No video

Dada Farida - Tabora Jazz Band

  Рет қаралды 64,219

Power Nguzo

Power Nguzo

8 жыл бұрын

Old is Gold!

Пікірлер: 40
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Tabora enzi hizo walitamba sana,jamani natamani sana siku zingejirudia tuendelee kuwa na hawa watunzi na waimbaji,nyimbo zina mashairi ya maisha tunayoishi
@yeahsalummasewela
@yeahsalummasewela Жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1978,Bizeta ukumbi wali yokuwa wakija kuisikia tabora jazz band 😂
@andreangweshemi7706
@andreangweshemi7706 8 ай бұрын
Yanikumbusha miaka yangu nilipokuwa sekondari. Bugaluu, raizoni na mzula kichwani. Daah! Maisha ni kitu gani kweli?
@lindezanoe2298
@lindezanoe2298 2 жыл бұрын
Tabora Jazz cantou de verdade. Estou a pensar no meu falecido pai😭😭, ele gostava muito das musicas do Tabora Jazz.🇦🇴🇦🇴
@slyvesterkameo6847
@slyvesterkameo6847 5 жыл бұрын
Naukumbuka ukumbi wa Uhazili, sauti ya Msafiri Harubu na Ismail Wangoko, solo gitaa ya Athman Tembo, bass gitaa Salum Luzila na Rythim ya Issa Ramadhan au Kassim Kaluhuna, bila kumsahau Shem Kalenga, mtindo Segua segua. Tabora ilikuwa balaa kubwa! Vichwa hivi vimeishatoweka ndo bast tena.
@kumbiissa7450
@kumbiissa7450 3 жыл бұрын
Kuna wimbo kilimo!.mama bembeleza mwana!, Ilikuwa matata kweli
@henrychaula1174
@henrychaula1174 Жыл бұрын
R. I. P
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 5 жыл бұрын
Ni kweli sauti ziliumana sana na zinavutia sana, Bass Rythim solo na ngoma ni hatari sana. Tabora Jazz kweli ilikua balaa.
@aminaaziz8874
@aminaaziz8874 Жыл бұрын
Nakumbuka sana Tabora...daaah enzi hazirudi😅
@jumautikae881
@jumautikae881 7 жыл бұрын
Sauti ya marehemu msafiri harubu iko juu!!!
@gilbertmasaki2965
@gilbertmasaki2965 6 жыл бұрын
Hizi Nyimbo unipa amani moyoni.
@jumamganga5136
@jumamganga5136 2 жыл бұрын
Umerikoroga merry,umehamisha furniture zoote,ila nafurahi hukujua,nyumba hatukupanga,ilikuwa yangu,tabora jazz mliimba sikunyingi nadhani 1973,ila yamenitokea 2019,mko vizuri
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 4 жыл бұрын
Tabora memories 😭😭😭😭
@kcmedia5693
@kcmedia5693 2 жыл бұрын
Hapa kila ninaposikia mirindimo ya gitaa la rythm toka kwa Kassimu Rythm (Rashidi), moyo wangu unaburudika sana. Tabora jazz ilikuwa moja ya bendi bora sana Tanzania
@JumanneAbdallah-jn1rf
@JumanneAbdallah-jn1rf Жыл бұрын
Enzi hizo mabasi tunapanda KAMATA na mengineyo wakati huo
@robertmutai3762
@robertmutai3762 Жыл бұрын
Powe Nguzo kindly get me this song going this way.... ngojea ngoje nikube busu. i dont know the artist
@jumamaganga4214
@jumamaganga4214 5 жыл бұрын
Just lovely
@allymakete3827
@allymakete3827 7 жыл бұрын
Huyu kassim Hassani kaluwona in hatari sana kwenye rithim
@chidboy3372
@chidboy3372 Жыл бұрын
Maisha duara mwazo mungumu
@ntolimalabeja6866
@ntolimalabeja6866 2 жыл бұрын
Jamaa walikuwa wanajua kutunga, kuimba na kupiga vyombo kwa mpangilio mzuri
@othmanali5362
@othmanali5362 3 жыл бұрын
Safi hiyo nakumbuka wimbo huu ukipigwa wakati tunasubiri kula huku tukichambua karsfuu. Safi sanaaa
@jumautikae881
@jumautikae881 7 жыл бұрын
Nguzo big up!!,,, tutafutie na dada zena
@saidkhamis4402
@saidkhamis4402 4 жыл бұрын
Power nguzo please can you post nyimbo ya Tabora jazz ilikuwa siku ya jumamosi
