Dakika moja tu imetosha kujua Ahmed Ally ni kichwa. Very professional
@ChurchillShakim3 ай бұрын
Ahmed Ally, huyu mtu ana akili sana. Very professional
@MohamedMwichande3 ай бұрын
Uyu msemaj asitoke simba ad azeeke na kushindwa kuisemea club
@abuually77973 ай бұрын
Ahmed Ali ni moja ya.wasemaji bora kwa sasa tanzania hongera sana kwake
@GwamakaAmsyanGwamakamsyani3 ай бұрын
Sanaaa professional amedy ally
@DativaMdachi3 күн бұрын
Aiseeeee big up 👏👏🦁 semaji Yan haiitaj D mbili kuelewa
@mtulivu-ir1nq3 ай бұрын
😂😂😂 ila semaji 🙌🙌big brain 🧠🧠
@nassorseif4043 ай бұрын
Good analysis from semaji la nchi
@Mery-st4nu3 ай бұрын
Maua yako Ahmed ally unakili sana kumshinda hata sisimizi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AminaMkumba-u3z3 ай бұрын
Semaji letu hoyoooooohoyoo Big Up❤❤❤❤🎉🎉🎉
@fediyjurriАй бұрын
Nakubali Ahmed ally
@FrolaJrАй бұрын
Nimechelewa mnisamee sana uyu msemaji aisee simba tumepata msemaji mwenye nizamu sana mwenye kujitambua mungu amjalie afya njema,,
@TimeJoseph3 ай бұрын
Akili mapipa ujinga robo kisoda hili semaji ndiyo nimeliona. Kama nawewe umeona semaji Lina akili nipe like
@samirshabani-yu4xuАй бұрын
Uzipeleke wapi
@bukaone75073 ай бұрын
Uko vizuri semaji la kimataifa
@PemaPema-i9u29 күн бұрын
Semaj letu ni atar ume tisha ❤❤🎉🎉
@Bumutz-po2df3 ай бұрын
Ahmed Ally ni mtu na NUSU anajua nini chakuongea ana iq kubwa sana 🔥🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SirajiRashidy3 ай бұрын
Njoo fei unyamani❤❤❤
@BetraminoKayage3 ай бұрын
Sikutegemea kabisa kama Ahmed atajibu hiv Jamaa Yuko makini mno
@aidenmoffatmedia2663 ай бұрын
Hapo waandishi wamekutana na mwanahabari inabidi kutulia 😂😂😂
@juliasbeda28943 ай бұрын
Mi mwenyewe nakukubali Ahmed kuanzia Leo siyo yule mchaga mropokaji ovyooooo
@charleznicholas4163 ай бұрын
Ahmed Ally anatumia akili kubwa sana kujibu,,, eti nacheza na ndugu zangu 😂😂😂😂😂😂
@emmyTina-m2y3 ай бұрын
Ahmed Ally what a professional speaker
@frankmashadi90043 ай бұрын
Daah Ahmed ally mm ni mwana yanga lakin kwa hapo umeonge fact nzr Sana tangu nianze kukufatilia
@farajastephanoluoga6944Ай бұрын
Wewe kweli msemaji la caf upo vizuri sana una hoja siyo msemaji wa utopolo mtoto sana
@goriaAlexndarАй бұрын
Hamuwezi kukomenti bila kumtaja jinsi Gani anavyowasumbua kichwa
@AbdalaBlackford-xl7by3 ай бұрын
Umetisha🎉
@AshaHalidi-v9f3 ай бұрын
Semaji la upande wa pili kazi kelele tuu daah 🎉
@goriaAlexndarАй бұрын
Hahahahahahahaha ndo tulivyompendea kelel zake
@afterfull-time13483 ай бұрын
Msemaji wa visemaji vyote nchini❤❤
@BARAKAGILYA2 ай бұрын
Uko vizuri semaji
@ShabaniKibwende863 ай бұрын
Dahhh iseee huyu jamaa nouma sana ubalikiwe sana ndugu nimependa sana ulivyo mfumbua macho Fey.😂😂
@YusufuJilaАй бұрын
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤ naipenda sanaaaaa
@LaurentKazimili-j5k29 күн бұрын
Sana ahmedy ally
@HojaKisinza9 күн бұрын
Da! We mamba kwelikweli Ahmed ally fanya kaz yako kaka
@Energyboetz3 ай бұрын
Mkali wa content
@hassannjaruka303717 күн бұрын
Hapo ulijibu vizuri Ahmed,umewakomesha hao vilopolopo wachambuzi.safi sana, kila siku ohooo...simba simba.
@Masoudkhamisabdalla3 ай бұрын
Semaji upo cizuri sasa fee lazima afanyie kazi hili wazo
@castroydaimon31073 ай бұрын
Aaaaa semaji nimekupigia salute.... jibu limeenda shule
@AndrewMoses-cs4ymАй бұрын
Mm niyanga damu uko sawa ahmed ally
@dennischarles31743 ай бұрын
Jemedali na Jeff wanamatatizo gani,mtu kaulizwa muacheni azungumze msimuingilie😂😂😂
@Chakaza3 ай бұрын
Yuko vizuri sana Ahmed Ally, wasemaji wa club nyingine waige weledi wake!
@FahadAbubakari3 ай бұрын
Mi yanga ila huyu kiuwezo wa kichwani yuko sawa sana
@osamankungu94323 ай бұрын
Nakubali mwamba hutaki kabisa kutajataja jina la timu ya jirani, safi sana semaji la kimataifa
@ZuhuraOmar-x5t3 ай бұрын
Kwasababu Kwa jirani kuzur ningumu kupabomoa
@FrancisLubinzaАй бұрын
Karibu feisal.simba
@GeradGmwambe3 ай бұрын
Semaji la caf 🔥🔥🔥
@AdrianoMdoto3 ай бұрын
Hongera sana msemaji wetu Simba walioata msemaji
@protasiafidelis422221 күн бұрын
Big up kwa semani letu
@JUMAAli-d5y16 күн бұрын
Katakana Sana fei🎉🎉🎉🎉🎉Nampa maua yake
@CosmaKisindo-q7tАй бұрын
❤ u simba fei toto
@hamzamwamedi71763 ай бұрын
Semaji langu nakuamini umemfunga midomo huyo muuliza swali. Kaacha ya Kagoma anaona Mnyama kawini. Anaanza na Faisali umemjibu kisomi😂😂😂
@boboonesmo54313 ай бұрын
Asante semaji letu la taifa
@ramajuma56203 ай бұрын
😂😂😂daah ila msemaji wangu anaakili san hyu jamaa
@noahkajinga75993 ай бұрын
😂😂😂😂😂 big up Semaji la Caf
@frankmlalila17053 ай бұрын
Semaji unatisha, waandishi wa bongo wanapenda kupata kontenti ya mwendelezo wa habari
@jastinedaudi-qi9vr3 ай бұрын
Semaj upo sahh xn 😂😂
@fediyjurriАй бұрын
Fei toto anaenda simba kama unaamini gonga like
@MshamManara3 ай бұрын
Kweli kbsa
@chandeemanuel63032 ай бұрын
Semaji una akili ubunge una pata 🎉🎉🎉🎉
@AbelMwanji3 ай бұрын
Biggup mkuu
@jeremiahmahinyila74983 ай бұрын
Sema Semaji la CAF una Big brain 🧠🧠
@LameckDiwani7 күн бұрын
Du, hiyo kali
@VictoriaDominic-ur1sx2 күн бұрын
Umetisha ahmedy huna baya semaj letu
@BenardEinstein12 күн бұрын
Semaji unajua sana psychological ideas kwa fei yeye tu
@RamadhanSaid-j1m3 ай бұрын
Nakubali sana semaji la kafu
@hamadabdullah97023 ай бұрын
Wambie ao wajitambue yang wanajifany wanapend sn saiv fei wamesahau walivyokuw wakimtukn mchn kweup
@afterfull-time13483 ай бұрын
Fei kawakomesha utopolo saiv wanajikomba wenywe
@BashindikeTomasi4 күн бұрын
Wap waachen wanayanga
@revocatusmalimi45253 ай бұрын
Sijui kama wasemaji wa timu zingine wanaona au kufuatilia na kusoma mtandaoni mahojiano haya ili wajifunze namna ya kujibu au kuzungumzia hoja mbele zao
@KhamisAlawi-n1k3 ай бұрын
Uto sababu ya kujishusha matawi ya chini kwa Feisal ni khofu tu, wanaona jamaa akiangukia kwa ubaya ubwela, atawakanda mpaka wafuane,😂😂😂😂😂😂
@JUMAAli-d5y16 күн бұрын
Semaji hujUumba😅😅😅😅
@richardchami3124Ай бұрын
Ndiyo
@Raphael-ml8li3 ай бұрын
Swali hili angeulizwa yule njiti sasa ungeskia kanavyojikwezaaa
@JUMAAli-d5y16 күн бұрын
Semaji BDO ajalibu swali😊😊😅
@abelimaganga4173 ай бұрын
Semaji la CAF hujawahi niangusha popote ulipo nipo na wewe
@AbasiAlmasi3 ай бұрын
❤❤
@sarahmathias35183 ай бұрын
Semaji lenye miakiri miiiiingi.
@Sampovoice80883 ай бұрын
Ahmed kiredio
@ReminaAlex12 күн бұрын
Waandishi wengi ndio wachochezi na huwa wanawapigia Debe wachezaji hata kwenda Azam ilikuwa hivi hivi
@janethrwambali2782Ай бұрын
Huyu kaka ni kichwa sana
@geraldbagole44943 ай бұрын
Kuna timu inamnyima utulivu Yusuph Kagoma na Lameck Lawi😂😂😂
@NoahMollel-q8d3 ай бұрын
We jamaaa una content mpaka unakera 🫡🫡🫡
@issamuhammediАй бұрын
Mbona fei juzi aliwajibu vizuri tu
@IsmailHotelJibunge2 ай бұрын
Hiyo ni kubwa kuliko kwako ahmed maana ulichokijibu uko sawa kabisa
@Omarymussa-pg8ueАй бұрын
Semaji la CAF uko bright and geneous una miakili mingi physiological toucher🎉🎉🎉🎉🎉😂
@SwamaduKunachiАй бұрын
❤❤❤
@HajiFadhili-k9x3 ай бұрын
Unyama Sana
@zureabakari-h6x2 ай бұрын
Semaji la kimataifa hongera
@rajabdibwa64153 ай бұрын
Hawa jamaa si wamuache msemaji wa simba aongee, Sasa imekua kama maskani😢
@anithawidambe75432 ай бұрын
UPO sahihi sana semaji la Caf.
@BarakaMsafiri-s6u3 ай бұрын
Umetixh
@SaadiAusi3 ай бұрын
Kweli kabisa huyu hansi hana lolote mjinga mmoja2
@DonaldMwamakula23 күн бұрын
kweli kwa maneno ayo nime kubali ubaya ubwele
@michaelmweta90552 ай бұрын
Semaji wewe akilii nyingi sana Mungu akubariki sana
@BakariHamisi-ke6zv3 ай бұрын
semaji lakafu maneno unayo sema nisawa Yani umeona mbali sana Yani kwasasa utopolo wanajichekeshachekesha kwafei
@YahayaBakari-hf5yk3 ай бұрын
Semaji la caf unatisha sana
@JacksoniZidoli10 күн бұрын
Msemaji bola kabisa mimi nimekubari
@IshevannyAnatory3 ай бұрын
semaji la simba sc lina akili zaidi ya ten professors
@HeriMagwaza-cd4wg3 ай бұрын
Kweli semaji la kimataifa
@commonsense56173 ай бұрын
Na kweli wale kelele tu😂 mtandaoni hawana hao followers😂
@JohnAthanas-uu5op3 ай бұрын
Good semaji letu
@WistonErasto3 ай бұрын
Mm kama mshabiki wa simba naombi kwenu kwa fei uje simba napia mumkazie mkwala aongeze juhud make anatuumiza cc mashabiki wa simba
@AbasiAlmasi3 ай бұрын
Daa ingekuwa wachambuz wetu nikamahuyujamaa
@MagoriJuma-u7z2 ай бұрын
Hakika ahmed ally wewe noma sisi tunasubilia ubaya ubwera three 19 na feey tunamta unyamani
@OmariSalumu-w7bАй бұрын
Dah faisali namsubiri sana aje unyamani
@Marynkuli2 ай бұрын
Semaji lakimataifa hahahaha nimpe mauwa yake🎉
@YahayaBakari-hf5yk3 ай бұрын
Fei toto njoo mnyama utulie maana hapo Azam hakuna kupanda ndege mara kwa mara
@BekaMajo2 ай бұрын
Msemaji wa viwango vya caf
@julianajeremiah43533 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi sana ila kuna Siri hapo