Пікірлер
@brightmboya596
@brightmboya596 20 сағат бұрын
True
@TresorZakwani
@TresorZakwani 22 сағат бұрын
Kwanini iyo yote dada?
@pablohpaul560
@pablohpaul560 Күн бұрын
Hii couple iliisha tu hivi mondi tu sahii wang'ang'ania king'ang'a
@Kelvin-g6e
@Kelvin-g6e Күн бұрын
Nitajaribu niwareje pamoja ama niaji wakuu Kama unahamini bonyesha kidole moja Dani ya ewa🎉❤❤
@user-xn1kn3it8w
@user-xn1kn3it8w Күн бұрын
Love you lioness
@moherbalistismadan7267
@moherbalistismadan7267 Күн бұрын
I love you Shakira Wafula, what a lioness 👀 from 🇬🇧 xxx
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Күн бұрын
R I p
@hajikassim3707
@hajikassim3707 2 күн бұрын
Km nimemuelewa zaidi
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z 2 күн бұрын
Huyo mda da yupo na ujasiri, I like her
@HajiPazzy-oc6bi
@HajiPazzy-oc6bi 3 күн бұрын
Mwambieni huyo mmakonde aache unafk
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 күн бұрын
Rayvanny mzee wa remix😂🎉
@wennybarny168
@wennybarny168 4 күн бұрын
Okey😊
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 күн бұрын
Mungu wangu inauma hayo mambo yanakela sana kwa nini kijana wa kitanzania atendewe udhalimu mkuu namna hii ni nini eti tuigeuze tz kama somalia tuliowapigia mifano leo twataka watupigie mifano sisi? nani huwaghalimia wadhalimia wadhalimu watuchafue kwa viwango hivi nani huwatuma wachafue taswila yetu mbele ya mataifa yote tuonekane miongoni mwa nchi zisizothamini uhai wala utu? Hebu kwa pamoja tuwakatae wadhalimu kwa nguvu zetu zote tanzania ni yetu sote tuipende na kuitakia amani ee mungu ibaliki Tanzania utuludishie amani yetu wadhalimu wote wavikwe aibu na fedheha na damu za waliowadhulumu ziwe juu ya vichwa vyao wenyewe
@EsterLyatuu-h3g
@EsterLyatuu-h3g 5 күн бұрын
Huyo mwijaku hana lolote anataka tu kuajiliwa kwa diamond yeye anavyo mpondea mwenzie hapo ana nin kamzidi kwa jina hadi kimaisha yeye mpaka aseme umbeya ndo ale jaman
@user-gu8wv4bn4o
@user-gu8wv4bn4o 5 күн бұрын
Ali kiba fund,diamond utabaki kua Abdul kiba
@MjuniProtase
@MjuniProtase 5 күн бұрын
Tumuenzi Kwa mema yote aliyotenda mwinj mjuni
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 6 күн бұрын
Jamaa amekua sana sikuhz.🔨
@ibrahimkimweri2329
@ibrahimkimweri2329 5 күн бұрын
😂😂😂
@73chengosaro4
@73chengosaro4 6 күн бұрын
HUYU M'makonde wivu utamuua - mtovu wa hisani na shukrani
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 7 күн бұрын
Pole sana sativa ,Hawa askari,mungu anawaona wanatumwa kuuwa watu kwa maslahi yasio ya kwao,
@chidi_don
@chidi_don 7 күн бұрын
Dah Kwa Kweli Ali Kiba Anaongea Point Sana Yani 🫡🔥💯
@IgnacioGunda
@IgnacioGunda 7 күн бұрын
Nataka niya file
@IgnacioGunda
@IgnacioGunda 7 күн бұрын
Matamuuu
@habibamaguru2722
@habibamaguru2722 7 күн бұрын
Unavyoongea ili iweje ww siunasema unapesa muache Barnaba afanye kazi
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 7 күн бұрын
Wacha uzushi wewe bibi malaya mshapigwa wote miti tubu saiv umalaya uwache uchafu mtupu pumbaaafff
@theophilyedward2448
@theophilyedward2448 7 күн бұрын
Uhakika
@davideditz2049
@davideditz2049 7 күн бұрын
Hii ndo kitachokutokea ukipigia police kama upo na shida
@lulurubby2235
@lulurubby2235 7 күн бұрын
Ali kiba baada ya hii interview mambo yako yatabadilika insha allah biashara na uswahili haviendi umebadili game kwa sasa
@fasterdeule9668
@fasterdeule9668 8 күн бұрын
Acha upuuzi wewe ndio unataka kujifanya na ww unaimba mziki ili mgao uwe sawa acha kufunga watu macho huna lolote😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🎉kula keki ya chama unyamaze huna mpya
@EstherJoram-gt4lt
@EstherJoram-gt4lt 8 күн бұрын
Polee jaman 😢
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 8 күн бұрын
Ni noma sana oyo jaamaaaa 🎉 Simba
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 8 күн бұрын
King hana kinyongo na mtuuu❤❤
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 8 күн бұрын
Ckufagilii ila leo umejua kwenda na upepo😂
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 8 күн бұрын
Diamond platnumz ni noma sana
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 8 күн бұрын
Mi sio shabiki yako lakini umeongea point.😅😅
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 8 күн бұрын
Ni kweliii diamond platnumz ana mpinzaniii
@mr.daisamdaisam1319
@mr.daisamdaisam1319 8 күн бұрын
Good King 👑
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 8 күн бұрын
Mshamb wee unatafuta kiki tu
@athmankiama1133
@athmankiama1133 10 күн бұрын
Sisi wabongo tutabadilika lini!!mtu anaumwa mpeni msaada kwanza mazwali mengi mpaka mtu afariki daah!!!tubadilike Jamani
@MvpMsuya254
@MvpMsuya254 10 күн бұрын
maswali mengi ya nini wa bongo nyinyi jalini afya kwanza eti ulikuwa na hela?😢 ...then uyo maza anataka ampeleke polisi kwanza badala ya hospital jmn jmn.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 10 күн бұрын
Mbele ya kulaumu tazama kwanza mtoto ulikua unamlea kwenye mazingira gani
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 11 күн бұрын
Niko na Marioo hapa ngoja tufike home tumuulize huyo mttoto kama anaujua utupu wa konde
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 11 күн бұрын
Kausha Damu
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y 11 күн бұрын
Na wewe mbona ilo Jambo si tulisha acha nalo humu kwenye mitandao au unamaanisha ndio gia ya kurudi kwa mmakonde? I think is too late but I don't know much
@devidmafuru5538
@devidmafuru5538 11 күн бұрын
Ww mwenyewe hufai
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 11 күн бұрын
Kamuonesha utupu au kagonga kabisa banaa 😅 maaanaaaa heee😂😂
@sudymgeni701
@sudymgeni701 11 күн бұрын
Sasa swali la kijinga sana eti ulikua na ela ili akupe au.mtu anasema kichwa kinamuhuma nyinyi maswali Sasa mfano akifia hapo inakua nani wamakosa
@MihayoMjomba
@MihayoMjomba 11 күн бұрын
Subiri nini acheni usenge
@selemankishema5780
@selemankishema5780 11 күн бұрын
Simlikua kazini woote na mwanao? Yaani wewe umapanda mihogo unataka ziote keki? Vuna ulichopanda na huwenda woote mlichezea pipe moja acha kujidhalilisha 😂😂😂
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 11 күн бұрын
😮😢😢 😭😭 My 🇹🇿 😰😭