Yaani nalia kama Ni mimi yaani wafanyakazi waamifu Hongereni na hongera Dada🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌
@saumsiraji98703 жыл бұрын
Hii familia inautu sana ukiwa na utu hata unaye kaa nae utamuona mzr lakini kama huna ubinadamu kila dada utamuona mbaya hata akifanya mabaya yapo mazur aliyo kutendea kumuacha mtu na chumba yako na watoto sio kitu kidogo tuwapende wasaidizi watu binadamu hatujakamilika. Hongera sana kaka umefanya jambo zuri sana
@mwassyazeez32403 жыл бұрын
Upendo toka moyon.kelvin mume bora mwenye shukran kwa ulez wa dadayao ambae leo anafuraha moyon kwa vijana hao kutambua mchango wake kwenye malez yao.
@deodanda40583 жыл бұрын
Mungu asimpungukie huyu dada amenifanya nitoke chozi,ubarikiwe sana Senyigo
@rosemarywina60012 жыл бұрын
Hakika nami nimelia jamani.ni Kwa neema Tu ukipata Dada WA hivi.ila nimejifungia kitu.nami sio kujisifu dadawapo WA mkoa Fulani UMEKAA nae kidogo miaka 5 lakini NI zaidi ya kumi Hadi anatolewa na Rafiki majirani zangu niliowaombea wadada wameishi nao hivyo
@rosemarywina60012 жыл бұрын
TUJIFUNZE hapo.hata kama sio siku ya Arusi,basi tufanye ibada ndogo kuwashukuru Kaka zangu salut
@TabithaObellykasangila2 ай бұрын
Mungu awabariki sana vijana mmelelewa❤
@avyalimanaathanassambuta65773 жыл бұрын
Hyu kijana kwanza anaonekana tu ni mwenye busara. What a great gift, hakika inatia faraja.
@salamakombo32573 жыл бұрын
Saa
@neemandenge51903 жыл бұрын
Sanaa
@thenaturalafricandiy98053 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Daah! Huu ni upendo uliyopitiliza, Huyu jamii katoa bonge la somo, Hongera sana Dada Nicolina kwa malezi mazuri Inguluvi Yikutangage.
@roseannakabeya19783 жыл бұрын
Llibarikiwe tumbo lililo wazaa na mikono iliyo wabeba na kuwalea kwa kujua maana ya shukrani. Nimewapenda sana nyie watoto
@shekheally89783 жыл бұрын
Ni wachache sana kwenye maisha kukumbuka kitu kama hiki hususani kijana mdogo kama huyu mimi nizungumzee tu wewe kijana hautopata shida katika maisha yako yote kila jambo litakalokuja kwako mungu atalipa wepesi juu ya moyo wako uliyonao God blessed
@evalinemalole6709Ай бұрын
Dah nalia kama sijawah kuona hii video😢🙌 This is called moyo uliojaa shukrani
@Msmwasi3 жыл бұрын
Vijana mmelelewa katika namna ya pekee, nyie pamoja na huyo dada wote ni mfano wa kuigwa katika jamii. Mbarikiwe sana
@zubedamwenga7613 жыл бұрын
Had nimelia jamn sijawahi ona upendo kama huo mimi hongera Sana dada yangu mikolina mungu akulinde
@ibrahimwerejuma48163 жыл бұрын
Kwa kweli huu ni mfano wa kipeke wa kuigwa.
@kimkim22873 жыл бұрын
@@ibrahimwerejuma4816 nshidi
@neemaaugustine71113 жыл бұрын
Hh
@neemaaugustine71113 жыл бұрын
.i
@sairismahundi23993 жыл бұрын
Upendo wa Agape nimewapenda sana hawa wakaka hadi nimelia
@edithmavura94793 жыл бұрын
Kelvin umeonyesha moyo wa shukrani..hakika Mungu azidi kukubariki na nahakika kwa moyo huu uliouonyesha utakuwa baba mzuri sana wa familia yako. Mungu awasimamie.
@RehemaNyela-ps1tn Жыл бұрын
Mungu anawapelnda watu wA ainA hii hongera sana Kev na ndugu yako
@jackyluns82243 жыл бұрын
Mc mchome nimejikuta nalia sanaaa Kiukweli kupata wadada wakazi kama Dada mikolina niwachache sanaaa katika mia pengine 5 tu wanaweza kuwa kama mikolina walio wengi wadada wakazi wanaharibu ndoa za watu wasichana wa siku hizi akikufanyia kazi lazima atamani na upande wa pili big up sana bwanaharusi na mdogo wako Mungu akulindie ndoa yako
@RisasiRisasi-uj8fk4 ай бұрын
Kwa kweli machozi yamenitoka kila nikiangalia hii harusi,sehemu ya mdada wa kazi
@leticiakomba66953 жыл бұрын
Yaani huu ndio ubinadamu wa hali ya juu mnoooo. Hongereni Sana vijana. Sijawahi kuona moyo huu. Mungu awabariki sana.
@Mrszizo-d7tАй бұрын
Had raha
@angeljoseph8103Ай бұрын
Sana ndugu wachache
@janethandendekisye26813 жыл бұрын
Huyu dada yuko poa ila pia walio kaa nae ni watu wazur
@saumsiraji98703 жыл бұрын
Kabisa ukikaa na mtu sio familia yako uvumilie yote yatakayo tokea mchukulie kama ndugu yangu wa damu hapo utamuona mzr
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
Umeonaee
@niaanthony95883 жыл бұрын
Kabisaa ni kumi kwa mmoja watu wenye moyo huo
@MnubiMm7 ай бұрын
Wewe ni Mtu wa Tofauti SANA sio Raisi watu kukumbuka wema wa Dada wa kazi
@stellajoseph1877 Жыл бұрын
Nimelia kwa furaha Mungu azidi kuwabariki hiyo Familia vijana wana Upendo wa pekee. Na huyo Dada ni mfano wa kuigwa maana sikuhizi wafanyakazi ni 🔥
@leopoldmujaki6120Ай бұрын
Wafanyakazi ni wazuri moyo wa chuki na moyo wa upendo tunaipanda sisi wenyewe ndani ya watu jinsi tunavoishi nao ,tunatakiwa kuonyesha thamani kwa house maids familia zetu zitakuwa salama pia tukumbuke fadhila kwa wema wao kwa familia zetu Mungu atatulinda siku zote
@carenalphonce50133 жыл бұрын
Aiiii jamani mpk nimelia😭 ase awa wakaka wanaroho nzuri sana
@nathalieswedy36533 жыл бұрын
Wema ni akiba hongera dada hongera kwa vijana mnajitambua
@emmaponera2253 жыл бұрын
Hakika wema ni akiba
@salmaj44313 жыл бұрын
Mubarikiwe Sana ni mewapenda Sana Kaka kuwa na huruma hivo hivo
@nasraemanuel85373 жыл бұрын
Vijana ni wazuri wakumbukawema mungu awape maisha marefu naamani naupendo love dada
@fatmabotea18103 жыл бұрын
Jmn imenigusa sana, wadada hawa ni wa kuwaheshimu sana. Mungu ambariki sana huyo dada
@hadijambunda70993 жыл бұрын
Majini nimelia kwafurahaa
@hadijambunda70993 жыл бұрын
Nimelia mh
@saumsiraji98703 жыл бұрын
MashaAllah 🙏 Wapo wazuri wengi tu sema mabosi wao ndo huwa chukulia kama vijakazi hawafai kuonyeshwa sehemu nzr na mabosi. Pia wenye wafanya kazi tujifunze kupitia kijana huyu hakuna mkamilifu ispokua mwenyezi Mungu pekeyake. kwa hiyo hata dada wa kazi akikosea mchukulie ni kama mtoto wako unamrekebisha kwa vzr usimchukulie kwa ubaya.
