ELIE MPANZU AZUA ZOGO KWA JEMEDARI NA GEOFF LEA/ "MCHANGO WAKE NI MDOGO SIMBA"

  Рет қаралды 42,851

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 51
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 Күн бұрын
Mpanzu is a brilliant player! Let's give him time to perform at his best! Yajayo yanafurahisha!
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 18 сағат бұрын
@@enockmlyuka6475 oky kama ni hivho BC tumpe muda pia maombi muhimu
@AnnaSilyvester
@AnnaSilyvester Күн бұрын
Naitakia safari njema chama langu venance kutoka kahama❤
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Күн бұрын
We ukitaka kujua thamani ya Auhoua, Simba icheze bila yeye
@MeshackManoja
@MeshackManoja Күн бұрын
Kweli kabisa
@NathanaelKatundu
@NathanaelKatundu Күн бұрын
Nilisha sema mara nyingi. Yule Dogo ni mfhezaji mzuri Sana. Watu hawajamtazama anachezaje kama siyo hivyo wanataka achezi style zao. Ukitaka kujua Hilo angalia anavyo angaliwa Simba ikicheza.. watu hamuachi
@FeisalSongambele
@FeisalSongambele Күн бұрын
Jemedari anatupanga ngoma alipoteza pasi zaidi ya sita mpaka dk ya 15 mbona hasemi oyaa mpira uangallii mwenyewe bro
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Күн бұрын
😂😂...wala Jemadari hakupangi...unajipanga wewe mwenyewe na ufahamu wako... jemedari ametoa maoni, mawazo,na ufahamu wake kwanza kama mchezaji aliyecheza mpira kwa mafanikio makubwa na pia kumbuka yeye ni kocha kitaaluma...sasa wewe huna lolote zaidi ya ushabiki kubali kataa mwezio ameuishi mpira
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani Күн бұрын
Alicheza kwa mafanikio makubwa wapi?
@FuneyJojo
@FuneyJojo 3 сағат бұрын
Kukaba sio lazma upokonye mpira no ata kumzuia mpizani arudishe mpira kwao ni kukaba pia kwaio haua atakua vizur tu ila jimmy ni mchambuz wa kwer kuliko wachambuz wengi broo anajenga sana plays
@desolz3809
@desolz3809 Күн бұрын
CEO wa JKT TZ😂😂😂😂
@RashidAhmed-c3p
@RashidAhmed-c3p 22 сағат бұрын
Wabongo mvamilia fani za ulaya wenzenu wengi huwa ni waliocheza mpiira kuna nyny sasa ni wapiga storry tu
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd Күн бұрын
Mtu hayacheza miez 8 unataka awe na mchango kidogo
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 15 сағат бұрын
Anao anao sanaaaa😅 bila faida YOYOTE ile
@NovatusKaboneka-x7v
@NovatusKaboneka-x7v 8 сағат бұрын
No
@SaidiIduri
@SaidiIduri Күн бұрын
Huyo jemedar ni mjinga hata Kuna wachezaji Wanakuwa Bora wakiwa na mpira hata Messi alikuwa hivo
@victorcampbell2659
@victorcampbell2659 15 сағат бұрын
Ni mchezaji mzuri ila anapoteza sana mpira kizembe
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 Күн бұрын
Mimi ni simba damu naipenda simba kwa moyo wote nikiona mtu anaiongelea vibaya simba inaniuma sana Naomba uongozi wa simba wampeleke huyu Mpazu kwa Mwamposa aombewe kwanini akipiga pass inatoka nje aombewe na yeye
@Stavanger-cr3ee
@Stavanger-cr3ee Күн бұрын
Sasa kwa nini MWAMPOSYA asiwalete wale ambao Anawaombea kila mara, ili timu zetu zitumie PESA kidogo kwa Wachezaji wetu WAZAWA?
@Philosophy219
@Philosophy219 Күн бұрын
Shule shule shule shule muwe mnasoma kabla yakujifanya mnajua, hizi ni stori za mpira sio uchambuzi wa mpira wa miguu
@MussaHajikimwaga
@MussaHajikimwaga 16 сағат бұрын
unatamani achambuliwe mzize huna lolote we ni mnazi tu
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi Күн бұрын
Hivi bila kujituma unaweza kufunga goli kama la jana??Acheni utani aisee
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr Күн бұрын
Katika wachambuzi tanzania hii ambae yanga wanampenda simba wanampenda ni Mmoja 2 naikitokea tunzo ya mchambuzi tanzania ni Mmoja2 mwaduke bas
@Bilifilmz
@Bilifilmz Күн бұрын
Mjuwe tu huyo hajasajiliwa kwa ajili crown media na vipindi vyenu vya mchongo. Ata Ahoua mlibeza sana sasa mmeanza kukimbilia kwenye numbers zinambeba, Kibu mlimsema sana mkasema mpira numbers. Mpanzu muacheni special kwa ajili ya simba tu sio media zenu za mchongo
@mbogedevis1518
@mbogedevis1518 Күн бұрын
Nadhani wachambuzi ifike hatua muende memkwa maana nashindwa huwa mnao enda na kitu gani Kwa wachezaji wacheze vizuri wasifunge mnasema mchango mdogo, afunge hachezi vizuri mnaongea 🤔
@KassimMgaya
@KassimMgaya 18 сағат бұрын
Jemedali aongelei mtu yeye anaongelea mpila
@EdwinAdAstra
@EdwinAdAstra Күн бұрын
Kuhusu takwimu, wataalamu wanasema, statistics is like a bikini, what they reveal is suggestive but what they conceal is vital.
@Khaleed5767
@Khaleed5767 Күн бұрын
SHIDA YA WACHAMBUZI WETU SIJUI AKILI ZENU HUWA ZINAFANYA KAZI GANI YA KUFIKIRIA NJE YA BOX.... KWANI ELIE MPANZU ALIKUJA SIMBA SC KAMA NANI.. NA NI NINI MAJUKUMU YAKE !? IKIWA KOCHA ANAMUAMINI.. NA ANAJUA NINI ANAFANYA NYIE WASAKA TONGE NI KINA NANI ? ACHENI KUJIDHARAULISHA KWENYE MAPINDI YENU YA REDIO...
@Philosophy219
@Philosophy219 Күн бұрын
Hakuna wachambuzi hapa?
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu Күн бұрын
Mnamuandama Ahua kwani anacho kifanya hamkioni kwani Chama alikua anakaba 😂wachambuzi hovyo kabisa
@GloryMapunda
@GloryMapunda Күн бұрын
Kwanza uyo chauma kafanya nini alipo kwenda
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu Күн бұрын
@GloryMapunda si ndio hapo siku hizi kila mtu mchambuzi hovyo kabisa mpira hawajui wanaropoka tu
@appetizertz3106
@appetizertz3106 Күн бұрын
Shida ya waandishi wengi wa habari na wachambuzi bongo ni form four felia
@angazashalohanga6114
@angazashalohanga6114 Күн бұрын
Form four felia ndo nin sasa😅
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 Күн бұрын
Acha kudharau elimu za watu, wew to comment yako TU.
@desolz3809
@desolz3809 Күн бұрын
Nadhani ndo felia yenyewe​@@angazashalohanga6114
@ShedrackAndrea-x1k
@ShedrackAndrea-x1k Күн бұрын
Mpanzu ni balaa tuache utani
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 Күн бұрын
Wabongo bhana mtu ndio kwanza ameanza ulitaka afanye muujiza ambao hata mama ako mzazi awezi fanya stupid
@kingofrich6813
@kingofrich6813 23 сағат бұрын
Upuuzi mtupu hamna wachambuzi hapa
@AbtwalibuChepa
@AbtwalibuChepa Күн бұрын
mnajarobu kuwatoa watu mchezoni iyo tunaijua iyo wafanya biashara
@HamicKauno255
@HamicKauno255 Күн бұрын
Huyo HAWA ni mbovu siku yake mtanishukuru
@mozahsalum8882
@mozahsalum8882 Күн бұрын
Tupe fact why mbovu?
@HamicKauno255
@HamicKauno255 Күн бұрын
@mozahsalum8882 Hana work rate kubwa uwanjan halaf mzito anaonekana kwenye mipira ya kutenga tu ni mchezaji wa kawaida sana
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Күн бұрын
​@@HamicKauno255😂😂 Wewe Hamida hapo simba hakuna Hawa wala Asha
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 Күн бұрын
Hawa ndo nani
@ChalomeJunior
@ChalomeJunior 20 сағат бұрын
Hamida? 😂😂😂😂😂😂😂
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW
1:36:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 98 М.
ZITTO AMLIPUA LISSU,  KUHUSU KUFUKUZWA CHADEMA!!!
20:26
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 35 М.
cs sfaxienvs simba  (0-1)gori la ahoua
10:41
Betison comedian
Рет қаралды 35 М.