Mama Samia Mungu akubariki sana pamoja na Serikali yako yote Tunakupenda
@safeniubwa358813 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Ameen.
@SM-fu1yv23 сағат бұрын
Safi sana hongera sana mkuu
@hajimgeni501721 сағат бұрын
Alhamdulilah hahaah nimefurahi kwa upendo watu wote wamefurahi ❤❤❤ Allah ajalie nyumba ziwe zenye manufaa na amani katika mji mpya ameen
@TwahaMkomwa-gz3llКүн бұрын
Kiongozi kafanya kitu kikubwa sana mungu akubariki rais ❤❤❤
@abdallahselemani642314 сағат бұрын
Umetoka kwenye tope unapewa cha tufali kama hichi halafu wengine wanamtukana raisi
@ZahabuZahabu-l9cКүн бұрын
Hongere sana kwanza tushukuru allah na pia tushukuru rais wetu mama samia
@blessingntuli379622 сағат бұрын
Kula yangu ushaipata mama Kuanzia 2025-2035 not 2030
@aliferuzi153723 сағат бұрын
M/mungu ampe umri mrefu amuongezee HEKIMA na BUSARA alizo nazo na uvumilivu ktk yote ya lawama anayoyapitia niwasihi WANANCHI WTaopew nyumba hii watunze mazingira ya, eneo Hilo LIWE kivutio cha maisha ya kileo
@KheriKhatibu18 сағат бұрын
Mama Samia oyee
@haroungwiyamabuzohera-jk3vlКүн бұрын
Huu ndiyo uongozi unaotakiwa. Hongera Sana Raisi SAMIA KWA KAZI NJEMA SANA.
@J4UPro10 сағат бұрын
Safi sana mama yetu
@mustaphakisanzo479Күн бұрын
Kwenye mazuri huku hatuwaoni wazee wa kupondea na kukosoa Mungu azidi kukupa moyo wa upendo mama utawala wako utaacha histori ya upendo na utu
@fidelfidel-jz4iwКүн бұрын
Mungu ni mwema sasa pandeni miti pawa kijani patapendeza Sanaa lakini wapo wasiojali kpanda serikali itawahimiza
@SelemanIsmail-c3z22 сағат бұрын
It means: "President Samia brings back smiles to the victims of the Hanang disaster"