Assalaamu aleykum warahmatollaah wabarakaatuhu Mbona suurat Insaan sijapata notification hata moja!!!! Au ziliandikwaje??!!!
@jtvznz450711 ай бұрын
Waalaikmsalam warahmatullah wabarakatu kutoka videhii esabu vidio ya 5 nyuma ni darsa ya surat insaan
@iddmsangi784811 ай бұрын
@@jtvznz4507 Shehe angalia vizuri kuna aya za mwanzo hazijawekwa kwenye za surat insaan na aya za mwisho za surat mursalat tusaidie ili tupate faida tafadhali