D voice - Kijitu (Official Audio)

  Рет қаралды 97,612

D Voice

D Voice

Күн бұрын

Click👇🏾 Download The Song
dvoice.lnk.to/...
/ @itsdvoice
For Bookings:
dvoice@wcbwasafi.com
Follow D Voice On:
Instagram: / itsdvoice
Facebook: / itsdvoice
X / Twitter: / itsdvoice
TikTok: / itsdvoice
#DVoice #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.

Пікірлер: 249
@Kenifamily-Music
@Kenifamily-Music 9 ай бұрын
Daah huyu mwamba nafanya vizuri kote yani bongo flavour, Amapiano na Singeli tumpe maua yake family song's
@najatiyazidu4398
@najatiyazidu4398 9 ай бұрын
Huyu sas ndo dvoice tuliekuw tunamsubir kw hamu mda mrefu sana, km unakubakian na mm gonga like hapa
@banangewanitila
@banangewanitila 9 ай бұрын
Ndio
@kusanouzuckia2703
@kusanouzuckia2703 7 ай бұрын
Ulikuwaga wap ngoma kali hongeraaa
@sonpro87
@sonpro87 9 ай бұрын
Wa kwanza mimi kutoka Congo 🇨🇩 nipe liké zangu
@riterkid9667
@riterkid9667 9 ай бұрын
Uyu msee anaenda far wapi likes zake
@jumannecheni8935
@jumannecheni8935 9 ай бұрын
Wimbo mbovu sana
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 9 ай бұрын
Wasafi champion mawe ju ya mawe
@DekelvaSoujaboy
@DekelvaSoujaboy 9 ай бұрын
Daaah unyama kama wote ❤❤❤ wangu wa Lubumbashi ni peni like zangu
@fundiseif1096
@fundiseif1096 9 ай бұрын
Kijitu sio poa umetisha sana dvoice Ginni 🔥🔥🔥🙌🙌🙌💪
@lodybrown3045
@lodybrown3045 9 ай бұрын
Tunao mkubali divoice king 🤴 of singeli tujuane kwa like 🎉
@DylvaSon
@DylvaSon 9 ай бұрын
Funga wew mkosa adabuu 😅
@lodybrown3045
@lodybrown3045 9 ай бұрын
@@DylvaSon kijitu si ndo wewe😂
@banangewanitila
@banangewanitila 9 ай бұрын
Good
@JIRANIOFFICIAL
@JIRANIOFFICIAL 9 ай бұрын
Mimi ni msanii pia ..na mara mingi mimi ukomenti kwa zile gomma kali kama hii hapa ya dugu yangu DVoice❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@banangewanitila
@banangewanitila 9 ай бұрын
Kweli
@AFRO-io5qp
@AFRO-io5qp 9 ай бұрын
WAKWANZA NIMIMI TOKA CONGO DRC 🇨🇩
@henrykenasende-rt4ly
@henrykenasende-rt4ly 9 ай бұрын
@KadasoMadaha
@KadasoMadaha 9 ай бұрын
Hit kabisa
@henrykenasende-rt4ly
@henrykenasende-rt4ly 9 ай бұрын
Naona leo wa Congo 🇨🇩 😂wameniwai💪 sana kila kona naona ni wa congo tu ok basi watu wa KENYA🇰🇪 BURUNDI 🇧🇮 TANZANIE 🇹🇿🇹🇿 gongeni like apo basi ✌️🖐️😜💔🙏 fasta tuwa honeshe
@banangewanitila
@banangewanitila 9 ай бұрын
Kweli
@Timotyres254
@Timotyres254 9 ай бұрын
Amazing job 👏👍
@BIGSTAROGTZ
@BIGSTAROGTZ 9 ай бұрын
Nice🎉🎉
@ChandeWisky-vr2ss
@ChandeWisky-vr2ss 9 ай бұрын
D sauti kwenye ubora wake
@Do-it-yourself_at_home
@Do-it-yourself_at_home 9 ай бұрын
Haya ndio mambo yako sasa
@JohnChedego
@JohnChedego 9 ай бұрын
nakubali vijitu wapo wengi sana na wanakera kisenge
@ExtaKomba
@ExtaKomba 9 ай бұрын
Kunakijitu kinapenda kusifia wake.zawatu mamae siku yake moja
@FaridaMusa-rr8wl
@FaridaMusa-rr8wl 9 ай бұрын
Noma sana nimependa hii
@jumamwadudu
@jumamwadudu 9 ай бұрын
D voice singeli anaeza namkubali
@NasriMohammed-yw7lp
@NasriMohammed-yw7lp 9 ай бұрын
Uzuri ni kwa upande wa singeli haina mambo mengi basi ameweza
@Kinungatv
@Kinungatv 9 ай бұрын
Kuna kijitu kimoja nlikiambia kije geto hakikutokea kimenikwaza na kunikera😄😄😄😄😄🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@philozithegreat888
@philozithegreat888 9 ай бұрын
😂😂
@Kinungatv
@Kinungatv 9 ай бұрын
2:17 ​@@philozithegreat888😄😄😄😄hatarii kimenikera kinyamaaa
@MaestroManitou-lu5wd
@MaestroManitou-lu5wd 9 ай бұрын
Burundi like zenu hapa
@Srkkarbasha830
@Srkkarbasha830 9 ай бұрын
Kunawasanii na msanii mdogo wangu Kijitu hit song
@MarihamSele
@MarihamSele 9 ай бұрын
Wewe ni zaidi ya jini eti juu mweupe miguuni unamibaka
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 8 ай бұрын
Hakuna nyimbo utauzia jina ra wasaf
@JosephKahungu
@JosephKahungu 9 ай бұрын
Moto sana king d voice
@NobethKaloli-q4w
@NobethKaloli-q4w 9 ай бұрын
Mbwaaaaaaa d voice
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 9 ай бұрын
Wcb hii nivurugu ngoma juyangoma
@MosessMaganga
@MosessMaganga 9 ай бұрын
Lek jaman tupendaneni
@allymasuke1543
@allymasuke1543 9 ай бұрын
Uish miak ming jamn naombn like zang kam unamkubal d voice ginni💓
@nangonga1991
@nangonga1991 9 ай бұрын
Yani wasafi apa mume sign utopolo.
@EgraMataya-xb5zw
@EgraMataya-xb5zw 8 ай бұрын
Oya unajua sana 🔥🔥🔥🔥🔥
@FaridaMusa-rr8wl
@FaridaMusa-rr8wl 9 ай бұрын
Kunasenge moja mtaan linakela
@wadakewake8474
@wadakewake8474 9 ай бұрын
Unangusha brand bro imba music Acha kelele tumia iyo chansi vizuri maneke usipo utajilaumu budae dogo
@MashazaEmpire
@MashazaEmpire 9 ай бұрын
Moto Sana 💯🔥🔥🔥🔥🚀
@banangewanitila
@banangewanitila 9 ай бұрын
Nzur brooo
@VenanceMganga
@VenanceMganga 9 ай бұрын
Dah kijan unazingua san
@Trestartz
@Trestartz 9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥This is D-Voice the one I knew And Know 💪💪💪💪💪💪💪💪
@lareineminah1353
@lareineminah1353 9 ай бұрын
Kijituuuuu kijituuuuuuuu🎉🎉🎉🎉
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 9 ай бұрын
Kijitu😊😊🇲🇿
@ReyQueen-hb5kx
@ReyQueen-hb5kx 9 ай бұрын
❤❤❤NAKUPENDA D VOICE
@Austynoofficiel2013
@Austynoofficiel2013 9 ай бұрын
Brother ❤❤❤❤❤
@derdeedomedia
@derdeedomedia 9 ай бұрын
Kazi Nzuri sana kaka.... Kenya🇰🇪 Imetufikia
@CAN.164
@CAN.164 9 ай бұрын
🎉🎉🎉 musiache kuja nahuku kwangu 🎉🎉🎉
@SifaEmma
@SifaEmma 4 ай бұрын
KONDE POPO 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇺🇲
@TitusMtawa
@TitusMtawa 9 ай бұрын
D voice one love from kenyan
@MasoudRashid-do1no
@MasoudRashid-do1no 9 ай бұрын
Broo anaweza👏
@saidissa4741
@saidissa4741 9 ай бұрын
Kaliiiiiiiiiiiiiiii
@BahatiLikuyi
@BahatiLikuyi 9 ай бұрын
Yaani D-bingwa huyuu .....🎉🎉nice..yaani anawasha anazima 😊😊😅
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 9 ай бұрын
Haya kijitu chanikere weweeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nkind1773
@nkind1773 9 ай бұрын
D voice ,,Huna baya mkuuu kazi kazii babake wataongea Sana we peleka motion🔥🔥
@MenyuAbekyakashindi
@MenyuAbekyakashindi 8 ай бұрын
Ipo sawa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 9 ай бұрын
Yani d voice katika singeli uachiwe baba🔥🔥🔥
@Barnizeboy
@Barnizeboy 9 ай бұрын
Kijitu👾
@havannythebwoy9209
@havannythebwoy9209 9 ай бұрын
Kama umeikubari kijitu nipeni like zangu
@HabaibaRashidi
@HabaibaRashidi 9 ай бұрын
Kaz kali
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 9 ай бұрын
Ngoma kali kusema ukweli
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 9 ай бұрын
Uyu ndo d 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 9 ай бұрын
Giniiii London boy
@meislive5234
@meislive5234 9 ай бұрын
King D voice wasegele ninoma 😂😂😂😂❤❤❤
@mohammededy7086
@mohammededy7086 9 ай бұрын
Hapa hakuna msanii
@Murisal
@Murisal 9 ай бұрын
Aaaah, ndo yale yale yakina sawadogo, unafiki sipendi
@redmistmusiq
@redmistmusiq 9 ай бұрын
Aaah dogo anarudia melodies.... it's too early for that bana
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx 9 ай бұрын
Nakubali sana D voice ❤❤❤❤ Ngoma Kali sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RukiaMwendo
@RukiaMwendo 9 ай бұрын
Uyu sasa ndio D voice tunae mjua sisi yule d voice wa bam bam yule d voice wa Wcb
@AbdullatiffRajin
@AbdullatiffRajin 9 ай бұрын
Hii kali so poa🔥🔥🔥
@Wildlif-animals
@Wildlif-animals 9 ай бұрын
Hapana kitu hapa wasafi mumepigwa
@omonya-ej7qy
@omonya-ej7qy 6 ай бұрын
D VOICE uliandika zoba aje andika kama hizo zingine
@raymodest159
@raymodest159 9 ай бұрын
😢unajua mpaka unajua square
@NadyaMusaa
@NadyaMusaa 9 ай бұрын
Nimependa hii
@MARYAM808ZING
@MARYAM808ZING 9 ай бұрын
Hii nyimbo tamu hatar
@CarlCare-yl4wi
@CarlCare-yl4wi 9 ай бұрын
We dogo Amna kitu unaharibu pei ya wçb
@pc_boy426
@pc_boy426 9 ай бұрын
🔥🔥🔥 d voice🙌🙌🙌
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 9 ай бұрын
The boy is still young he's still trying, let's give him more time
@Denatha_50
@Denatha_50 9 ай бұрын
Qumamake🔥🔥🔥 raha kama hizii mchawi bando tyu😁
@Rachivana
@Rachivana 8 ай бұрын
Big🔥🔥🔥💪
@MouzahMouzahman
@MouzahMouzahman 9 ай бұрын
Hiiihaaaaunaatariii😂😂😂hiimernda
@ZarryWinget-d7l
@ZarryWinget-d7l 9 ай бұрын
Nakubali kabix I like this song kijitu
@claudepaluku1842
@claudepaluku1842 8 ай бұрын
classic music if I can go from a very generous💥💥👌👌🇨🇩
@amipogba6203
@amipogba6203 9 ай бұрын
Anapenda kujibu kabla hajaulizwa 💥💥💥💪😁🇧🇮
@nibitangaalexine2180
@nibitangaalexine2180 9 ай бұрын
Wao nyimbo kari😂
@kidmAnwhiz
@kidmAnwhiz 9 ай бұрын
LONDON BOY💥
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 9 ай бұрын
Big up❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 9 ай бұрын
Ambao mnakubali D voice tujuane Kwa Like
@ZainabuMangala
@ZainabuMangala 9 ай бұрын
Noma
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi 9 ай бұрын
Nice one
@Shemkai_tz
@Shemkai_tz 9 ай бұрын
Nomaaaaaa
@paulinanduku2748
@paulinanduku2748 9 ай бұрын
Noma sana
@ReyQueen-hb5kx
@ReyQueen-hb5kx 9 ай бұрын
Noma sama
@shunnyboyclassicofficial
@shunnyboyclassicofficial 9 ай бұрын
Hae broo mm nakusupport sana na nafuatilia mziki wako sana naomba tu pia mm unisaidie hapa na jiita jay izo na napiga love songs Initaapreciet your support
@Assab3167-j3d
@Assab3167-j3d 9 ай бұрын
Kali
@josephatmushi1140
@josephatmushi1140 9 ай бұрын
Ameimba vibaya kupita maelezo ukweli kusema
@Qarim-kn7by
@Qarim-kn7by 9 ай бұрын
kweny singel ndo unapatiag sanaa
@SefulukasKamsuku
@SefulukasKamsuku 9 ай бұрын
Kama unamkubali d.voice gonga like hapa
@chidi_don
@chidi_don 9 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana
@mamdecute
@mamdecute 9 ай бұрын
kama umerudia zaid ya mara moja nipe like 👉👉maana utakuwa umeipenda hiyooooo👌💣😜😜
@GodloveSkawa
@GodloveSkawa 9 ай бұрын
Hakuna chamaana ulicho imba hapa mwamba
D Voice - Mtamu (Official Music Video)
3:41
D Voice
Рет қаралды 1,1 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
TT Comedian
Рет қаралды 7 МЛН
D VOICE ajibu KUHUSISHWA KIMAPENZI NA LULU DIVA, 'SHOGA YAKE'
4:54
Maxaa Ka Badali Kartaa
12:39
Sharma Boy
Рет қаралды 235 М.
Rayvanny Ft Alikiba - Naoa (Official Music Video)
3:26
Rayvanny
Рет қаралды 1,6 МЛН
D voice Ex wangu offical Video HD😭rest in peace boss msuba
4:18
D Voice - Tisheti Yangu (Official Music Video)
3:42
D Voice
Рет қаралды 329 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН