MPAKA NYUMBANI ALIPOZALIWA MSANII D VOICE/WAZAZI WAKE WAFUNGUKA MAISHA MAGUMU WALIYOPITIA 'HURUMA'

  Рет қаралды 98,735

Lokoma Tv

Lokoma Tv

Күн бұрын

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Пікірлер: 228
@kadengekitsao3885
@kadengekitsao3885 9 ай бұрын
hii familia inanifurahisha wallahi, wako tu kimoja vizuri, much love 😍
@ummymuya.2060
@ummymuya.2060 5 ай бұрын
Daah, mtihani kweli. Yaani mzazi anachochea moto hata hamuhurumii mwanae! M/Mungu awakengeushe kw kweli... Mtihani!
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 10 ай бұрын
Nimependa haya mazingira ya mtaani raha watu kukaa nje majirani wallahi napenda nimemis mambo hayo mkataa kwao ni mtumwa from uk 🇬🇧
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 9 ай бұрын
Dada please naomb namba yko nimekupend
@qaisomarmunshid8934
@qaisomarmunshid8934 9 ай бұрын
Rudi home dada
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 9 ай бұрын
@@qaisomarmunshid8934 In shaa allah nakuja mwakani tukijaaliwa lazima kuja home wazee wwtu washakuwa watuwazima lakini raha maisha ya uswahilini nimazuri sana asikwambie mtu umoja ni nguvu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 9 ай бұрын
@@MahraMansoor5969❤ Ni kweli
@Boaz22
@Boaz22 9 ай бұрын
We inaelekea ulikua mmbea wa mtaa😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 10 ай бұрын
D voice anafana na babake mzazi manshallah Alhamdullah 😂🙏
@irenembura8045
@irenembura8045 10 ай бұрын
Jamani hongereni Wazazi!! Mama pambe endelea kuwa shupavu❤
@aishahamisi2390
@aishahamisi2390 7 ай бұрын
Mama unafuraha ya upotofu wa umma wakati mwanao anaisoma Quran MaashaAllah,ebu angalia upande mwengine wa dini jamani
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
Mama nimempenda bure anachekesha kama Asha Boko wanafanana sana.❤❤❤❤❤❤
@Iam-datuu
@Iam-datuu 10 ай бұрын
Nimempenda sana kaka kuongea vizur sana yuko proudy sana na mdogo wake
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 ай бұрын
Mungu amulinde Dvoice inshaaAllah
@ChunaChuna-vg8cj
@ChunaChuna-vg8cj 8 ай бұрын
Ameen
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 10 ай бұрын
Nimempenda ma mdogo, yupo smart sana.
@HassanHassan-sr3fq
@HassanHassan-sr3fq 9 ай бұрын
Hata ww nimekipenda Mariam me Niko Zanzibar love u
@user-ut6we6lb9t
@user-ut6we6lb9t 10 ай бұрын
Safi sana. Familia ya uswazi lakini inazungumza vizuri. Dogo ana kipaji haswa
@jamesnzau4728
@jamesnzau4728 9 ай бұрын
Much love from Kenya
@LoveAron
@LoveAron 10 ай бұрын
Family ina jitambua nice familia 😍👌🔥🔥🔥
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 9 ай бұрын
Mama etu pambee.... 🔥👌♥️♥️
@user-ds6me1eh7n
@user-ds6me1eh7n 9 ай бұрын
Hukuweza kulala kwa kuigiya kwenye jahahanam😢😢mtihani wallahi .na mungu akuiomba baya hachelewi kukupa kabisa ila wema ndo huchelewa😢
@EshaSalim-l3q
@EshaSalim-l3q 5 ай бұрын
Mungu awaongoe family nzima wanao msapot D
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 10 ай бұрын
😀😀😀😀ukoo wote wameitana barazani daah 😀😀😀hii ni raha sana😀😀
@JophasJohn-oh8zu
@JophasJohn-oh8zu 10 ай бұрын
Nimecheka hatari
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 10 ай бұрын
@@JophasJohn-oh8zu 😂😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 10 ай бұрын
Heeee ndugu wamejipanga😂😂😂chezea daimondi weeee😅😅😅
@NNn-mj2pb
@NNn-mj2pb 10 ай бұрын
😂😂😂
@happychilambo1883
@happychilambo1883 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 famchezo nn
@rukyahassansuleiman5977
@rukyahassansuleiman5977 8 ай бұрын
Nimewapenda wazazi wanazungumza vizuri na D kafanana sn baba
@rehemasalim2720
@rehemasalim2720 10 ай бұрын
Hongera mama nimefurahi kuona ume furahi, ushauri wangu usije kuwacha kuvaa hilo vazi ukaanza mawigi
@FevkoCan
@FevkoCan 10 ай бұрын
Honger mama❤❤❤❤
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 9 ай бұрын
Mashaallah family nzuri tuu. Mungu akuhifadhini.
@12322879
@12322879 9 ай бұрын
Mtangazaji yuko vizuri 💪
@ChunaChuna-vg8cj
@ChunaChuna-vg8cj 8 ай бұрын
D voice amefanana na babake sana
@hasanmushi-ck4ii
@hasanmushi-ck4ii 10 ай бұрын
Kaka unafanana na mdogo wk hongera
@imandamahamis5905
@imandamahamis5905 9 ай бұрын
Safi mama mwanao ako kazi kutafuta ugali apo umesema mamaa❤
@LuluShayo-o6e
@LuluShayo-o6e 10 ай бұрын
Baba you very smart daaa hongera
@mashalaizer3152
@mashalaizer3152 10 ай бұрын
Mama nampenda
@salma_6j975
@salma_6j975 10 ай бұрын
Mama anaonekana mikorogo on fleek
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 10 ай бұрын
Content nzuri maswali yakiwaki
@fedrickaloyce9660
@fedrickaloyce9660 10 ай бұрын
Maswali mbona yako vizuri
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 10 ай бұрын
family wote wanajuwa kijielezea Sana nimependa Sana
@ShukuruJulliasi-gj1pw
@ShukuruJulliasi-gj1pw 10 ай бұрын
Mom ndo MTU pekeke ana muombe mtt wake dua za kweli
@Mohaa4309
@Mohaa4309 10 ай бұрын
Kwakweli Wallah, mom first
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 10 ай бұрын
Sanaaa
@user-wu1qj6nk1y
@user-wu1qj6nk1y 9 ай бұрын
Acheni kutunyanyapaa wababa kwani cc hatuwaombei watoto wetu
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 8 ай бұрын
Safi Sana mtangazi na waliohojiwa mmeenda poa sana
@ZanubaAlly
@ZanubaAlly 5 ай бұрын
Love family nmewapenda buree
@MapeKhamis
@MapeKhamis 10 ай бұрын
Mash allah apo kwny Quran
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 9 ай бұрын
Napenda sana mambo yakukaa ije uku marekani amna kukaa ije uko rahaa kweli
@HaulaSaid-p5p
@HaulaSaid-p5p 6 ай бұрын
Nd wale wale hawa huyu mama baada ya kumlingania mwanae anafurahia kuimba mh wewe mama kufa kupo karibu achana na hayo mambo
@dottowache5149
@dottowache5149 10 ай бұрын
Mama wa Town uyo lazima aongee kihuni si unamuona mama mwenywe nyama nyingi uyo bdo kina anko shamte wa mchongo wajitokeze tu hpo kwa mama d voice
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 10 ай бұрын
Miwani mikubwa😂😂 km masihara tumeshakua mastar
@bigletterletter3113
@bigletterletter3113 10 ай бұрын
Glória a Deus 🎉🎉🎉
@oyay2821
@oyay2821 10 ай бұрын
Furaha sasa, mkataba ukiisha ni kilio
@uwimana6533
@uwimana6533 10 ай бұрын
Hata ibrah anakilio kikubwa anatamani kuondoka 😂😂😂😂
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 10 ай бұрын
Amiin ya rabby
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 10 ай бұрын
Wote mnaishi hapo au mumeitana😅😅
@hebamuhammad7278
@hebamuhammad7278 6 ай бұрын
Allahu atuongoze mama yangu hukulala. 😢 Inalilah walna ilaihi rajiun
@fbr5113
@fbr5113 10 ай бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu. Ila kijana kapambana kumbe tangu shike ya msingi alikuwa mwana muziki kitaano. Mungu azidi kumfungulia inshaallah
@DoreenDaniel-hd7kv
@DoreenDaniel-hd7kv 10 ай бұрын
Kabis
@MwanamvuaAli-o4e
@MwanamvuaAli-o4e 10 ай бұрын
Subhanna Allah
@zeddybby8947
@zeddybby8947 10 ай бұрын
Kavaa miwani sababu kaungua na mkorogo😂😂😂😂
@husnaarafat2725
@husnaarafat2725 10 ай бұрын
Acha ushari😂😂😂😂
@roseraymond4954
@roseraymond4954 10 ай бұрын
Chefuuu wivu ty
@ROSSMUCH-kr3xn
@ROSSMUCH-kr3xn 9 ай бұрын
To God b de 🎉❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 10 ай бұрын
Mashaallah 🎉
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 9 ай бұрын
Mamdogo hana, baya 😂❤🔥👌
@CalvinMwacha
@CalvinMwacha 7 ай бұрын
Mungu Kwanzaa Mentone baadae❤️❤️🙏🙏
@EstherNabudde
@EstherNabudde 10 ай бұрын
I come in I hope diamond has not sign this guy for death like others instead of happiness 😂😂😂😂😂
@hakimbachani1508
@hakimbachani1508 10 ай бұрын
Mom❤❤❤
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 10 ай бұрын
Mama akivaa miwani na akiongea kama shilole🤣🤣
@sifatiiman
@sifatiiman 10 ай бұрын
😂umeona mi nasikia sauti ya shilole kabisa
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Mwambie avue miwani ndo nini na miwani sasa
@kadengekitsao3885
@kadengekitsao3885 9 ай бұрын
kaka amejibu vizuri sana,, yani anabusara
@abubakarmajata6714
@abubakarmajata6714 10 ай бұрын
Wabongo bhna!! Sku zote mlikuwa wap hamjaenda kuwahoj wazaz wke had muende leo baada ya d voice kusajiliwa wasaf?
@elwinmlaponi1084
@elwinmlaponi1084 10 ай бұрын
Sasa wakahoji Nini bro
@QueenMishy
@QueenMishy 10 ай бұрын
Ndio ivyo unafik mwing sana n kma. Walkua hawamuon
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 9 ай бұрын
Si kashakuwa star ujue wasaf rebo kubwa San
@samsonjabu4056
@samsonjabu4056 10 ай бұрын
Kaka mtu anaongea vzr kuliko mama yake mama anaongea kihuni sana
@Official83640
@Official83640 10 ай бұрын
Kaka muigizaji huyo sio muoga wa Camera ndy maana ananyooka
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 10 ай бұрын
Mama yalo kafa nini usimuongelee hivi mama wa mwenzio atakama wako ka rip.futa kauli
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 10 ай бұрын
😅😂😂😂
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Ajaongea kihuni, Mama ameongea kiushakaji kulingana na alivyowalea na mazingira anayoishi...
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
​@@tanzcanmediatv4473Bro. Umefika mbl hata wewe umekosea.
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 10 ай бұрын
Mashaalh baba anafanana mwanae
@iambaizo
@iambaizo 10 ай бұрын
Mabraza kaka wake 😂😂
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 10 ай бұрын
mhhh mama kaungua uso na creem hatari
@MrCharls-b8m
@MrCharls-b8m 10 ай бұрын
acha kumtoa kasoro binadam mwenzio maana hatawewe unakasoro
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 10 ай бұрын
Kuwen na heshima Basi japo kidogo
@edinakazingo8079
@edinakazingo8079 9 ай бұрын
Mashallah
@fitinajustine7801
@fitinajustine7801 10 ай бұрын
Jamani si mmpe kiti mtangazaji?
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 10 ай бұрын
Sub-hanallah!!!!!' Mama unafurahi mwanao kufanya mambo machafu ya Kidunia'???!!!' Tumrudieni ALLAH Ndugu zangu😭😭😭😭😭
@nagireocram1289
@nagireocram1289 9 ай бұрын
uwe na akiba ya maneno
@kautharmahmoud9225
@kautharmahmoud9225 10 ай бұрын
Sas hapo watu wote watamuona yey ndo mtu waliokuwa wanamkataa now watamshobokea pamban D VOICE
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 9 ай бұрын
Jineeeeee 😂😂😂😂😅😅😅
@felisterlotamutunga2015
@felisterlotamutunga2015 9 ай бұрын
Nikweli mama hata miwani pia unaelekea huko kwa mama dangote
@pendoyese4452
@pendoyese4452 9 ай бұрын
Baba yupo na dam kali hatari anafanana sana na mwanae
@edwadjulias5460
@edwadjulias5460 10 ай бұрын
Mbona yeye kasema kaishia fm 5
@dankhany3385
@dankhany3385 10 ай бұрын
mama mdogo nimekukubali
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 10 ай бұрын
Ala! Hiyo ndo bigijii ya De Voice!?
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 10 ай бұрын
Mama mswaili 😂
@TaarabChannel
@TaarabChannel 10 ай бұрын
Mpitie na kwangu jamani
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 10 ай бұрын
Aya bana
@karimjuma4019
@karimjuma4019 9 ай бұрын
Uyu mama mwingi sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
MAMA ongera sana.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 10 ай бұрын
Mambo ya dunia
@amran228
@amran228 4 ай бұрын
Huyo mdada ukutani ana ngongingo hatari
@subirajohn728
@subirajohn728 10 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@saumbliz8983
@saumbliz8983 10 ай бұрын
Kafanana na babake nyie hadi raha
@MsodokiSokoine-k2x
@MsodokiSokoine-k2x 10 ай бұрын
Wewe jamaa Mumbai sana
@owenmutale8686
@owenmutale8686 10 ай бұрын
Badae oh mkataba umemnyonya
@happymwanyelele8576
@happymwanyelele8576 10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nasranguruwe
@nasranguruwe 10 ай бұрын
Awa wazazi ilitakiwa wasionekane alaka ivi 😊
@JennyJma
@JennyJma 10 ай бұрын
Kabisaa wamefanya haraka kuonekana
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 10 ай бұрын
Mama wa kishua
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 10 ай бұрын
Mtangazaji mbna unakomalia issue ya mkataba,we chawa waupande wa pili nn 🤔🤔
@Aysha708
@Aysha708 7 ай бұрын
Sijui kwann machozi yananitoka
@WeddyBwayTz
@WeddyBwayTz 6 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@neemachavala6553
@neemachavala6553 10 ай бұрын
mbona hawampi kiti mgen
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 10 ай бұрын
Kumbe ni wa kiume sasa mbona alivaa sketi subhannallah
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 10 ай бұрын
Acha ujinga!!! Kwani kanzu si kama dera😅😅
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 10 ай бұрын
@@mamboshepea8888 hayawani wewe Kuna kanzu yakubana matako
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 10 ай бұрын
@@majomamajoma8776 Tizama kanzu za vijana wa sasa acha matuai...
@zainabumzashi4535
@zainabumzashi4535 10 ай бұрын
Kumekucha muacheni kijana apambane at akivaa chupi hamuachi😏😏
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 10 ай бұрын
@@zainabumzashi4535 basi mwambie atembee uchi
@gracerichard8145
@gracerichard8145 10 ай бұрын
Twende nyuma tuludi hata kama ni ww lazma ufrahi mtoto kufanikiwa weee chezea life ww🤍
@Atb300
@Atb300 10 ай бұрын
D ameongopa eti kafika kidato cha tano😂😂
@fatumahashimmcheni9610
@fatumahashimmcheni9610 10 ай бұрын
Kafika uyu
@ZainabuAbdallah-iw3cc
@ZainabuAbdallah-iw3cc 6 ай бұрын
🎉❤🎉🎉
@SadiHumudi
@SadiHumudi 10 ай бұрын
Mnapenda umbeya
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 10 ай бұрын
Mwisho wa siku maokoto yakiingia utackia d voice ananyonywa
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 10 ай бұрын
Na wakiwa na maisha mazuri wataanza kunata familia yote hata hao majirani mtawaletea nyodo na maringo
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@faridaalshabibi9226
@faridaalshabibi9226 10 ай бұрын
Okoo wote wako Najee Mamdogo hamna kiti
@MasaweKiyage
@MasaweKiyage 10 ай бұрын
Tiani mama mtu ushafika wakati mda WA kula maisha
@dottowache5149
@dottowache5149 10 ай бұрын
Yule dada wa pembeni vipi mbona aonyeshi ushilikiano au anadai maana kabinyau
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 10 ай бұрын
Ataki shobo
@IbrahimSalum-v5k
@IbrahimSalum-v5k 10 ай бұрын
Mama wa twn
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt 10 ай бұрын
Nikweli uyu sio mama wa d voice waongo awa mbwa
@user-tv6jz8fq8x
@user-tv6jz8fq8x 10 ай бұрын
Unauwakika usiongee usilo lijua unataka awe mamayake ww
@Aleydon6don6
@Aleydon6don6 10 ай бұрын
👍
@salummpala4176
@salummpala4176 9 ай бұрын
Uyu mama fujo isiyoumiza😢😢
@rahimaidd
@rahimaidd 10 ай бұрын
Kumbe kafanana na baba yake hadi upole
@MohHabibu
@MohHabibu 10 ай бұрын
Nimejikuta nachk kwa hio family ilivyo jipqnga
@happychilambo1883
@happychilambo1883 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Bila uoga Nay wa Mitego achanwa na D Voice/ Dulla Makabila sio chizi
5:46
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Mbosso
Рет қаралды 4,3 МЛН
DIANA BAHATIS NANNIES HILARIOUS NARUDI SOKO DANCE CHALLENGE.
16:26
DIANA BAHATI
Рет қаралды 480 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН