Culture Musical Club of Zanzibar - 'Sibadili'

  Рет қаралды 33,366

Singing Wells

Singing Wells

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@kuengakhamis8047
@kuengakhamis8047 Жыл бұрын
Sibadili nia yangu, nilipopashikilia Sibadili mwendo wangu, kinyume kukuendea Sibadili pendo langu, mwengine kumgaia Na kwanini nibadili, na jambo sikuzoea Huna unacho nikhini, vyote unaniridhia Sibadili kwa shilingi, sibadili kwa rupia Sibadili walo wengi, mmoja kukiachia Sibadili raha nyingi, kwa shida itotokea Na kwanini nibadili, na jambo sikuzoea Huna unachonikhini, vyote unaniridhia
@izezuddin
@izezuddin Жыл бұрын
From Malaysia With Love
@mushken65
@mushken65 2 жыл бұрын
Imenipendeza sana hi taarab asili nikiwa hapa Makueni county🇰🇪
@somoesaid353
@somoesaid353 3 жыл бұрын
Old is gold nilikua nimeumiss Sana hii nyimbo naombeni nyimbo za othman soud from mombasa 🇰🇪
@saidimallindi5726
@saidimallindi5726 3 жыл бұрын
Safi sana mashalllah umebadilisha kidogo mahadhi lakini haijapoteza ubora
@rahimaally6471
@rahimaally6471 Жыл бұрын
Instrument zimepangika vile vile ila uimbaji umekua model kidogo
@kisegojaredi7517
@kisegojaredi7517 Жыл бұрын
Huyo muimbaji anaitwa nani jaman8
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 2 жыл бұрын
My shogaaangu😘👌
@tariqalkindi8045
@tariqalkindi8045 3 ай бұрын
Who is the singer? she got nice voice
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 жыл бұрын
Woow
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 4 жыл бұрын
Marhaba safi sana lakin ingalipendeza angali imba yule yule mwanaume
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 10 ай бұрын
Hata huyu kapendeza sana na sauti nzuri sana na mpangilia wa hali ya juu sana usiokuwa wa hapa ulimwenguni
Culture Musical Club of Zanzibar ' 'Tumewashika'
9:24
Singing Wells
Рет қаралды 20 М.
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
Cheo chako
11:18
Zanzibara - Topic
Рет қаралды 136 М.
Asokasoro Hakuna -Fatma Issa, Culture Music Club
13:16
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 548 М.
Culture Musical Club of Zanzibar  - 'Kama Yalivyonipata'
7:04
Singing Wells
Рет қаралды 32 М.
Culture Musical Club of Zanzibar - 'Mapenzi Matamu'
7:24
Singing Wells
Рет қаралды 169 М.
الأستاذ/ محمد وردي - المرسال.
55:12
محمد وردي
Рет қаралды 3,2 МЛН
Nikumbatiye/Seleleya by Rukia Ramadhan (new version)
12:42
Ali Samaki
Рет қаралды 1 МЛН
Culture Musical Club of Zanzibar - 'Waridi Bashraf'
6:30
Singing Wells
Рет қаралды 23 М.
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН