Рет қаралды 3,119
DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Viwanda na Biashara Selemani Jafo ameunda kamati ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini na ajenda ya ya uwekezaji kinyume chake wanajishughulisha na biashara za rejereja (Wamachinga) hivyo kuathiri uchumi wa wafanyabiashara wazawa
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...