NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA

  Рет қаралды 14,374

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

DAR ES SALAAM: MUHAKIKI wa Ndege kutoka kampuni ya Airplanes Africa Lilian Petro amesema upo umuhimu wa Jamii ya Tanzania kukubaliana na mabadiliko ya Teknolojia ili kukuza uchumi wa nchi kupitia mataifa yaliyoendelea.
Akizungumza na Daily News Digital katika maonesho ya Viwanda ya Kimataifa TIMEXPO 2024, Lilian amesema serikali imekuwa na mchango mkubwa katika kuhakikisha wawekezaji wanawekeza nchini na hivyo kuongeza ajira kwa watanzania pamoja na kujifunza mambo mbalimbali ambayo yanatokana na teknolojia mpya.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 114
@mashakampembela2552
@mashakampembela2552 Күн бұрын
Naona hamkujipanga kutufahamisha vizur. Hebu jipangen vizur kimaswali ili na cc tuweze kuelewa.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Күн бұрын
Aswa ata Mie nimeona awakujiandaa kuoni wala kujibu utafikiri sio. WA tz vile😂😂😂😂
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 11 сағат бұрын
Mhakiki ndege hii inatumia mafuta ya ndege au petrol? Kama vile nimesikia unasema inatumia petrol.😂😂😂😂😂😂
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Күн бұрын
Dola 200000 ni kama ml 480 hivi Mwanza 1 hour tu dadeki
@wangweemmanuel9048
@wangweemmanuel9048 Күн бұрын
Look at haters comments
@othmansongoro9121
@othmansongoro9121 18 сағат бұрын
mnashusha pesa yetu usiseme dola Sema shiling
@jivunetv
@jivunetv Күн бұрын
Nikinunua hiyo, nitakuwa naenda nayo Kazini posta. Mafuta ya petrol, naweza kujaza ata vingunguti 😂😂😂😂😂
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 16 сағат бұрын
mkiandika kwa tzsh itakuwaje
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 16 сағат бұрын
Safi sana Tanzania yetu pendwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕🦸
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan 15 сағат бұрын
Nyinyi daily news, hamjui hata kuandika 225,000/= ????
@wisdomfolks
@wisdomfolks 14 сағат бұрын
Hongereni kwanza ila mgejitahidi kutengeneza full documentary kwanzia utengenezaji na testing ya ndege yenyewe itasaidia pia utangazaji wa kiwanda hichi
@eatlawe
@eatlawe 16 сағат бұрын
Hatua nzuri. Ila kuna haja ya kusema imetengenezwa Tanzania? Hata wakubwa hawaandika nchi zao pembeni!
@calvinleonarld9695
@calvinleonarld9695 Күн бұрын
Balaa sana hii💥, ngoja na mimi nifanye mpango wa kaprivate jet changu.
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 3 сағат бұрын
mhu akili ndogo haa ndege au kopo
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 Күн бұрын
Hongera sana hii ni hatua kubwa sana, Mungu atupe pesa sasa ili tununue
@mashakampembela2552
@mashakampembela2552 Күн бұрын
Kuwa kuanzia sio mbaya hongeren sana.
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 15 сағат бұрын
Amjui ata kujieleza mtauwa watu
@WadhifaFaidawadhifa
@WadhifaFaidawadhifa 8 сағат бұрын
Hongera ila mjue Majaliwa saiv hayupo, ck kikidumbukia kwenye maji mtajua hamjui
@SAVINPONSIAN
@SAVINPONSIAN 6 сағат бұрын
Mjinga sana ww🤣🤣
@victorcephas3618
@victorcephas3618 10 сағат бұрын
Nani kasikia nisije nikabomoa
@YussufJuma-z5u
@YussufJuma-z5u 9 сағат бұрын
Sijawahi kupanda ndege ila siku nkiaza kupanda bsi sitoazia na ndegee hii atakama itakua bure😂😂😂😂
@rizikiamani9623
@rizikiamani9623 6 сағат бұрын
😂😂
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 9 сағат бұрын
Kumamayo😂😂😂😂😂vituu vyaa mwaka 1940..hiiziii kuku zime ruka kwenye Bush man😂😂😂😂
@SAHIM_MASOUD_1
@SAHIM_MASOUD_1 12 сағат бұрын
Swali langu: Kwanini ndege hiyo itumie Petrol gas ⛽ bila Jet1-A? Je! Weight ya petrol gas ⛽ ni sawa na Jet1-A? Je! Ndege hiyo ina mfumo wa sustainable fuel consumption?
