл бұрын
Brother I do believe in best rhyme as u portray
@emmanuelmoses9249
@emmanuelmoses9249 5 жыл бұрын
Hii ngoma inaish iasee
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 5 жыл бұрын
I feel this ngoma.
@joachimhassan8766
@joachimhassan8766 8 жыл бұрын
naandika wewe nash ninmkali wao sio lazima wakuje leo hata ukifa ngoma wataigonga kigan'sta..kama langa na mangwear
@christeknics
@christeknics 6 жыл бұрын
Joachim Hassan karbu kwenye channel yang subscribe na kulike kama nlvofanya kwako
@abigailkighombe1960
@abigailkighombe1960 9 жыл бұрын
Heshima tu ndio nakupea
@christeknics
@christeknics 6 жыл бұрын
ABIGAIL KIGHOMBE your also welcome to my channel subscribe and like as I did to yours
@mussadembelle2845
@mussadembelle2845 6 жыл бұрын
We Nash basi tu ambao hawajui nn unafanya ao ni wangonjwa wa akili we ni mc wa kwel
@josphatmwania5800
@josphatmwania5800 2 жыл бұрын
+254 Inakubali kasi safi
@rapmeddo6089
@rapmeddo6089 8 жыл бұрын
Safiiiiii....xema beat la hurt me soul
@raymondjefwa1962
@raymondjefwa1962 5 жыл бұрын
Nash mc mzito paka Mombasa that's Hip Hop
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 2 жыл бұрын
Naisikiliza hii 2022
@denisnyambita6034
@denisnyambita6034 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@lovetonny0793
@lovetonny0793 8 жыл бұрын
Hakika wewe ni mzimu wa Shabani Robert
@khalidimsuya4165
@khalidimsuya4165 3 жыл бұрын
Nyimbo ambayo haiishi hamu
@jafarisintoo3743
@jafarisintoo3743 5 жыл бұрын
I appreciate bruh 🔥
@erickselei3426
@erickselei3426 Жыл бұрын
Maalim ii ngoma utaamini inaongea wakati huu tuliopo na imeandikwa 9years ago
@solo9396
@solo9396 6 жыл бұрын
hip hop ya kweli
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 4 жыл бұрын
Hip Pop in blood
@mtuwapicha5076
@mtuwapicha5076 4 жыл бұрын
254🇰🇪Tuko ndanii
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
Nani yuko hapa 2020 akisikiliza huku akiandika.
@jessamsteven9974
@jessamsteven9974 8 жыл бұрын
sasa nipo jikoni kuandika kuhusu kesi ya babu seya ......hamkufanya fear.....but kitambo mbona hahtuisikki kaka maalimu
@fredrickbuteye7153
@fredrickbuteye7153 4 жыл бұрын
Naandika kuhusu uchaguzi 2020🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sigwafamirisongea2169
@sigwafamirisongea2169 4 жыл бұрын
uwezi kijutia mb kwaiimstari unajuwa kaka
@davidnkuna9626
@davidnkuna9626 10 жыл бұрын
noma sana broo
@chidyguy3259
@chidyguy3259 5 жыл бұрын
Naandika kuhusu langa na mangwea kanumba na sajuki wap sharo milionea
@zinguanikuzingue5133
@zinguanikuzingue5133 2 жыл бұрын
2022 gonga like
@johnmosha8285
@johnmosha8285 3 жыл бұрын
Kaz nzur
@Tripo7unLocked7000
@Tripo7unLocked7000 5 жыл бұрын
2019
@kidizoofficial4542
@kidizoofficial4542 3 жыл бұрын
Appreciate maalim nash mjomba @monterooh
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 6 жыл бұрын
NAANDIKA NJIMBO YA TAIFA LA HIP- HOP
@vanovano3128
@vanovano3128 5 жыл бұрын
Это на него мс мох дисс делал?
@filbertjiskaka4774
@filbertjiskaka4774 Жыл бұрын
Bado nipo nasikiliza 23/1/2023
@omarymikombe2762
@omarymikombe2762 5 ай бұрын
Hip Hop Mzuka 🔥🔥
@boazmbembela4796
@boazmbembela4796 9 жыл бұрын
Zuzu Mc... pamoja braza 2$0nge
@christeknics
@christeknics 6 жыл бұрын
BOAZ MBEMBELA karbu kwenye channel yang subscribe na kulike kama nlvofanya kwako
@bunanzesumbayaza2730
@bunanzesumbayaza2730 4 жыл бұрын
Kweli ukitia saini we raisi ni muoga
@jeromemugisha1504
@jeromemugisha1504 6 жыл бұрын
Keep it up dude
@denismakweba3870
@denismakweba3870 4 жыл бұрын
...kuusu wawekezaji niachie mm,je utawafanya nn
@ShaibuHassani
@ShaibuHassani Ай бұрын
Hip hop no darasa hulu
@mohammedngaharajr2891
@mohammedngaharajr2891 6 жыл бұрын
respect to Nash
@aminaeliud1068
@aminaeliud1068 3 жыл бұрын
Big up to you bro
@michaelmicah27
@michaelmicah27 9 жыл бұрын
Hahahahaha Nash wee ni hater... Kaka chunga hayo maneno ya kipuzi nitakuteka
@mukakathejoker6504
@mukakathejoker6504 4 жыл бұрын
Baba hiyo ngoma inaitwa maswali ya kiwack. Kama unayo naiomba wasap 0762769496
@solomonichisaye8767
@solomonichisaye8767 2 жыл бұрын
@@mukakathejoker6504 Uliipata
@saluten5926
@saluten5926 Жыл бұрын
Nakubali
@mussaharun7257
@mussaharun7257 9 жыл бұрын
mwiba kwa watawala
@christeknics
@christeknics 6 жыл бұрын
Mussa Harun karbu kwenye channel yang subscribe na kulike kama nlvofanya kwako
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 4 жыл бұрын
Sina budi kuandika wasanii wana hip hop na leo wamebadilika
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 6 жыл бұрын
...Naaaandika kuhusu uozo wa Serikari...
@ramadanjabir1664
@ramadanjabir1664 3 жыл бұрын
Listening this in 2021
@josephatchanzi1648
@josephatchanzi1648 2 жыл бұрын
2021 december
@malechamoja3225
@malechamoja3225 2 жыл бұрын
Zimaaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 11 ай бұрын
👊👍✌️.
@Informationtz
@Informationtz 3 жыл бұрын
✍️💯💯💯💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊
@mussadembelle2845
@mussadembelle2845 6 жыл бұрын
Naandika kuhusu ardhi na madini kuhusu wawekezaji naomba mniachie nini muone ntawafanya nini aya utawafanya nini? ntwawauzia vyote kisha naingia mitini
@bulegeashaban7091
@bulegeashaban7091 5 жыл бұрын
2019 yoo
@masuseleman978
@masuseleman978 5 жыл бұрын
Usisubutu kukutwa na takukuru ya mtaa.watakata funua watatambaa
@muddymaulid2771
@muddymaulid2771 8 жыл бұрын
safi bro
@officialslogantz4181
@officialslogantz4181 8 жыл бұрын
so hooooooot brother
@hapakatipatam4655
@hapakatipatam4655 5 жыл бұрын
Yp
@amanhassan7460
@amanhassan7460 4 жыл бұрын
hiv ndo tunavitaka kuskia kwanin maredio hwapigi vitu vya maana kama hivi.tumechoka kuimbiwa pombe na ngono
@epimarkmallya7330
@epimarkmallya7330 6 жыл бұрын
nash z ms bbm
@manyweletheboss6053
@manyweletheboss6053 5 жыл бұрын
naipenda hii kitu
@rasibuga5428
@rasibuga5428 3 жыл бұрын
Nice song kamanda apa AR umetsha
@jengamzugaofficial6289
@jengamzugaofficial6289 6 жыл бұрын
congratulations
@NICKOHENRY-pz4bm
@NICKOHENRY-pz4bm 2 ай бұрын
Moto
@saulimwakyusa3859
@saulimwakyusa3859 8 жыл бұрын
weee nishidah
@robertken3196
@robertken3196 5 ай бұрын
Real LA Alejandro Alonzo Killamanjaro
@rasibuga1537
@rasibuga1537 3 жыл бұрын
Andika
@spoilamdudu6391
@spoilamdudu6391 5 жыл бұрын
Nash danger
@mahamuduhusein3099
@mahamuduhusein3099 4 жыл бұрын
safi
Nash Mc - Maneno (Official Audio Music)
5:45
Mtikiso Channel
Рет қаралды 99 М.
Nash Mc - Mitihani
5:27
MICHAEL
Рет қаралды 36 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 29 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 182 МЛН
Fidstyle Friday week 35 with iLLMATIX
24:40
CheusidawaTV
Рет қаралды 191 М.
Songa - Unlimited
3:37
ebox
Рет қаралды 38 М.
Langa - Rafiki wa Kweli  (Official  Video) | Dir. by Jerry Mushala
3:17
roho saba - nakupenda hiphop.flv
4:48
kaloka64
Рет қаралды 295 М.
Nash MC - HASI 15 (Official Music Video)
3:30
LABWORKS
Рет қаралды 122 М.
Nikki Mbishi - Sauti Ya Jogoo Official Album
1:18:34
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 52 М.
NASH MC ~TABIA
3:32
NGODA TV
Рет қаралды 69 М.
Songa feat. Double-HISIA ZA MOYONI(Official Video)
4:06
Songa
Рет қаралды 325 М.