DAH INASIKITISHA - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA - EH MUNGU NISAMEHE

  Рет қаралды 44,539

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

8 ай бұрын

Kwa majina Naitwa hamadi juma ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wawili Mimi na mdogo wangu wa kike aliyeitwa hasma juma nilibaatika kupata malezi ya wazazi wangu wawili kwa miaka 16 apo baba angu alipata kazi jijini dar es Salam kabla baba ajaondoka na kutuacha na mama tulikuwa na maisha ya kawaida tu sio ya shida Wala ya raha baba angu alikuwa ni fundi welding alikuwa akifanya kazi kwenye viwanda ndipo alipoipata kazi ya kwenda kujenga kiwanda jijin dar akuwa na jinsi akatuacha Mimi na mama angu pamoja na mdogo wangu hasma.Miezi mitatu ya mwanzo baba alikuwa tukiwasiliana nae na alikuwa anatuma maitaji yote ya nyumbani ila gafla simu ya baba aikuwa hewani na aikupatikana Tena tulifanya juhudi zote za kupata mawasiliano nae ila ilishindikana hata
ndungu zake kina baba wadogo na mashangazi jitihada ziligonga mwamba apo maisha yakaanza kuwa magumu nyumbani kwani majukumu ya kutulea yalibaki kwa mama amabae alikuwa ni mama wa nyumbani tu. Maisha yalibadilika Sana ilimbidi mama atafute vibarua kwenye mashamba ya watu ili aweze kutusomesha kutulisha na maitaji mengine.

Пікірлер: 201
@DeboraMwasweba-ij4qf
@DeboraMwasweba-ij4qf 8 ай бұрын
Senkyu anko j mapesa ❤❤❤
@user-qw7un1nf2f
@user-qw7un1nf2f 8 ай бұрын
Jamani wa tisa tabarak Allah
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo 8 ай бұрын
Weweeee I like it anko jay penda sana wewe jmn ❤❤❤
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 8 ай бұрын
Yani mkasa huu umenipa nguvu mpya ya kusugua choo cha mwarabu bora nile jasho langu na pia asante ankoo mapesa 🎉🎉🎉
@LisperNjeru-bv3gb
@LisperNjeru-bv3gb 8 ай бұрын
Acha tusugue dear
@rehemajuma56
@rehemajuma56 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saidhassan8080
@saidhassan8080 8 ай бұрын
Waakwanzaa jmn mb'n sipati like za kutosha wadau 🎉🎉
@catherinekadima
@catherinekadima 8 ай бұрын
Pole mungu ailaze mahali pema peponi
@user-wq7nl3pc1j
@user-wq7nl3pc1j 8 ай бұрын
🎉asante sana anko jay😅😊😮🎉😂
@aseaaaa5812
@aseaaaa5812 8 ай бұрын
Shukurani san ❤❤❤❤🎉
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 8 ай бұрын
Wow. Afadhali umetukumbuka leo Anko j
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Huwa tunapitisha hukumu kwa watu bila huruma mara nyingi Mungu tusamehe sana
@Beathasimon
@Beathasimon 8 ай бұрын
Amen
@hdhjdh775
@hdhjdh775 8 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov 8 ай бұрын
😢mmmmh mbn 🎉🎉🎉Asante Anko j Mungu wetu n mwenye kusamehe kwa kila jambo
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 8 ай бұрын
Anko J mapesa,,,,asante kwa smlz acha niende nayo nnjue yalo jiri
@zuenahz5514
@zuenahz5514 8 ай бұрын
Asante anko Jay japo roho imeniuma na kukosa raha hadi mda huu
@erickdeogratias7718
@erickdeogratias7718 8 ай бұрын
Daaah.mungu atusamehe san sisi wakosefu.tamaa mbaya sana jamn.🙏🙏🙏🙌🙌
@apolinaryrosemery-nl9ym
@apolinaryrosemery-nl9ym 8 ай бұрын
Napenda sana ichi kimlio ukitumiA kwenye simuliz
@Syviahalex
@Syviahalex 8 ай бұрын
I miss simulizi alot, i was away but am back tena kwa mpigo, mambo anko..
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Mungu atusaidie sana sana na haya maisha
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 8 ай бұрын
Wakwanza like zangu wapendwa
@zainabamir1431
@zainabamir1431 8 ай бұрын
Nimechelewa sana leo thank anko🎉🎉❤❤
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 8 ай бұрын
Waaa hii simliz inahuzunisha sana janani daa
@Rsilk192
@Rsilk192 8 ай бұрын
Nimejifunza mengi Asante
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Mungu tusaidie sana na haya maisha, maana yanamambo mengi sana yakuhuzunisha na kujifunza
@AnnaMukhwana-pf4qr
@AnnaMukhwana-pf4qr 8 ай бұрын
Asante sana ..yaani nitaishi kumtegemea Mungu kwa mahitaji yangu
@nuriatqueen5575
@nuriatqueen5575 8 ай бұрын
Wa tatu❤❤❤
@lonakirao5275
@lonakirao5275 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atuepushe na tamaa na mitihani kama kama hii InshaAllah 🤲
@user-od7px8hq5h
@user-od7px8hq5h 8 ай бұрын
Mobisko hongera zako me ni muandishi Hila Kwa hii story imenitoa machozi ongera zako mtunzi mwenzangu
@anawiliam-eb4kb
@anawiliam-eb4kb 8 ай бұрын
Na mimi wa kwanza leo ❤❤❤❤❤❤❤
@haleemahhamisi2534
@haleemahhamisi2534 8 ай бұрын
Vyenye nlikuwa nimeboeka nkisubiria until forever Kwa hamu🎉🎉🎉Asante Kwa kigogo kipya❤❤🪑🎧
@EvelyneNifasha-zc6jr
@EvelyneNifasha-zc6jr 8 ай бұрын
😭😭😭😭😭jmn jmn hiii Dunia inamengi ehhhh mwenyezi Mungu naomba Uwe n'as sikuzote zamaisha
@anjelinandambuki-fi4ip
@anjelinandambuki-fi4ip 8 ай бұрын
Tupo dear ❤❤❤
@SofiaKhamis-pp5bt
@SofiaKhamis-pp5bt 8 ай бұрын
Wow nimewahi leo❤❤❤
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn 8 ай бұрын
Wow amazing
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 8 ай бұрын
EEh Mungu nisamehe😢😢 simulizi hii nifuzo kubwa jameni 😔 ahsante AnkoJay 🙏
@joyellie5089
@joyellie5089 8 ай бұрын
Ndugu Hamid juma MUNGU ailaze roho yako pema peponi na hata mimi apa nakusadia kuomba MUNGU akusamehe
@user-yg9et7mp7i
@user-yg9et7mp7i 8 ай бұрын
Asante sana Anko mapesa all ❤❤
@susansamira8137
@susansamira8137 8 ай бұрын
Jameni turizike na tunacho pata tuache taamaa na kupend a makubwa ambayo Allah hakutuajalia ,imeniuma sana , shukran Ankojay kwa kisa hichi chenye mafunzo
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Kabsa kbsa
@evacharles8881
@evacharles8881 8 ай бұрын
Thanks anko jay
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 8 ай бұрын
Nice story na tumejifunza kitu wale wenye tamaa watakuwa wangalifu sana congratulations my love wetu ankooooo
@Dasoor-tt3vf4dj8i
@Dasoor-tt3vf4dj8i 8 ай бұрын
Sijachelewa sana antiii😂😂😂😂
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 8 ай бұрын
Heri nife maskini Niishi maisha ya raha kuliko niwe tajiri niishi maisha ya shida jamani pesa ni sabini ya roho❤❤❤❤u ankojay
@kevenkeven7381
@kevenkeven7381 8 ай бұрын
Ankojay mapesa naomba ata like 5
@gladyssamba8370
@gladyssamba8370 8 ай бұрын
Simulizi nzuri sana imeifunza mengi...mungu wetu ni mungu wahuruma natumai hata kakangu kwa yale amepitiya mungu atamsamehe tujifunze kuomba mungu atatupa maana kwake kunakila kitu ,thank sana ankol jay kwa simulizi nzuri sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤
@MaseleSimba-kh2cd
@MaseleSimba-kh2cd 8 ай бұрын
Simulizi za namna hii we jamaa unatisha sana hongera sana na mungu akubaliki kwakuendelea kutuelimisha vijana tunao pambana na tuendele kupambana kwa jasho bila tamaa
@ankojay_
@ankojay_ 8 ай бұрын
Ahsante sana ndugu 🔥👍
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Ncccc
@rehemajuma56
@rehemajuma56 6 ай бұрын
Ankojay tunahitaji story za namna hii maana tunajifunza sanaaa anko🙏🙏​@@ankojay_
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 8 ай бұрын
Fundisho zuri mashalla kwa binaadam hongera ancojay ❤❤❤❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 8 ай бұрын
Hatimai tumepatatei ahsante anko Jay simulizi ❤❤❤❤😂😂😂
@user-hv7ob7ts3y
@user-hv7ob7ts3y 8 ай бұрын
Jaman jaman🎉
@mrsalma6299
@mrsalma6299 8 ай бұрын
Hakika simulizi hii ni funzo tosha tujifunze kurizika na kidogo japo tu cha halali kule kuwa na utajiri na Amani huna 🥺🥺🥺 Ahmed mwisho wake ka ivo kaambulia kifo daaah inauma kweli 🥺🥺🥺😌
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 8 ай бұрын
Asante sana Anko j jana mmetuamulia ww na bro Lucas lumbas tumefurahi na hata hivyo sijachelewa sio wa mwanzo wala wa mwisho 😂😂😂❤❤❤❤❤
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 8 ай бұрын
Better late than never🎉🎉🎉
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 8 ай бұрын
Sawa Kaka mlikuwa likizo nn sio Kwa jana kusubiri mpaka basi
@Asiaabdull
@Asiaabdull 8 ай бұрын
Yaan kwa mkasa huu umezidi kunipa nguvu na juhudi yakuwasafishia wazungu choon nakuwatandikia vitanda nile jasho langu but sikwakudhulumu roho za watu mungu niepushie na tamaa zakidunia Amina 🙏, anko Jay tunashkuru kwa simulizi yenye mafunzo
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Kwel kwel kabsa
@Asiaabdull
@Asiaabdull 8 ай бұрын
@@OnesmoMwipopo-co8dr inasikitisha san jaman tutosheke na kidog alichotupa Allah
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 8 ай бұрын
pole hamad 😭😭yote ayo umeyafanya kwasababu ya mateso uliyo yapata utotoni kwa sababu ya umaskini
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Kuna mtu kwa familia na yeye tunamshuku kweli maana na yeye hawezi kusaidia mtu yeyote bora akununulie chakula ama kitu ila sio pesa😢😢😢😢😢eee mwenyezi Mungu ninkuomba unipe moyo wakuridhik na unachonipa🙏🙏🙏🙏
@hassnakhamis3489
@hassnakhamis3489 4 ай бұрын
Jamn yupo kama mtot wa ba mkubwa angu huruhusiwi kwenda bila taarifaaaa jamn mtohani walah 😢😥 acha walah
@FlorensN-xy2fk
@FlorensN-xy2fk 8 ай бұрын
❤❤❤ 😮😮
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 8 ай бұрын
Nimewahi na mm 😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
😮asante sana ❤❤❤💐💐💐
@user-wc7md9nu4v
@user-wc7md9nu4v 8 ай бұрын
Thx anko j❤❤❤❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Mh,inaumiza 😢😢
@user-sp9tq8mq6q
@user-sp9tq8mq6q 8 ай бұрын
simulizi hii ni ya kusisimua maisha yanasili kubwa sana kwny maisha yetu sisi binadamu tusitamani mali ya mtu mwengine maana uwezi kujua sili ya uyo mtu aliyo fanikiwa ni nini
@jokhajj
@jokhajj 8 ай бұрын
Tama mbele mauti nyuma aise😢😢
@binthassan9191
@binthassan9191 8 ай бұрын
Pesa za majini hizo😂😂 zina mashiriti kuto saidia family..mungu tupe riziki zilizo za halali
@ashamenza2212
@ashamenza2212 8 ай бұрын
Amiin
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 8 ай бұрын
Inauma Sana pole 😭😭😭
@ZainHassan-sy5gs
@ZainHassan-sy5gs 8 ай бұрын
Daaah bora nifee masikini ila so kwautajiri kama hivi 😢😢😢
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 3 ай бұрын
Ee Mungu utusaidie haya maisha sio mazuri (maana dunia hii ni bahara)bora hata nimushukuru Mungu kwahivi nilivyo maana heri umaskini kuliko mali isiyo halali
@user-si6rf5wv8g
@user-si6rf5wv8g 8 ай бұрын
❤❤❤
@stellahrobert5
@stellahrobert5 8 ай бұрын
Jamani anko j
@lucykarii6860
@lucykarii6860 8 ай бұрын
Tunajifuza ili kwesho yasitukute tuweze kuyaepuka.shukrani
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Amen
@AishaNanzua
@AishaNanzua 8 ай бұрын
Heri ningangane na warabu 😢😢
@BahatiJacob-tf2iv
@BahatiJacob-tf2iv 7 ай бұрын
Uko wap mway unipe na mie connection ya waarabu
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Katika maisha tujalbu kushukuru kwa kidogo tulchopata kulko kutaka mambo makubwa wakati hatuna uwezo
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 8 ай бұрын
😢😢😢😢Tamaa nibaya sana asate sana ako Jay ubalikiwe sana
@selfamitche3530
@selfamitche3530 8 ай бұрын
Thanks Mr jay kwa simulizi mpya
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 8 ай бұрын
Wow thanks anko jay kwa simulizinzuri. Nipenilikes zenu
@saudaamohammed8743
@saudaamohammed8743 8 ай бұрын
Story nzuri inafundisha❤❤❤❤❤
@user-qw7un1nf2f
@user-qw7un1nf2f 8 ай бұрын
Hii simulizi inanitowa machozi
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
😮😭😭😭 it's too much
@MOBISKOSTORIES
@MOBISKOSTORIES 8 ай бұрын
Nice
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 8 ай бұрын
Jmn Lucas ako wapi??? I miss his voice😍, Thank you Anko Jay
@user-tz4cr4lz8q
@user-tz4cr4lz8q 6 ай бұрын
😢😢😢 daaaah nimeliya sna
@HawaMansur
@HawaMansur 8 ай бұрын
Mungu tusaidie na haya maisha
@user-kw4wn7rj1h
@user-kw4wn7rj1h 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salmasasha
@salmasasha 8 ай бұрын
Top 20 today, thanks anko mapesa❤❤
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc 8 ай бұрын
Thanks anko jay kwa simulizi za kuelimisha na kutufundisha allah akuweke uzidi kutupa burudani
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 5 ай бұрын
Mungu nisaidiye nibaki maskini parka mwisho wauhai wangu nalia mimi jamani
@violachelangat7411
@violachelangat7411 8 ай бұрын
Leo nimepata majibu mengi sana kupitia hii simulizi,
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 8 ай бұрын
Yapi hayo tuambie
@ImeldaKadogoo
@ImeldaKadogoo 6 ай бұрын
Duuu Ahmed uliyatimba mungu akusamehe😊
@shaklamwai7868
@shaklamwai7868 8 ай бұрын
Wa kwanza Leo ❤❤❤❤
@dashuushu6883
@dashuushu6883 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@binthassan9191
@binthassan9191 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 8 ай бұрын
Yani mpaka naogopa kusikiliza hii simulizi inaogopesha sana jana
@user-ip6hb1nq2u
@user-ip6hb1nq2u 8 ай бұрын
wamwisho lakini hii simulizi inanitowa 😭😭😭😭😭😭nasijafika katikati jamani
@tinershayo6191
@tinershayo6191 7 ай бұрын
Fundisho kubwa kwa wale wanaopenda mambo makubwa big up Anko
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@MeryChristopher
@MeryChristopher 8 ай бұрын
Yaan watu bhana baada mtu aseme amejifunza nini ana comment et "leo wa kwanza nipeni like zangu"
@user-yk6dg4kl3s
@user-yk6dg4kl3s 5 ай бұрын
Nime fraiya comment yako asante
@user-yd2el9mn2g
@user-yd2el9mn2g 8 ай бұрын
Yani hiii na daraja Ra salenda nazipenda sana sio poa Jaman
@fridamweni5681
@fridamweni5681 8 ай бұрын
😊😊😊
@user-yc2ez3kt1m
@user-yc2ez3kt1m 5 ай бұрын
Mungu tuepuche natamaha..
@happydeo8164
@happydeo8164 8 ай бұрын
Asante san inafundisha mno
@dashuushu6883
@dashuushu6883 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@zainabjordan5659
@zainabjordan5659 8 ай бұрын
Sad story 💔😭
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
INASIKITISHA, BINTI ALIEFANYA MAPENZI NA MSUKULE, SIMULIZI YA KWELI.
1:44:05
NDOA YANGU NA SHETANI - SIMULIZI MPYA
2:02:36
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 28 М.
MAUZA UAZA - SIMULIZI MPYA
1:54:13
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 32 М.
TAMAA ZA UJANA: SIMULIZI YA KUSISIMUA
1:28:23
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 34 М.
NATALIA ( PENZI LA GENERALI ) : SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA.
1:17:34
Simulizi Mix
Рет қаралды 214 М.
SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA. APPLE
2:32:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 16 М.
SIMULIZI MPYA : ANITA, by Ankojay
2:13:18
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 112 М.
TRUE STORY: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
1:41:02
Simulizi Mix
Рет қаралды 251 М.
SIMULIZI YA KWELI: HIKI KIJIJI NI BALAA
2:48:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 250 М.
ЕМУ БОЛЬШЕ НЕ ПРИДЕТСЯ НИЧЕГО ВЫБИРАТЬ😂😂😂
0:39
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 8 МЛН
小天使生病,去学校被嘲笑,最后太有爱了#short #angel #clown
0:56
My cat mastered black magic #cat #cats
0:23
Princess Nika cat
Рет қаралды 38 МЛН
ПОМЫЛ МАШИНУ #shorts
0:26
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,6 МЛН