@saddiqsaddiq6880
@saddiqsaddiq6880 Күн бұрын
Hongereni kuzisheni ujuzi ili chengine mubuni
@rofinkitali3765
@rofinkitali3765 22 сағат бұрын
Hivi nyini ni nani? Hembu jielezeni vizuri. Hamjajipanga kwa promotion yenu.
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 3 сағат бұрын
Ipo stori tangulizi angalia Daily News Digital utaiona
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 11 сағат бұрын
Mhakiki ndege hii inatumia mafuta ya ndege au petrol? Kama vile nimesikia unasema inatumia petrol. Usalama upo kweli 😂😂😂😂😂😂
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 15 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂haya ni maigizo au? Kwanza tunaomba kiwanda cha Baiskel kifufuliwe. Hii ndege inaweza kutubwaga😂ahaha 😂
@WallaceWaweru-ob7jz
@WallaceWaweru-ob7jz 13 сағат бұрын
Please tengenezeni documentary hapo kuna vitu vingi sanaa havija zungumzwa
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 16 сағат бұрын
Tumshukuru Mungu kuwa Tanzania imekuwa na siasa za Ujamaa zimetufikisha hapa. Pia, Nimefurahi Sanaa kuona tumefikia hapa kama Raia wa Tanzania. Wakati wa Nyerere tulipigwa vita tusitengeneza magari leo tunatengeneza Ndege. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
@jayjay4313
@jayjay4313 15 сағат бұрын
Hhmm ndege yenu instemgenezwa kwa manati na misumari. Ohooo, unatumia wese..hhmm endesheni wenyewe kwanza kama mwaka ivi tuwaone. Eti peddle za break 😂. Huyu Dada mjanja mjanja balaa.
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 18 сағат бұрын
Acheni basi yaani misumari tu ndio imetoka Czech Republic, hiyo Engine mmeitengeneza hapa Tz
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 4 сағат бұрын
Tafuteni msemaji anayeweza kuelezea vizuri. Ongera Tz.
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 15 сағат бұрын
Sasa ndege hatujaoneshwa ikiruka. Hii si toy... wangeonesha hata short clip
@MwansiVasco-zi4ik
@MwansiVasco-zi4ik 5 сағат бұрын
Onyesheni ikiwa angani ndege inatumia petrol mhhh ok tusibiri yetu macho
@mpingashilla9877
@mpingashilla9877 15 сағат бұрын
Vizuri japo hujasema inaweza kuruka umbali Gani bila kuongeza mafuta, na inaweza kuruka Futi ngapi.kiujumla ndege yenyewe hujaipambanua ila umepambanua uundwaji tu.
@ransonlema3916
@ransonlema3916 16 сағат бұрын
Nahitaji huo usafiri, tuangalie uwezo, umbali, masaa angani, mwendo
@filbertcarlos2946
@filbertcarlos2946 14 сағат бұрын
@hiyo interview ingependeza mfanyie uwanjani ikionyesha either inaruka ama inazungunguka kidogo inependeza sana na sio kwamba nabeza
@johnkasonta410
@johnkasonta410 15 сағат бұрын
Engine imetengenezwa wapi? Je avionic systems ni za kutoka wapi?
@williammwaisunga3407
@williammwaisunga3407 13 сағат бұрын
Kwani Tanzania tunatumia dola au shilingi?na msimsahau mbunifu wa herkopta pale Tunduma
@Jakgevdjf
@Jakgevdjf 12 сағат бұрын
Naona niujinga kuandika bei kwa dollar kwanini msiweke bei ya shillings au mwekezaji nimzungu ndio maana Sasa mimi mkulima nikanunue dollar Kisha ninunue hiyo ndege,shida sana
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 37 минут бұрын
Tatzo sio kununua, kuitunza ndo changamoto
@khalidharuna7452
@khalidharuna7452 18 сағат бұрын
Sasa iyo ndege yakutumiya petrol haita ripuka hewani tank lake lipo maendeo gani ubavuni nyuma mbele
@kilemilyimo
@kilemilyimo 13 сағат бұрын
Hongereni sana. Watu watasafiri kwa muda mfupi na kuepuka usumbufu wa matrafiki n.k.
@Allyhujjat
@Allyhujjat 7 сағат бұрын
No thank you siwakatishi tamaa lkn mnaonekana hamjiamini jinsi mnajieleza mnaonekana waogawaoga mngeonyesha mkiwa mna take off na ku land msiwe mmetengeneza mfano wa ndege
@WilfredKuyonza-jz2nj
@WilfredKuyonza-jz2nj 10 сағат бұрын
Mtangazaji hajui kuuliza maswali ya msingi na hata alieletwa kuitolea maelezo pia hajui kueleza
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 сағат бұрын
Imeengenezwa Tanzania au umeunnishwa Tanzania??
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Күн бұрын
Hamjajipanga kwa ufafanuzi! Jipangeni muwe na mpangilio mzuri wa majibu na mswali yenu!
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 10 сағат бұрын
Hongera sana lkn tumia pesa zetu sio dola ya mabeberu
@samasob8233
@samasob8233 Күн бұрын
The way muhusika anaexplain anaboa kweli, eti huyu akisinzia, pedal siyo brakes peke yake vile vile ni kuiendesha na kukontrol ndege ikiwa ardhini, na ikiwa angani kukata kona asante
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 17 сағат бұрын
Hii 😂😂petroli jamani hi tayo yangu nitaundia mabawa bas nami nipae
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 3 сағат бұрын
Mbona haina buti ya mizigo😅😅😅😅
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 Күн бұрын
kutengenezaaa, !!! ku.assemble??? engine za ndege benz n.k
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 6 сағат бұрын
Sasa ni wakati Diamond anunue hizo ndege
@ransonlema3916
@ransonlema3916 16 сағат бұрын
Iweze kutua popote kama helicopter
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 8 сағат бұрын
Tafuteni wataalamu watuelezee vizuri
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 20 сағат бұрын
Mbona aghali sana? Hapa Kanada kidege kama hiki unapata dola 30,000
@frankdionis7700
@frankdionis7700 19 сағат бұрын
Bro umesha sema Canada huku bongo wewe Baki huko uloko ya huku nyumbani tuachie sisi tulioshindwa kutoka tupigwe
@MashakaShabani-s5m
@MashakaShabani-s5m 16 сағат бұрын
Acha ujinga ushasema cnd hapa ni tz
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 7 сағат бұрын
@@MashakaShabani-s5m Kwa hiyo Tanzania ni wa kupigwa na hao wazungu siyo? Ujinga wangu uko wapi ukilinganishwa na upumbavu wako wa kutetea ulanguaji.
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 15 сағат бұрын
Glory to God...hongera kwetu
@awadhsalum8769
@awadhsalum8769 Күн бұрын
Sio salam kam mnatumia hata mafuta ya sheli za magari Na bodaboda.
@obedmasaki3565
@obedmasaki3565 7 сағат бұрын
Ni watanzania wametengeneza? ??
@peterwandera8273
@peterwandera8273 5 сағат бұрын
Endesha kidogo
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 22 сағат бұрын
Safi sana Mungu awatanguliye ❤❤❤
@Yayouselim
@Yayouselim 16 сағат бұрын
Ime fly kwa masaa mangapi online
@Jurbeg
@Jurbeg Күн бұрын
Hiyo ndege au kibuyu unatumbukia tuu 🤔
@victorcephas3618
@victorcephas3618 10 сағат бұрын
Mtuoneshe ikiwa inapaa
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Күн бұрын
Ivo kwanini wa tz. Mnababaika kuongea wakati kiswahiri ndio chenu wazungu wezenu ata asijipange kujibu maswari mwepesi kuongea😂😂😂😂
@Jurbeg
@Jurbeg Күн бұрын
Kwahiyo wewe ni albino au nasio niga maana eti wazungu wenzenu wewe wajiacha wapi
@Revelation1412.
@Revelation1412. 20 сағат бұрын
Duuuh 😅 Ndege yetu hoyeeee 🙋🏿‍♂️
@AziCure
@AziCure 10 сағат бұрын
Kumlipa Ruban sasa😂😂😂
@Wachoraji
@Wachoraji Күн бұрын
Hongera zenu,tengenezeni ndege kubwa
@jamalsamma3457
@jamalsamma3457 52 минут бұрын
Tuchimbe pi
@evancemsosa4379
@evancemsosa4379 14 сағат бұрын
Mbona hairuki tukaona?
