Straight Path Association Straight Path Da'wah - Kenya +254722600533 / +254700716677 Whatsapp: +254777600777
Пікірлер: 159
@achanifumos10933 жыл бұрын
Shaikh ramadhwan kuria bin kaguo....Allah akujaalie IKHLASW akulipe majaza mema na inshaAllah watoto wetu wafuate nyayo zenu...amiin
@skjjsj18893 жыл бұрын
Ma sha allah sheikh ramadhan Unafikisha ujumbe vzr ma sha allah Allah akulipe kheir ktk dunia na akhera Allah akulipe. Pepo
@thomasoloka35502 жыл бұрын
Mashallah tabaarakallah ramadhana Allah awabarik
@khalfanifarisy74454 жыл бұрын
Ukristo biashara tu ya wazungu. Imani ya ki Freemason. Wamejawa na ubishi na matusi dhidi ya Uislamu
@davismwamachi11453 жыл бұрын
Tumsifu YESU mtumishi,je,waganga wanapotumia quran kupigwa ramli,hiyo si biashara??Kuna mashehe hutoa marohani kwa kusoma Quran,huwa hawaoni bure,hulipwa,je hiyo si biashara? watoto huenda madrasa,huwa hawaendi bure hununua vitabu,makalamu,pia ustad hulipwa,je si biashara hiyo, (Warumi 2:1).. ukitaja ufreemason,waimbaji taswida hasaa mzee... nadhani unamjua ni freemason ,diamond,ni mkristo??kina zuchu,hadija ni wakristo??Barikiwa Sana mtumishi.
@jacobponga15402 жыл бұрын
Masha Allah, Jazakallahu kheri ustadh Ramadhani 👍
@aliabdallah84562 жыл бұрын
Hayo maandishi yanayotokea yanatukera kwa sababu hao mnaojadili nao hawaonekani vizuri twaomba masheikh wetu hayo maandishi kwa siku nyingine myaondoe
@khalifaathuman68754 жыл бұрын
Mashallah watu wanaendelea kupata ukweli kuhusu dini ya Uislamu kama dini ya haki. Hii ni dalili tosha kuwa wahubiri wa kikiristo wamewapoteza watu wengi sana. Inshallah watu hawa watapata nuru.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ni kweli watu wengi wako gizani
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Sheikh Ramadhanu maashaa Allah naona unamfundisha kijana Grammar nahiyo ndio Raha yakuwa waislamu Allah anatujuza mengi Alhamdulillah.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@mohamedtv20 Жыл бұрын
Mashaallh 💕
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah, nasikia raha, mwenyezi Mungu akuzidishie umri na aendelee kumuongoza katika njia iliyonyooka
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Atuzidishie sote, ameen
@mohammadalfani80043 жыл бұрын
Mungu akupe umri zaidi
@iddyally44394 жыл бұрын
Allah awajalie sana mashekh wetu kazi nzuri akulindeni pamoja na familia zenu endeleeni msivunjike moyo Allah yupo pamoja nasi ishaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen nawe pia
@jnrhassan46294 жыл бұрын
Walahi sheikh ramadhan inshAllah akufanyiwe wepesi katika Dunia na akhera maana people are soo iliterate hapa .fikisha ujumbe wa Allah
@ramadhankuria92974 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen sote pamoja
@saidhamad5333 жыл бұрын
Wakenya kiswahili chao cha mkato sana kwa alietokea tz akizungumza na mkenya anaweza ona hajibiwi vizuri
@mbarakambuguni64903 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu shekh
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Mashaallah. Shkh Ramadhani Allah.Akulipe Yakheri. Hapa Dunian na Akhra pia..
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, nawe pia Allah akuhifadhi
@davismwamachi11453 жыл бұрын
Tumsifu mtumishi,UTATU...john 1:1-14,hapo Mwanzo kulikuweko na Neno naye Neno alikuwa kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu..mpendwa,ukiwa rohoni utanielewa...1:14 huyu Neno alifanyika mwili,akaka kwetu,tukauona utukufu wake Kama wa mwana pekee,atokaye kwa Baba,, mpendwa baba ni Mungu, MUNGU Ni Neno, Neno ni mwana,,,Tena John14:8-9(anayemuona Yesu,anamuona Baba....john10:30,,Yesu mwenye asema Mimi na baba ni mmoja... ikiwa hutaweza kuelewa iShara zilizowazi Basi,hata Quran inawatambua quran6:124,,ikiwa iShara zilizoandikwa vitabu hamziamini,,je ,kwa mujib ya 6:124,zile ambazo hazikuandikwa zikiwajia mtaziamini???Quran2:26,Mungu hawekewi mipaka na wanadamu anaweza toa iShara ama mfano wote hata uliomzidi yeye..anasema hata mbu,,ikiwa quran20:9-11,alikuja mfano wa moto mkaamini,John3:16 amekuja mfano wa mwanadamu hamuamini,je akija mfano wa mbu mtaamini???UTATU,,Kama ulikuwa na Shaka, mpendwa UTATU uko katika biblia,,, mpendwa, Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho mtakatifu ukimkubali kuongozwa na Roho mtakatifu kusoma maandiko,hata iShara,ambazo haziko kitabu I utaziamini.Amina barikiweni Sana.. Amina.
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
MASHA ALLAH ! Mkono kwa mkono hadi peponi Amin Amin
@salimamry94324 жыл бұрын
Allah akbar Alhamdulilah kwa neema ya uislaam. Allah awazidishie kheri na nguvu ya katika kueneza nuru ya uislaam.
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, shukran kwa dua zako.
@abdulhumood87794 жыл бұрын
Mashaallah mungu atakufanyia wepesi inshaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen na kila mmoja anayeunga mkono kazi hii
@ramadhanially52273 жыл бұрын
Mashaallh allh akujalie ramadhan wajina
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri sana kwa ajili ya Allah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@BURHANKENYA4 жыл бұрын
Kazi Kama kawaida
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah da'waa mzuri sana Allah awajaze kheri kwa kazi take hii
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
Allahu Akbaru 🤲🤲🤲
@salimm5903 жыл бұрын
Job is that you have the right thing to do in yo self and I y
@abasisuma91523 жыл бұрын
May Allah blessing you
@BAUCHADAAWAH2 жыл бұрын
me nawauliza wakristo yesu aliingia msikitini (luka 4.16) kwanini wakristo wanaingia kanisani (mathayo 11.29 hadi 30) na wakati (methali 9.1-10) tuwaulize kanisani mnaenda kufanya nini ( amos 5.18-23)
@najmakhamis80523 жыл бұрын
Kwly tunakipinda iki kipindi allah akutie nguvu zaid
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Naam tuko nanyi asante kazi Allah alinde kabisa kila lakheri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, jazak Allahu kheiran
@ESM14342 жыл бұрын
Una unachofunza but mobbing them.
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Wallaikum salam warahmatullaih wabaraakatuh ,
@salimdaawah1234 жыл бұрын
Mashaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Tabaarak Allah
@allymussa4646 Жыл бұрын
Shehe Wang mungu akupe maisha marefu.
@jasminmohamed61454 жыл бұрын
Masha Allah
@abdihakimmohamed73494 жыл бұрын
Go ahead Shek Allah will reward you the day here after insha Allah
@salimm5903 жыл бұрын
Ok I don’t have a whole lot to do it I ain’t
@abdur-rahmanmuhammad28984 жыл бұрын
Wa-alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh Jazak'Allaahu khayran kwa kazi nzuri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@raelmonda18784 жыл бұрын
Mashallah kwa kazi nzuri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@athumankitsanze85123 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awalipe malipo ya juu.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Atulipe sote ameen
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
MashaAllah mungu awalipe jaza awape subra
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@salamamohamed67624 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran
@hassanrajab33583 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@mutomubaya3 жыл бұрын
Huwezi kuokoka (na moto wa Akhera) ila kwa Kumuamini Allah ( kwamba yeye pekee ndiye Mola wa Ulimwengu ) na uamini kwamba hana mshirika. Na.uamini wote aliowatuma, (Mutume na Ma Nabii) kisha utende mema. Kwa hivyo tusijidanganye kwamba tukitenda mema tutaokoka bila kujali kuhusu Imaan.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Ni kweli
@abdirahmanhassan1034 жыл бұрын
MashaAllah Sheikhuna Ramadan.Please use a mask becouse you r sharing the mike with so many people. May ALLah protect you fii dunya wal akhira InshaAllah.Ime eleweka na una fanya kazi nzuri.JzakaAllah..
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Thanks for caring
@davismwamachi11453 жыл бұрын
Tumsifu YESU mtumishi, mahali watu wanaongea kuhusu Mungu wetu Yesu Kristo,unataja sanamu?sanamu haiwezi kukuprotekt,ni Yesu Kristo pekee..ukimwamini Mungu wetu Yesu Kristo,hutaogopa korona..zaburi 91:5-10..je, korona si tauni??? zaburi 146:3-10...Amina barikiwa Sana mtumishi
@giloogilo65893 жыл бұрын
Warabu na Wazungu wametawala Wafikiri kwa kila Njia.
@mohammadalfani80043 жыл бұрын
Jazakah Allah sheikh
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Masha"Allah masheik mmesoma
@fardoshnassor78474 жыл бұрын
Masha Allah mungu azidi kuwapa moyo
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, baarak Allahu fiik
@safimabelle82304 жыл бұрын
Ma sha Allah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran
@fatumaedin44023 жыл бұрын
Mashallah
@hamadinyawe18164 жыл бұрын
Ushauri mukiwasilimisha msiwaache hivo muwapange mahali mkutane nao
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Huwa twafanya
@hamadinyawe18164 жыл бұрын
MashaAllah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ESM14342 жыл бұрын
Shekhi
@rahimasaid46693 жыл бұрын
Mashaallah...Sheikh kazi nzr lakini muwaite msikitini hao kuwafundisha dini ... msiwaache
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
InshaAllah misikiti ikifunguliwa
@ESM14342 жыл бұрын
How are is both singular and plural
@abdiazizmoahmed33954 жыл бұрын
Mesha Allah Baraka lahu
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan brother
@hanifaalbalushi24834 жыл бұрын
MadhaAllah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ESM14342 жыл бұрын
Mbona unataka wakusiklize wewe tu
@omargbabaomar20044 жыл бұрын
Masha Allah sheikh
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@njiliyawakatinw27513 жыл бұрын
Ramadhan riverbank ndio nyumban
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Tutawatembelea tena Inshallah
@zungizenge38483 жыл бұрын
Sheikh we unapoteza.wakati wanmbie harakaharaka hata ina booo
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Mambo ni taratibu
@jamespain99413 жыл бұрын
unasemaje
@mhjgkgjfjzuzu95453 жыл бұрын
MashaaAllah
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@montenomontana29353 жыл бұрын
Wale wanao silimu wanafaa kupata elimu ya dini...kwani wakiachwa watarudi nyuma bula kupata kufahamu dini vizuri...wapate madrasa
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Wanasoma lakini kumbuka hii ni kazi yetu sote, je utasaidia upande upi katika hilo?
@Mamursal54 жыл бұрын
ManshaAllah manshaAllah. We can support the channel may be if you guys need help?
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Thanks Mohamed Mursal. You are absolutely correct, kindly reach us though our numbers on the screen inshallah
@jangombeboys45363 жыл бұрын
jangombeboys1999
@amaa63532 жыл бұрын
English imekua kizungumkuti
@ESM14342 жыл бұрын
I love the man explaining trinity
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
You should not be proud of trinity but oneness. The first commandment!!!
@ESM14342 жыл бұрын
Sheikh it's like me kukuambia ukuwe mkristu haikuji. Kwasababu uko na imani yako. Nami pia kuna nachoamini kubadilika si rahisi. Ijapokuwa dini ni daraja tu lakutufanya tumfikie muumba. Uwe Muslim or mkristu siyo ticket. If matendo yako ni mabaya utabakia bendera fuata upepo in the religion. Ukisindikizia wenzako tu. Good deeds kwanza. Even pagan can see God first before us belivers. I dont encourage paganism but let show our faith in deeds not words.hata waamin wako waambie matendo mema kwanza. Kama akiniona mimi mkristu ananiona kichechefu hapo hamna dhawabu hata angesali swala tano .
@pekeetv3 жыл бұрын
Mashaallah mashek wetu ALLAH atawalipa Amn Subscribe my chanal PEKEE TV click picha ya Pekee tv itakupeleka moja kwa moja kwenye KZbin chanal ahsante sana
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran sana, kumbuka kushare
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Sasa hawa wenzetu mbona hawaeleweki!!ikiwa aliekuja na habari za kumzaa yesu ni malaika mbona mtoto wasiseme kua ni mtoto wa malaika?
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hapo sasa
@alimaina65474 жыл бұрын
Mashaallah, may Allah guide to the straight path inshaallah 👍
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@davismwamachi11453 жыл бұрын
Tumsifu YESU mtumishi fatma,,Quran 2:253 je,wewe ndiwe huelewi ama hao (Romans 2:1),, Quran haisemi atazaliwa kwa uwezo wa malaika Bali Roho takatifu... quran3:45-55,,,hapa pia inasema,,malaika alitumwa,kusema kuwa mtoto atazaliwa kwa uwezo wa Roho wa Mungu... john 3:1-6...kinachozaliwa na Roho ni Roho,,ikiwa Yesu alizaliwa kwa uweza wa ROHO so Yeye ni Roho.. Mungu ni Roho,,Yesu Baba yake ni Roho,,,so Mungu jina lake ni Yesu..Amina dada fatma, barikiwa Sana.
@davismwamachi11453 жыл бұрын
Fatma, Mungu haoi,je,Yesu alioa?? Mungu hatendi dhambi,je,Yesu alitenda dhambi??nyie mwasema moha ni mtume wa mwisho,ikiwa kwenu mwasema Yesu ni mtume,na yeye ndiye atakaye kuja kumuua almasihi dajal,hapo unaona mtume wa mwisho ni Nani!?hii inamaanisha ikiwa Yesu ni dalili ya kiama so moha si mtume wa mwisho...katika riadha,wawili wanapokimbia,wakwanza alishindwa na wapili,aliyemshinda wakwanza huwa ndiye mshindi...ikiwa Yesu atarudi Tena,moha si mitume wa mwisho,,,(Marko 10:31)najua hutanielewa but ukiwa rohoni utanielewa...