@EkotiYaNzube
@EkotiYaNzube Жыл бұрын
Mtaa wa RUFITA.....
@sammysiame7773
@sammysiame7773 2 жыл бұрын
Farida mama! Tabora jazz
@hassanbugu5000
@hassanbugu5000 8 жыл бұрын
This does it all ! I have been scavanging for this beautiful number by this wonderful group for so long.Thanks so much Power Nguzo. The last drop to quench my thirst fromtheir other number will come from their number Dada Lemy No.2. Kindly get it for me NATIZAMA DIRISHANI ya Balisidia na Afro 70 pia ukiitundika hewani itakuwa jambo la busara.
@marcelinoliheta8507
@marcelinoliheta8507 3 жыл бұрын
Tabora jazz ilikuwa ndo habari ya mjini Tabora miaka ya sabini. Ilikuwa juu sana. Solo Shem Karenga. Alikuwa Moto sana. Mungu awalaze mahala pema mbinguni.
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@spirospapadelis713
@spirospapadelis713 8 жыл бұрын
tabora home watu wakali ilikuwa amna band kama hiyo isevya ooh
@ramadhanimagulu4725
@ramadhanimagulu4725 6 жыл бұрын
spiros papadelis ukweli. Farida. Kwa. Wakati huo ilitisha--- enzi hizo nipo chuo cha. Nyuki. -- weekend ilikuwa. No. Lumumba. Hall au. Community. Centre
@zenazullu8969
@zenazullu8969 4 жыл бұрын
@@ramadhanimagulu4725kumbukumbu mzuri sana Tabora Jaze ilikuwa tishio kwa kweli
@maguluramadhani2771
@maguluramadhani2771 6 жыл бұрын
Eeeeeee...jamani. Tabora. Jazz. Band. itafufuka. kweli? nimecheza. mziki. Farida. mpaka. leo nauimba ......basi. tuu.......seguasugua...
@admirabilisikiduduye7116
@admirabilisikiduduye7116 6 жыл бұрын
Bendi na miziki ya aina hii hatuwezi kuvipata tena,Hata tukitambika Mara milioni moja,kinachotakiwa miziki tuienzi na kuitanza,sidhani kama unaweza tena kupata sauti kama ya msafiri haroub,rhythm ya karuona na magitaa mengine ya akina Shem karenga,abdalha tembo na salumu luzira
@edwinijoseph608
@edwinijoseph608 5 жыл бұрын
Ala chache lakini mziki umekamilika!
@spirospapadelis713
@spirospapadelis713 8 жыл бұрын
kaka ismail wangonko naisikia sauti yako bro
@mohamedmgawe2886
@mohamedmgawe2886 5 жыл бұрын
spiros papadelis ہشدگی
@patriciamaganga3891
@patriciamaganga3891 4 жыл бұрын
😭😭😭😭
@jumamganga5136
@jumamganga5136 2 жыл бұрын
Yalinikuta mwaka 2019 mmmmmhhhhhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂😂
@saidshamad167
@saidshamad167 8 жыл бұрын
SAFI SANA
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 80 М.
Mziki wa dansi-zilipendwa-Urafiki jazz -Asmaha
6:57
Eddie Nassor
Рет қаралды 64 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 47 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 75 МЛН
Tabora Sound Band   Kamalee Sensema Malunde
6:28
SARU ONLINE TV
Рет қаралды 108 М.
Ikiwa kama hunitaki
5:22
Nuta Jazz Band - Topic
Рет қаралды 29 М.
Mganga, Pt 1 , 2
8:43
Jamhuri Jazz Band - Topic
Рет қаралды 17 М.
Molema
9:37
Mose Se 'Fan Fan' - Topic
Рет қаралды 11 М.
Asha No 1 Tabora Jazz Band
5:36
Asma T
Рет қаралды 92 М.
Super Rainbow - Milima Ya Kwetu
7:11
Power Nguzo
Рет қаралды 359 М.
Sadaka
5:06
S. Ramadhani - Topic
Рет қаралды 16 М.
Juma Mrisho & Urafiki Jazz Band - Rukia Hukusikia
6:15
Power Nguzo
Рет қаралды 124 М.
Mbaraka Mwinshehe & Morogoro Jazz Band - EXPO 70
9:30
mawenzi
Рет қаралды 420 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН