Maswali na majibu katika kijiwe cha Shule ya Uhuru Dar

  Рет қаралды 18,308

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 707
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
Mwenye macho hambiwi tazama..twawapenda wahadhiri wetu wa kislamu hamubahatishi wala hamutikisiki
@aishaally2730
@aishaally2730 3 жыл бұрын
Am so happy umefika tz mm nakufatilia sana ALLAH awabarik
@nooroman2535
@nooroman2535 3 жыл бұрын
Shelkh Ramadhani shukrani kwakufika kwetu Tanzania karibu sana
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Awajalie kila la kheri katika kazi yenu Ma ustadh yetu
@bakari52
@bakari52 Жыл бұрын
Masha Allah Mungu akuzidishie
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Nimeipenda hiii ulipo fika dar ru ssalam shekhe ramadhan kulya Allah atufishe ukiwa miongoni mwa waja wema pamoja na sisi inshallah
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadhani Allah akuzidishie by Imamu Minihaji From comores
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 жыл бұрын
Masshaa allah hongera sana shekh ramadhani kulia bini kaguo
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 жыл бұрын
Hii safi sana shekh kutuletea tanzania
@mariamkamau7301
@mariamkamau7301 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah nimefurahi umefika home kwetu kwa ajiri ya dawa Allah akulipe kwa juhudi zako na akujarie afya ili uzidi kuwaonyesha haki waisio jua dini ya haki Nawapenda sana wahubiri wa dini ya kiislamu Allah awalipe kwa kheri mnayoifanya
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
MSOMAJI BIG UP MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA.UMEOKOA JAHAZI.
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
Swadaqta shekh ibrahim umefafanua vyema😄😄😄😄💯fil💯👌🇰🇪🇰🇪
@hassangaucho4084
@hassangaucho4084 3 жыл бұрын
Masha ALLAH , MUNGU awabarik sana mashekh zangu na kila mwenye kuifaham haki basi aifate , ilo ndio lengo la hi mijadala na sio kufurahishana kwa hoja.
@odagodan4339
@odagodan4339 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Straight Path Daawa, sisi ni wanafunzi tu
@alliymust4959
@alliymust4959 3 жыл бұрын
Mashaallah ,mchungaji na mashehe wangu. Namzidi kuendelea na kazi ya kuuelewesha umma au waumini wamungu inshaallah. Nimeipenda Sana'a sanaa
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu ramadhani na sheikh Ibrahim kufika Dar salama mungu awaifadhi nyote inshaallah
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Shaikh ibrahim HOYEEEE.....Allah akuzidishie ilmu na ujasiri na afya akuepushe na maadui na mahasidi....Allah awaongoze ndugu zetu wacristo wanapoina haki waikubali wasiikimbie
@andallaathman3856
@andallaathman3856 3 жыл бұрын
Hoyeee mashaa llah takbir
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Masha Allah, mada nzuri
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
kwa ajili hio mapepo wachafu na wakristo wote kitu kimoja wanamuita Yesu mwana wa Mungu...imani hio inaenda sawiya na mepopo wachafu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
Masha Allah, ustadhi Ramadhan Allah akupe afya njema, hao wanaojiita wachungaji hawajielewi, alafu ndacha ujifanya mjuaji kwenye mada ya majini na hana elimu, alafu hawajui tofauti ya shetani na ibilisi
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Yanaonesha neno Dini ni jambo lolote lile linalohusisha imaan, itiqadi, kuabudu, tabia za kutendeana na inapokuwa na kitabu cha Mwenyezi Mungu na iwe ndio njia inayofuatwa na Mitume wote kama ulivyo Uislamu inakuwa ndio Dini ya Mitume wa Allah kuanzia Adam na mkewe na Nuhu na Ibrahim.na Musa na Daudi na Suleimaan na Isa ( Yesu) na Mtume wa Mwisho, Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam. Zilixobaki zimeundwa na watu na ni njia za kuendea motoni baada ya kufa.
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
Elimu ya majini ni ya waisilamu kwani wa Mungu mmoja, lakini shetani na viumbe wake kwa wakristo haituhusu kwani pahali pao ni jehanamu, wameshahukumiwa tayari.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
@@kennedyireri1813 ,na wewe pia uenda ikawa uko pamoja na hao waliohukumiwa, mbona kukicha ndacha anawaongelea iwapo haiwahusu? Kwa elinu yako mchwara najua unaona majini walijiumba wenyewe eti eeeh
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 shetani kama malaika wengine aluimbwa, lakini wakati alitaka kuuchukua utukufu wa Mungu akazushwa na wafuasi wake majini, uongo waisilamu uumbiwa ni sababu majini kaumbwa hivo wakubalika kwa Mungu. Swali ni, kama mungu aliwakataa, wanaokubaiana na majini hatima yao ni wapi kwani iko wazi si kwa Mungu muumbaji. Dada mungu akuhitaji mkubalu Yesu kristo kama Mungu na mwikozi wako. Yani waisilamu waingia jehanamu wakiona ilihali njia ipo?
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 shetani na majini nimaandui wa wakristo yatuhusu sisi kwani tunaamrishwa kujipeana kwa Mungu na kumkataa shetani(Yakobo 4:7) kwani kazi yake ni kuiba, kuua na kuharibu. Shetani hatawazaidia nyie waisilamu na hawezi kuwa kwa upande wa Mungu wa kweli.
@mzackibra6360
@mzackibra6360 3 жыл бұрын
Manshaallah nawaftliaga vyema ck zote from Tanzania allah awalipe kwa kaz nzur ya kumpendezeshea allah, allahuma ameena.
@naheelamohamed9970
@naheelamohamed9970 3 жыл бұрын
Mashallah bro
@babuuabdalla4117
@babuuabdalla4117 Жыл бұрын
ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUHU. MA SHA ALLAH. IN SHA ALLAH MUNAPO PAMBANA NA WATU KAMA HUWA MWANZO SOMENI AUDHU BILLAH MINASHSITWANI RAJIIM, HAO NI MASHEITWANI
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Hallelujah glory be to God ln Jesus Christ Name AMEN AMEN AMEN
@nooroman2535
@nooroman2535 3 жыл бұрын
Shelkh shukrani
@jumjumsaid3552
@jumjumsaid3552 3 жыл бұрын
Mashallah ivi ndio urafiki na amani yenye inapatikana kati ya waislamu na wakristo
@masta_android
@masta_android 3 жыл бұрын
Daawah mitaani ndani ya tanzania😀 Mashallah
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Mashaallah Uislam utaingia kila pembe ya dunia, hao Wazungu(Makafiri) walowaletea Ukristo na madhehebu yake Wanasilimu.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Hhhhh Ndacha kalowa, Chezea wazee wa Kariakoo wewe ! Akawadanganye wasojielewa
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Hadi raha big up
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Subhaana Allah: Ametakasika mwenye zimungu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 5 ай бұрын
MashaAllah
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Watching this from green and spice island Zanzibar, Elimu ya hoja ni moja ya elimu inayo pelekea mtu kukuwa kwa akili yake Kaka Ramadhani fikeni Zanzibar.
@husha6372
@husha6372 2 жыл бұрын
KWELI Shekhe Ramadhani Huu ndio uji do tuli KUWA tukingojea Kwa hamu Kwa muda mrefu
@nooroman2535
@nooroman2535 3 жыл бұрын
MashaAllah Kariakoo yooooo
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 3 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! Ndeche mubishi kweli!
@faridayendayenda7664
@faridayendayenda7664 3 жыл бұрын
Hii irudiwe hii nimeipenda
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Waisilamu wanakitabu kimoja tu lakini nyinyi mna biblia nne ambao hazifanani Kuna biblia ya Paolo Pedro Marko na ya Luka ambao zote kila moja ameandika avotaka sasa nyinyi wakristo mtafuata yipi?
@faridayendayenda7664
@faridayendayenda7664 3 жыл бұрын
Shekhe mabruk mungu akuzidishie yaani wewe ni mazinge namba 2
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Mzee utajua hujui KRISTO ni nambar moja
@oopsm3574
@oopsm3574 3 жыл бұрын
Maoni yako hayo
@allymbaruku6930
@allymbaruku6930 3 жыл бұрын
Ma sha allah karibu sana arusha shekh
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Sisi Wakristo atuna dini yn tupo tupo tu apa duniani atuelewi chochote yn tukiambiwa Yesu Mungu ndio Yesu mtoto ndio Yesu mwenyewe anajiita mtume
@ntawukirishigahidaya1527
@ntawukirishigahidaya1527 2 жыл бұрын
Na bado unaufata ukristo,Allah akuongoze
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
@@ntawukirishigahidaya1527 nimeshauachaaa mim sio kafiri tenaaaa
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
@@ilovejesus666 mmungu kakupenda ujue ukweli mana ukingalia mitume wote ni waislam ndio mana ktk quruan mitume woteee wapo na ukinagalia mitume wametokea mashariki ya kati ibrahim alivunja masanam fatiliaa sana uislam utapata ukwelii wotee
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
Duuuuuuuuh kumbe tulikuwepo tulio kuwa huko ila tukajitambua,mm mwenyew nilikuwa Mkristo ila nilivyo chuja leo mm ni Muislam saf
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Жыл бұрын
@@huseinshedrack6180 wow 😍😍😍
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Mashekh waongo hawa
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
NAMPENDA SANA NDACHA KWANI NDIO NJIA YA WAKRISTO KUSILIMU.MUNGU AMPE UMRI MREFU BAADAE AMFISHE AWE MUISLAMU.TULE NAE BATA NA MTUME SAW.
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Mtume saw ni mbakaji hata hajatumwa na Mungu
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
@@moshantoj HIVI UNAJUA MAANA YA ULOANDIKA S.A.W.UTAJIJUA WEWE MWEHU.UNADAI MBAKAJI ALAFU UNAMTUKUZA KWA KUSEMA SAW.HIVI MZIMA KWELI WW.HAHAHAH ACHA JAZBA UISLAM NDIO NJIA YA UZIMA WA MILELE.UKRISTO NI KIKUNDI CHA WAJASILIA MALI TU,KARIBU
@kamelharry1713
@kamelharry1713 3 жыл бұрын
Asalaam Walaykum Kijiwe hiki kipo sehemu gani?
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb Жыл бұрын
Masha Allah
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 3 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! Huyu ndeche Akubali kusili , haki anaijuwa ila ni mubishi tu sana ,
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 3 жыл бұрын
tumia akili
@andallaathman3856
@andallaathman3856 3 жыл бұрын
Sheikh Ibrahim amepiga tatu bila mashaaa llah
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
Mtu yeyote anayejua ukweli hawezi fuata uisilamu, waisilamu hufichwa ukweli na walimu wao wasije wakauacha. Hivi kuna mengi Ndacha asema hapa wafuasi wengi hawajai sikia na walimu wao.
@andallaathman3856
@andallaathman3856 3 жыл бұрын
@@kennedyireri1813 kma ukweli gani ndacha kautoa
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
@@andallaathman3856 shetani kasilimishwa na Mohammed, majini wasema wao waisilamu.
@bakari52
@bakari52 Жыл бұрын
Surely Ndacha ni ushabiki tu lakini hana fahamu
@habibaally2943
@habibaally2943 2 жыл бұрын
Mashalla
@Allymbaruku991-lj1om
@Allymbaruku991-lj1om Ай бұрын
🎉
@hashimumisanya7899
@hashimumisanya7899 3 жыл бұрын
Hii kitu Nzur sana
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh .Am proud of you bro.. Barakallau tawfiq
@abdallajuma3850
@abdallajuma3850 3 жыл бұрын
Shekh ramadan karib Tanzania
@husha6372
@husha6372 2 жыл бұрын
Lool hapa NDACHA AMEBANWA KWA KIRAKA CHA NGOZI YA NDOVU
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Nyinyi hamjui yakua shetani alikua peponi pamoja namalaika mwanzo?alikua anasali kufanya ibaka zote pomoja namaika ?mpaka Siku alivo laaniwa na mwezimungu akafukuzwa peponi kwa sababu alikataa kusujudia nabii adamu?au hau hamujui nyinyi wakristo ?
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Shetan alilaaniw kwa vitu vingi ila sio kumsujid adam
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Lucifer
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
NDACHAAAA WEWE NDIE MKUBWA WA MAIBILISI MAANA NDIE UBAE ABUDU MASANAM MULIO YAWEKA MBELE YA MAKANISA ATII NI MAMA MARIYAA NA MWANAWE YESU ATII MUNAE MWITA MUNGU TOKEA LINI MUNGU AKAWA SANAMU NA MAMAYAKE DAAAH MUNAJULIKANA KUWA MAPADTOR MUPO KWA AJILI YA MASLAAH YA KIDUNIA NA KUCHUKUWA MISAADA YA UMOJA WA MAKANISA ULIOPO MAREKANI NA ITALY MUNAJULIKANAAA
@masoudidadi7369
@masoudidadi7369 3 жыл бұрын
Mashallah
@husha6372
@husha6372 2 жыл бұрын
Kiboko wa Ndacha ni Shekhe yusufu Wambugu
@alihaji7886
@alihaji7886 2 жыл бұрын
Ndacha hujajibu swali umeulizwa toa andiko ukristo ni dini
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Mbn amejibi
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Mwambieni papa awape vitabu olijino mtapata ukwr wa dini ya yesu vinginevyo mtaishi kwamashaka
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Huyo papa anabudu mashetani Freemason mana mana bee hana hata mmoja mana bee wote ni kutoka mashariki ya kati warabu
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Yesu alisujudu na kutawadha na ni nabee
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Ndacha huna jambo juu ya uislam umekamilika shetani alilaniwa baada ya kukataa kusujudu. Sasa ndacha kama nawewe hutaki kusudu tukuite nani?
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
Sheikh Ramadan mwambie sheikh Kada akupe namba yake ya whatsApp. Namtafuta Sana. Naomba.
@zenahussein2242
@zenahussein2242 3 жыл бұрын
mpite na mitaa ya mbagala tupate somo vizuri
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Isha Allah watafika tuna amini maana mm napenda hadi raha
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Wewe chaka aki uko nnje ya dunia yani hujiskizi majini wako wakristo na wako waislam na vyote ni viumbe vya mungu kama hujui uliza ufundishwe
@casaica2993
@casaica2993 3 жыл бұрын
Hapa Waislamu mumelemewa hadi na kitabu chenyu ambacho kinasema muwaulize wayahudi na wakristo waliopewa vitabu...
@mulaomar4518
@mulaomar4518 2 жыл бұрын
Wewe nawe! Quran aya gani hiyo
@omargbabaomar2004
@omargbabaomar2004 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh
@gladysrael3396
@gladysrael3396 3 жыл бұрын
Tangu lini shetani kawa mnzuri jemeni
@masta_android
@masta_android 3 жыл бұрын
Karibuni tanzania ishallah
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 жыл бұрын
Sheikh Kuria umetukimbia, Kenya tunakumisi...
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Mashekhe wangu.Huyu Ndacha na Chaka.Huko kwao wana VIBOKO YAO...WANAWABABAISHA NYIE.VIBOKO YAO NI SHK YAXYA,ANWAR,IBRHM,YUSSUF NA RAMADHANI NA ISMAIL NA SAIDI《MSOMAJI).
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Hawana elimu yoyote kuhusu Dini.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
KAGUO MUNGU AKUONGOE NA straight path dawah NA NAWAPENDA SANA HAWA WAKRISTO KWANI NDIO MWANGA KWA WAKRISTO WENGI KUSILIMU.ALLAH AKBAR
@habibaally2943
@habibaally2943 2 жыл бұрын
Raha sn
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Mitume wote wangekua wakristo basi land of arab ingekua Christian lakini wazungu hawana na bee wezi tu
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Shetani ameumbwa kwa nuru kama maika kwavile amelaania akasema ameumbwa kwa nari neno moja tu mbele yamungu lilipoteza nakulaaniwa
@ahmadisaidimnongalingi7878
@ahmadisaidimnongalingi7878 3 жыл бұрын
Jamani eee!!! hii mada haijaisha dini haijaonekana
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Shetani/ibilisi wa Kijini/wa kibinAdam ni viumbe wa Mungu Mola Muumba (Allah) hivyo sio mbaya Setani kuwacha maasi na kujisalimisha kwa Allah (kumrejea Allah) sio kisa. Mbona hata baadhi ya Wakristo walokuwa ktk Ukristo (Uasi) wanasilimu na kujisalimisha kwa Allah !
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Waislamu maneno mengi mbele giza Rudini kwa YESU KRISTO
@oopsm3574
@oopsm3574 3 жыл бұрын
Eleza hayo maneno.
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@oopsm3574 maneno ya kungangania dini zinazowapeleka jehanamu bila ya kujua ukweli kuwa unaabudu shetani sio Mungu wa kweli, na kukataa kweli ya YESU KRISTO poleni Sana
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Ndacha anajifanya mjanja yakua anajua kuruani akasema mistari mitatu yakuruani halafu anajihita msomaji kuruani na anjua kuruani mimi ngemuliza huo ndacha ikiwa ameshawahi kukaa chini kubeba ubao wakufunza kuruani chooni . Siku moja
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Waislamu wataishia kuzimu na kupenda kungangania dini, hawataki kutubu na kukiri Kuwa YESU KRISTO ni njia ya kweli na uzima wanashangia dini ya haki,utadhani Mungu amewaambia wataenda mbinguni na dini ya uislamu, bila ya YESU KRISTO kazi bure
@uuubfyfftyvcf4896
@uuubfyfftyvcf4896 3 жыл бұрын
Utajua hujui
@oopsm3574
@oopsm3574 3 жыл бұрын
Ukimfata Yesu utaingia msikitini,n a waislamu hawaendi mbinguni wana kwenda paradise maana mbingu siku ya mwisho ya kiama zitakunjwa nakupotea
@saidmwatenguri4951
@saidmwatenguri4951 3 жыл бұрын
Eti yesu mungu mapya haya jamani
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@saidmwatenguri4951 hizo dharau Kuna siku inakuja zitakuisha, usipotubu na kumuamini YESU KRISTO kuwa ndio Mungu wa kweli utalia na kusaga meno
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@marianachriss2444 Mimi siwez kumfuta mungu yesu ambae ni mungu fake mungu gan anaekunya mavi choon na anaekunya mavi choon na anaetembea na mavi tumbon
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Watu wote wa ulimwengu wajue YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubuni kabla hamjachelewa
@hassanpadi
@hassanpadi 3 жыл бұрын
Innah lillahy wainah ileihy rajiun
@shindeznur7290
@shindeznur7290 3 жыл бұрын
Allah awalinde
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
SIFA ZA MUNGU NI HIZI.MUNGU ASINZII.YESU ALISINZIA KWENYE JAHAZI AKAAMSHWA NA WAFUASI WAKE.MUNGU AZALIWI YESU KAZALIWA NA MAMA MARIAM. NA YESU KATAILIWA NA MUNGU ATAILIWI UPO MAMA.YESU KAFA MUNGU AFI APO JE.HIVI WAKRISTO NANI KAWALOGA.MBONA MNAUBONGO KAMA WA PANZI.
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
Jisemee nafsi yako Sisi wengine tumeumbwa na MUNGU na sio yesu
@mulaomar4518
@mulaomar4518 2 жыл бұрын
Mtihani mkubwa,yani mungu anakufa msalabani na kuiacha dunia bila mungu.
@bakari52
@bakari52 Жыл бұрын
Mzee hapo katikati hoja zake nazikubali
@adammasunga5363
@adammasunga5363 3 жыл бұрын
Hujui Kama dini ni jini lililowekwa na wanadam
@hamisikassim3726
@hamisikassim3726 3 жыл бұрын
Ndacha alishindwa kusilimisha waislamu Kenya sasa anaruka TZ na wala atotomboa
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Shekhe amekubali shetani ni muislamu baada ya kusilimishwa na mtume
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Ukristo hakuna walitunga
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Wakristo hamjui tafsiri yaneno la almu uminina almu uminati almusilimina almusimati katika kuruani hilo neno utalisikia toka mwazo wakuruani mpaka mwisho walio amini mungu kwanza Hao ndo kazi ya manabii yote walio pelekwa duniani namungu ili wahubiri mbele yawanadamu yakua Kuna mungu nalazima wa amini kwanza kabla yakitabu cha kuruani
@bakari52
@bakari52 Жыл бұрын
Ndacha hao ni pepo Wala si majini. Kuna jini na shetani. Tofautisha Ndacha
@sadikilugomba9470
@sadikilugomba9470 3 жыл бұрын
Hichi kijiwe ukiwa na harakati zako za kutafuta pesa au katika mihangaiko yako basi we pita tu usisimame maana unaweza ukakuta kuna kikao cha bunge unaweza kusimama na kikao kimenoga mpaka ukasahau kilichokupeleka kariakoo ni noma saaana hicho kijiwe
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Jina maarufu ni nn hiki kijiwe nkifika k.koo nipitie
@khamisaganas6685
@khamisaganas6685 2 жыл бұрын
Yeti yesu hi Dini😆😆😆😆😆😭😭😭
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
Ndach is just patching only and Chaka is lier he knows the truth
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Yani huyu mkiristo kila Kona yupo ila mgumu kuelewa duu
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 3 жыл бұрын
unaamini vipi kuwa m'mungu alisema uislamu ndiyo dini yake pengine muhammad alidanganya utaamini vip???
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Atadanganya kufanya mema na yy hajandika hajui kusima wala kuandika angejua kuandika mgesema ameandika. Alikuja kumshushia ufunuo na qibril toka mbinguni na quruani hapunguzwi wala kuzidishiwa kilicho shuka kutoka mbinguni ndio hiyo na mana bee wote ni waislam ila ulikamilushwa na Muhammad saw)ndio mana hamna tena mana bee ingekua dini haijakamilika angeletwa Na bee mwingine kristo hajaandikwa ktk bible Na ibrahim ni muislam Na wagiriki ndio walio ita ukristo fatilia sana
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 izo ni imani tu unaamini ilishuka toka mbinguni?
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 nimekwambia hizo ni imani tu za kuaminika tuliaminishwa na waarabu tukaingia king
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 ngozi nyeupe ni wajanja sana ndomana wametuletea izi dini ila hujui tu
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Shehe uko vizuli
@umbopaday
@umbopaday 3 жыл бұрын
Hao wanao jiita. Wakristo wanaziba viraka lakini hawana hoja
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Sijui unaitwa ndacha wala chaka
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Pengine Ndacha na chaka ni wajinga Tu Kama mtume wako
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
AISEE HIKI KIJIWE KIENDELEE DAIMA.SEHEMU INAYOFAA KUKAA NI HIZI ATAJAZO MUNGU.
@felystersonduso2626
@felystersonduso2626 3 жыл бұрын
Hahaa yaan sheikh akakubali wanashiriki na shetani makubwa haya
@casaica2993
@casaica2993 3 жыл бұрын
Muhammad mwenyewe aliagizwa asilimu na Allah lakini akakataa😂😂😂 hii nayo kali sana...
@oopsm3574
@oopsm3574 3 жыл бұрын
Ushahidi?
@casaica2993
@casaica2993 3 жыл бұрын
@@oopsm3574 sababu kwa manabii wote mnao waamini Hakuna ambaye alikataa kuwa Mungu Hawa Mwana ni muhammad tu muongo yeye...
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
Nakuhurumia sana
@casaica2993
@casaica2993 2 жыл бұрын
@@oopsm3574 Quran 6-14 Mohammad aliamurishwa awe wa kwanza kuslim na hakutii amri ya allah wenu... uislamu ni uongo tu tena mna majini humo ndani
@casaica2993
@casaica2993 2 жыл бұрын
@@FatimaFatima-wk1jk Quran 6-14 Mohammad aliamurishwa awe wa kwanza kuslim na hakutii amri ya allah wenu...muislamu wa kwanza ni hadija aliye kuwa amemuoa Mohammad wenu tena shetani pia alislimishwa na Mohammad...dada toka kwa uislamu kuja kwa Yesu mwana wa Mungu upate raha
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Ndacha jibu swali wapi andiko ukristo ni dini ya kweli
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
APO SASA
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Mimi ninaamini Bible. Sasa hili neno "UKRISTO" umetoa wapi ndiyo ujibiwe?
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Ndacha ni kafiri wa kibri...anaijua haki lkn anaikataa na anapotoa maandiko na kuweka viraka...Allah amuongoze
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
Haki kwa YESU KRISTO pekee
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 жыл бұрын
Kweli kakangu achani. Huyu ameamua kupotea kwa sadaqa anaopata kanisa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 жыл бұрын
@@maimunafzaka880 kafiri anayemuamini YESU KRISTO
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
Mzee msomi huyo!
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Hahaha ndacha kiwa Ibrahim alkua mkristo makka ngekua kuna kanisa kubwa badili ya mskiti
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Kwani mkikataa uislam sio lazima kusilim mnafundushwa kakuhulumiwa msichomwe moto uislam niutajili nauklisto soma wakolinto wa kwnza. 15
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Mchungaji gaspa anamwita mwalimu Ibrahim kafiri mkubwa...wakti yy ndo kafiri gaspa nilitamni na wewe uchangie😂😂😂😂😂
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 жыл бұрын
Summer,bukmum ,u3myun
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
Ndacha mishipa zitakatika🤣🤣🤣
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 3 жыл бұрын
@@maherzain615 alafu anapandisha sauti juu nikana anatoa hoja ya msingi🤣🤣🤣
SULUHISHO LA MGONGANO WA WAKRISTO NI UISLAMU TU.
53:42
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,6 М.
WAZEE WA DINI YA ROHO WAZIDI KUSILIMU. || SAFARI YA UJENZI WA MSIKITI YAANZA
59:02
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 47 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 58 МЛН
WAKRISTO WAZIDI KUFUNGUKA MACHO
50:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 3,7 М.
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 1,2 М.
MSHANGAO MKUBWA BAADA YA KUSIKIA YESU ALIKUWA MUISLAMU
1:09:28
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
NUSRA YA ARDHI YAPATIKANA BAADA YA UMATI KUSILIMU KATIKA COUNTY YA HOMA BAY.
59:53
ASKOFU WA DINI YA MOWAR ROHO AAHIDI KUSILIMU.
33:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
ALIYESILIMU ATOKWA NA MACHOZI YA FURAHA ||  THE EMOTIONAL REVERT
1:13:53
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 47 МЛН