@EmmaPoneraАй бұрын
Usiseme hivyo ndugu yangu mabint wazuri na wenye upendo ni wachache Sana tunahitaj kuwapenda mno
@fidesbenard28363 жыл бұрын
Cjawai kuona ubinadamu wa namna hii kakika nimetokwa machozi mbarikiwe sana
@theresialubida73353 жыл бұрын
Kabisa
@aishamsoma5873 жыл бұрын
Familia yakinakevini nahaidani mungu awabaliki sana sijawahi on a kamanyinyi
@leiratykisura67183 жыл бұрын
Ma sha Allah nimependa hi family hongera sana dda wa kaz..mabos ukishi na mdda wa kaz vzr na yy ataishi vzr na watto wako mungu awabariki na upendo huo huo muendere nao😍😍😍😍❤❤❤
@irenkweka36133 жыл бұрын
Upendo huu udumu ,katika maisha yenu, daaa Hadi machozi yamenitoka
@vicebakila8923 жыл бұрын
Kwa Kweli machozi yamenitoka
@jackyluns82243 жыл бұрын
Pia nimejifunza kitu kelvin upo mwanaume bora Mke wako amepata mume mwenye upendo na huruma pia huyu mwanaume anafaa kuigwa
@ashurahatibu50693 жыл бұрын
Da hadi nimelia ni upendo wa hali ya juu mungu awabariki vijana
@jemimabudodi3423 жыл бұрын
Nmejifunza kwenu Mungu awatunze mmefanya Jambo jema sana
@ifonlyiknew619Ай бұрын
Aseeeeeeee...!Mbona Maajabu Sana Haya Utu Safi Sana Huuu Bindamu Tuko Tofauti ila Hawa Pia Wana Upekeee wake..!Mpaka Wamekuwa Wakubwaaa Hivi Bado Upendo Upo Wana mkumbukaaa Hiii familia Nimeipenda Buree
@ceciliakrasian48873 жыл бұрын
So beautiful.. Mungu azidi kuwajalia kila la kheri na awape yote mema!!! Nimeipenda hii
@salmatanz9483 жыл бұрын
Kaka zangu mnamoyo wa upendo Mungu awape furaha siku zote za maisha yenu nimejikuta nafurahia hii nimeirudia kuangalia mara nyingi
@magrethyeremia22793 жыл бұрын
Da Hadi nimelia jamn,hongera dada
@bethmsigwa67423 жыл бұрын
Mmependa kutoka moyoni
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Sijuw kabila gani hawa jamani Hadi machozi yamenitoka 😭😭😭wanaroho mzuri maashaallah
@SholomonOgАй бұрын
Wakulya hao
@AnastaziaSebastianАй бұрын
Nimelia machozi ya furaha ❤❤ asante watoto asante dada wa kuigwa
Kwakweli mungu akupe maisha malefu we kaka ni mfano wa kuigwa wengine wanaona dada wa kazi ni takataka
@FranciscaWariobaАй бұрын
Upendo huu ndio wa agape mungu ndio anao zungumzìa ongera vijana mungu yupo ndani yenu nawaombea vifungo vyote mingu awafungue na mzidi kustawi milele mzidi kutembea na kibali cha bwana shaloom francisca warioba
@salhakristina94343 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa zawadi zuri
@alshabje71853 жыл бұрын
Mungu awabariki kaka zangu inshaallah 🤲🤲🙏
@halimaomari23703 жыл бұрын
Yaan nimelia kama nimefiwa walahi mungu awajaalie upendo hivyo hivyo
@khadijakulemwa33863 жыл бұрын
Aisee nimetoka machozi
@husnaameen93092 жыл бұрын
Nimelia kwa kweli ,niliishi na wangu miaka sita tu ila alivyo ondoka nimelia Sana ,na tuka hapo sikubahatisha Tena kila umpendae hadum wanaruka ruka Sana wadada mpka wanaitupa bahati inshaAllah mungu atanipa tena mwema na Jambo nitamfanyia inshaAllah 🥰
@RebeccaMuhimba-m7w2 ай бұрын
Niko hapa
@lidyanapegwa815417 күн бұрын
Hongereni, Mungu wa Mbinguni awatunze muwe na baraka tele kwenye familia yenu, maana Mungu wa mbinguni amewabatiki na amewapa mioyo ya hekima na ya shukurani
@bibylicious8201 Жыл бұрын
Baba na mama mmewalea vijana kwa upendo
@priscacharlescharles90143 жыл бұрын
Ni wachache sn wenye roho kama hii wengi wao wanachukulia wadada wa kazi kama taka taka flani Mungu awabariki sana hakika machozi ya fraha yamenitoka😭
@jagrosarah80705 ай бұрын
Jamn mungu awabatol
@ericanevar453827 күн бұрын
Kuishi na watu vizuri ni hazina
@NdelimbijohnSwai-k5sАй бұрын
Mungu awabariki vijana wazuri kwa kukumbuka fadhila na mmeonyesha moyo wa upendo uliopitiliza mbele za watu wote na mbele za Mungu wa mbinguni mbarikiwe sana ndoa hii iwe baraka tuu
@winnermariah3 жыл бұрын
Adi Nimelia Kwa FURAHA......eeh MUNGU
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Yani weacha
@mwanaidially17053 жыл бұрын
Yan huwa sichoki kuitazama
@happymrema67283 жыл бұрын
Faida za kuish na watu vizur
@saadacharasaada19583 жыл бұрын
Dada umepata mume
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Duuh jamani kaka ww mungu akubariki siku zote za maisha yako amina amina amina
@REHEMAMUNA-p5vАй бұрын
Amen Huo ndo UPENDO USO JIVUNA Mbarikiwe sana nyie watoto na wazazi pia
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Masikini duuh ni wachache sana wanao kumbuka fazila duuh
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Hadi machozi ya furaha yamenitoka,Familia nzima mnamoyo Sana, baba na mama pia hongereni kwa kumsomesha mfanya kazi wenu.
@annabakari18432 жыл бұрын
Nimoyo wapekee jamani mungu wabariki sana
@neemakaluwa21463 жыл бұрын
Sijawahi ona upendo km huu.
@susanraphael58943 жыл бұрын
MPAKA machozi yamenitoka niwachache sana tunakumbukaga hii be blessed kaka kwa kumbuka hii
@margaretwambete12283 жыл бұрын
Ubinadamu.what a family 1💪🙏✌✌
@KADALAtv2553 жыл бұрын
Very emotional. Thank you God for keeping these kids, congratulations t DADA NIKOLINA
@FaridaSalum-l5wАй бұрын
Mungu awbariki sana vijana jua WEMA kiasi hiki kwa umru wenu ni Neema kubwa kutoka kwa mungu na kutoka kwa wazazi wenu WEMA kwa malezi yao,mungu awbariki sana wazazi wenu kwa kazi kubwa jamani .hili ni funzo hebu jamani tujitahidini kupitia hili nasi tuweze kulipia fadhila za kweli kwa wasaidizi wetu na kuwasamehe wanapokosea km anavotusamehe sisi hata kwa makosa yetu makubwa makubwa ,amiin
@rehemachoka29433 жыл бұрын
Mungu awabariki sana dada kweli umepata Mume mwenye kujali na kujua dhamani ya mtu
@ziadambilinyi56562 жыл бұрын
Sina chakusema ila maisha yenu Baraka zimesha tangulia maishani mwenu kaka kaka umepata wap upendo mkubwa iv ebu nambie Kaka Anamungu ndani yake EMUNGU USIJALIBU KUMWACHA MAISHANI+
@prettyh75093 жыл бұрын
Wadada wa iringa mashallah
@rehemaconeriocostance90113 жыл бұрын
Yahn na mim nina dada wa iringa jmn we acha jins anavyo lea watot wangu mungu ndie atakae mlipa uyu bint kwakweli
@kalistachatila693 жыл бұрын
Upendo huu sijawahi ona Hadi nimelia
@rosetembe37853 жыл бұрын
@@rehemaconeriocostance9011 ndo umpe zawadi na wewe
@SalhaHayumaАй бұрын
Nitaftieni na Mimi bas huko kwao?@@rehemaconeriocostance9011
@LovenessAlbert2 ай бұрын
Hongera vijana mna mungu ndani yenu!!! hao mataji wakumkumbuka dada wakazi leo wako wapi??
@magrethyeremia22793 жыл бұрын
Ubarikiwe Dada
@edinagwasupika34063 жыл бұрын
Mubarikiwe sana vijana mmeonyesha upendo mkubwa kwa Dada yenu mlezi kwa kweli tuishi vzuri na wakina Dada wa kazi majumbani mwetu, Hawa ndo walezi wa watoto wetu
@yeyaboy8045 Жыл бұрын
Nimeipenda hyo
@hyacintagugu72 жыл бұрын
Usipolia hii wewe ni Shetani aisee
@RehemaYakutiАй бұрын
Nikweli nmelia yaan nmekumbuka familia yangu mama baba mungu awaifadhi😢 mahala pema peponi
@MinaSule-l6v24 күн бұрын
Kwel kbs
@annabashasha14092 жыл бұрын
Kelvin Una moyo wa shukran Mungu akubariki sana
@msebukwatv121 күн бұрын
Safi sana kiukweli mungu abariki familia yenu isikaukie na pesa daima
@josephsijaona45103 жыл бұрын
Duniani Kuna binadamu hadimu Sana washikaji wanalia kwa hisia za upendo sana more than real love
@theresialubida73353 жыл бұрын
Hakika
@jeniphermsaki26273 жыл бұрын
Nimelia ni upendo wa hali ya juu kukumbuka fadhila za mdada wa kazi tuwaheshimu hawa watu wana mchango mzuri sana ✌️
@magrethyeremia22793 жыл бұрын
Vijan muendelee na upendo wenu jmn
@estermatias883 жыл бұрын
Dah! Jamani hadi rah.. Hakika kweli imenigusa sana. Kumlea mtoto wa MTU ni kazi sana hadi amekuwa mkubwa mikononi mwa mfanyakazi! Dah! Mungu awabariki sana muendelee na huo moyo. Kweli hii ni ya kuigwa...
@labnalast75513 жыл бұрын
Aiseee Hadi machozi yamenitoka huu familia ni kuigwa ,barikiweni sana kelvin na mdogo wako pia wazazi wenu kwa malezi mazuri
@fatumafatuma14593 жыл бұрын
MASHALLA Allah akuzidishie kila yenye kheri ni upendo wa kweli M/Mungu Awabariki katika ndoa yenu
@hawachilemba62313 жыл бұрын
Kijana ukihitaji Dada nitafute.nitakutafutia.
@calvinsilayo20523 жыл бұрын
Nawashangaa San watu wanaobeza majina yetu y Kelvin kuw tuna roho mbaya hakina wajina m'mefany kitu kizr San had machoz yametok🙏🙏🙏
@mecktildatushabe78982 жыл бұрын
Huwa ni watundu TU lakn hawanashida
@salha65963 жыл бұрын
Umeniliza Kaka
@theresiatamba-m2jАй бұрын
Nimejikuta nalia tu Mungu akubariki kwa kuon uwepo wa dada, weng wetu huwa wnawazarsu Sana
@geofreymhina34722 жыл бұрын
I don't have any more words to say but KUNA LA KUJIFUNZA,machozi yamenitoka
@upendokiwanga95383 жыл бұрын
God bless you guys , wapo watu wengi hawajui kushukuru , Mungu awabariki saana kwa kuongeza dada wa kazi
@jameskileo9553 жыл бұрын
Nimechelewa kuangalia ila MUNGU AWABARIKI SANAA NIMELIA KWA FURAHAA
@jameskileo9553 жыл бұрын
God bless you brother umefanya kitu kikubwa sana kwa huyu mamaa Utafika mbali mno ktk family yenuu
@agnesmtende77853 жыл бұрын
Aiseee nimelia so kwa upendo huo!! Hata mm nilishawahi kuishi na mtu kama msichana wa kazi miaka 10 akaniozesha sasa hiv nina maisha yangu ananipenda toka 97 hadi leo! Cpati kucmulia na ananijali kama mwanae Mungu amzidishie
@Abbasbakarsth22 күн бұрын
Hongera sana bro umefnya jambo la kujifunza kwa jamii
@sarahjohnson1533Ай бұрын
Nimelia sana MUNGU awatunze unyenyekevu,shukrani
@lilianphilemon9073 жыл бұрын
Mmenifanya nilie😭😭
@zuhuraalhipha14493 жыл бұрын
Kweli inaliza nimejikuta natoa machoz bila 7bu
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Kwa kweli huyo kijana anamoyo
@gracemacha935727 күн бұрын
Hongera kaka kwa kumkumbuka mlezi wako😅😅
@smartdadaztrainingcenter35253 жыл бұрын
Hadi raha jmn, tusiwadharau hawa wadada wa majumbani kwetu
@marianainyasi22743 жыл бұрын
Waaaooh Mungu amtangulie awe na maisha maref maan kwa sasa n wachache mnooo
@winfreyemmanuel Жыл бұрын
Nimeshibdwa kuamini kwa nilichokina nimejikuta na bubujikwa na machozi mungu azidi kuipigania hio familia pamoja na kizazi chake
@GöldènGordian3 жыл бұрын
Umenifanya nitoe Machozi Bro... Safi sana! Mungu awabariki kwa Upendo!
@IbrahimCheptot-d2e16 күн бұрын
Moyo wa upendo mungu awape baraka kwa kumjali mama aliye walea
@pettyjongera12953 жыл бұрын
Alafu mwanamke ww uliyeingia kwenye hii family ukavuruge upendo huu,,,Mungu hatokuacha salama
@mzizirashid7093 жыл бұрын
Hahahahahah
@زينابوو3 жыл бұрын
Na kanaonekana kambea haka kamke kalie olewa
@mzizirashid7093 жыл бұрын
@@زينابوو 🤣🤣🤣🤣 kha jaman Yamekuwa hayo tena Hahahahahahaha
@زينابوو3 жыл бұрын
@@mzizirashid709 😂😂ww ukaoni jamani
@mzizirashid7093 жыл бұрын
@@زينابوو 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@scholasticamussa25933 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa moyo wa kipekee kila mmoja wenu, dada pamoja kaka wote.
@Dr.Shemasi Жыл бұрын
yaan nimelia mpk watu wananishangaaa.....wat a wonderful moment. aiseee dah. jaman tuwakumbuke hawa watu katika maisha yetu. ni neema tu walai
@AgnesJosephBikwatoАй бұрын
Hakika nimewàpenda Hawa vijana mungu asiwapungukie maishani mwenu
@sharinv88643 жыл бұрын
Very emotional haki nimejikuta nimelia mungu awabariki na pia nimejifunza mengi sana.
@jacklinemwacha88853 жыл бұрын
Nawapongeza Sana hii familia 4me never seen before mmeniliza kwakweli Mungu awabariki sana
@winnt96273 жыл бұрын
Mungu ambariki sana
@angelamarlow5103 жыл бұрын
Dah Mungu awazidishie kwa Upendo huo watu wa Mungu
@amanmaleko3085Ай бұрын
Hongera sana niwachache sana Wana kumbuka dada wakazi good 👏👏
@vailethobedi47233 жыл бұрын
💜💜💜💜👏👏👏👏👏nimejifunza kitu hapa, Mungu awabariki sana vijana hawa kwa upendo waliouonyesha kwa dada wa kazi
@hawachilemba62313 жыл бұрын
Ninyi mmefundishwa upendo wengine wanafundishwa dharau. Na hata wazazi wao. Wanajua umuhimu wa Dada.
@sayanahjay80323 жыл бұрын
Mungu awape moyo huo huo wa upendo
@maryanomar1193 жыл бұрын
😭😭😭😭 dada mungu akubariki na watoto mungu awapeni upendo zaidi kwa dada huyu 😭😭😭😭
@valenakomba7686Ай бұрын
Ubarikiwe sana bwana harusi. Upendo wako uendelee .
@wardaluambano2177Ай бұрын
Hii ndo familiya inayo kumbuka wema daaaah hongeleni sana.mabos wote mnge kuwa kama nyinyi
@halimawasafi35113 жыл бұрын
Ni ss watanzania ndio tunakuaga na hisani ila sio wote. Ila kwa wasomali hamnaga hiyo hata ufanyie miaka mia atakuchukulia wewe ni mtumwa t
@rosemaresi48003 жыл бұрын
That's true,,hata Kenya hawexi kufanya hivyo mbele ya watu,
@sabrinasamwely77273 жыл бұрын
Wewe kijana na family yako Ni watu wAzuri Sana ila uyo bibiharusi mmh nikioengele
@jasiriasili3694Ай бұрын
Kazi yeyote ukifanya kwq moyo watu hawwzi kuacha kabisa😊
@justermulengeki6970 Жыл бұрын
Jamani jamani, Mungu awabariki watoto Hawa Kwa kumbukumbu nzuri, pia awaongezee walipotoa
@upendowj49373 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwakurudishaa Upendo kwa Nicolina Hongera See Gito umewakilisha vema Mkoa wetu wa IRINGA 💪🤝🙏🙏💕💕