@CorneliusTarget
@CorneliusTarget 18 сағат бұрын
Ijaluka sasa muta angusha watu
@josephkija4766
@josephkija4766 5 сағат бұрын
hongera sana
@ADELADamus
@ADELADamus 11 сағат бұрын
Kwa shilingi aiunzwi
@jacobtandila2019
@jacobtandila2019 8 сағат бұрын
Mtaua watu nyie
@WilfredKuyonza-jz2nj
@WilfredKuyonza-jz2nj 10 сағат бұрын
Ilitakiwa itolewe maelezo ya engine imetoka wapi na kwanini inatumia petrol ma kuna faida zipi kwa kutumia engine hiyo pia kazi ya uundwaji wa body inafanyika kutumia material gani na pia mitambo ya kuiongoza yani dash board imeundwa hapa au wapi kama imeagizwa au imeundwa hapahapa vinginevyo watu hawataelewa mnaweza kua na vitu vizuri lakini msiweze kutoa maelezo yenye kuleta tija kwa msikilizaji na mtazamaji
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 3 сағат бұрын
Ipo stori tangulizi ina majibu hayo ndugu
@jacksonerasto3696
@jacksonerasto3696 Күн бұрын
Tengenezeni kubwa sasa
@NdilanhaBoniphace
@NdilanhaBoniphace 18 сағат бұрын
Mbele wanaonaje
@HussainMaula-f9b
@HussainMaula-f9b 15 сағат бұрын
Mtoe na mafunzo ya kuruka na parachuti😅😅😅😅😅😅😅😅
@YussufJuma-z5u
@YussufJuma-z5u 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 17 сағат бұрын
Choo kipo kweli
@justice607
@justice607 18 сағат бұрын
Assembled Tanzania 😊
@KINASAITALABASH-pc8ld
@KINASAITALABASH-pc8ld Сағат бұрын
Safiii
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r Күн бұрын
Sasa abilia anakaa wap
@williammarisha5207
@williammarisha5207 6 сағат бұрын
Ni hatua nzuri sana Engine pia mnaunda wenyewe na vifaa vya masilianao pia au
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 3 сағат бұрын
Hawa ni wawekezaji kutoka Czech wanaviwanda vingine kwao hivyo yapo materials wanachukua hapa na vingine wanatengeneza kwao
@jariffat
@jariffat Күн бұрын
Hajaeleza vzr
@BabMuniwe-pg7el
@BabMuniwe-pg7el 4 сағат бұрын
Lusheni Sasa tuone mwendo Kasi maneno badae
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 3 сағат бұрын
Tutakuletea hii
@AbdulAzizAli-i6x
@AbdulAzizAli-i6x 8 сағат бұрын
Hii sio ndege hapo mwenye pesa yake aende akanunue mauti
@rizikiamani9623
@rizikiamani9623 6 сағат бұрын
😂😂
@samasob8233
@samasob8233 Күн бұрын
Please be clearer, imetengenezwa Tanzania na kampuni ya kutoka Czech Republic. Tufafanulie vizuri pls
@ismailbuchwa398
@ismailbuchwa398 11 сағат бұрын
Ndio jambo la msingi ni kuwa imeundwa tanzania na wajiriwa ni watanzania kwa hio ni faida kwetu hata kampuni zote zinatengeneza vitu vyao china kutokana na wepesi wa uwendeshaji wa miradi
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL Күн бұрын
Acha uchawa
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r Күн бұрын
Sasa inafaida gani ndege ya mtu moja
@prothodommy
@prothodommy 18 сағат бұрын
Wabongo hamjui kuappreciate
@babasandra638
@babasandra638 Күн бұрын
Muhakiki bora inamaanisha nn
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 3 сағат бұрын
Ndiye anathibitisha kwamba iko sawa baada ya kuunganishwa
@gabrielagbonlahol6458
@gabrielagbonlahol6458 Күн бұрын
😂😂😂 mwandish kaandikaje dola laki mbili na elfu ishirina na tano 😂😂😂 nan kaona $225,000/= au $200,025 nifahamishen mnaojua mahesab ya pesa
@jaywils3710
@jaywils3710 Күн бұрын
Tukinunua wote si tutagongana huko angani jamani 😅
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Күн бұрын
Nikweli nawengi ni walevi itakuwa kama boda
@saimongilala8938
@saimongilala8938 17 сағат бұрын
Choo ipo wap
@fidodido9578
@fidodido9578 15 сағат бұрын
Ndege ndogo kama hizo huwa hazina vyoo
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Күн бұрын
Dolla 225,000 sio 200,025
@zaitunimkwama7092
@zaitunimkwama7092 2 сағат бұрын
Asante
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Күн бұрын
Acheni utani hii bado sio ndege. Heb tengenezeni ndege watu wakae wengi, hahahahahahha watu wawili tu? Hapana usiite ndege. Bado.
@babasandra638
@babasandra638 Күн бұрын
Ndege inabeba pilot na co pilot
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
MUONEKANO WA NDANI WA NDEGE MPYA YA TANZANIA AIRBUS220-300
3:48
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
10 Celebrities Who Are Actually Muslim Part 2
15:17
Virtuous Islam
Рет қаралды 10 М.
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН