Dakika Kumi Za Maneno Ya MAKONGORO NYERERE | Avunja Mbavu Watu Kama MWALIMU NYERERE
Пікірлер: 27
@herikaniugu2 жыл бұрын
Aisee ndio nmemjua Leo, copy ya Mzee kabsa
@hezekiahjonas97033 жыл бұрын
Jmn huyu jamaa kama babaake
@justineonline65563 жыл бұрын
Naomba ichezwe movie moja Kali Sana ya kumkubuka Mwl Julius kambalage Nyerere , harafu acheze Kama yeye ndiye hayati mwl Julius kambalage Nyerere , harafu ifanyiwe promo moja kubwa Sana , Nina hakika tutatengeneza historia moja kubwa Sana ,ambayo itashika kasi frican nzima na tutaitangaza nchi yetu ...nihayo tuu..
@johnwilliam20133 жыл бұрын
Hakuna mtu anayeitwa kambalage
@justineonline65563 жыл бұрын
@@johnwilliam2013 anaitwa Nan ???
@ethanethan44373 жыл бұрын
@@johnwilliam2013 acha umbea
@alihu37523 жыл бұрын
NI kweli kk leo nchi za Africa bado ubaguzi wa makabila mnoo unakuta wanaonana kama maadui hii ipo wazi
@loner_wolf3 жыл бұрын
Mm namkumbuka kwa hadithi zake alizokuwa anatupanga anaota ndotoni Ulaya kunavita...kumbe analuninga ghetto 😂😂😂😂.
@freduallughano23013 жыл бұрын
Habari za mghahawani hizo
@lewismpangala9273 жыл бұрын
Masikio popo ha ha ha
@kijeshiabdalla63163 жыл бұрын
Amemrithi hadi kicheko
@collinsbiwott57923 жыл бұрын
Jina langu,Mwenge na watoto wote waliozaliwa Nyamswa mission Hospital mnamo Juni 76,wote walipewa hili jina.Namkumbukia hilo,ingawaje sikumuona ana kwa ana
@simongwandu73923 жыл бұрын
Kweli ulikuwa kichaa siyo uwongo
@davidjohn59773 жыл бұрын
Agreed
@florakaaya45593 жыл бұрын
Jichunge sanaaa na huo ulevi wako. Mama Huyo Veronica hatumuelewi.
@basilisamsaka84693 жыл бұрын
Maskio popo!!
@sheilalolila22333 жыл бұрын
Mcheshi
@solomoneliphas84663 жыл бұрын
Pop
@happynessmaduka96383 жыл бұрын
Anafanana sana baba wa taif
@richardmwilwa383 жыл бұрын
Iavala komesha
@kelvincharles3893 жыл бұрын
Huyu wa kushoto mbona analazimisha habari za utopolo
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Makongoro brother weeeee
@blandinamwarabu50253 жыл бұрын
Sijapenda anaongea anakohoa na kuweka mikono, anajishika pua kisha anawashika vijana mikono tiyari kama ana virus wanabeba covid 🤔🙄🤣
@ethanethan44373 жыл бұрын
Acha umbea
@kambamazig020243 жыл бұрын
Wewe wa ajabu sana, hii ilirekordiwa kabla hata ya Covid haijaja wala kujua kutakuwa na Covid, hii ilikuwa 2019.
@junioryasin53063 жыл бұрын
Kwan kakushka ww
@abhambomihambo67543 жыл бұрын
Acha kuwaza kitumwa ww,nani alikwambia Tanzania tuna Corona.